Uongezeke Yesu | Boaz Danken

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Yeye hana budi kuzidi, bali mimi kupungua.
    He must increase, but I must decrease.
    Yohana 3:30

КОМЕНТАРІ • 871

  • @alicejov7065
    @alicejov7065 Рік тому +554

    Wacha mungu uongezeka katika ndoa yangu kwa maisha ya mume wangu hata kwa wakati huu mgumu shetani anapojaribu kutawanyisha nyumba yetu mungu ongezeka sana mimi nipungue

  • @stellahmarriswambuwah9919
    @stellahmarriswambuwah9919 Місяць тому +4

    MIMI NIPUNGUE WEWE UINULIWE YESU HALLELUJAH 🌹 2024 AND FOREVER 🙏

  • @Christine-qg4op
    @Christine-qg4op 5 місяців тому +71

    Acha mwenyezi mungu uongezeke maishani mwangu pamoja na familia yetu tuondelee aibu ,kudharauliwa, umaskini na utubadilishie maisha yetu tuache kuchekwa mungu baba maana yote yawezekana katika jina kuu la bwana Yesu kristo 🙏🙏🙏

  • @JemimahMumbua
    @JemimahMumbua 3 місяці тому +22

    2024 has been one of my hardest years...loosing a family....losing a job.....
    Bt ma tongue is filled with much praises that UONGEZEKE YESU in every aspect of my life.
    Amen

  • @marymwikali632
    @marymwikali632 4 місяці тому +63

    Almost delivering with no hopes of money anywhere my husband is jobless milango yake ilifungwa,nimebeba twins sina pesa ya cs ama ya kununua ata nguo moja but I trust God😭😭😭

    • @williamkamadi4307
      @williamkamadi4307 4 місяці тому +3

      Jipe Imani mungu anaweza

    • @josephmwirisia4627
      @josephmwirisia4627 3 місяці тому +1

      The lord is faithful en he will never let you to be ashamed

    • @nana-qi9xx
      @nana-qi9xx 3 місяці тому

      God will provide

    • @mercykamau6434
      @mercykamau6434 3 місяці тому +2

      May the way maker make away for you Lord locate your son in need send help from your Holy mountain. Hope in the Lord help is on the way.....

    • @Irene-tu7ou
      @Irene-tu7ou 3 місяці тому

      Don't worry my sister there's a God in heaven already you you have adouble blessing all shall be well

  • @Jorskatediana-uf3gk
    @Jorskatediana-uf3gk 3 місяці тому +23

    Nipungue mmi Mungu ongezeka kwenye masomo yangu level yangu nimake it to C2 from B1 . 🙏🙏🙏🙏Pia mambo ya dunia abortion 😔 nipungue ongezeka kwenye roho yangu Mola 🙏🙏kila mtu ananiona kwa kosa moja .🙏🙏kwako naomba msamaha na baraka .Nimepungua 🙏🙏❣️❤️🙏🫂🫂🫂moyo wangu umevunjika .Am only 19yrs 🙏🙏🙏take over my life Christ 🎉🙏🙏🙏🙏🫂🫂🫂🫂🫂change me

    • @philipkamau6761
      @philipkamau6761 3 місяці тому +2

      Are you still in christ?ama yesu alipungua

    • @stellamwangi6883
      @stellamwangi6883 3 місяці тому

      There is no sin that God cannot forgive, if He forgave Saul who killed Christians ruthlessly converted him to Paul and made him one of the mightiest apostles, even that which you think He can't forgive He forgives, just go to Him with an honest, repentant heart and sin no more. He says, if my people who are called by my name shall humble themselves, pray and seek my face and turn from their wicked ways, then I will hear from heaven, forgive their sins and will heal their land (2 Chronicles 7:14), God is a rewarder of those who diligently seek Him (Hebrews 11:6) and He makes everything to work together for good for them that love Him and are called according to His purpose Romans 8:28, I know exactly how you feel❤, I've been there, done that but I went to Him with all my sin, pain and guilt and asked Him to forgive me, heal me, restore me and use me for His glory. He has made a beautiful story out of my brokenness; He has made everything to work together for good🥺. Don't loathe and isolate yourself in self-pity and guilt, go to Him, cry to Him, repent ask Him to make His strength perfect in your weakness, I pray that He may use you for His glory and you'll come back here to give your testimony🙏. God sees your heart, faith and courage, keep striving🫂

    • @vickielisa2618
      @vickielisa2618 2 місяці тому +2

      God loves you baby ❤❤may he show up in your life 😊keep trusting him.

