KABURI LA MTUME ; TAZAMA MAHUJAJI WALIVYOPITA KWA HUZUNI KWENYE KABURI LA MTUME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Mahujaji wa Taasisi ya Tawheed Development Network wakiwa katika Mji Mtukufu wa Madina wamepata fursa ya kutembelea kaika Kaburi la Mtume S.A.W na kutoa salamu zao.
    Hii ni fursa muhimu ambayo Mahujaji wameipata, Tafadhali Mkumbushe yule ambaye bado hajaweka nia ya kwenda kutekeleza Ibada ya Hija wakati ndio huu na Taasisi ya Tawheed tupo tayari kukusafirisha.
    Sambaza Video hii kwa watu wengi zaidi bila kusahau Ku-subscribe Channel yetu ya Tawheed upate faida zaidi kuhusu Ibada ya Hija.

КОМЕНТАРІ • 69

  • @mwanahkombo9496
    @mwanahkombo9496 3 місяці тому +11

    Mmungu nakuomba usiichukue nafsi yangu Hadi nitekeleze Ibadan hii tukufu fahari iliyoje kuliona kaburi like kipenzi na msikiti wake ❤

  • @ameenaameena4907
    @ameenaameena4907 11 місяців тому +8

    Assalam alayk ya Rasurah Alla Assalam alayk ya habiba Allah ❤❤

  • @ZuhurAmir
    @ZuhurAmir 10 місяців тому +8

    MUNGU anijalie na mie nikaion kabla ajanichukua inshallah❤❤❤

  • @FatumaShabani-mp9vt
    @FatumaShabani-mp9vt Рік тому +7

    Mashalah Allah wakbar mungu awabaliki mludi salama na atujalie tufke inshallah 🙏🙏🙏😭😭😭

  • @AshaBakari-qt5ls
    @AshaBakari-qt5ls 3 місяці тому +4

    Inshaallha naomba yarabb asiitoe roho yangu adi nikazuru makka

  • @JafariAdamu-k6g
    @JafariAdamu-k6g 10 місяців тому +3

    Assalamualaikum ya rasulullah. Assalamualaikum ya Habib llah

  • @HabibamohdMohd
    @HabibamohdMohd 6 місяців тому +3

    maashallah. ❤ Allah awalipe kheir ndugu zangu amin 🤲

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 3 місяці тому +2

    Maumivu ya wivu wa kupenda kwenda hija Yarabi nakuomba nifikishe

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 3 місяці тому +1

    Yaa Rahman,Yaa Rahim,Yaa malik,Yaa Quddus,Yaa Mutakbir,Yaa Rauf.Mola wangu/wetu.Nakuomba nami niwe kati wa WAJA watakaofika sehemu tukufu napia nikashudie kaburi la kipenzi chetu.MTUME wetu.S.A.W.Inshallah

  • @ChaiTanzania
    @ChaiTanzania 5 місяців тому +1

    Naomba allah anijaliwe niwe mwenye kufanya toba

  • @SaumuHamadi-gk4by
    @SaumuHamadi-gk4by 3 місяці тому +2

    Nakuomba allah nijaliye mm na familiya yangu utujaliye mwishoo wa uhaii wangu tuwe tushafika makka na Madina na piya kufanya ziayara ya kaburi la mtume muhaamadd s,w,a na rafiki zake

  • @SalMa-bl7ns
    @SalMa-bl7ns 11 місяців тому +3

    Mashalla tabarakalla yarasulilla

  • @MgeniNyange-z1o
    @MgeniNyange-z1o 3 місяці тому +2

    Allah atupe uwezo na ss tuweze kwenda kuitekeleza I a hii tukufu ammin🤲

    • @NoufelSalim
      @NoufelSalim 3 місяці тому

      Ameena inshallah

    • @oman7710
      @oman7710 3 місяці тому

      Allahumma amiiin Yarabb

  • @Saripa234-u7g
    @Saripa234-u7g 11 місяців тому +3

    Mashahallah

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 3 місяці тому +1

    Yah Allah tujalie na sisi waja wako tuende tukalione kaburi la mtukufu wa daraja mtume wetu Muhammad swalahallaiih alaih wasaalm... Allah humma Ameen 🤲

  • @alifaki4651
    @alifaki4651 Рік тому +3

    Allah akbar

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 5 днів тому

    YAA RABB tujaalie mwisho mwema na tufe aliakua ni mashahidi

  • @HabyibaFaraji
    @HabyibaFaraji 11 місяців тому +3

    Allah akbar kabira ❤

  • @عاىشةالصبحي-م6ه
    @عاىشةالصبحي-م6ه 3 місяці тому

    Hijja sio mahala pakuchezewa mnamuona mzee yusuphu kaanza kulaanika taratibu,kazeni Swalla

  • @ZuberJafar
    @ZuberJafar 3 місяці тому +1

    Allh akibar allah akibar

  • @salumhassan8993
    @salumhassan8993 3 місяці тому

    Ya ALLAH tujaalie tuwe wenye kuidiriki safari kwa ajili ya hija kabla hatujaondoka katika mgongo wa dunia.

