Boaz Danken - Wanadamu wote wameshindwa (official video)
Вставка
- Опубліковано 24 сер 2024
- Karibu Sana Kumtukuza YESU pamoja nasi MUNGU Pamoja nasi
WANADAMU WOTE WAMESHINDWA WEWE YESU UNAWEZA means All Humankind has failed Only You JESUS Your Able
MUNGU awabaliki Sana Watu wote waliosimama kwa Sadaka zao kufanikisha Maandalizi ya Ibada Hii Kila sehemu Mungu akiwahudumia watu kupitia Wimbo Huu; Baraka nyingi ziwafikie wote waliomuandalia Bwana kwa Sadaka ya Muda, Fedha na Maombi.
Wanadamu wote wameshidwa Recorded at Rock City Mall parking Area, Mwanza, TANZANIA.
Music Arranged & Directed by Apostle Sephone Sospeter
Vocal Arranged by Sir Jimmy Kimutuo
First keys: Sephone Sospeter
Second keys: Samwel Sospeter
Third Keys: John Ntete
Fourth keys: Augustino Batista
Drums: Baraka Ngowi
Percussion: Pastor David Silwimba
Bass guitar: Aman Victor
Lead guitar 1: Haggai Makuzo
Lead guitar 2: Erick Chitungo
Saxophone: Dickson Maige
Back Vocals From BMCC PRAISE TEAM
Event Coordinated by Kelvin Mbeveta
Translated to English by Mr&Mrs Pst.James Kalekwa
*Audio Captured and Mastered by Chosen Records Int’l #SamMboya
*Video Captured and Mastered by Cyber Pic #Sylvester
*Sound By #SoundSolution Moses Edard
*Sound Engineer: Gad Mwanga
*LED screen: Elly Jo
*Lights By Nyakalo Stage and Lighting Com. #DavidSengati
Wewe ni Mungu wa wote wenye mwili🙌🙌🙌 umebarikiwa kaka yangu🙌🙌
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante Rehema
Ubalikiwe nawewe dada angu
👏👏👏mungu azid muongeza zaidi na zaidi
@@calvinmsemwa8961 ❤❤❤p
❤
Hakika YESU kristo 🙏🔥 anawatu anao watumia Sana kwenye kazi yake hongera Sana mtumishi balikiwa kwaujumbe mzuli Sana mm nimebalikiw ata mm niseme nn ww endelea kunyenyekea tu nakupenda Sana
Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel
Dunia yote imeshindwa yesu wee pekee unaeza niokoa n famiia angu
Hakika wewe ni Mungu wa wote wenye mwili.....Hallelujah..
Kaka Danken nakupendauna kazi njema mno mshikilie wingu hili lilikua South Afrika leo Duniani 🇹🇿 tanzania imeonekana kimsingi hali bado ni njema ila msikosee yafuatayo:-
1.kwenye mavazi na mitindo ya Dunia hii
2.Mziki wetu muupate kwenye maombi
3.msifanye kama kwa wadamu bali kama kwa Bwana
ubarkiwe sana mtumishi... kupitia wewe mataifa wanamjua MUNGU acha YESU ajitwalie utukufu kupitia wewe... GLORY ALL TO GOD
Unaweza Yesu hakuna ngumu kwako,ukiamini tu kwako yote yanawezekana
Wewe Yesu unaweza
Wewe ni Mungu unaweza hakuna jambo usililoliweza
Wewe ni Mungu wa wote wenye mwili hakuna jambo usiloliweza Mungu wa mbingun akuinue zaid
Kwa kweli, YESU Unaweza wewe ni MUNGU, ni BWANA na tena ni BABA yetu MKUU kupita yote!
Wewe ni mungu mwaka 2024
Wewe nimeona tu notification nikajua another boom 💥 imefika asante mtumishi wa Mungu Boaz unajua kutufurahisha na kutubariki mob love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙋♀️🙋♀️🙋♀️wakenya wezangu lets show love 💘...
Hongelasana mtumishi MUNGU akubaliki sana 😢
Its a Great Song,,We love you in Kenya,,,Then i request for a Chackacha song kindly and Please with the Same Drummer,I like him very much,Pleaasee Mr.Boaz Danken
Wewe ni Mungu wa wote wenye Mwili,,,,,,oooo haleluya Haleluya Nguvu za Mungu zinashuka zinatuhudumia
Mungu azidi kukubariki mpedwa katita christo.karama yako MUNGU ainuwe juuu zahidi
Yaani !!!👏👏, Mtumishi, MUNGU Peke yake azidi kukuinua na akutunze jamani, nikisikilizaga nyimbo zako nahisi Kama niko Paradiso!!!
Hakika Mungu ni mkuu anaweza kila kitu...Dah sijui niseme nini nielezee ukui wako Mungu ...