  • @francklyneochieng5771
    @francklyneochieng5771 5 місяців тому +15

    Increase in my life,,,may l decrease 😭😭😭 that you may increase.....l desire Lord but sin always holds me back 😭,,,,,,may l not cross to the next of this year 2024 with all my addictions 🙌,,all wrong associations , Jesus am here waiting for you to increase in my life,l know it will be difficult,it may be costly and painful daddy , but am ready to pass through the fires 🔥 to be refined for you in total humulity

  • @dinahjereen4375
    @dinahjereen4375 3 місяці тому +13

    sina neno la kusema ila kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kua wewe ni Bwana😭🙌 ukaseme nasi Bwana katika mahitaji yetu katuguse mmoja mmoja ukaongezeke mioyoni mwetu🙏

  • @selinamideva459
    @selinamideva459 Місяць тому +2

    Mungu wangu mimi nipungue, wewe Uongezeke katia maisha ya ndugu yangu Rasto Alusa, Mungu ongezeka katoka afya ya Rasto Alusa. Uinuliwe katika afya ya Rasto Alusa 🙏🙏

  • @vallarykisia3440
    @vallarykisia3440 7 місяців тому +34

    Ongezeka maishani mwangu niondolee aibu ..bwana aibu ya kuchelewa kuoleka,aibu ya madeni ..aibu ya kukosa kipato cha maana baba nisaidie nipe ushuhuda moyo wangu umechoka wewe tu ndio tegemeo langu.Niondolee aibu baba

  • @emmyjerop-cf2pd
    @emmyjerop-cf2pd 5 місяців тому +13

    Ongezeka yesu maishani Mwangi Mimi nipungue, it's a tough year for me, but I trust in him.

  • @reginawairimu6376
    @reginawairimu6376 6 місяців тому +29

    Ndio baba ongezeka maishani mwangu yesu. Ondoa kiburi ndani yangu😢

  • @gracenjoki4645
    @gracenjoki4645 Місяць тому +2

    2024 has been 1 of the hardest year,I have debts,my relationship broke,I have lost everything but I faith I will come back with a testimony

  • @caxtonyshiro3222
    @caxtonyshiro3222 9 місяців тому +46

    In 2024 mungu uongezeke maisha mwangu mimi nipungue mungu wangu🙏🙏🙏👏👏

  • @LucyShirima-lv5zj
    @LucyShirima-lv5zj 5 місяців тому +11

    Eeeh Mungu naomba uongezeke katika maisha yangu na watoto wangu kila siku eeh Jehova

  • @elizabethshayo893
    @elizabethshayo893 2 місяці тому +1

    Thank you lord❤ mimi nipungue wewe uinuliwe AMEN

  • @EdinaShaban-gm6mp
    @EdinaShaban-gm6mp 6 місяців тому +8

    Uongezeke zaidi Yesu mimi nipungue kiburi kisitajwe kwangu wala kwenye maisha ya mtoto wangu

  • @beibyamore931
    @beibyamore931 Рік тому +12

    UONGEZEKA BABA KWA MAISHA YANGU NA WATOTO WANGU NA MAMANGU YESU😭😭😭❤️❤️🙏🙏🙏🙏

    • @paulojkivuyo8964
      @paulojkivuyo8964 Рік тому

      Mungu aongezeke kwenye maisha yangu na Kwa mke wangu na watoto wangu na Kwa mama yangu na kwa families yangu yote

