JAPHETI AMWAGA MACHOZI, ATAJA MAAGIZO ALIYO ACHIWA NA MARCO WA ZABRON SINGERS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 887

  • @ESSY795
    @ESSY795 4 місяці тому +26

    Poleni Sana kwa msiba..Mungu ailaze roho ya MARCO mahali pema peponi.

  • @ItangishakaSamuel-s8d
    @ItangishakaSamuel-s8d 3 місяці тому +1

    From Rwanda we love you so much zabron singers,poleni kwa ndugu wetu Joseph. Poleee sana Japhet, so turabakunda cyane!

  • @jojohk.3993
    @jojohk.3993 4 місяці тому +145

    Poleni sana kwa msiba,Mungu awape nguvu. Any Kenyans pita na like

    • @CollyKamili
      @CollyKamili 4 місяці тому

      @@jojohk.3993 Like iyo basi, nami pia mnicheck out mnisupport, ama vipi? Na Mungu awabless. 🇰🇪🇬🇧

    • @simateitim4700
      @simateitim4700 4 місяці тому +2

      Hata kwa msiba mnaomba likes jameni? Hizi likes mnazikula?

    • @magrethevarist4378
      @magrethevarist4378 4 місяці тому +2

      Poleni sana familia ya zablon singers

    • @SandraZawadi-m4u
      @SandraZawadi-m4u 4 місяці тому

      Yani watu wanalipa.wewe uko hapo unaomba likes,Huna hata aibu wewe.uwezi kuwa na utu unataka likes zikusaidie na nn sasa.bahati mbaya mkono wangu wangu umeshika hiyo like kibahati mbaya.najutia sanaa

    • @gideonjohan-q9p
      @gideonjohan-q9p 4 місяці тому

      sasa wewe unazingatia kasoro ama unatoa pole yako

  • @MargarethKapinga
    @MargarethKapinga 4 місяці тому +3

    Pole sana sana mke wa Marco, Mungu Baba akuangalie na akutunze pamoja na familia yako, ni Mungu tu atakayewafariji binadamu hatuwezi.

  • @camelitelevin1294
    @camelitelevin1294 4 місяці тому +6

    Poleni sana familia, Zabron singers, marafiki na Watanzania wote. Japheth Mungu awatie nguvu.

  • @joycembuvik9690
    @joycembuvik9690 4 місяці тому +18

    Im really sorry I feel your pain
    Poleni sana from 254

  • @euniceeveria2621
    @euniceeveria2621 4 місяці тому +4

    Pole sana kwa family mungu awatie nguvu family na friend wote marko mungu ailaze roho yako mahali pema pa Amani pole zangu kutoka Kenya

  • @jemimahsimiyu8313
    @jemimahsimiyu8313 4 місяці тому +5

    condolences from Kenya..May the Lord comfort you Zabron singers.

  • @NeemaMbagale
    @NeemaMbagale 3 місяці тому +2

    Poleni sana ndugu zetu mungu awaited nguvu

  • @RoseShakanya-x8s
    @RoseShakanya-x8s 4 місяці тому +17

    Safi sana!!!madakitari wamefanya NAFASI yao.umejibu vizuri.tumshukuru mungu Kwa Kila jambo

  • @EstherOloo-no3bz
    @EstherOloo-no3bz 4 місяці тому +3

    I don't know why my tears are rolling endlessly 😭😭😭😭😭Poleni sana Brother Japheth...Mungu akutie nguvu kaka.

