MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA PILI || Muhammad Bachu || 2023.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 379

  • @faisaloaljabry6400
    @faisaloaljabry6400 Рік тому +18

    Hivi mpaka iweje ndiyo mtamuelewa
    Muhammad Bachu!!
    Hana uwezo wakuwazuia kufanya biashara zenu lakini anawafafanulia kwa mapenzi mujiondoe katika uovu na msiwapeleke watu kwa mapenzi yenu katika upotofu. Allah atuongoze sote.

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 Рік тому +24

    Unajua haswaa kunifurahisha Akhy❤️
    Allah akupe umri mrefu tuzidi kunufaika sisi tupo na wewe bega kwa bega

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 Рік тому +9

    Allah akuhifadh Sheikh wetu Muhammad Bachu, na wakikunyamazisha bac na sisi tunainuka kuitetea Sunnah

  • @yussuphsaleh767
    @yussuphsaleh767 Рік тому +18

    Tupo pamoja shekh bachu, hakika hili darasa la leo umetowa ushuhuda mkubwa kuhusu maulidi kwamba hayafai

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Рік тому +16

    Ma Shaa Allah endelea na Rudud wanafunzi wako tuko nyuma yako tukikuombea Elim zaidi na duaa tukikuombea Nakupenda sana Sheikh Muhammad bacho tuko nyuma yako usijisikie unyonge tuko nyuma yako warudi kabisa hawa masufi ....halafu huwa wanafunga sana comment tusicoment ajabu sana hawa masufi

    • @swaumamiriy2234
      @swaumamiriy2234 Рік тому +1

      Wanaogopa watachambuliwa kila nukta. Iwekwe sawa ndomana Walillahil hamdu dawaa tumeipokea Allah atuthibitishe

    • @alybinmana6197
      @alybinmana6197 Рік тому

      @@swaumamiriy2234
      Hawana hoja ndio maana wanafunga comment

    • @swaumamiriy2234
      @swaumamiriy2234 Рік тому

      @@alybinmana6197 ndio halafu wanahis sisi kukoment kwa sh.muhamad bachu ni kufanya ghuluu ss tunafuata haq ilipo, km matango pori walitulisha lkn sio ssa

    • @alybinmana6197
      @alybinmana6197 Рік тому

      Hatarudi nyuma

    • @yussufmassoud2790
      @yussufmassoud2790 Рік тому

      mm na shangaa hawa wanaojiita masufi xjui kwa nini wanafunga comment yaani hii inadhihirisha kuwa wamekosa kujiamini

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +8

    Allaah akulinde na akuhifadhi Shekh Muhammad na Shari zote za wenye kuku tazama kwa macho ya husda na uaduwi.
    Na tuna muomba Mola Mlezi wetu akupe umri mrefu na afya njema, ili bayana ifike mahala husika

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 Рік тому +5

    Allah akulipe kheri na akuzidishie ilmu Al akh Abuu muhaddith Muhammad Bachu,,, hakika unafanya kazi kubwa sana katika dini yetu ,,,wabainishe hawa makhurafi masufi maovu yao ili waislamu wawafahamu ,,,,wala usirudi nyuma kwenye kazi hii hakika waislamu wanafaidika sana ,,, Allah akulipe kheri na akutilie baraka kwenye ilmu yako aaamiin

  • @ahmadabdallah740
    @ahmadabdallah740 Рік тому +6

    Al hatimy na diwani jogoo limeshawika na asubuhi kumeshapambazuka na watu wameshainuka ... mulidanganya watu kwa miaka mengi lakini Allah aliahidi hii dini yake atailinda yeye mwenyewe na Allah huwa ana majeshi yake na mmoja katika jeshi la Allah ni sheikh muhammad bachu Allah amuhifadhi na amlipe mema hapa duniani na kesho akhera endela na kazi yako sheikh yakuelimisha watu na usichoke biidhnillah