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 6 місяців тому +2

    Uongezeke ktk huduma yangu ya uinjiristi Yesu😭😭😭😭😭👏👏👏 Amen❤❤

  • @verohwabai
    @verohwabai 3 місяці тому +5

    Hakika mungu uongezeke katika maisha yangu,familia yangu pamoja na jamii,kila changamoto ninazo pitia wasijua,wacha nipungue wewe uinuliwe

  • @rosekageha5156
    @rosekageha5156 4 місяці тому +6

    Mungu wangu uongezeke kwa kazi ya mikono yangu

  • @dotopilly
    @dotopilly 4 місяці тому +2

    eeeeh! mimi nipungue wewe yesu uongezeke katika imani yangu ya kukuabudu🙏🙏🙏

  • @MarryTarimo-j4c
    @MarryTarimo-j4c 6 місяців тому +3

    Me nipungue wew uongezeke katika kaz yang katika familia yang kwa mtoto wangu kwa mumewang kipenz uongezeke sana katika maisha yetu kwa ndugu zetu kwa wagonjwa kwa mayatima na wale wanao hitaji

  • @wiza2309
    @wiza2309 5 місяців тому +4

    Mimi nipungue Bwana, nipe neema hiyo ya kupungua kila siku na kila saa na kila mahali, katika familia yangu, ndoa yangu, watoto wangu, huduma yangu, kazi yangu. Mimi nipungue wewe uinuliwe Yesu

  • @scholasticajackson6760
    @scholasticajackson6760 Рік тому +18

    Mungu ongezeka katika maisha yangu, mahusiano, ajira ,watoto wangu na familia yangu, najitiisha bwana Mimi ni nani bwana juu Yako, Mimi si kitu udongo mkavu bwana, uongezeke saana Mimi nipungue🙏🙏🙏🙏 ooh Jesus😭😭😭

  • @pamelaonyango6550
    @pamelaonyango6550 3 місяці тому +3

    Hakika Mungu Uongezeke katika Maisha yangu ,Familia Yangu pamoja na jamii,kila changamoto unajuwa wacha mimi nipungue wewe uinuliwe

  • @maryndunge7702
    @maryndunge7702 9 місяців тому +8

    2024 it's my year to worship God with all that I have...... Mwaka huu baba wacha nipungue uongezeke kwa maisha yangu ,kwenye familia yangu na katika njia zangu zote baba maana bila wewe siwezi.

  • @JulietOwate
    @JulietOwate 5 місяців тому +3

    God decrease me as you increase in all aspects of my life God.. Fulfill all my heart desires in Jesus name

  • @awesomelyblessed6156
    @awesomelyblessed6156 11 місяців тому +9

    Mungu ongezeka katika Maisha ya wote walingilia ndoa yangu ...Wabariki Yesu wangu

  • @monicahmuhia2035
    @monicahmuhia2035 3 місяці тому +2

    Lord ongezeka maishani mwangu Yahweh..I need you Lord 😢

  • @glorysangei5387
    @glorysangei5387 Рік тому +9

    Nipe unyenyekevu zaidi Yesu ....kila nilichonacho ni Kwa neema Yako tu ....Mimi nipungue,wewe uongezeke.

  • @vivianmuthoni5409
    @vivianmuthoni5409 3 місяці тому +3

    Hakikamungu uongezeke katika maisha yangu,familia yangu na jamii,kila changamoto unajuwa wacha mimi nipungue wewe uinuliwe

  • @monicagicheru7812
    @monicagicheru7812 Рік тому +7

    Wewe yesu uongezeke kwa kila jambo uongezeke sanaa

  • @kaisha617
    @kaisha617 5 місяців тому +2

    My heart is heavy😭😭😭😭mungu mm nipungue maishani mwangu wewe uinuliwe

  • @victoriaremmy3772
    @victoriaremmy3772 Рік тому +13

    Amina , Yesu Kristo ww ni tumain langu naomba uongezeke ktk maisha yangu ya kiroho na kimwili, nisionekane mm bali ww YESU KRISTO 🙏

  • @ANNETMILIMU
    @ANNETMILIMU 7 місяців тому +10

    Hili ni ombi langu Yesu uongeze pande zote za maisha yangu,ili nikuhudumie milele daima.Barikiwe mtumishi wa Mungu kwa wimbo huu wa ufunuo mkuu.

