SHK.OTHMAN ASIMULIA ALIVYOTUKANWA NA KIJANA BARABARANI MATUSI MAKUBWAMAKUBWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • #riyadhTvZnz #zanzibar
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / riyadhtvznz
    FACEBOOK: / riyadhtvonlineznz
    TIKTOK: / riyadhtvonlineznz
    UA-cam: www.youtube.co...

КОМЕНТАРІ • 169

  • @SuleimanMohamed-z6x
    @SuleimanMohamed-z6x 4 місяці тому +6

    Courage, confidence, communication, character, commitment

  • @kandellahramadan5794
    @kandellahramadan5794 3 місяці тому +1

    Pole sana sheikh, ALLAH akuhifadhi

  • @AmissaBIGIRIMANA
    @AmissaBIGIRIMANA 3 місяці тому +1

    Shukran Sheikh Othman Mwalimu
    Hekima kubwa Sana
    Shukran Kiukweli

  • @sidegrenade2043
    @sidegrenade2043 4 місяці тому +21

    ❤❤❤shekhe wangu kipenzi ❤❤mungu akujalie moyo uwo uwo unatuelimisha vijana ❤

  • @mrsab303
    @mrsab303 3 місяці тому

    Inshaallah make easy for Inshaallah❤❤❤❤❤

  • @saidimussa8978
    @saidimussa8978 2 місяці тому

    Pole shekh wangu

  • @MwanaJumaali-q8n
    @MwanaJumaali-q8n 3 місяці тому

    Pole sana sheikh

  • @SamiaGervase
    @SamiaGervase 3 місяці тому

    Allah akuzidishie moyo wa subira

  • @MohamedMohamed-nk8rt
    @MohamedMohamed-nk8rt 3 місяці тому

    Dah, jaman tuwe na akhlaq had tu nafikia hatua ya kutukana mashekhe, Dunia inaelekea wap sijui, pole Sana shekhe ndo life hiyo

  • @ShAMIMURASHIDI
    @ShAMIMURASHIDI 3 місяці тому +1

    Pole shekhe Wang 😢

  • @mkongwekhamis4331
    @mkongwekhamis4331 3 місяці тому

    Msamehe sheikh Othman...... Na Allah amuongoze huyo kijana...

  • @Maas-d5d
    @Maas-d5d 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SleepyChocolateBonbons-ib6hv
    @SleepyChocolateBonbons-ib6hv 3 місяці тому

    Pole sna shekh wang nakukubal sna ila nivzr ulivyo mpa asant bara baran makosa tumeumbia sisi binaadam haswa bara baran mm dereva ila nikimkosa mtu nampa asant na kumuomba samhn hat km kanikosa yy nimemkosa

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 3 місяці тому

    Allah azidi kupa sbra

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et 4 місяці тому +2

    Watu wamagar weng sijui kwann hawana mdomo mzur wanatoa tu maneno bila kufikiria

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 2 місяці тому

    TANZANIA KIONGOZI WAO NI MWANAMKE 😀

  • @aminamaulid7371
    @aminamaulid7371 3 місяці тому

    Allah amsamehe huyo kijana na mbadilike pia sio sheikh tuu ila kutukana tukana tu hovyo.😢😢

  • @fifo262
    @fifo262 3 місяці тому

    Ulimi ni mbaya sana

  • @amneally4135
    @amneally4135 3 місяці тому

    Hakika. Sheikh

  • @LightLaulent
    @LightLaulent 3 місяці тому

    Sheikh me nahomba namba zako tu

  • @SaadaMd
    @SaadaMd 4 місяці тому +2

    Wewe ulikuwepo walipochapwa? Au ndio nyie wakosefu watabia?

  • @Yahyahaji-c4m
    @Yahyahaji-c4m 4 місяці тому +1

    Mbuyu

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 4 місяці тому +16

    Othman Malim Allah amhifadhi namkubali sana hata hivi ni msufi lkini nimepita mkononi mwake

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 4 місяці тому +10

    Vijana wenzangu tubadilike
    Tuwe na Subra hasa KWENYE NDIMI ZETU🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Maas-d5d
    @Maas-d5d 2 місяці тому +3

    shekhe mwenye hakma zake masha Allah Masha Allah mungu akuzidishie hekma na busara na subra na imani nakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 3 місяці тому +8

    Ndio changamoto za dunia polesana shekh wetu❤❤❤

  • @ibraimabubacar8417
    @ibraimabubacar8417 3 місяці тому +6

    Pole sana shekh Allah akuzidishie subra na uvumilivu shekh wetu😭😭😭😭😭😭

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 4 місяці тому +7

    Sorry sheikh the guy may be sick madness.. very sorry you deserve better your the best sheikh..may Allah protect you. ❤❤❤