    • @hamadshaibu6013
      @hamadshaibu6013 11 місяців тому

      mm nasema hivi Allah sw ndie anaejua kila kitu lkn mwendo wako kijana muhamad bachu unasababisha mvurugano wa dini na si jambo zuri mm kma mm nna waswas cjui kna hujanunuliwa na makafir uharbu din ya uislam kwani unakosa ata hekima ya din msiba mkubwa yaani waislam tumekua hiv baada ya kuendesha mbele dini tunafanya ujinga wa kujadiliana

    • @hamadshaibu6013
      @hamadshaibu6013 11 місяців тому

      jitafakar ww unayofanya yote Allah sw ameyaridhia na una uhakika wa ibada zako kma ndizo ktokana na vtabu unavosoma? nakunasihi tujitosheleze ile tawhid ulioisema na ww uwe nayo kwamb Tumuache Allah sw awe kila kitu

    • @hamadshaibu6013
      @hamadshaibu6013 11 місяців тому

      ndio cio vbaya watu kuomba kupitia Mtume saw kwan yy ndio muombezi wetu wala hutoenda kuitwa ww unaepotosha watu

  • @dachala-jz7pc
    @dachala-jz7pc Рік тому +11

    Mashallah Allah atueke sehem moja atujaalie tuwe kitu kimoja ktk Imani ya uislam kwa Yale yalio ya hakki anayo yaridhia Allah

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 Рік тому +38

    Baraka LLAH fik, Simba mwana wa Simba ALLAH akupe umri mrefu swiha njema na uwezo wa kuwanyosha hawa watu, ALLAH akulinde na kila aina ya shari maana washirikina wana vitimbi, tuko pamoja nawe bega kwa bega, wewe Simba mmoja umezungukwa na koko wengi sana na fujo zao za kubweka wala hushtuk, hoja zako safi wao hata hawaeleweki hawana mashiko.

  • @mohamadmaulidngava1510
    @mohamadmaulidngava1510 Рік тому +15

    Tunakuelewa Shekh vizuri kabisa.usitusahau kwenye Darsa ya Lugha ili,tuwe tunakwenda sambamba.Shukran.

  • @mussabinyussuf945
    @mussabinyussuf945 Рік тому +5

    Sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya allah yaarabbi mzidishie elimu sheikh wang sheikh muhammad bachu mashallah

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому +14

    Kwakweli Ww Allah amekuleta kufagia fagia uchafu ktk dini Afrika masharki
    Mm nakuomba ktk ikiwezekana utengeneze kwa lugha nying Kiingereza kifaransa ili darsa zifike dunian kote
    Cjawah ona ukitoa darsa kwa akili zako kila darsa zako n full vitabu dalili
    alhmdulillah Allahu taala akuhifadh shekh ibnu Bachu❤❤

    • @husseinmahmoud7000
      @husseinmahmoud7000 Рік тому

      Allahumah amiin

    • @abdillah7705
      @abdillah7705 Рік тому

      ni kweli kabisa na hii ndiyo raha ya kufuata qur-an na sunna ya mtume Muhammad kila kitu kiko obviously i really i really ni raha sana hoja zina mashiko tena yenye nguvu lkn ukija kwa upande wa wale watu wa maulidi yani huelewi unchanganywa changanywa tu hakuna hoja hata ile ya ambayo kidogo ina mashiko hata moja Allah azidi kutupa uelewa katika dini yake

  • @omarsaidbarisa4677
    @omarsaidbarisa4677 Рік тому +8

    Maa shaa Allah imeeleweka sheikh Mohammed Allah akuzidishie elimu na maarifa hakuna mambo mengi ni vitabu tu vifunguliwe haki ibainishwe.shukran sana

  • @yussufmahbub7032
    @yussufmahbub7032 Рік тому +15

    ماشاء الله تبارك شكرا جزيت خيرا .علي هذا التوضيح...سلمك الله من كل شرور

  • @abynduwimana1767
    @abynduwimana1767 Рік тому +14

    Mhamedi bachu nakupenda kwajili y'a allah kwasababu wewe nimkweliii

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому +10

    MAASHAALLAAHU. SISI HATUKUSIFU ILA JITIHADA UNAFANYA. MAADUI WATAONGEZEKA LAKINI GIZA HALIWEZI KUUZIMA MSHUMAA .

