abuu all maan lushoto mlalo
abuu all maan lushoto mlalo
  • 318
  • 232 144
KITABU |UMDATUL AHKAAM |MAJLISI |17|
KITABU |UMDATUL AHKAAM |MAJLISI |17|
Переглядів: 6

Відео

KITABU |UMDATUL AHKAAM |MAJLISI |16|
Переглядів 2019 годин тому
KITABU |UMDATUL AHKAAM |MAJLISI |16|
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI |15|
Переглядів 124 години тому
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI |15|
KITABU |UMDATUL AHKAAM |MAJLISI|14|
Переглядів 144 години тому
KITABU |UMDATUL AHKAAM |MAJLISI|14|
KITABU |UMDATUL AHKAAM |MAJLISI |13|
Переглядів 207 годин тому
KITABU |UMDATUL AHKAAM |MAJLISI |13|
KITABU | UMDATUL AHKAAM |MAJLISI |12|
Переглядів 259 годин тому
KITABU | UMDATUL AHKAAM |MAJLISI |12|
KITABU |UMDATUL AHKAAM |MAJLISI |11|
Переглядів 7012 годин тому
KITABU |UMDATUL AHKAAM |MAJLISI |11|
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI |10|
Переглядів 4812 годин тому
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI |10|
KITABU |UMDATUL AHKAAM | باب صلاة الجماعة
Переглядів 4914 годин тому
KITABU |UMDATUL AHKAAM | باب صلاة الجماعة
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI | 8 |
Переглядів 4516 годин тому
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI | 8 |
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI |7|
Переглядів 4619 годин тому
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI |7|
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI | 6 |
Переглядів 5421 годину тому
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI | 6 |
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI |5|
Переглядів 89День тому
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI |5|
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI |4|
Переглядів 83День тому
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI |4|
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI | 3 |
Переглядів 7514 днів тому
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI | 3 |
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI |2|
Переглядів 9414 днів тому
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI |2|
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI | 1 |
Переглядів 14414 днів тому
KITABU | UMDATUL AHKAAM | MAJLISI | 1 |
JE SHEKH BIN BAZ ANAWATUKANA MASWAHABA? | MAJIBU KWA MZEE KHALIFA KHAMISI ALQAADIRIY ?
Переглядів 49321 день тому
JE SHEKH BIN BAZ ANAWATUKANA MASWAHABA? | MAJIBU KWA MZEE KHALIFA KHAMISI ALQAADIRIY ?
MAJIBU NO [1] KWA KHALIFA WA QAADIRIA |
Переглядів 19921 день тому
MAJIBU NO [1] KWA KHALIFA WA QAADIRIA |
MADAD YA JAILAAN | HAYA MANENO YAKO NA SHIRKI |
Переглядів 12821 день тому
MADAD YA JAILAAN | HAYA MANENO YAKO NA SHIRKI |
QASWIDA IBNU WARDI |MAJLISI YA MWISHO |12|MAAHAD ABUU BAKAR
Переглядів 4821 день тому
QASWIDA IBNU WARDI |MAJLISI YA MWISHO |12|MAAHAD ABUU BAKAR
QASWIDA IBNU WARDI |MAJLISI |11|MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
Переглядів 3221 день тому
QASWIDA IBNU WARDI |MAJLISI |11|MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
QASWIDA IBNU WARDI |MAJLISI |10|MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
Переглядів 3921 день тому
QASWIDA IBNU WARDI |MAJLISI |10|MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
QASWIDA IBNU WARDI |MAJLISI |9|MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
Переглядів 4121 день тому
QASWIDA IBNU WARDI |MAJLISI |9|MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
QASWIDA IBNU WARDI | MAJLISI |8|MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
Переглядів 3621 день тому
QASWIDA IBNU WARDI | MAJLISI |8|MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
QASWIDA IBNU WARDI | MAJLISI |7|MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
Переглядів 4021 день тому
QASWIDA IBNU WARDI | MAJLISI |7|MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
QASWIDA IBNU WARDI |MAJLISI |6| MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
Переглядів 3128 днів тому
QASWIDA IBNU WARDI |MAJLISI |6| MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
QASWIDA IBNU WARDI | MAJLISI |5| MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
Переглядів 4428 днів тому
QASWIDA IBNU WARDI | MAJLISI |5| MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
QASWIDA IBNU WARDI |MAJLISI | 4 | MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
Переглядів 6228 днів тому
QASWIDA IBNU WARDI |MAJLISI | 4 | MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
QASWIDA IBNU WARDI | MAJLISI | 3 | MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA
Переглядів 6928 днів тому
QASWIDA IBNU WARDI | MAJLISI | 3 | MAAHAD ABUU BAKAR DONGE TANGA