  • @samidaud1799
    @samidaud1799 6 місяців тому +1

    Amina😊😊😊 nami Mungu uongezeke kwenye moyo wang na familia yang

  • @obirinaom9611
    @obirinaom9611 4 місяці тому +4

    Bwana ongezeka kwenye maisha yangu ya kila cku,mimi nipungue kabsaaa😢😢😢😢

  • @GoretyAuma-uq6rr
    @GoretyAuma-uq6rr 3 місяці тому +2

    Baba mungu wangu ongezeka Kwa maisha yngu Kwa ndoa yangu , Kwa pesa zangu Kwa maombi yangu. Kwa watoto wangozeka bwana walinde Kila mahali. Kwa familia yangu ukoo wangu ongezeka bwana sisi tupungue tuki kuabudu siku zote za maisha yetu.Amen

  • @msichana_fantastic
    @msichana_fantastic 2 місяці тому +1

    Baba mimi nipungue katika maisha yangu na wewe uongezeke katika maisha yangu na ya familia yangu yote Amen

  • @wenderoserie1538
    @wenderoserie1538 16 днів тому

    In The Mighty Name of Jesus Christ of Nazareth. Amen and Amen and Amen 🙏🏿

  • @MaureenWekesa-lc2lg
    @MaureenWekesa-lc2lg 10 місяців тому +6

    Mimi nipungue kwa maisha yangu, kwa ndoa yangu kwa mipango zangu, wewe uongezeke yesu

  • @cynthiamukholi7697
    @cynthiamukholi7697 2 місяці тому +1

    Eeeh Mungu wangu ongezeka katika kila eneo ya maisha yangu,nilipokosea bwana Niko chini ya miguu yako bwana nikitubu🙏nisamehe kila baya nililofanya,na niliyokiri🙏Ongezeka bwana katika ndoa yangu,maisha yangu.Natafuta kazi na Niko na Imani unaongezeka,niondolee kiburi ndani yangu🙏Nimepungua ooh yesu.Ongezeka,nakuinua sana baba🙌🙏

  • @anithakeneth2104
    @anithakeneth2104 Рік тому +9

    MUNGU MKUU atupe utulivu ndani ya mioyo yetu atupoze majivuno atupoze usisii tumuishi na turuhusu atawale ndani ya maisha yetu 🙏❤️ajae yeye alie MUNGU MKUU ndani ya maisha yetu

  • @Hawajumamasawe
    @Hawajumamasawe 8 місяців тому +9

    Ongezeka yesu kwa mume wangu tuweze kuvuka jaribu hili

  • @veronicamtungakoa593
    @veronicamtungakoa593 Рік тому +13

    Mungu wangu uongezeke sana kwenye maisha ya mwanangu, uongezeke katika elimu yake, afya yake , Mungu uongezeke katika imani yangu nami nipungue Yesu wangu hata milele na milele Yehova

  • @isaacmutamale9295
    @isaacmutamale9295 Рік тому +8

    Zidi kuongezeka katika maisha Adonai.Nakupenda Yesu Kristo.

  • @euphemiatracy5677
    @euphemiatracy5677 5 місяців тому +2

    God give me grace ooh my father nipungue na wewe uongezeke sana kwa maisha yangu Kila saa na Kila wakati

  • @LydiaKendi-lk5eb
    @LydiaKendi-lk5eb Місяць тому

    Washa mungu uongezeke katika Maisha yangu,kwa ndoa yangu kwa watoto wangu uongezeke Baba...ata kwa wakati huu mgumu ambao shetani anajalibu kunitoa nguo ninaomba ukasimame kwa kweli na haki dad...nipungue uongezeke siku zote mungu...aibu iondoke kwa Maisha yangu uongezeke baba

  • @bless1523
    @bless1523 Рік тому +14

    🙌🙌🙌Halleluya mimi nipungue uongezeke Yesu kila eneo la maisha yangu. Asante Yesu 🙏