  • @Dorka12-n7b
    @Dorka12-n7b 4 місяці тому +15

    Brother Japheth take heart even if it's painful God knows why he took Marco

  • @gladysluka5945
    @gladysluka5945 4 місяці тому +1

    Poleni sana kwa kumpoteza Marco,naomba mungu awafariji nyinyi nyote na familia kwa juma.pokeeni amani ya mungu

  • @DieumerciMufariji
    @DieumerciMufariji 3 місяці тому +1

    Poleni sana ndugu zetu Mungu awa tiye nguvu sana na awa inuwe zaidi ya pale

  • @CarineSindihebura
    @CarineSindihebura 4 місяці тому +10

    Na warundi huku Burundi tunawapenda sana!
    Hapa roho inauma kuusu kifo cha mpendwa wetu Marco Joseph Bukuru 💔 Mungu Amlaze mahali pema peponi!Apumzike kwa amani🕯️

  • @MwajumaLaurent
    @MwajumaLaurent 4 місяці тому +4

    Poleni Sana wapendwa wanafamilia wa zabron singers, mungu awape faraja na ujasiri katika Hilo, mungu Yuko pamoja nanyi.

  • @AndersonNgolo
    @AndersonNgolo 4 місяці тому +3

    Poleni watanzania Kwa kumpoteza muimbaji wa injili mungu wa faraja amufariji

  • @QweenNickson
    @QweenNickson 4 місяці тому +70

    Ila wanahabari mnahoji sanaa angalieni na situation waliyonayo wanazabron siyo kuhoji hoji tuu Kila mara.

    • @fedmiradaf3141
      @fedmiradaf3141 4 місяці тому +2

      Wajinga sna hawa

    • @GastoJohn-s1p
      @GastoJohn-s1p 4 місяці тому +3

      Sure you're right sio saw kuhoji bila kuangalia watu wapo katika hali gan noo!😢😢

    • @HappyGershon
      @HappyGershon 4 місяці тому +3

      Kabisa Jaman sisi Wambali tunalia Sasa Wenyewe jamn Duuuh

    • @hedayakagoma9133
      @hedayakagoma9133 4 місяці тому

      Mbaya sana hii wangewaacha kwanza jmn

    • @joycembugua9848
      @joycembugua9848 4 місяці тому +2

      Ukweli wawapatie muda kifo chaumiza sana

  • @JESUS354
    @JESUS354 4 місяці тому

    Poleni sana Japhet; Mungu roho Mtakatifu akawe faraja yenu.
    It's so painful....but it's our way back to our Almighty God.

  • @catengina3922
    @catengina3922 4 місяці тому +1

    Poleni poleni sana zablon singers, familia na watanzania kwa hii pigo kubwa, Mwenyezi Mungu awatie nguvu.

  • @rosenight272
    @rosenight272 4 місяці тому +53

    Pole sana Japhet Zabron na familia nzima, jamani ni pigo kubwa sana.
    Hapa Kenya tunawaombea BWANA YESU awatie nguvu na kuwafunga mshipi wa nguvu psalms 18:32

    • @michelraphael9871
      @michelraphael9871 4 місяці тому +1

      It's sad for me sée your tears,let's thé Lord give you consolation.From Martinique in Caribbean.Michel.

  • @ZapifaniaMagebu
    @ZapifaniaMagebu 4 місяці тому +3

    Poleni sana familia, Mungu awatie nguvu na awe mfaraji kwenu kipindi hiki cha majonzi

  • @madlinemkawajomba4472
    @madlinemkawajomba4472 4 місяці тому +2

    😭😭😭😭😭😭yani inauma sana poleni Sana kaka zetu watanzania.
    Rip Marco Mungu aiweke roho yako pema palipo na wema

  • @CarolynnBeth
    @CarolynnBeth 4 місяці тому +5

    So sad to lose such a young soul. It sucks😭😭. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi....

  • @benjaminwahome7299
    @benjaminwahome7299 2 місяці тому +1

    Poleni Sana kwa familia na zabron singers

  • @JoselinaSaimoniDaudi
    @JoselinaSaimoniDaudi Місяць тому

    Poleni sana Wana zabron singers, Mungu awatie nguvu mwendelee kufanya kazi ya Mungu.