КОМЕНТАРІ

  • @Jabir-v7j
    @Jabir-v7j 9 годин тому

    Hakika madhehebu zote za kissun ni batri hebu tafteni hakhi achana na matusi wapumbavu nyie

  • @Jabir-v7j
    @Jabir-v7j 9 годин тому

    Yaan nyia massun mko nyuma sana ya wakati endeleeni kushikilia hizo fikira zenu za kishetan mtakuja kushtuka muda umeshawaacha,hapo ndo mtasaga meno

  • @ManswabuRajabu
    @ManswabuRajabu 21 годину тому

    Kafir maana yake nimtu aliye kanusha Jambo . Mfano usizin ukazin. Ww hapo utaitwa kafir.maana yake mkanushaj

  • @AbdulRama-u7d
    @AbdulRama-u7d 2 дні тому

    Jazakallaahu khayran

  • @RajabuBakari-uq3jf
    @RajabuBakari-uq3jf 18 днів тому

    Shekhe tunaomba hizo darasa mziweke kwenye mtandao zote ili sisi ambalo tupo mbali tuambulie ambulie

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 20 днів тому

    Yule khalifa ni chizi jamaanii

  • @BaweweSalim
    @BaweweSalim 21 день тому

    Asalaam alaikum warahmatullah, mbona sheik kuna sauti zinasikika imekuaje na video zako hazikuwa hivi, hizi sound huwa zinaumiza akili na kupunguza umakinifu wa kuskiliza hoja. Allah akuhifadh,

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 21 день тому

    Na ikiwa ni maneno ya ibn baaz utafanyaje?,

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 21 день тому

      Ninyi si mmezoea kuwazuilia maulamaa kama mtume mmemzusshia sembuse ulamaa ni jambo jepesi sana hilo kwenu

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 21 день тому

    HII KAULI SIO SAHIHI KWA SABABU KUSEMA HIVYO KWA KIGEZO CHA HADITHI HIYO KUTAONESHA KUWA MASWAHABA HAWAKUWA WANAIZINGATIA HAT QURAN YENYEW NA HILO NI TUSI KWA MASWAHABA, NI AYA NGAPI KATIKA QURAN ZINAAMRISHA WATU KUMUABUDU ALLAH PASI NA KUMSHIRIKISHA? Na KUONESHA ADHABU ZA WASHIRIKINA CKU YA KIAMA VIPI WW USEME MASWAHABA WNGI WALIKUWA HAWAYAJUI MANENO HAYO KWAKUWA SWAHABA MMOJA ALIAMBIWA ASISEME MANENO YALE YA HADITHI MPKA WENGI KATIKA MASWAHABA WAFE WASIJUE HILO WAKT MASWAHABA WANATIHIBITISHA WALIKUWA HAWASOMI AYA MOJA YA QURAN MPAKA WAILEWE MAZINGATIO YAKE?

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 21 день тому

    Alaf ufafanuz wako pia haujitoshelez akiwaambia watu watazembea watazembea nn?? Bainisha pili unataka kutumabia kuwa mtume alifanya hiyana kwnye kufikisha mpka hilo akalificha asiruusu watu wajue? Tatu je kabla yakusemwa hdith hiyo maswahaba walikuwa hawajui kuwa Allah anataka aabudiwe wakt aya za quran ziko wazi zinaamrisha waja wamuabudu Allah pasi na kumshirikisha pia kuna aya za wazi zinathibitisha adhabu kali kwa washirikina katika qurani vip useme maswahaba walikuwa hawajui wakt quran imewka wazi hayo au unamaanisha maswahaba walikuwa na quran pia hawaijui au ebu jibu kielimu

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 21 день тому

    Hata kam maneno sio ya ibn baaz yeye baaz kayatia kwenye kitabu chake kuyarud au kuyaunga mkono?? Kam ni kuyaunga huo ndo msimamo wenu mawahabi iwe yanani au nan? Hatuzingatii hilo