  • @suleimanahmadaali5989
    @suleimanahmadaali5989 Рік тому +16

    Baaraka Allah laka
    Ushahidi na hoja zako ziko wazi kwa wenye akili timamu

  • @muahammedseif
    @muahammedseif Рік тому +34

    Nikiwaskiliza wale jamaa hua naisubiria point itoke lkn mda wangu wote pamoja na MB zangu zinapotea Bure ..lkn Kwa Al akhi Ma Sha Allah mpaka moyo unakua na furaha Kwa uwazi wa pont zako ma Sha Allah

    • @MohammedOmar-wt3vg
      @MohammedOmar-wt3vg Рік тому +4

      Wazi kabisa👍

    • @khalifa_kuchi
      @khalifa_kuchi Рік тому +5

      Kabisa yaan ukimsikiliza bachu roho inapenda ila nashangaa hao watu wa maulidi wanaropokwa tu ila hawatoi point mbona km anavyotoa sheikh bachu

    • @ismailowino2866
      @ismailowino2866 Рік тому +3

      Mimi hata upuzi wao naskikiza tu dakika moja mbili za kwanza!

    • @khalidjamadi6016
      @khalidjamadi6016 Рік тому +1

      Lakini jamaa si ameomba Munaqasha ili tujuwe elimu na ukweli uko wapiiii?

    • @khalidjamadi6016
      @khalidjamadi6016 Рік тому +2

      Tena katuma barua na kutuonyesha na kasema kwenye Video (UA-cam)

  • @ibrahimjumaa538
    @ibrahimjumaa538 Рік тому +18

    Elimu yako ni Barka na duaa za mzee wako SHEIKH Nassor juu yako..
    ALLAH akuhifadhi Sheikh Muhammad..

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Рік тому +10

    Sheikh Muhammad bachoحفظه الله

  • @hammadaliomar4556
    @hammadaliomar4556 Рік тому +12

    Wanajifanya hawajaelewa illa Allah anajua kua wameelewa Ila wanajifanya Kama wale Allah anavosema, viziwi, mabubu, vipofu hawaamini. Endelea kuwaelimisha

    • @salimkhatri8064
      @salimkhatri8064 10 місяців тому

      Pia tuwaombee kwa Allah wawaongoze kwenye njia sahihi. Hawa ni ndugu zetu na waumini wenzetu lakini Iblees naye yuko kazini. Njia sahihi ni kuwafahamisha kwa utulivu na hikma kwa kutumia dalili za Qur'an na hadeeth sahihi. Tusimpe nafasi Iblees kuwatia hasira na kibri kukataa kusikiliza dalili za Qur'an na hadeeth. Lengo ni kutaka radhi za Allah ili kesho atuepushe na moto wa jahanam na sisi tuweke malengo ya kutaka kuwasaidia hawa ndugu zetu. Allah atupe hikma na elimu ya kuwasaidia wao na sisi pia. Inshallah.

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 Рік тому +8

    Subhaanallah llah!!..shekh Muhammad me nimekuelewa sana.

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 Рік тому +18

    Asalaamu alaykum shekhe bachu? Allah akuongoze mimi kiukwel tangu nimeanza kukufatilia nimepata elimu kubwa sana na pia nimekua answer kwasasa nimeachana na maulid nimegundua meng sana kua sisi watu wa maulid hatuna hoja za kielimu bali tunatumia kibri na kujitoa ufahamu nahali tunajua kua tumepotea na kupoteza watu kwanza sisi walimu weng wa maulid tukimaliza tu masomo yetu ya din tunakua waganga washikina wakubwa kabisa asante shekhe bachu

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 Рік тому +9

    Maa shaa allah
    جزاك الله خيرا

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v Рік тому +7

    Huyu kijana bachu anazungumza point kabisa alhamdulilah tumepata faida sana masha Allah