  • @IsaacWamalwa-h9b
    @IsaacWamalwa-h9b 3 місяці тому

    Poleni sana kwa zabron singers kwa msiba mlio upata,mungu awatie nguvu....rip brother Marco 😢😢😢

  • @BeatriceAsiyo
    @BeatriceAsiyo 3 місяці тому

    my dear brother mungu akutie nguvu 😢pole sana

  • @beatricekilonzo1607
    @beatricekilonzo1607 4 місяці тому +2

    Poleni Sana Wana familia tuombee mke wa mwenda zake mungu ampe nguvu za kulea watoto

  • @LoyceDaud
    @LoyceDaud 3 місяці тому +1

    Poleni sana wapendwa wetu wa Zabron Mungu awatie nguvu nyote na familia yake

  • @AiméeKwachibe
    @AiméeKwachibe 3 місяці тому

    Pole sana ndugu yangu,mungu amulaze mahali peponi

  • @NyahumureSoleil
    @NyahumureSoleil Місяць тому

    Polesana jamani Mungu Aendeleye kuwafariji❤

  • @luciagurti1829
    @luciagurti1829 4 місяці тому

    Poleni sana, Ndg,Mke , Familia nzima ,Marafiki na Waimbaji wote. AMEMFAA MUNGU.
    Amepumzika ktkt Bwana.
    Poleni mno, tumeumia wote.

  • @Roseline-ld8ed
    @Roseline-ld8ed 3 місяці тому +1

    Poleni sana Mungu awatie nguvu 😭😭😭 ila Marco naye itatuchukua muda kumsahau😭😭😭😭

  • @ClaraMteteleka
    @ClaraMteteleka Місяць тому

    Polen sana jamn mungu ablaze roho ya marehem mahali pema pepone amina nawapenda san

  • @bettyisaack209
    @bettyisaack209 4 місяці тому +4

    Poleni sana wapendwa kwa msiba huu. Faraja ya Mungu iwatosheleze katika kila jambo!

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 4 місяці тому +16

    Mi nilijua ni wakenya kumbe from Kahama😭😭😭😭😭poleni sana. Tunapenda sana nyimbo zenu

    • @jeniphermyingajeniphermyin8029
      @jeniphermyingajeniphermyin8029 4 місяці тому

      Watanzania wezetu Hawa,ndiyo waloimba hata wimbo wa Tumeuona mkono wako Bwana.

    • @MarcyJozayacostantne-wp5ku
      @MarcyJozayacostantne-wp5ku 3 місяці тому

      Hata Mimi nimeguswa na msiba huu jamani

    • @Teaching356
      @Teaching356 2 місяці тому

      Mtz huyo.

    • @Teaching356
      @Teaching356 2 місяці тому

      ​@jeniphermyingajeniphermyin8029 yes marehemu aliimba ka kipengele "watu wako umewapa mamlaka" kwa jina lako yesu😢

  • @rodahkingori8532
    @rodahkingori8532 3 місяці тому +1

    Poleni Sana zabron singers Marco RIP😢😢😢

  • @Anyanga-u3x
    @Anyanga-u3x 3 місяці тому

    Inauma 😢😢sana poleni sana bwana japheth na wana zabron singers in large; patrick from kisii kenya

  • @lucycharles1949
    @lucycharles1949 4 місяці тому +1

    Poleni wapendwa,mungu awatie nguvu,alale pema na mwanga wa milele umuangazie🙏

  • @Loyce-v5h
    @Loyce-v5h 3 місяці тому

    Poleni Sanaa zabron Sungard,mungu awatie nguvuu bwana ametoaa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe😢😢😢

  • @hellenobwogi472
    @hellenobwogi472 4 місяці тому +2

    It's so painful Japheth take heart,Marco has finished the race 😭😭😭God knows better than us

  • @RehemaKarimi
    @RehemaKarimi 3 місяці тому

    Mungu awatuloze. Mioyo yenu❤tuko sote kwa Hali hii

  • @BeathaMassawe-y6x
    @BeathaMassawe-y6x 3 місяці тому

    Poleni Sana familia kwa ujumla mungu yupo pamoja nanyi.