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 21 день тому

      Kumuelwesha mtut wa bidah ni bora ifuge mbwa kwako utaamfundisha atakuelewa so ninyi watu wa bidah

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 20 днів тому

      @@AbdulIssa-o7e jibu hoja za msingi usitake tukuelewe wakt unapindisha

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 20 днів тому

      @@abubakarhussein2186 hoja za msingi zipi we mbona jahli hivoo kitabu kimefafanuliwa na shekh vzr ukiwa mupofu wa nafsi ni msiba kuliko mpofu wa macho pia ninyi ndo wale nabii issa alipowajia watu wake walimkanusha pamoja na kuwafanyia miujiza na kuwafafanulia yale walimuliza kuhusu Allah akawajibu wakaidi pia akawaambia macho mnayo lakini ni vipofu, masikio mnayo lakini hamsikiii ni viziwi unafanana na watu Hawa pia kama Allah kapiga chapa katika moyo wako huwezi ongoka na huwezi muongoza alompoteza allh ww omba mungu akupe wongofu kuwa kwako mwislamu tuu haitoshi wapita katika njia gani sabu hata mashia wadai uislamu pia haitoshi tuuh kusema mi mwislamu unapita katika mapito yepi unafata nani na itikadi yako unayofata ni sahihi inabidi ujiulze maswali hayo vinginevyo kuridhika tuuh aah mi hapa hapa bwana chunguza itikadi ulonayo maana sula la itikadi ndo ziliangamiza nyuma zilizopita

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 21 день тому

    Ni bora ufuge mbwa nyumbani kwako utamfundisha atakuelewa so watu wa bidaah ni warongo mno na wamezoe kuzusha zusha mambo tuuh, kama wameweza kumbandika mwemyezi mungu na mtume wake uongo, watashindwa kwa ulamaa wetu kuwabandika urongo ni jambo jepesi sana hilo kwao na hawana aibu kabisa sijui allah ndo kawatoa mshipa wa aibu juzi kasimama mtu akwambia usiku wa maulidi ni bora kuliko usiku wa lailatu lkadiri, lakini wanaongozwa na shekh wao jufri anasema kilemba chake kimetoka kwa mtume na mwwngine nae juzi anakwambia kuzuru kaburi la sharifu mammbruiy ni kama umezulu kaburi la mtume😂😂😂 hawa watu kutahadhari nao sana

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 21 день тому

    Shukrani shekh abuu all man kutubainishia urongo na propaganda za ahlu bidaa kuwa twani ulamaa wetu wa ahlsunnah

  • @UwesuJumanne
    @UwesuJumanne 22 дні тому

    Ni khalifa Musa Issa Haji Allah amuongoze na sio khalifa khamisi....huyu yuko Arusha huko anapotoshs sana

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 23 дні тому

    Allah amlaani kila anaemzulia mwanazuoni

  • @zahranlofymbarouk7407
    @zahranlofymbarouk7407 28 днів тому

    Sasa utakimbiaje na mtu mwenye elimu NDOGO mafala wakubwa

  • @shafisaggaf1889
    @shafisaggaf1889 Місяць тому

    Akili Huna wewe

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e Місяць тому

    Ni wachache katika mashekh wa answari mlobaki na msimamo wa kuradi bidah na kuradi khurafi wote, ukiwemo ww shekh abuu all man na muhammadi bachu,, wale wengine kina kishki na kaka yake Abdul kadiri ni mtihani sanaaa ni watu wa kwenda na watu maslahi wanajinasibisha na sunnah lakini watu wao na vipenzi vyao wakubwa. Ni khurafi 😂😂😂. Sasa shkh Abdul lkkadri yule anakwambia maulid ikhitilafu anae taka kufanya afanye tuuh anatalbis nyingi sana dawa zake yeye utamkutaa na makhurafi wala haataahaddhariishi uzushi et aansema anaekwenda maulidini anaenda soma sira ya mtume alingani na mlevi kwakusudio lake mnywa pombe hatari zaidi kuliko mzushi, yani haieleweki heleweki talbis nyingi mara yupo na kina Othman maalimu arafu anajinasibisha na sunnah Sasa sunnah gani hiyo ya kufanya daawa. Na. Wazushi si watajiona wao wapo katika hakki na kuleta talbis kwa vijana wanaoanza kujuwa sunnah.

