Majibu ya kielimu kwa Yussuf Diwani na Al hadi Mussa||Muhammad Bachu.002

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya

КОМЕНТАРІ • 483

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 3 роки тому +7

    Sheikh Muhammad Allah akubariq tayari umeshafikisha. Hao ndio masheikh wa kiserekali waiyuza dini yao kwa matumbo yao. Allah awaongoze ktk njia iliyonyooka na ikiwa simiongoni mwetu Allah awalani hapa ulimwenguni na awachome siku ya kiyama

    • @kassimiddi5294
      @kassimiddi5294 3 роки тому

      Yani haka kajamaa katangazaji nacho kinaplkeshwa vbaya au had watangazaji wamnunuliwa pia?

  • @abdul_azeez_almaamir
    @abdul_azeez_almaamir 3 роки тому +14

    Kazi Ni nzito shaykh
    Allah akuruzuku kauli nzuri na subra na msimamo na akupe mwisho mwema

  • @shekhally5741
    @shekhally5741 3 роки тому +6

    Maashallah tunastafiidi sheikh wetu bacho katika hili inshaallha Allah atakulipa kwa juhudi zako katika upotevu huo wa Tashabbuhu minanaswaara ambayo mtume (s.aw) amekataza kujifananisha na manaswara hatarikubwa ni ktk nguzo kwabwa ya dini nayoni shahada

    • @abdallahmzonge9622
      @abdallahmzonge9622 3 роки тому

      Huyu sheikh anaongea kwa daliil lkn wale wengine wanaropokatu, hawana elmu elmu zao ni kaswida na madufu tu

  • @oman6124
    @oman6124 3 роки тому +4

    بارك الله فيك شيخنا ماقصرت
    الله يثبتك في دينك دائما يارب

  • @pakashume725
    @pakashume725 3 роки тому +5

    Mashaallah! Allah akuhifadhi shaikh wetu!

  • @HafidhAli-lt5xt
    @HafidhAli-lt5xt Рік тому

    Hallelujah imekuwa shahada wah basi wamesilimu wakristo wengi.

  • @minahadi2190
    @minahadi2190 3 роки тому +5

    Allah atuongoze kwakwel ni mswiba
    Usife moyo shekh wetu endelea kurekebisha Allah atakulipa

  • @ndalusanzekassim5902
    @ndalusanzekassim5902 3 роки тому +2

    Mwenyezimungu akujalie uhai mrefu afya njema na mwisho mwema shekh Bachu uzidi kupigania dini yetu.

  • @amezahor3010
    @amezahor3010 3 роки тому +5

    Mashallah Sheikh Muhammad bin Nassor kwa kuwadarisisha hao.

  • @allymnimbo4304
    @allymnimbo4304 3 роки тому +1

    Allha akuzidishieni wote ambao mmesimama ktk haq
    Sheikh nimekukubali kwa namna unavyoingia ndani zaid haswa kwny lugha dah upo vizuri allha ukuzidishie haswaa ktk ufahamu wako

  • @salimsaleh9354
    @salimsaleh9354 2 роки тому +1

    masha allah tupo hapa kwa ajili ya kujifunza zaidi allah akuzidishishie kila lenye kheri na akukinge na shari insha allah

  • @suleimanmussa3212
    @suleimanmussa3212 3 роки тому +15

    Allah akuwafikishe kwenye malengo yako ya kuitetea dini ya Allah na akuhifadh na akuzidishie afya njema na hekima pia

    • @ayishaayisha8053
      @ayishaayisha8053 3 роки тому +1

      Mwenyezi mungu akupe umri mrefu waelimishe

    • @saeedabunajash6235
      @saeedabunajash6235 3 роки тому

      @@ayishaayisha8053 amin

    • @moasitymemo9894
      @moasitymemo9894 3 роки тому

      @@saeedabunajash6235 امين يارب العالمين

    • @hamisabdalai1775
      @hamisabdalai1775 3 роки тому +1

      Asalam aley kum, diwani umefeli sana tena. Nataka kujua siku zote mlizokua mnalingania mbona hamjaweka bayana neno haleluya ni shahada.!!! Kunasiku nasibu abduli aliimba aleluya mazinge akasema Sana kijana wa kiisilam anaimba aleluya, sasa Leo yusufu diwani unatetea nini, kuweni wakweli alhadi ni mwanadam anapokesea anatakiwa akosolewe, acheni unafiki uwisilam sio dini ya mtu. Semeni ukweli japo nichungu.