  • @maallimumusa6085
    @maallimumusa6085 Рік тому +5

    Shehe tunakuelewa vizuri mashaallah allah amekupa elimu na hekma na faswaha asie kuelewa moyowake umekufa

  • @mgungachannel9280
    @mgungachannel9280 Рік тому +16

    Maashaa Allah unazungumza kwa dalili na wao pia wajibu kwa dalili kama wao niwakweli sio kulumbana

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Рік тому +6

    Sheikh usiwaonee hayaa waambie waekee wazi ushirikina wao. Allah akulipe kwa jannaht firdaus. Aamin

  • @issicajosefu9681
    @issicajosefu9681 Рік тому +5

    Jazakallah khayra akhi fillah
    Allah akuhifadhi usitetereke na hawa ahlu bidaa na shirkiyaat
    Wewe tufikishie haq na Allah anaipenyeza kwenye vifua vetu Allah akuhifadhi ili uendelee kutupa darasa
    Sisi tupo na wewe tunafatilia darasa kwa umakini sana
    Tunamuomba Allah akuhifadhi ili tuendelee kupata faida

  • @abuubakarihussein2664
    @abuubakarihussein2664 Рік тому +4

    Alhamdulillaah asiye faham maulidi niuovu uliyojaa shirki zote kubwa na ndogo zote. Allah hajampa tawfiqi tuy maana nimsiba mkubwa zaidi. Allah AKUJALIE Kheri AFYA njema uziti kutufunza. Tatizo wanaotetea BARAZAINJE Hawana Tawhidi uislam wao unamatatizo

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 Рік тому +10

    Diwani Nataka Umjibu Sheikh Mohammad Bachu Kwa Hoja za Kiushaidi wa Qur'an na Adith Sahihi Na Sio Maelezo. Atutaki Maelezo Diwani Hii Sio Siasa Tunataka Ushaidi Kma Anavyo Fanya Sheikh Mohammad Bachu

  • @hassanabdalla746
    @hassanabdalla746 Рік тому +7

    Sheikh Allah Akuhifadhi Uzidi kutuelimisha. بارك الله فيك

    • @saeedabunajash6235
      @saeedabunajash6235 Рік тому

      Amin

    • @ahmadmanswab
      @ahmadmanswab Рік тому

      Huy hawlimishi wallah yuwapoteza

    • @hassanabdalla746
      @hassanabdalla746 Рік тому

      @@ahmadmanswab huo ni mtazamo wako
      Tatizo lenu watu wa twarika muko na maneno ya lesso hamuna dalili

    • @mbaroukkhamis4191
      @mbaroukkhamis4191 Рік тому

      Wachakukurupuka mtoto wa bachu akili yako inakupeleka vibaya na kundi lako unalolipotosha ,usitake kujifaharisha Hali yakuwa hunaukielewacho kwenye barazanji wachakujipoteza na kujitafutia laana zaidi unaelekea pabaya shekh

    • @mbaroukkhamis4191
      @mbaroukkhamis4191 Рік тому

      Asie na mwalimu shekh mwalimu wake Huwa shetani tafuta mwalimu mtoto wa bachu ukapige magoti uanze kufundishwa barzanji labda utaelewa yaliomo

  • @allybobsaith
    @allybobsaith 11 місяців тому

    Huu ndio urithi UNAOHITAJIKA kwa watoto wetu kama alivyofanya mzee wetu marhum SHEIKH NASSOR BACHU kwa mwanae MUHAMAD NASSOR BACHU allah awhifadhi ameen

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 Рік тому +13

    Hongera unazungumza kwa hoja na dalili tupu, wapinzani wako hawana dalili.