  • @VivianMunene-jz8tf
    @VivianMunene-jz8tf 2 місяці тому +1

    Haya ndio maombi yangu siku zote, yesu aongezeke kuonekana kwa maisha yangu na mimi nipungue. Aniondolee kiburi, madharau, maringo na kila kitu kitakayo zuia yeye kuonekana kwa maisha yangu❤❤❤

  • @AzizaIren
    @AzizaIren 8 місяців тому +7

    Uingezeke YESU KRISTO katika Kila eneo la maisha yangu

  • @FaithMbeke
    @FaithMbeke 4 місяці тому +1

    Kweli Mimi nipungue mungu wangu uongezeke.Napenda huu wimbo

  • @sephynemwangi5315
    @sephynemwangi5315 6 місяців тому +4

    Ongezeka Yesu kwa Afya yangu na maisha yangu,Amen

  • @Alice-s5r
    @Alice-s5r 29 днів тому

    Mimi nipungue wewe uongezeke katika maisha yangu ewe Rabii,uinuliwe sana mm ni pungue katika Hali zangu zote ewe mwokozi.

  • @morogajapheth-dr9xc
    @morogajapheth-dr9xc 2 місяці тому +1

    nimekumbuka mbali saana kwa kusikiliza huu wimbo ongezeka maishani mwangu yesu kwa hali ni nayo najua utaongezeka yesu

  • @RuthMutheu-k8t
    @RuthMutheu-k8t 5 місяців тому +2

    Eeeeh yesu ogezeka ndani ya maisha yangu na family Yangu ata biasharani mwangu ogezeka eeh yesu wangu

  • @LucyChuwa-ug3du
    @LucyChuwa-ug3du 3 місяці тому +1

    Mungu mimi ni pungue weww uwongezek kwa famly yngu ,uwongezek kwa kijana wang yesu peke yang siwez kumlea,uwongezeke kila eneo la maisha yng,uwongezeke wewe mung wang kwang kwakuzid kkutambua wewe, mung wewe uwongezeke kwa watot wetu wot wasio na utambuzi wakujiongoz ukaongezeke kwako ,mung uwongezeke kote

  • @Latifa-ck9hi
    @Latifa-ck9hi 6 місяців тому +3

    Uongezeke yesu kila eneo la maisha yangu ahsante yesu siwezi bila wewe uongezeke nyumbani kwangu uongezeke kwenye kazi zangu uongezeke kwenye ndoa yangu uongezeke kwenye kizazi changu

  • @berittahmumbe6534
    @berittahmumbe6534 Рік тому +6

    Nashuka chini sana Mungu uongezeka katika ndoa yangu,kazi yangu,mtoto wangu ,mfanyikazi wetu na uimbaji wangu katika uinjilisti choir ziwani,Amina

  • @VIRGINIASAMUEL-fj6ku
    @VIRGINIASAMUEL-fj6ku 3 місяці тому +1

    Kila siku , kila saa , YESU uogezeke nami nipugue ili maandiko yako yatimie.

  • @stephenotuks2925
    @stephenotuks2925 4 місяці тому +4

    Mungu baba uongezeke kwa maisha yangu na familia yangu

  • @emmyemanueli
    @emmyemanueli 2 місяці тому

    ongezeka ktk maisha yangu yesu ongezeka kwa watt wangu na mume wangu mimi nipungue yesu ongezeka kwenye boashara yangu

  • @IvyShanyisa-bo7gc
    @IvyShanyisa-bo7gc 6 місяців тому +2

    Uongezeke yesu katika kila Kona ya maisha yangu wAcha ww uongezeke hoo my God

  • @sophiashonga896
    @sophiashonga896 14 днів тому

    Uongezeke Sana Yesu katika mapito yangu. Na ijulikane kama ni wewe Yesu umefanya maishani mwangu.

  • @priscillahkariuki7119
    @priscillahkariuki7119 8 місяців тому +8

    Singing this in a a deep dispair ,seeing all that i worked for is coming to an end,the marriage i prayed for most of the time is in its last page.