  • @poulineijusa376
    @poulineijusa376 4 місяці тому +1

    Pole kwa jamii ya uimbaji ya zabron na mkewe mwenda zake na watoto aliowaacha. Mungu ni mfariji. Ni mume wa wajane. Ni baba wa yatima. Atawaongoza na kuwatia nguvu

  • @KwizeraAssumpta
    @KwizeraAssumpta 4 місяці тому +16

    Marco muvandimwe uruhukire mu mahoro twagukundaga cyane ariko Imana yo yagukunze kuturusha.aheza ni mu ijuru .RIP Marco

  • @kenyaglobalnewsnetwork35
    @kenyaglobalnewsnetwork35 4 місяці тому

    Pole sana. Marco was my favourite singer especially kwa nawapenda, nko single.

  • @NteguzaFanny-zf7qm
    @NteguzaFanny-zf7qm 4 місяці тому +1

    Poleni sana zabron family tunawapenda

  • @FloresBly
    @FloresBly 4 місяці тому +1

    Poleni sanaa tunampenda nae mungu alimpenda zaidi hapa mm n mkenya bt nime feel uchungu lala salama bro ❤😢

  • @MarryMathias-p2t
    @MarryMathias-p2t 3 місяці тому

    Pole wanafamilia ya mungu, mungu Bado yupo nanyi,jioen moyo mtashinda, mungu awape wepes Kwa kipindi kigumu hiki, mungu yupo pamoja nanyi

  • @abigaelratemo3372
    @abigaelratemo3372 4 місяці тому

    Poleni Sana Japhet, God was there when Kaka yako akiondoka humu duniani. Take heart.

  • @isabellanyumayinzu6723
    @isabellanyumayinzu6723 4 місяці тому

    Poleni sana kwa msiba huo. Mungu awape wepesi katika kipindi hiki kigumu. Apumzike kwa Amani, Amina.

  • @KisakaMariam
    @KisakaMariam 4 місяці тому

    Poleni sana huu ni msiba wawengi tutakukumbuka sana mungu akupumzishe mahala pema Amina

  • @pili4758
    @pili4758 4 місяці тому

    Pole sana Japhet mungu akutie nguvu kakangu

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 4 місяці тому +1

    pole sana kaka usilie sana mshukuru Mungu.

  • @angelamassawe-y8p
    @angelamassawe-y8p 4 місяці тому

    Jaman polen saana mungu awatie nguvu zabron singers

  • @KosilyjoyCheps
    @KosilyjoyCheps 3 місяці тому

    Polenta sana wana zabron mungu awafariji zaidi woi Pole sana

  • @MorisSinyinza-ee1ux
    @MorisSinyinza-ee1ux 4 місяці тому

    Polen sana ndugu zetu mungu awatie nguvu kazi ya mungu haina makosa me naamin mungu atawavusha hayo matatizo na mutakuwa sawa pia tunawaombea mungu awalinde na awatie moyo wa ujasili ktk hilo❤

  • @marykaranja7062
    @marykaranja7062 4 місяці тому +6

    Poleni sana. Nauelewa uchungu wa kupoteza ndugu.

  • @goodnesstito5683
    @goodnesstito5683 3 місяці тому

    Pole sana japhet mungu akutie nguvu

  • @rehemamasanja8875
    @rehemamasanja8875 4 місяці тому

    Poleni sana sana watumishi Mungu awape faraja kuu katika kipindi hiki kigumu

  • @YonahMwamanenge-hy7fe
    @YonahMwamanenge-hy7fe 4 місяці тому

    Poleni sana watumishi waimbaji wa nyimbo za injili w kwaya ya Zabron Singers Kwa kuondokewa na ndugu Marco, Mungu awatis nguvu katika kipindi hiki kigumu,

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 4 місяці тому +1

    Asante bengo kwakuuliza ahadi yamtoto kwamba atamuendeleza kumsaidia kumufundisha nyimbo kwasababu baba akifaliki mengi yanatokea😢😢😢😢😢😢😢