  • @yunusramadhan2546
    @yunusramadhan2546 Рік тому +8

    Wauza pweza hawana hoja, kaka nakupenda sana kwaajili ya Allah simamia haqi Allahu maalihaq

  • @kombojuma7835
    @kombojuma7835 Рік тому +6

    Tangu nianze kukufuatilia nimejifunza vingi Shukrani sana

  • @abdallahmwabungale
    @abdallahmwabungale Рік тому +2

    Ma Sha Allah Allah Akulinde na Kila aina ya Shari,,,Na Kama Haumuelewi Sheikh Basi juwa Akili Yako haina Akili Ndani

  • @abdulrahmanmussa4479
    @abdulrahmanmussa4479 Рік тому +3

    Mashaallah sheikh wangu shukran tunafaidika na elmu watu wa maulid ni balaaa kumeingia dance humo mashia wamevamia humo shirki kwenda mbele hamna kheri yoyote kwenye haya maulid mcheleee tuuu

    • @mashamassingisa8738
      @mashamassingisa8738 Рік тому

      Ni khatar ndugu yangu... Allah atuongoze sote

    • @hamadshaibu6013
      @hamadshaibu6013 11 місяців тому

      pia usione unakundi jingi la watu wengi wanapenda kumfata shaitwan kuliko kumfata Mtume saw hivo na ww zinduka hivo kufatwa na wengi ni dalili ya kua makini sana kwan ikiwa hupo sahihi utakuja jibu maswal ya wat wengi

    • @hamadshaibu6013
      @hamadshaibu6013 11 місяців тому

      huu ni mtihan mkubwa na haya ni mambo yaliyokwisha kutajwa ni dalili za kiama waislam tutashukiana wenyew kwa wenyew na kuacha kuelekezana mabaya na kuelimishana mema , mm naona kila mmoja anataka aoneshe kuwa kasoma vitabu vingap sas tuelimishe katika mambo mengine sio mijadala ambayo itapelekea hasara baadae na sio faida

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 Рік тому +2

    Raha sana, aitha waongoke au wazidi kupotea (fikulubihim maradhun fazadahumuLLAHU maradhwa)

  • @lylatdaud-md4ok
    @lylatdaud-md4ok Рік тому +3

    Hongera sheikh Muhammad n Bachu waambie kweli wote waache senema zao za uzushi

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Рік тому +6

    WAKITAKA WASITAKE WATAELEWA TU, NJAA ZAO ZITAWASUTANA, BACHU OYEEE!! 👍👍👍

  • @naahla19
    @naahla19 Рік тому +5

    Maasha Allah. Barakallahu feek

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 Рік тому

    Allah akuinue akupe afya na akujaalie kuweza zaidi wanaopinga na nawe wanajua kabisa kua wanapinga ukweli tamaa zimewashika wanatafuta umaarufu tuuu zidi kutoa elimu Allah azidi k ukuhifadhi akuepushe na hasad

  • @abynduwimana1767
    @abynduwimana1767 Рік тому +6

    Asalam aleykum tutawaombeadua allah awahifadhi awakinge navijicho vyawashirikina ambao niwatu washerekea maulidi amin

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому +2

    SHEKHE SABASIBUL QUBRA USIMJIBU SIO MADA . ATAKUJA KUTUKANA TU MAANA YUSUFU DIWANI AKIFELI HOJA HUMTUMA HUYO RAFIKI YAKE ALOJITOA UFAHAMU NAKUJA KUTUKANA MARA KO MARA SIJUI MAPIGO GANI NI HOVYO TU. WE TUPE ELIMU TUZIDI KUKINAI . KUWAONGOZA WATU NI JUKUMU LA ALLAAHU

  • @maallimumusa6085
    @maallimumusa6085 Рік тому +2

    Nawewe yusufu diwani mche allah kilitu allah atakusamehe

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 Рік тому +4

    Unafikisha kijana wetu. Allah akuzidishie ilmu kubwa zaid.ili utufunulie haqqi

  • @midahalomwanga9328
    @midahalomwanga9328 11 місяців тому

    Mashaallah allahumma barik alaihi

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 Рік тому +4

    Mzee nasoro bachu kichwa rahimahullah halafu kasomesha kichwa hafidhwahullah

  • @swalehmohammed3491
    @swalehmohammed3491 Рік тому

    Shukran hiyo ni shirki wazi hata mtoto mdogo anaelewa kuhusu masala hayo wewe kama unashida zako muombe Allah hiyo iko wazi shukran sheikh bachu allah akuhifadhi hao ni watu wa ubwabwa tu