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Місяць тому

    Sheikh pigia misumari hapo hapo usiachie kuwafyatua masufi napenda sana Ma Shaa Allah

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Місяць тому

    Hawa masufi bhana wanataka kila kitu kifanane na maulid huu itakuwa ujinga miski ya roho ni muhadhara maulid ni bida'a

  • @musr931
    @musr931 Місяць тому

    Sawa Khurafi!

  • @MkindiJujan
    @MkindiJujan Місяць тому

    Masufi huwadanganya na kuwachanganya wafuasi wao ambao elimu maarifa ya dini yao ya Uislam ni mdogo kiasi kwmba maamuzi yote ya dini yao wamewachia mashekh zao Sasa kwa kufanya hivyo wafuasi basi mishekh ya kisufi ndipo hutumia njia upenyo huo wa uelewa mdogo wa wafuasi wao basi hufanya na kusema kila lenye manufaa nalo ilimradi tu kulinda maslahi yao

  • @NassorKomboOmar
    @NassorKomboOmar Місяць тому

    Hawa watu matamanio yao nimiongoni mwa dalili zao.

  • @NuryaMusa
    @NuryaMusa Місяць тому

    Baarakanllah fiikum

  • @MkindiJujan
    @MkindiJujan Місяць тому

    Allah Mwenyewe kaweka maneno yake kwenye kitabu hii Quran ni kitabu Aya nyingi mpaka bibilia inataja kitabu cha Quran maskini ahlu lbidaa wadhwalala Quran yasemwa kuikusanya ni bidaaaaa jmn kweli leo maulid yanafananishwa na Quran Quran ina asili ktk dini ndio msingi wa Hukmu ya Uislam Ni kitabu kipo Allah mwenyewe amesema hiki ni kitabu kisicho na shaka ndani yake Allah alishakusanya Maneno yake yeye akayaweka kwenye kitabu Leo nyinyi majuha kalulu mnaita kukusanya Quran ni uzushi ni Sunnah ambayo Mwenyewe Allah alishaifanya

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm Місяць тому

    Bora unge andika KAMA.MAULIDI NI BIDAA MBONA OMARI NDIO ALIO ANZISHA MAULID (INGEKUA SAW

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e Місяць тому

    Mashekh wa kikhurafi wanawqfichq wafuasi wao kuhusu neno bidah na kuhusu hili, huwajenga kichuki kuchukia daawa ya hakki dawa ya al hurabaa

  • @IssaKabelwa-zs2ct
    @IssaKabelwa-zs2ct Місяць тому

    Tulia ufahamishwe haki ewe suf

  • @MohammedSaid-zk7yg
    @MohammedSaid-zk7yg Місяць тому

    Wahabi anajuzungusha tu kama maulidi ni bidaa tarawehe,mashindano ya Quran, yote ni bidaa though siamini kama ni bidaa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Місяць тому

      Ww upo mbali na dini yako jaribu kutafuta ilmu maana waongea kama watoka usingizini trehw bidah toka lini kitu kilichofanywa na mtume bidah kwahiyo ukisema taraweh ni bidah mtume alimanisha bidah ni sawa na kuituhumu mtume kama huna cha kukoment upite tuu endelea na bidah zako

    • @MohammedSaid-zk7yg
      @MohammedSaid-zk7yg Місяць тому

      @@AbdulIssa-o7e Umar ndio alienzisha tarawehe uinayo leo kaka wewe ndio ukasome,OK tell mtume alisalisha rakaa ngapi tarawehe na witr pamoja,

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Місяць тому

      @@MohammedSaid-zk7yg ww inaonekana mgumu kuelewa taraweh alianzisha mtume kwa jamaa waliswali siku 3 u nne baada ya hapo watu wakawa wanaswali kwao mtume aliwacha ile jamaa kuwaambia kwamba nahofia Allah asije nifaradhishia ikawa so sunnah tena baada ya kufa mtume omar akaifufua ile sunnah kwa jamaa sasa hapo usichoelewa ni kipi au kutaka kuvuruga na kuleta talbis zako kuporomoa hakki ndugu unaonekana ni mtu upo mbali sana na dini yako au unafata mikumbo tuuh, kitu kilicho fanywa na mtume na swahaba zake hakiwi bidaa bidaa ni jambo kinyume na sunnah ya mtume au swahaba sasa una lalamika nini