    • @Hildahlimoo
      @Hildahlimoo 8 місяців тому +1

      Keep praying,,God will fight for you and all will be ok

    • @annemugweru6996
      @annemugweru6996 7 місяців тому

      may God intervene

    • @judimanga6753
      @judimanga6753 6 місяців тому

      May the Lord keep you and may He destroy all the activities of Satan in your life and family.

  • @alicemaina3139
    @alicemaina3139 6 місяців тому

    Amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen

  • @veronicamtungakoa593
    @veronicamtungakoa593 Рік тому +6

    Uongezeke sana Yesu wangu katika maisha yangu yote , hakuna wa kuabudiwa ila ni wewe tu

  • @JamesChengwali
    @JamesChengwali 9 місяців тому +3

    Heavenly master may I decrease as u increase in each situation down the son I came across it ,may u increase as I decrease I glorify ur name amen

  • @alicemjomba2644
    @alicemjomba2644 Рік тому +5

    Nipitapo kwenye majaribu Makali wacha nipungue uongezeke Mungu Wangu maishani mwangu, Hallelujah 🙌🙌🙌🙏

  • @JohnMwangi-hu9zx
    @JohnMwangi-hu9zx 9 місяців тому +3

    Uongezeke Yesu nami nipungue ...Uinuliwe sana Bwana ..Kwa ajili ya familia yangu .uambundiwe sana

  • @brendaviviananyango5564
    @brendaviviananyango5564 Місяць тому

    Mungu ongezeka kwa maisha yangu mimi nipungue ongezeka katika tumbo langu la uzazi ongezeka kwa watoto wangu ongezeka kwa ndoa yangu ongezeka kwa kazi yangu ongezeka kwa familia yangu ongezeka kwa kila jambo ambalo linanihusu 🙏

  • @johnraylan
    @johnraylan Рік тому +22

    I have seen your mercies in my life and family in a time that I thought I lost it all after being conned 5million kshs, but God you stood with me and my family when I was down, this has been my rhema song.

  • @ElizabethmsakiMsaki
    @ElizabethmsakiMsaki Місяць тому

    Mungu uongezeke kwenye maisha watoto wangu mume wangu aweze kuacha pombe inayomtesa mm nipunfue wewe uabudiwe johova

  • @veronicakipande4026
    @veronicakipande4026 Рік тому +4

    Mungu mm nipungue ww uongezeke kwenye maisha ya wanangu na WA wazazi wangu . Mungu ongezeka juu ya maisha ya Mume wangu Kila atokapo na aingiapo🙏🙏

  • @officialMissme
    @officialMissme 4 місяці тому +1

    Lord may you increase as i decrease....lord i need your intervention in my life,my family...lord I'm tired of being employed,,Lord i need a business i can call mine🙏.. please God hear my cry .. increase in my family, may you increase in my business...God of jacob hear out my cry🙏🙏

  • @enaelcassim8062
    @enaelcassim8062 2 місяці тому

    Ee Mungu wangu uongezeke sanaaaa kwenye mawazo na fikra zangu ongezeka sasa Mungu wangu ongezeka sanaaaa🙏

  • @johnkibera6147
    @johnkibera6147 6 місяців тому +2

    Amen wewe uongezeke YESU mimi nipungue

  • @LizzVicky-hw9up
    @LizzVicky-hw9up 9 місяців тому +12

    God may you increase as I decrease in everything I do. In my house Lord you are above everything 🙏🙏

  • @agnesmwende9170
    @agnesmwende9170 5 місяців тому

    And in everything and for everything I thank you God

  • @janiffernduku2183
    @janiffernduku2183 4 місяці тому

    YESU ONGEZEKA MAISHANI MWANGU NA MAISHA YA WATOTO WANGU 🙏🏼🙏🏼🙌🏾👏🏿✨️

  • @syliviakalenzi844
    @syliviakalenzi844 6 місяців тому

    Uongezeke sanaaaa Mimi nipungue wewe uongezeke😢😢😢❤❤❤

  • @lucythoya8626
    @lucythoya8626 2 місяці тому

    LET THE LIVING GOD INCREASSE IN MY LIFE IN JESUS NAME.