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 3 місяці тому

    Kumbe Mohamad ni mfu alikufa yuko kaburini mtuandikie history yake tumujue

  • @mardbrown-rn4kn
    @mardbrown-rn4kn 11 місяців тому +2

    masha Allah

  • @rukiaabdalla
    @rukiaabdalla 2 місяці тому

    Yaa rabby tujaalie na sisi tufike katika hili kaburi la mtume Muhammad s.a.w

  • @mosihamisi663
    @mosihamisi663 11 місяців тому +2

  • @salumhassan8993
    @salumhassan8993 3 місяці тому

    Twakuomba ya ALLAH wakubalie hija yao mahujaji wetu

  • @canmakoye547
    @canmakoye547 5 місяців тому

    mpokeen YESU tu muache kuabudu alilala mauti

  • @SeifAlly-g9i
    @SeifAlly-g9i 2 місяці тому

    Insha Allah mungu atakabali maombiyako

  • @OsmanMussa-ry6mh
    @OsmanMussa-ry6mh 3 місяці тому

    Yaaallah nijaalie mm na waislm wengn kwend hij

  • @NoraKedir
    @NoraKedir 3 місяці тому

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu yaa rasurulla❤❤❤❤

  • @azzahrau
    @azzahrau 11 місяців тому +1

    Assalam alayka ya RASULA LLAH
    ABUBAKAR WA UMAR RADHIYA LLAHU ANHUM

  • @SalmaTelkom
    @SalmaTelkom Рік тому +2

    S.A.W❤❤❤❤

  • @adalishaibu4433
    @adalishaibu4433 11 місяців тому +1

    Mashahlaah mungu awabariki

  • @RAJABUKADARI-u6c
    @RAJABUKADARI-u6c 11 місяців тому +1

    Mashallah allahumarhamhum jamiia

  • @AlimaSaide-q9c
    @AlimaSaide-q9c 11 місяців тому +1

    Jadhaka llah her

  • @vinanimwinyi3163
    @vinanimwinyi3163 11 місяців тому +1

    Allah Akbar

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 3 місяці тому

    اللهم صل وسليم عليه

  • @WanguMimi
    @WanguMimi 3 місяці тому

    Mungu mkubwa

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo 11 місяців тому +1

    masha allah ❤

  • @ratifahassan6501
    @ratifahassan6501 3 місяці тому

    Mashaallah ❤❤

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 3 місяці тому

    Mashaallah ❤❤

  • @IbrahimHamadMbwana
    @IbrahimHamadMbwana 11 місяців тому +1

    Mashal

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 11 місяців тому +1

    Allahu Akbar

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 3 місяці тому

    Amiiin yaarab

  • @BarakaRamadhan-jz6mk
    @BarakaRamadhan-jz6mk 2 місяці тому

    Mashallah

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 3 місяці тому

    Yaa Rahman,Yaa Rahim,Yaa malik,Yaa Quddus,Yaa Mutakbir,Yaa Rauf.Mola wangu/wetu.Nakuomba nami niwe kati wa WAJA watakaofika sehemu tukufu napia nikashudie kaburi la kipenzi chetu.MTUME wetu.S.A.W.Inshallah

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 9 днів тому

      Allah tukimuomba hutupa niliomba nijaaliwe Hijja kabla ya umauti
      Naam ALLAH amenipa bila ya kujinyima . namaanisha masurufu. Tuombe ya kheri

  • @AminaMuhammad-c7v
    @AminaMuhammad-c7v 6 місяців тому

    Assalam alayk yaa Rasoor Allah❤❤❤❤😂

  • @Zuberiddi
    @Zuberiddi 10 місяців тому

    Allah akulehem akuingize peponi amii

  • @AdijaTunda-c8u
    @AdijaTunda-c8u 7 місяців тому

    Assalamu alayka ya rasulullah

  • @ShaibuAthumani-u3w
    @ShaibuAthumani-u3w 11 місяців тому

    Vita inayoendelea Palestine

  • @ShemsaKiobya
    @ShemsaKiobya 4 місяці тому

    Manshalla

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 10 місяців тому

    ❤❤❤

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 11 місяців тому +1

    Hakika ni dini ya hasara kubwa na mwisho wawatu hawa ni jehanamu yamoto

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 11 місяців тому

      Ukwell kabisa maneno unayosema hayana kipimo Cha akili yako

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 11 місяців тому

      Eti nawewe ukomemti ijapo uwezo wako ni mdogo wa kutambua

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 11 місяців тому

    Munasalimia kabuli.?

    • @jabili-kz4se
      @jabili-kz4se 11 місяців тому +2

      Kama huijuwi si unyamaze

    • @NunuKupela
      @NunuKupela 3 місяці тому

      Kila watu na taratibu zake nenda kachezee masanamu
      Nyinyi mna dini yenu nasi tuna dini yetu

    • @MwanahamisHussein-dp2if
      @MwanahamisHussein-dp2if 3 місяці тому

      Munnaabudu sanam mbona atusemi Allah atujarie na sisi tukahijji insallah

    • @gozbethedwinlupogo1018
      @gozbethedwinlupogo1018 3 місяці тому

      mnaabudu msalaba na sanamu