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka Місяць тому

    Twambie bidaaaa ni nini

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 Місяць тому

    Uzur hadi sasa huenda yupo hai Sheikh Alkhalily Kusanyikeni mutafute size yke sasa mukahojiane nae

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 Місяць тому

    Hizi hoja zenu zinawaumbua wenyewe, sasa unataka kubainisha hakki na una ubakika unakimbia nn eti kisa elimu ndogo sasa huyo siwakutwanga tu? Khofu juu yakubainishwa hakki imemjia Rahimahu llahu

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Місяць тому

    Wape hoja hii bwana kuhufadhiwa kwa Quran ni kukusanywa pia wajue hilo na bishara ya kukusanywa Quran ni maneno ya Allah kusema neno kitabu katika Quran hali yakuwa ilikuwa haijaanza kuchapishwa hoja hizo

  • @RashMash-l1b
    @RashMash-l1b Місяць тому

    makhurafi yani hawaelewi kabisa sijui wanataka mtume awajie ndio waelewe wala ni vipi,mana kukusanywa kwa kir,ani ni jambo lina ushahidi kamili katika vitabu tena adillah sahihi kivyume na bid,a ya maulidi lakini hawa ni watu hawaelewi kabisa.

  • @0562866194
    @0562866194 Місяць тому

    Wamekusanya lakini lakuulizwa je wameengeza AYA ama wamepunguza AYA??? Ajabu hata hoja hazifanani sababu QUR'AN ni ileile lakini nyinyi mlicho kileta nikipya. ALLAHU ALMUSTAAN.

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e Місяць тому

    Yani watu wakipote mtihani kweli yani khurafi ujitahidi kutumia kila Jambo labda Jambo lao Hilo liwe khalali Sasa kukusanya kuraani kunahusiana nini na uzushi wa maulidi.ile ni utaratibu wa kila zama nabii alopewa kitabu iliwabidi watu wakusanywe ndo tunauliza kilichopo ndani ya hiyo quruani kimezungumzia mawlid? Hata isigekusanywa maulid wange yawek a wapi hakuna Jambo lililokuja nyuma, ulazimishie liwe kwenye quruani utakuwa urongo😂😂 karne ya 7 kufa mtume na maswahaba wanavumbua hiyo bidah arafu unitafutia dalili wakati bada ya kufa mtume wahy ulikatika Sasa huyo alozusha maulid wahy ulitoka kwa nani?? Na Kati mtume kafa kaacha sikuku mbili tuuh iddi lfitli na iddi adhuha na mtume alizisherekea hizo Sasa na NDo sikukuu ambazo Allah na mtume wake wanazitambua Hilo la mawlid watafute kwa kuyapeleka wasilazimishe tembo kunywa maji. 2:20

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 Місяць тому

    Swali ni je abubakar hakuijua hadith yakuwa anaruhusiwa kuikusanya Quran kwakuwa yeye ni khulafau rashidun? Mawahabi msidanganye watu. Hoja hapo nikwamba Quran kuikusanya ni jambo zuri ndiyo ikakusanywa. Vilevile tunawaambiya maulidi pia ni jambo zuri kwahiyo tuna ruhusa yakusoma

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Місяць тому

      Sasa ww Hilo ndo uhararishe maulid imetajwa katika Aya gani hiyo maulid au hadithi ipi tupe ww khurafi uso na ilmu kukusanya quruani so bidaa Sabu ile ni kitabu Cha Aya na NDo utaratibu wa kila nabii zama zake lazima kitabu chake kikusanywe tunasema Sasa kilichopo ndani kimeruhusu ufanyalo www huna hoja watu wa bidah kila uchochoro mnajaribu kulazimisha kuyatafutia dalili maulidi hutopata kweli Sabu yamezuka nyuma baad ya kufa mtume na maswahaba wote Sasa unayapachika wapi na kitabu kilitimia.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Місяць тому

      Mlizoea kudanganya watu huko nyuma na kuchangisha michango kwa dhulma, saivi watu wamezinduluwa maulid ni ujinga mtupu hakuna Cha maana kule zaidi munkari ni kubwa kuliko kheri