  • @elizabethmabula9495
    @elizabethmabula9495 4 місяці тому

    Pole sana japhet mungu akutie nguvu😭😭😭😭😭😭🙆🏽‍♀️

  • @OnesmoDominick-l7r
    @OnesmoDominick-l7r 3 місяці тому

    Poleni sana wapendwa maama Dunia hii tuna pita said tumuombe mungu atusaidie kwakindi hiki kigumu

  • @RamadhanmasolwaNkwabi
    @RamadhanmasolwaNkwabi Місяць тому

    Duuuh! Pole Japhet na Mungu atusaidie katika hilo

  • @EstherIlakadi
    @EstherIlakadi 4 місяці тому

    Poleni sana kwa Wana Zabron singers,Mungu awafariji😭😭😭😭,Makiwa

  • @jacklinetanui315
    @jacklinetanui315 4 місяці тому +1

    Poleni sana wapendwa,,MUNGU awafariji na kuwatia nguvu wakati huu wa maombolezi.

  • @MonicaMonica-k7x
    @MonicaMonica-k7x 4 місяці тому

    Pole sana Jafeth. na Mungu awape uvumilivu. Pole kaka.

  • @BeathaMassawe-y6x
    @BeathaMassawe-y6x 3 місяці тому

    Mungu awape uvumilivu sana. Wpaeñndwa.

  • @RehemaLadislaus-qn5up
    @RehemaLadislaus-qn5up 4 місяці тому

    poleni sana watumishi wa Bwana Mungu wa mbinguni awatie nguvu

  • @samuelmuthama4844
    @samuelmuthama4844 4 місяці тому

    Poleni Japheth....😢😢....Mungu awapee nguvu...🙏🙏

  • @RoseNaiman-ih1uf
    @RoseNaiman-ih1uf 4 місяці тому

    Poleni sana zablon , kwa kuondokewe na muimbaji mwenzenu

  • @purrityykambua5982
    @purrityykambua5982 4 місяці тому

    Poleni sana kwa huu msiba umeshtua wengi mungu awape nguvu,mungu alitoa na mungu ametwaa

  • @barnabaferuzi-z5e
    @barnabaferuzi-z5e 4 місяці тому

    Mungu awatie nguvu,faraja ya Roho mtakatifu iwe juu yenu kwa jina la Yesu

  • @MagrethKagere-uw5xn
    @MagrethKagere-uw5xn 4 місяці тому +1

    Polen sana MWENYEZI MUNGU awatie faraja,upendo na amani

  • @FurahaPascaline-xy1eb
    @FurahaPascaline-xy1eb 4 місяці тому

    Pole sana ndunguzetu mungu a mlaze kaka yetu mahali pemapeponi

  • @EmmyZain-ov9uz
    @EmmyZain-ov9uz 4 місяці тому

    Poleni jamii pamoja marafiki. Farijika ndani ya yesu Mungu yupo .

  • @ElizabethAmbangile
    @ElizabethAmbangile 3 місяці тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭 polen san wapendwa nyimb zen tunazipenda sana

  • @JoyceNgechu-t4h
    @JoyceNgechu-t4h 4 місяці тому +1

    Poleni sana its a big loss but God will give you strength to overcome the loss.condolescences from Kenyans

  • @FatumaJuma-o6l
    @FatumaJuma-o6l 4 місяці тому

    Pole I sana sana pole kubwa kutoka Kenya nawapenda Sana huwa nawafuatilia nyimbo zenu r.i.p.marco 😭

  • @SophiaSaidi-n8z
    @SophiaSaidi-n8z 3 місяці тому

    Pole sana Japheth

  • @MargarethKapinga
    @MargarethKapinga 4 місяці тому

    Poleni sana Mama Mzazi na familia nzima na Zablon Singer's

  • @eliudsinkala419
    @eliudsinkala419 4 місяці тому

    Poleni sanaZabloni Singers,MUNGU awatie nguvu wakati huu mgumu.Pia mjane na watoto

  • @DaimeryMahenge
    @DaimeryMahenge 4 місяці тому +108

    Poleni sana Wana familia toeni namba zitakazo pokea michango wapendwa daaaah pole Dada angu mungu akutie nguvu mshiriki mwenzang 😭😭😭😭😭