  • @EmmaEmma-n7y
    @EmmaEmma-n7y 2 місяці тому

    Uongezeke kwa biashara yangu na familia yangu mungu🙏🙏

  • @brendanekesa9537
    @brendanekesa9537 3 місяці тому +1

    Ewe Mungu ninaamini kuwa umeongezeka katika maisha yangu na familia yangu haswa wakati huu mgumu naomba unifungulie milango ya baraka katika maisha yetu,Amen.

  • @LightnesJamess
    @LightnesJamess 8 місяців тому +1

    Uongezeke Yesu, uongezeke sana

  • @rithersteven485
    @rithersteven485 Рік тому +4

    Bwana yesu ongezeka kwy maisha yangu na familia yangu ongezeka kwy uchumi ongezeka kwa kizazi changu amina

  • @Lizzymwambene-eq9mu
    @Lizzymwambene-eq9mu 4 місяці тому +2

    Uongeze sana MUNGU wangu katika maisha ya ndoa yangu,mume wangu,watoto wangu ndugu zangu nipe kunyenyekea chini ya mkono wako nipe hekima na maarifa jinsi ya kuishi na wanadamu

  • @kenyasiyenu004
    @kenyasiyenu004 Місяць тому

    Uongezeke yesu kila saa waaibike in all angles uuuuuh Amen!

  • @nurumakweta1770
    @nurumakweta1770 8 місяців тому +2

    Uongeze kwenye afya yangu Mungu wangu akutegemea wewe tu mimi nipungue wewe uongezeke

  • @SarahNgasi
    @SarahNgasi Місяць тому

    Mimi nipungue wewe uongezeke 😭😭😭im just crying God heal me please

  • @VennessaOmangi
    @VennessaOmangi 3 місяці тому

    Uongezeke mungu wakati huu wa shida mungu nisaidie mm ni pungue wewe uongezeke sanaaaaa

  • @jackieKim-f1b
    @jackieKim-f1b 5 місяців тому +1

    Mimi nipungue baba uongezeke kwa maisha yangu yesu

  • @IsaacKagiri-cn7lg
    @IsaacKagiri-cn7lg 4 місяці тому +1

    Mm nipungue ww uinuliwe maishani mwangu baba

  • @carolinemakaya4120
    @carolinemakaya4120 Рік тому +12

    Leo tarehe 29/11/22
    Mungu mimi nipungue,wewe uongezeke katika maisha yangu,katika matumaini yangu,unaniinua vyema yesu, Give me strength Lord, Give me the right Man for Me.
    Hallelujah!

  • @margaretwanjiru3146
    @margaretwanjiru3146 5 місяців тому

    Uongezeka zaidi Yesu mimi nipungue...🙏🙏🙏

  • @barbraadhiambo2008
    @barbraadhiambo2008 3 місяці тому

    Uuongezeke katika maisha na yote ninayoyapanga nayakabidhi katika mikononi mwako na jua utatenda🙏🙏

  • @emilianakabunda7881
    @emilianakabunda7881 3 місяці тому

    Mimi nipungue Jehova,,,ninamchungu mengi katika moyoo wangu,,dhambi ni nyingi baba yangu naomba uongezeke katika moyo na nafsi yangu ww ni Kila kitu kwangu na familia yangu,,,
    MWENYEZ UKAPATE KUONGEZEKA KATIKA MWAKA WANGU WA MASOMO 2023/2024 NA 2024/2025 FROM B to B+ and A ukaongezeke mwenyez mungu nakuhitaji sana mwenyew siwezii🙏

  • @FedaSema
    @FedaSema 5 місяців тому +1

    Mungu uongezeke kwa watoto wangu maisha mwao mungu

  • @charlesotieno9608
    @charlesotieno9608 Рік тому +13

    He must increase but I must decrease. Lord help us trust and have faith in you because in your presence we're safe. May the blood of our Lord Jesus Christ be upon your people