  • @zafaranimamy
    @zafaranimamy 3 місяці тому +5

    Courage, confidence, communication, character and commitment

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 4 місяці тому +5

    Masha Allah,,,, pole sn sheikh Othman Maalim

  • @MbwanaIssa-s1p
    @MbwanaIssa-s1p Місяць тому

    Hongera sana sheikhe wetu kipenzi Allah akuhifadhi na akuzidishie hekm nabusara Kwakilalinalokutokea

  • @ShamiraSued
    @ShamiraSued 2 місяці тому

    Heshima kwa muislam n kuwaheshimu watu wote wadogo kwa Wakubwa maskin kwa matajir bila kuangalia hadhi

  • @YussuphKansela-l4j
    @YussuphKansela-l4j 4 місяці тому +3

    Dah!!!kwakweli ili Jambo limeniuma sana.pole Sana ustadh wetu ni mapungu ya kibinadam yalio tokea na ishaALLAH m/mungu atuswameh makosa yetu yote ss na wazazi wetu Kwa ujumla

  • @AminaAbdullah-ws3wy
    @AminaAbdullah-ws3wy 4 місяці тому +5

    Pole sana. Allah akupe subra na uvumilivu

  • @mwanaherimatata8571
    @mwanaherimatata8571 4 місяці тому +5

    ALLAH AMJALIE PEPO SHEKH WETU

  • @khamishassan68
    @khamishassan68 4 місяці тому +4

    Story ya zamani lakini iko up to date sasa. Mashallah

  • @Asma-m1j
    @Asma-m1j 4 місяці тому +2

    Pole shekh wetu najua inavyouma hata mimi nilitukanwa sehemu ya kuuza viatu nilishika kiatu nikakiangalia nikajaribu hakikunipendeza nikamiacha mwenyeduka alinitukanasana mbeleza watu niliumiasana katokea shekh mmoja kasema ondoka usimrudushie mimi nikashukur nikaondoka ilaniliumia sana, kwa kweli tz maadili kwa wengine nimtihani, mimi naona hatawatu huko nje yanchi watu wakirudi tz wananunua vitu ambavyo tz vipo natena penginehukubei juu, watuwanasema bora ninunue kitu beijuu lakini cha uhakika na kauli zawauzaji nzuri,

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 4 місяці тому +33

    Kuweni na heshima mnapocomment ni mtu mkubwa uyu

  • @KomboBatashy
    @KomboBatashy 11 днів тому

    Pole sana mungu akuhifaz mengine

  • @HalimaIssack-jj2xh
    @HalimaIssack-jj2xh Місяць тому

    Pole sana sheikh Othman Allah akubariki

  • @ahmedalbalushi6239
    @ahmedalbalushi6239 4 місяці тому +2

    Heshima ni muhimu na Tabia haibadiliki itakuwa anafanya hivo kwa wengine mpka kaona huyu ni nani ndio kaja chini , Allah awanusuru watoto wetu na wa wenzetu na tabia kama hizo

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 4 місяці тому +6

    Hii tabia vijana au watu waache kutoa kauli chafu au matus kww watu hata kama kwel umekosea ila jifunzen kuwa na subra na usikimbilie kuhukumu wenda aliekukosea hakujua au bahat mbaya,
    Sasa kuna siku kijana huku alikuwa yupo na pikpik akawa anapishans gari fulan kwenye barabara ya vumbi sasa kuna mvua ikawa imenyesha kukawa na maji, kwa bahat mbaya ile gari ilikuwa speed ikarusha maji yakamrukia yule jama vibaya sana, sasa yule jama akachukia kile kitendo akaanza geuza akaanza kukimbizia ile gar had alipofika usawa wa mlango wa mbele akaanza kutoa matusi ile mbaya, kumbe mule ndan ya gar kuna mkuu wa wilaya bhn mbaya zaid ile gar ilikuwa na bendera sasa cjui yeye hakuona,
    Kilichofata 😂😂 alichukuliwa had polis, kufika pale kesi kumtolea lugha ya matusi mkuu wa wilaya alikaa lockup, badae akaanza kujitetea oh sikujua kama mkuu wa wilaya wakamuuliza kwahyo angekuwa hata kama si mkuu wa wilaya je kumtukana mtu tu inafaa? Ohh nisamehen hasira tu.
    Bas hiki kisa kinatufunza juu ya kujifunza kuzuia hasira zetu na kuomba sana kwa Allah hata kama utakutana na jambo la kukukera vipi bas Allah atujaalie hikima na subra sana, kwasababu hasira na ghadhabu madhara yake si mazur.