    • @Roxana-q5j
      @Roxana-q5j 4 місяці тому +11

      Nimeona mahali kesho ndio watakutana mara ya kwanza juu ya mipango labda watapeana namba za michango,but ni uchungu sana ameacha familia changa bado woiye

    • @mndemedeborah6850
      @mndemedeborah6850 4 місяці тому +2

      Namba ya Japhet inapokea michango na pole

    • @DaimeryMahenge
      @DaimeryMahenge 4 місяці тому

      @@mndemedeborah6850 ipi iyo

    • @gracewilson1024
      @gracewilson1024 4 місяці тому +4

      Kwa kweli hasa maharusi jamani nyimbo zake zimepigwa sana haswa uko single na mkono wa Bwana

    • @alphadreammedia
      @alphadreammedia 4 місяці тому +1

      Namba ipo kwenye page ya Japheth Zabron ametoa namba za kupokea pole ya rambi rambi

  • @kolethafabian2618
    @kolethafabian2618 3 місяці тому

    Mungu hawatie nguvu....poleni sana

  • @EsperanceNamagajo
    @EsperanceNamagajo 4 місяці тому +1

    Poleni sana wana familia mungu azidi kuwapa nguvu kweli 😭😭😭😭😭😭🙏🙏

  • @barakaabel482
    @barakaabel482 4 місяці тому

    Poleni sana!! Mwenyezi Mungu awe Mfariji wenu....inauma sana kumpoteza rafiki, ndungu na mtu wa karibu!!!!! Tunaiombea roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu Apumzike kwa Amani.

  • @NyamateWeja
    @NyamateWeja 4 місяці тому

    Poleni sana wana zabron singers kwa pigo hili kubwa..mungu awe faraja yenu kuu

  • @TullyMwakibete-xt5xm
    @TullyMwakibete-xt5xm 4 місяці тому +1

    Poleni sana Zabron singers kwa msiba huu mkubwa

  • @fridahnyakogera6870
    @fridahnyakogera6870 3 місяці тому

    Am literally crying 😭😭,,may his soul rest in peace. My sincere condolences to the entire family. From Kenya

  • @MatanoNzioki
    @MatanoNzioki 3 місяці тому

    Poleni sana mungu awatie nguvu😂😂

  • @AliceJoshua-p1l
    @AliceJoshua-p1l 4 місяці тому +2

    Poleni sana familia ya Zabron singers, ila msiwe na hofu siku moja tutaonana tena katika raha ya milele mbinguni kwa baba

  • @selinashija977
    @selinashija977 3 місяці тому

    Poleni sana watu wa Mungu.Na Mungu aendelee kuwafariji

  • @AlfredMesesi
    @AlfredMesesi 3 місяці тому

    Poleni sana mungu awe nanyi

  • @saraumugwaneza2030
    @saraumugwaneza2030 4 місяці тому +1

    Pole Sana Kwa Msiba.Mungu wetu Wa Mbinguni awatie Nguvu.

  • @brianrobert5763
    @brianrobert5763 3 місяці тому

    poleni sana nawapenda sana wacha bro apumzike

  • @CheryAmpetsa
    @CheryAmpetsa 3 місяці тому

    Poleni sana familiar ya marco,,,hata sisi.wakenya tunaomboleza kwa huchungu,,😭😭😭

  • @kayumbasosthenes3596
    @kayumbasosthenes3596 3 місяці тому

    Zabron sisters and brothers msimuache Mungu adui hana mlango,inatosha .

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 4 місяці тому

    Kufiwa, usikie tu kwa mwenzio.
    Poleni sana Zabron singers, Mungu Awatie nguvu na kuwaponya mioyo yenu, with time time you will be ok, tuna tumaini katka Kristo, tusipozimia mioyo we shall meet again in Heaven.
    #Mzalendo_Wa_Uimbaji thats my take today, nilikuwa nakosa neno sahihi inapofika kuongelea eneo hili la uimbaji/music