  • @khamisikram-br9hg
    @khamisikram-br9hg Рік тому +5

    Mashallah

  • @maallimumusa6085
    @maallimumusa6085 Рік тому +2

    Allah akupe nguvu kwa kuifahamisha haqi Awa washirikina allah atawa dhalilisha

  • @ahmedseif743
    @ahmedseif743 Рік тому +4

    tupo PAMOJA mwalimu wangu na kipenz changu kwa ajili ya ALLAH akuhifachi akupe umri mrefu ili umma upate faida kubwa kupitia elimu yko

  • @abdallahshomari793
    @abdallahshomari793 11 місяців тому

    Allah Akujaalie Kila La Kheir....Waambie Ukwel Hao

  • @user-dl3ev2jl8n
    @user-dl3ev2jl8n 11 місяців тому

    Masha Allah maadui na wanafki hawatasimama mbele yetu juhudi ikiendelea kama hiv maana yapo mengi sana sana na wanajifanya viziwi na vipofu hawaoni hawaelewi

    • @salimkhatri8064
      @salimkhatri8064 10 місяців тому

      Hawa siyo maadui bali wameghafilika kwa sababu Iblees anafanya kazi yake. Tuna wajibu wa kuwaelimisha kwa kutumia hikma na subra. Hawa ni ndugu zetu na waumini wenzetu japo wamepotea kwa kiasi fulani. Tusiwachukulie kama maadui bali tuwapende kwa ajili ya Allah na tufanye juhudi ya kuwaelimisha. Naamini tukiwa na nia hii Allah atawasaidia wao na sisi. Jazakallah.

  • @shelalialishelali958
    @shelalialishelali958 Рік тому +6

    Mashaa Allah

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 Рік тому

    Bin Nassor Allah akuepushe na husda simama imara songa mbele

  • @khamisfundi9911
    @khamisfundi9911 Рік тому +2

    Allah akuhifadhi akhii muhammad nassor

  • @aliabdalla-qu4om
    @aliabdalla-qu4om 5 місяців тому

    Shekh Muhammad Allah akuhifadhi ili uwendeleee kutufunza

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 Рік тому +1

    Mm nashangaa wanapokuja kuku raad wanakuja kinywa kitupu hawaji nadalili walahoja zilizowazi wanakuja kwakujikweza ushabiki natakubbbur napiya wanakuja pamoja namajina yakutunga nakuudhi lakini ukiona umesemajambo namtu akapanik nakukuita majina mabaya ujuwe mtu huyo umempiga kwenye mshono tunacho kuomba shekh Muhammad endeleya tunakuelewa natutakusaport 100% biidhini Llah Allah akuhifadhi bado unayo yakutufunza nakutukumbusha Allah akuwezeshe ktk kaziyako hii ngumu

  • @mussanyangasa6049
    @mussanyangasa6049 Рік тому

    Upovizuli sana muhamad Bachu ukweli maulidi ni bidhaa tuwaaombee Mungu watu wamauli Mungu awaongezee waijue haki waifate amyi

  • @oscarotanga7756
    @oscarotanga7756 Рік тому +3

    Uxtadh tunakushukuru kwa kufikisha ujumbe Alhamdulillah. Allah akazidishie Elimu Inxhallah.

  • @abdallahsaid1968
    @abdallahsaid1968 Рік тому +4

    Allah kujaze kheri shekhe wetu tupo bega kwa bega na wewe maana sisi tumepigwa sana na vitu vizito kwa hoja zao zaungo uongo then so watu watwalika asilimia kubwa wana vilinge vya uganga na tiba zao sio zakisheria alafu wakiwa kwenye ibada zao mfano wakiwa wana zikili lazima wapandishe yani ushilikina mtupu Allah atusamee