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Місяць тому

      @@AbdulIssa-o7e yani wewe jahili wakiwahabi ndo umesema nini cha kielimu hapo

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Місяць тому

      @@abiabi9353 jahli ww unaefata upotovu mpk leo hujazinduka na ilmu unaburuzwa na hisia za mawlid, lete dalili tusibitishie ndani ya quruani Aya gani na hadithi ipi imetaja mawlid usikute hata quruani enyewe hujui kuswali huswali wawaza mikesha ya mawlidni na kukata viuno mbele za umati wa watu, khurafi ww juzi shekh wenu yule wa mombasa jahli dj saidi kahararisha muziki, maulidini na watu mnafurahiya tuuh. Arafu kingine huna hoja ndugu lete hoja usikimbilie kutukana sawa.dini huenda kwa dalili Minal kitabu wa sunnah tupe dalili so kuropokwa nyi masufi wapumbavu sana huwezi kuwa sufi ukawa na akili timamu lazima utakuwa mjinga mjinga tuuh .

    • @Alrisaalaturrahmahislamiccente
      @Alrisaalaturrahmahislamiccente Місяць тому

      alijua lakini kwa kuhofia mambo ya bid a. ndio akawa anasitasita. na wewe na kuulize wakati mtume alipokufa Umar hakujua Aya.hii wama Mohammad illa rasuul? au Minha khalknakum waminha taaratan ukhra? jawabu alijua ila mapenzi juu ya mtume ya liimjaa mpaka akakata akasema ya kuwa mtume hajafa

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Місяць тому

    waliokusanya qur'an ni maswahaba,tena wale maswahaba wakubwa wanne,ambao mtume صلى الله عليه وسلم alituusia kushikamana na mwendeno wao,tena ktk karne ya watu bora,je aliyeanzisha maulid unamjuwa ?ni SHIA tena ktk karne za watu waovu!!

    • @0562866194
      @0562866194 Місяць тому

      Wamekusanya lakini lakuulizwa je wameengeza AYA ama wamepunguza AYA??? Ajabu hata hoja hazifanani sababu QUR'AN ni ileile lakini nyinyi mlicho kileta nikipya. ALLAHU ALMUSTAAN.

  • @SalehRashid-f9r
    @SalehRashid-f9r Місяць тому

    Kama sheik alkhalili hakuwa na elimu vipi ibinbazi amualike mtu Ambae Hana elimu?

  • @NuryaMusa
    @NuryaMusa Місяць тому

    ❤❤ Baarakanllah fiikum

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e Місяць тому

    Tunashukuru shekh Abuu all man kutujurisha hili maana ahli bidaah wote wanajuwa hata simu bidah wanakuambia mnasema bidah spika nazo bidah yani mashekh wa ki khurafi wamepoteza sana watu ndomana huwezi swali katika misikiti yao ukakuta wanataja neno hiloo😂😂😂 mtu analingania msikiti miaka 20 huskii akitaja jambo hilo ni hatari kweli waumini watajuwaje sasa watakuwa vipofu.

  • @JumaMpingo-x5b
    @JumaMpingo-x5b Місяць тому

    tuwaombeen dua awa allah awaongoz ktk wislam

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 Місяць тому

    Usufi Ni ujinga

  • @iddyjohn1032
    @iddyjohn1032 Місяць тому

    Acha kututolea ufafanuzi wako unavyo taka,wewe

    • @QaisMohamed-h3q
      @QaisMohamed-h3q Місяць тому

      Wewe kiarabu chenyewe sidhani kama unakielewa maana usinge zungumza maneno hayo Maana maneno ya Shekh suddaysi ndio yalivyo, kama anvyosema Shekh hapo Ndugu yangu acha ung'ang'anizi katka misimamo ya batiri

  • @ZainamavooMavoo
    @ZainamavooMavoo Місяць тому

    Sio bidhikira ni bidhikiri

    • @QaisMohamed-h3q
      @QaisMohamed-h3q Місяць тому

      Mmmm Acha kujizibA masikio Shekh kasema بذكرى na sio بذكر

  • @SoudSanawari
    @SoudSanawari Місяць тому

    Kipimo gani cha elimu acha ujinga we mwenyewe zwazwa

  • @SoudSanawari
    @SoudSanawari Місяць тому

    Kumpa umashuhuri kwa hiyo bin baaz alikuwa HAASID

  • @SoudSanawari
    @SoudSanawari Місяць тому

    Alkhalil yuko hai mleteni yoyote mnaemtaka kwa sasa

  • @SoudSanawari
    @SoudSanawari Місяць тому

    Bin alikuwa hana hoja