  • @hassanmparee
    @hassanmparee 3 місяці тому +1

    Mwenyezimungu akupe umrii mrefu Bado twakupendaa

  • @FatmaHaji-sf6xq
    @FatmaHaji-sf6xq 4 місяці тому +3

    Pole sana shehe wetu allha akuhifazi

  • @AdamYussuf-bd6sh
    @AdamYussuf-bd6sh 2 місяці тому

    ukilelewa vizuri utajuwa utaishimu kila mtu na utakuwa na tabiya nzuri na hata elimu utachukuwa mahala pazuri wangapi twaona kwenye mtandao wanatukana mashekhe bila hata uoga.nini malezi mabovu na au kalelewa vizuri kaiga mambo ya siyo faa nimtihani sana allaah anamuongoza aliye kuwa tayari kuwa mzuri watabiya mwanzo wa kutoka kwa wazazi wake

  • @naimamohamed2216
    @naimamohamed2216 4 місяці тому +1

    Shekh othma tunao jua thamani yako ni sisi wabongo sijui kwanini unaishi Zanzibar hali ya kuwa wabongo tunakulilia ,,

  • @KarimSeleman-r4y
    @KarimSeleman-r4y 4 місяці тому +3

    Mashallah ustaz

  • @SalmaMasoud-ry4pg
    @SalmaMasoud-ry4pg 3 місяці тому +2

    🇰🇪Allah akuzidishiee Maalim wangu nakupendaa sanaa❤

  • @ShaibuchoumOmar
    @ShaibuchoumOmar 2 місяці тому

    Pole sana shekh wetu Allah akuzidishie subra, hekima na busara na uvumilivu na sisi vijana Allah atuongoze tuweze kuwaheshimu tunaowajua na tusiowajua

  • @mwanaidyamiiry3725
    @mwanaidyamiiry3725 3 місяці тому +2

    Pole sheikh wetu Allah akufanyie wepes

  • @zuwenarajab6675
    @zuwenarajab6675 3 місяці тому

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh. Inna lillah wa inna ilayhi rajiun. Hata kama angekuwa sio Sheikh. Ustarabu, adabu, utu na ubinadamu ni vitu muhimu sana. Nidhamu ya mtu ndio silaha yake. Hivi huyu alie tukana angependa mzazi wake atukanwe hivyo kweli jamani?

  • @AliMwakuikiza
    @AliMwakuikiza 2 місяці тому

    Pole shekhe...😢😢😢😢

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 3 місяці тому +1

    Blind spot mbaya sana

  • @MariamJuma-e7w
    @MariamJuma-e7w 3 місяці тому +1

    Tunakupenda sheh wetu Mungu akubariki Kila hatua😊😊

  • @annoldkimaro745
    @annoldkimaro745 3 місяці тому

    Ata kiongox akiteleza huwezi mtus Amtake radhii maalim then alete towba kwa Allah

  • @AllyAbdallah-jd9qj
    @AllyAbdallah-jd9qj 3 місяці тому +1

    Mungu aendelee kukupa moyo wakusamee shekhe wetu

  • @salmamfaume1073
    @salmamfaume1073 3 місяці тому

    Ila vijana kuweni na khofu ya Allah dunia tutaiacha jamani acheni matusi

  • @IbraahIbraah-h9b
    @IbraahIbraah-h9b Місяць тому

    Subhaanallah

  • @Akhysayid
    @Akhysayid 3 місяці тому

    Vijana wenzangu tuweni na respect na subra wakati tunapo tunapokuwa kila mahali leo katukanwa sh othman maalim siku nyengine utakuja kumtukan mzee wak au mkwe waking

  • @SleepyChocolateBonbons-ib6hv
    @SleepyChocolateBonbons-ib6hv 3 місяці тому

    Daah jmn tuchunge limi zetu kwaio katukan haja jua km ni sheik othuman maalim kwaio wengin anatukan

  • @FarukuArry
    @FarukuArry 3 місяці тому

    Shekh dunia imeharibika ata unaye mzania anabusara kumbe amnZo

  • @SaadaKheriMrisho
    @SaadaKheriMrisho 2 місяці тому

    Nakupenda sana ustadh maalim mungu akupe uzima sikuzote uzid kutumbusha

  • @mrshazychannel3359
    @mrshazychannel3359 4 місяці тому +3

    Hii story ya zaman san weken story mpyaa

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 4 місяці тому +1

      Hoja stori ya zamani au kujifunza

    • @Xuxu-f7j
      @Xuxu-f7j 4 місяці тому

      Tabia hata iwe ya zama za kale haibadiliki story hii unayosema ya zaman haishi thamani kitabia

  • @abiiajmi2399
    @abiiajmi2399 4 місяці тому

    Huyu achiwe tu sh wetu hekma na busara na flsafa ya kuongea ni jibu tosha mungu kampa neema