  • @HemediAhmedi
    @HemediAhmedi Рік тому

    Jazaakallaahulkhairi

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 Рік тому +5

    حفظك الله يا غالي

  • @zanzibarspice8686
    @zanzibarspice8686 Рік тому +5

    Yaani Me Mfatiliaji sipitwi na Vedio xa Sheikh Bachu Na Hawa wengine ninachokiona Ni Kutokubal kama Sheikh Yupo Ktk Haki wanaumia Kwann Kijana Huyu Haendani na matamanio Yetu tatizo lipo wazi Ukwel Siku zote utakujja Juu na sasa Sheikh anatuletea Wengi tumefunguka Kifikra Sheikh Mkono kwa mkono mpka Firdaus

  • @abubakardarema7050
    @abubakardarema7050 Рік тому +1

    Allah amuhifadhii shekh muhamad bachu kwa kwelii nime jifunza mengii Sana tuna
    Pata mafundisho mazurii...

  • @abbasmosi4481
    @abbasmosi4481 Рік тому +2

    Haya,tumemsikia Muhammad Bachu,na nyinyi akina diwani tunawasubiri!

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 11 місяців тому

    Waislamu kwa waislamu..wanafikia kuitana maadui au kafiri !!! Usitoe hukumu juu ya muislamu mwenzako .. na sisi tunaojiita waislamu itokezee kiongozi wakisiasa kakosea au katoa kauli ambayo inarejesha nyuma dini hii …wallah hawezi na hatoweza kumkosoa ng’ooo ila shegh mwenzake akiona tu yupo tofuti na yeye hazipiti dakika atakamata 🎤 😢😢😢

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +5

    Sijaona mpaka sasa wa kujibu hoja hizi za huyu kijana
    Naona kelele tu

  • @kassimjey1480
    @kassimjey1480 Рік тому +4

    ماشاالله

  • @hassanhamid4359
    @hassanhamid4359 Рік тому +3

    Baraka llah fikum

  • @rashidkhalid5645
    @rashidkhalid5645 Рік тому +4

    Shekh Mohamed waelimishe inshaAllah watakufahamu

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 Рік тому

    Salute to you MUHAMAD BHACHU

    • @allybobsaith
      @allybobsaith 11 місяців тому

      Huu ndio urithi UNAOHITAJIKA kwa watoto wetu kama alivyofanya mzee wetu marhum SHEIKH NASSOR BACHU kwa mwanae MUHAMAD NASSOR BACHU allah awhifadhi ameen

  • @salmafaraj6544
    @salmafaraj6544 3 місяці тому

    Subhanallah masheikh wanajitahidi sana kuelimisha lkn ni wabishiii he Allah atuongoze sote yaarab

  • @zaydamos874
    @zaydamos874 Рік тому +1

    Sheikh hakika mwenyezmungu akulipe kheri nyingi sana Dunia na akhera kwa ukwel na elimu nzur

  • @mohdsilima8828
    @mohdsilima8828 Рік тому +2

    Mashaallah baraka allah

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 Рік тому +3

    Tuna Taka Diwani Na Wanafunzi Wake Wajibu Kwa Hoja zenye Ushaidi Wa Qur'an na Adith Sahihi
    Kma Anavyo Fanya Sheikh Mohammed Bachu Anavyo Jibu
    Atutaki Maelezo Hii Sio Siasa Ni Dini Ajibu Kwa Hoja Zenye Ushaidi Wa Qur'an na Adith Sahihi
    Sheikh Mohammad Bachu RABBANA Akupe Umri Mrefu Na Afya Njema Na RABBANA Akuepushe na Ma'aswii Ya Dunia Wew na Kizazi Chako

  • @user-sv2cx2ur6e
    @user-sv2cx2ur6e Рік тому

    Allah akuhifadhi sheikh

  • @kasimukiduba4484
    @kasimukiduba4484 Рік тому +6

    Mashalaah Mashalaah Sheikh

  • @omarsima2763
    @omarsima2763 Рік тому +4

    Shekh Bachu hawa watu hawasomi haya. Wewe fundisha lakini kwa hawa mpaka kije kizazi kiingine.