Nakupenda sana
Nguvu iliyopo ndani ya wimbo......🔥🔥🔥🔥🔥....it's not about the melody au vocals. The msg aiseeee.......🔥🔥🔥🔥. Boaz is the best in this generation for God's glory......🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hakika MUNGU ni mweza wa yote sifa Zina yeye daima ,MUNGU na akutunze uendele kutunyunyuzia mafuta kupitia wew boaz
Nilichopenda zaidi ni mavazi ya wadada wa pale nyuma yake BOAZ WEWE NI MTUMISH KABISA WA PEKEE!!♥️♥️♥️
Hakika huu wimbo nimeusikia Leo sokon hd nimeomba jina l wimbo hakika ubarikiwe mtumishi wa Mungu Boaz 🙏
Sure bro no one like mighty JESUS.wanadam wameshindwa
Mungu akupe miaka mingi
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya loves you and we thank God for you are a gift to this generation continue downloading melodies from realms of Zion, I really love the chorus of the song
Glory and Honor to Jesus Asante sana
Watching from 🇰🇪 Kenya
Barikiwa Boaz
Wewe yesu unawezaaa, wanadam wote wameshindwaa, wewe ni MUNGU wa wa wote
Aminaaa wewe Mungu wa wote wenye mwili hakuna jambo usiloliweza
Hakika Yeye ni MUNGU Kweli, anayaweza mambo yote hakuna limshindalo Kabisa.
Hivyo basi tuseme nini,ila kumshukuru mungu kwa kazi nzuri hii. ubarikiwe Boaz.🇰🇪🇰🇪. Ni Mungu wa wote wenye mwili.
Mungu akubarika kaka.. mimi na familia yangu tunakupenda ,Umekuwa ukitubali sana, haiwezi pita siku hatujasikiliza wimbo wako , Mungu akubarika sana
Wewe ni MUNGU wa WOTE wenye mwili..hakuna jambo usiloliweza💪💪💪💪💪💪
Tulio wategea wote wameshindwaaa🙌🙌nani kama wewe YESU
Hakika ni wimbo wa kinabii na Mungu azidi kukubariki Boaz(Imo Nguvu ya Mungu ndani yako) na team yako
Amen 🙏 🙏 🙏 wewe ni mungu, kwa wote wenye mwili hakuna jambo usiloliwezaaaaa
Hakuna kitu wanadamu wanaweza shinda lakini Mungu ashindwa 🇰🇪💃💃
Hongera sana kaka yangu Boazi..Hakika YEYE ni Mungu kwa wote wenye mwili na hakuna asiloliweza.
Wewe Nii Mungu wawote Wenye mwili wote wameshinda wewe unaweza barikiwa mtumishi
So blessing song😇😇mungu na akubariki mtumishi wa mungu🙌🙌
Uiiiii tushashika the melody and the message is above words.....NOTHING IS IMPOSSIBLE WITH GOD...ata wazazi wameshindwa But wakiomba🎊🎊🎊🎉🎊🎉🎊🎈🎊✨🎊✨🎊✨🎊✨ANAWEZA
Kweli kabisaaa 💯💯
Ameen ubarikiwe mwana wa MUNGU, kwa huduma njema.
Halleluya,, uyu jamaa anajua
Hakika HAKUNA JAMBO usiloliweza wewe NI MUNGU WA wote wenye mwili.😭🙌🙌🙌🙌 Stay blessed
Hallelujah!!!..wanadamu wote wameshindwa kuyafanya yale Mungu awezaye. Mungu wetu ni Mungu mkuu, zaidi ya yote..yeye ni Mungu.
Baraka tele Bro. Boaz
Uuuuuuwiiiiiiiih wafungii👏👏👏👏👏👏👏alaf sasa tukuje hapa,waganga wameshindwa,wazazi wameshindwa,marafiki wameshindwa,wote wameshindwa,wanapanga vikao,aiyaaaahiiiyaaaah,wewe mungu unaweza.the beats🔥🔥❤❤
Wewe ni Mungu..hakuna jambo usiloliweza
Amina
Hongera mtumishi Boaz. Mimi nimpenzi wa nyimbo zako na zinanibariki mno. Nimeusikiliza huu mziki na bado sichoki. Hakika unaunyanyua mziki wa Injili kwenye viwango vingine. Mungu akubariki.