  • @omanmct135
    @omanmct135 4 місяці тому +2

    Subhanalllah

  • @sheikhahmedahmed2296
    @sheikhahmedahmed2296 3 місяці тому +1

    SUBUHANALLAH

  • @FatmaKanju
    @FatmaKanju 2 місяці тому

    Pole shekh wangu kiongoz wetu ndio vijna wa leo

  • @mariammussa6152
    @mariammussa6152 3 місяці тому

    Ple sana shekh wetu ndio mitihan ya dunia😢😢😢😢

  • @maimunahassan7126
    @maimunahassan7126 4 місяці тому +1

    Allah atuongeze, msamehe Shkh Maalim Othman

  • @AhmadRashid-x1i
    @AhmadRashid-x1i 3 місяці тому

    Sisi tunakupenda kweli shekhe Allah akupe nguvu ya kutufunza am alaam

  • @fatumatsopa5578
    @fatumatsopa5578 3 місяці тому

    Watu wa kutupa maneno ovyo ovy wengi ni majahil

  • @BLUBEENICE
    @BLUBEENICE 3 місяці тому +1

    Subhana Allah

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 3 місяці тому

    Ndivo walivyo waja pole sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @FatumaHassani-s1j
    @FatumaHassani-s1j 3 місяці тому +3

    Subhanallah mwenyezi mungu akufanyie wepes na akutangulie kwa kila hatua uipigayo Nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @HamisiIsmail-w1g
    @HamisiIsmail-w1g 3 місяці тому

    pole Sana sheikh wangu kipenzi cha mimi

  • @Fatuma-t9m
    @Fatuma-t9m 3 місяці тому

    Congratulations to Apologies to sheikh Osman

  • @RamadhanKhamis-e2o
    @RamadhanKhamis-e2o 3 місяці тому

    Mungu akujalie moyo wa subra inshaallah

  • @ShabanMasigo
    @ShabanMasigo 3 місяці тому

    pole sana my shekh nakukubalii sanaa❤❤❤❤

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 3 місяці тому +1

    Mungu. Akupe subira. Shekhe. Wetu. Changamoto. Hizi zipo nyingi. Allah atuongoze kwakweli

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 3 місяці тому

    الله يحفظكم يارب العالمين

  • @Rizikimeali
    @Rizikimeali 4 місяці тому +2

    Pole

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 3 місяці тому

    POLE SANA SHEIKH WETU KWA MITIHANI HIYO

  • @aminandurya
    @aminandurya 3 місяці тому

    Pole ustaadh Mungu akuzidishie subr InshaAllah

  • @SalimMohamed-o3j
    @SalimMohamed-o3j 2 місяці тому

    Allah akuhifa dhi shehe wetu

  • @AshuraHassan-hl4kq
    @AshuraHassan-hl4kq 3 місяці тому

    Allha akupe moyo wa subra ivoivo shee wetu

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha 3 місяці тому

    Subhanallah Allah akujaze Subra na ikhlaswi Shekh wetu

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 3 місяці тому

    Pole shekh mungu akuzidishie subra

  • @adamh1751
    @adamh1751 4 місяці тому +1

    Huyu sheikh wa wapi? Chali Chali tu!

    • @saudaumar3354
      @saudaumar3354 3 місяці тому

      heshimu tafadhali kuuliza siujinga

    • @AmAl-x9j
      @AmAl-x9j 3 місяці тому

      Hujitambui wewe,,
      Muache kiongozi wetu

    • @adamh1751
      @adamh1751 3 місяці тому

      @@AmAl-x9j kiongozi wa nn?

  • @athmansalim8388
    @athmansalim8388 3 місяці тому

    pole mwalimu wangu subra naiona kwako

  • @FatmaAlabri-lz2cw
    @FatmaAlabri-lz2cw 3 місяці тому

    Pole sana shekh wetu

  • @MudyFaudhia-Games24
    @MudyFaudhia-Games24 3 місяці тому

    Pole shekh wangu nakukubali sana

  • @AbdullahAlZaabi-on4tb
    @AbdullahAlZaabi-on4tb 2 місяці тому

    Pole.sana.shekhe.

  • @MuhajiSharafi
    @MuhajiSharafi 3 місяці тому

    Allah Akbar ❤❤❤

  • @ShabaniKibwana-z7d
    @ShabaniKibwana-z7d 2 місяці тому

    Mashallah

  • @AbrahmanRashid-ir3ov
    @AbrahmanRashid-ir3ov 3 місяці тому

    Pole sana ndo binaadam hao

  • @Saitvonlinetz
    @Saitvonlinetz 3 місяці тому

    Pole sana sheikh wetu ❤❤❤❤

  • @SammyMwanzia-vb8dj
    @SammyMwanzia-vb8dj 3 місяці тому

    Shekh wetu ❤️❤️❤️❤️

  • @IdrisaAly
    @IdrisaAly 3 місяці тому

    Pole sana

  • @HamzaMohdNassor
    @HamzaMohdNassor 3 місяці тому

    Ah!

  • @Saidy-eu1hc
    @Saidy-eu1hc 4 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤ KWA ajili ya Allah