  • @sadcommpalestina4530
    @sadcommpalestina4530 Рік тому +2

    hakika sheikh Mohamed Bachu anatoa elimu kwa ushahid sahihi sio kama wao wanaongea tu kwa matamanio ya nafsi zao, na sio kama haelewi ila ni ubishi wao tu
    namuomba ALLAH awaongoze azifungue akil zao

  • @thefoodshaikh811
    @thefoodshaikh811 Рік тому +3

    Ni washirkina kama mashia tu wakishafika hizo ziara za makaburi ya maiti wao.

    • @shariffomar
      @shariffomar Рік тому +1

      Hata kama hujasoma lkn hapa wamezidi kuomba makaburi usichoke kuwasomesha sheikh bachu tunakuelewa vzuri Allah akuzidishie kila lenye kheri

  • @lylatdaud-md4ok
    @lylatdaud-md4ok Рік тому +4

    Allah akupe umri mrefu wa kutuelekeza kwenye heri

  • @jambojomba9042
    @jambojomba9042 Рік тому +1

    Assalaam alaikum, Allah akuhifadhi na sisi pia tuzidi kufaidika na atufishe na Tawheed

  • @suleimanabdul-karim1212
    @suleimanabdul-karim1212 Рік тому +2

    Allah akubark

  • @hasreeyasini
    @hasreeyasini Рік тому +1

    Wanakukimbia sheikh wangu comment wamezifunga kwa kukuogopa na kutuogopa sisi tunaokoment

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 Рік тому +1

    Wakiona comment zawatu kuuwelewa ukweli wanachukiya, shabbbash watu wamepigwa kwenye mshono shekh ww endeleya kuwasafisha biidhini llah watanyookatu

  • @user-eq5oc9ri3e
    @user-eq5oc9ri3e Рік тому

    Sheikh nassor akupe maisha malefu awoma sheikh mengin makefile makubwa hawafai

  • @dogomsanii5899
    @dogomsanii5899 Рік тому +3

    Mashaallah mwalim wangu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +2

    Yussuf diwani ni mganga wa kienyeji

  • @jesseboy6024
    @jesseboy6024 Рік тому +1

    Huyu mzee Shaharani Naona ni Mzee ambaye Elimu yake haimuongozi kunako uongofu bali kwenye bid'aa na upotevu tu ALLAHU AMUONGOZE kwenye haqqi na masheikh wa twariqqa zooote waache shirki Kisha watubie kwa ALLAHU kabla ya kubla ya kufa ALLAHU atawasamehe In'shaa ALLAHU.

  • @aymanmangube4092
    @aymanmangube4092 Рік тому +1

    شكرن وجزاك الله خير

  • @user-bm4pi8dd3o
    @user-bm4pi8dd3o Рік тому

    subhanallaah shekhe wetu tunakuelewa fikisha tawhdi allaah akupe sbra katk kubainisha haqi

  • @hashimiddy4142
    @hashimiddy4142 Рік тому +2

    Mashallah ALLaH akupe Afya uzidi kuwatoa watu gizani

  • @mgungachannel9280
    @mgungachannel9280 Рік тому +10

    Sheikh Bachu, nakuomba uwaite wwe ssi tutajitahidi kuchanga ili tufanyeni Mdahalo Tena ufanyike MOMBASA.
    Maana wao hawawezi kukuita na hawatakuja eka no: ya M-pesa Inshaa Allah.
    Kisha uwaite uwaalike wote wafike kwa ushahidi wako wa vitabu na wao pia sio kuongea kwa akili zenu.

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 Рік тому +1

      Swadakta sheikh rai nzuri sana nasi tupo tayar kuchangia!

  • @abuunayfatu8701
    @abuunayfatu8701 Рік тому +4

    Allah awaongoze watu wa Bidhaa waabudu makaburi

  • @idrisjames9392
    @idrisjames9392 Рік тому +2

    Mashaallah shekh bachu Dawa lazima iwaingie watu wa maulidi

  • @Ali-lt3xn
    @Ali-lt3xn Рік тому +3

    Dah wakiamua kukuchukia wakuchukietu lkn unawatwanga kwel kwel