Leo mtumishi umeamua seben barikiwa
Barikiwa kwa utunzi huu na utukufu kwa MUNGU KWA MAFUTA YA UIMBAJI ALIYOWEKA NDANI YAKO
dunia mzima imeshinwa wewe Yesu unaweza🙏🙏🙏
Jamani wapigaji wananibariki ukiongeza na wimbo ndio kabisaaa
Amina, Mungu akubariki mutumishi , kweli wanadamu wote wameshindwa,wewe Yesu unaweza, nilikuwa tasa, Bwana Yesu akanipa watoto, Yesu ni Mungu wa ajabu ! ♥️♥️♥️♥️♥️🎉🎊🎊🎼🎼🎼🎹🎹🎹🎻🎻🎻🎻🎻🎼🎼🎼😍😍😍😍😍🇩🇰🇩🇰🇩🇰
Mama ubarikiwe sana Kwa kuandika hivi tu ushuhuda huu nami nimepona
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana
@@zacharialeonard1094 , Amina, upokee uponyaji wako katika jina la Bwana Yesu !
@@boazdanken , Amen, Bwana Yesu asifiwe
@@boazdanken mtumishi wa mungu,MUNGU Awe naweeee katika kilaa jamboo
Amina kubwa sana,,, halleluhya,,,,,,Wewe ni Mungu,,,,kwa wote wenye mwili
Thank you man of GOD I RECEIVED breakthrough through the song I did my kcse exam 2022 the enemies were against my success .... Where will she get university fees here iam at UOE continuing well with my studies serving God at the union .kweli hakuna jambo asilo liweza ,,God bless you man of God boaz
Hakika wewe niMungu juuyamaisha yangu you so good our God
Utukufu kwa Mungu wimbo huu umefanyika baraka sana kwangu
Glory and Honor to Jesus Asante sana
Hakika hakuna usiloliweza Mungu wangu
ubarikiwe kk. watu wanajawa na roho kupitia ww. hakika mungu wa mbinguni anakutumia vema
Utukufu wote kwa Mungu,huku wimbo wanibariki kweli kweli
Hadi Raha jmn kwa Yesu inalipa
brother upo vizur salut
Wanadamu wameshindwa kabisaaaaaaa
Amen wimbo huu unanibariki sana nikiusikiliza boazi ubarikiwe sana kwa huu wimbo
Ukiwa na YESU raha sana mungu akubariku kwa huduma nzur 🥰💕💕💯
Kweli Mungu anaweza haleluya
Wa kwanza kubarikiwa na huu wimbo 🙏🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
wameshindwa
Nimeurudia huu wimbo zaidi ya mara ngapi sijui!!
Hakika Bwana Yesu anaweza,ubarikiwe mtumishi wa Bwana
Yesu unaweza yote... Amen
Wadamu wote wameshindwa wew YESU unaweza asante YESU
Wew ni mungu wa wote wenye mwili
Ghaiii 💃💃💃 MUNGU akubariki Mtumishi hunaga show mbovu 💃
Wanadamu wote wameshindwa wewe yusu unaweza
Undugu wako Boaz na Gwamaka was essence of worship wapendeza
Oooh haleluyaa..Wanadamu wote wameshindwa lakini wewe Yesu unaweza.
Sijachelewa nataka wimbo mtamu wa kwanza kubarikiwa
Kaka wew ni mtumishi wa madhabahun 👋👋👋👋
Asante sana wimbo umenibariki nimeanza siku yangu hivi
Hakika hakuna Jambo Mungu usiloliweza🙏
🥺🥺nahisi Kubarikiwa..nimeganda hapa nikireplay huu wimbo 🥺🥺oh my such annointing man of God 🙏🏻.. barikiwa na uzidishiwe kibali 🤗
Waganga wote wameshindwa...wewe ni mungu
Amen,hakuna jambo usiloliweza Yesu
Wooow Wewe Ni mungu ,hakuna Jambo husiloliweza👏👏👏
I love the anointing in your songs man of God barikiwa sana 🙏
More love from Kenya 🇰🇪
you are blessing to this generation, may God preserve you
Glory and Honor to Jesus Asante sana kwa Maombi Mtu wa MUNGU
James Mdoe,,,,,,,,nimebarikiwa Sana ndugu yangu naelewa Kazi yako
Kenya is home to Boaz,give it to the instrumentalist
Back here agai! Safi saaana
Ubarikiwe sana kaka danken nazidi kubarikiwa na huduma yako.....aise wakulete tena kwenye mkesha wa wanachuo kijitonyama
Can't get enough of it...uweponi mwa Bwana kuna raha ya kipekee
Wewe Yesuuuuu unawezaa.. wanadamu wote wameshindwa wewe Yesu unawezaa 🎶🎶🎶 Kwa Mungu yoote yanawezekana..
11:02 this song is on the dot wewe ni mungu wa wote wenye mwili. God of all flesh
Ameen,wewe ni Mungu hakuna usiloliweza🙏
Wanadamu wameshindwa kutibu korona wewe Yesu unaweza.
Amen wewe YESU unaweza hakika😭🙏🙏🙏
Shukuran shu shu shu shukurani eeeeeh, ubarikiwe sana mtumishi
kuna mwanaume juu ya wanaume thats deep