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 роки тому

      @@hamisabdalai1775 mondi hakusema aleluya hapana ,aleluja.

  • @wamanja5572
    @wamanja5572 3 роки тому +2

    Takbiri Allah Akileta mitihani pia Huleta na Watatuzi ili mwenye akili apambanue ipi haki na ipi Batili
    Sub hana wallah.
    Allah akuzidishie Elimu na Afya @Sheikhmuhammadibachu.

  • @salmabintuthman3243
    @salmabintuthman3243 3 роки тому

    Alhamdulillah. Shukran sheikh. Kaza kamba mpaka watu wanyooke. Na anae kosa ni bora ajifunze. Lugha ya kiarabu ni ngumu sio ya kuchezea na kufanyiana vishindo au kubaranganisha. Waislamu TUSOMENI KISAWASAWA.

  • @seifalihassan9837
    @seifalihassan9837 3 роки тому +2

    Allah akupe wepesi akupe kheir usinyamaze sheikh Mohammad wambie kweli hao wanafiki wanataka umaarufu tu

  • @salemshaban2413
    @salemshaban2413 3 роки тому +5

    MashaAllah sheikh wetu bachu kwa kurekebisha wasiokuwa na uwelewaji

  • @nadhraabdulaziz9193
    @nadhraabdulaziz9193 3 роки тому +3

    Msifanye mchezo na vyeo jamani pamoja na njaa nimbaya Sana asikwambie mtu tusomeni dini yetu vzr

  • @fadhilimussa5067
    @fadhilimussa5067 3 роки тому

    Jazakallah shekh Bachu pigaa misumari watu weny tamaa za duniaaa waache upotoshajii wa makusudi

  • @ramsomwenjumahasani3757
    @ramsomwenjumahasani3757 Рік тому

    Shekh hawa masufi wanamatatizo sana yote hayo wanafanya ili watetee mpunga Mana wanajua wakikubali hawatakula tena wakati mchele upo mwingi2 ila akhy bachu uko vizuri enderea kuwalingania mpaka wataelew haqi nawataifuata inshallah barakallah fiika

  • @jumasaid1619
    @jumasaid1619 3 роки тому +1

    Alah akulinde na hasad zote pia akubarik

  • @AminaHatibu-kn3nm
    @AminaHatibu-kn3nm Рік тому

    mungu akuongoze sheikh muamnif na endlea kuwaumbua na usiwaogop coz unatetea uislamu bhasi mungu wetu atakulinda....maana asaiv masheikh wakubwa ndio wanaupotosh uislam

  • @ndalusanzekassim5902
    @ndalusanzekassim5902 3 роки тому +3

    Subhana lahu anajisifu kaema makusudi bila ya hofu ya Allah! Shekh bachu tunakuelewa unatetea dini ya Mwenyezimungu hutafuti ushindani usio na msingi.

  • @ismailowino2866
    @ismailowino2866 3 роки тому +2

    Allah azza wa jal akuhifadhi sheikh na akuongezee ilmu yake na ya dini yake!ameen.

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 3 роки тому +1

    # Kazi na iendelee
    mwanzo Mwisho Mjukuu wangu Bachu
    Endelea

  • @mrishongwikwi6448
    @mrishongwikwi6448 2 роки тому

    Allah akuhifadhi shekh Bachu akupe nguvu zaidi za kuutetea uislamu na pia Allah awaongowe hao kina diwani waijue kweli na kuihubiri.

  • @hasnaalharthy5433
    @hasnaalharthy5433 3 роки тому +9

    Allah akuhifadhi shekh usife moyo endelea kuwakosoa Allah akuzidishie elim akukinge na kila Shari (Amiin)

    • @ismailowino2866
      @ismailowino2866 3 роки тому

      ameen

    • @hamisabdalai1775
      @hamisabdalai1775 3 роки тому +1

      Asalam alley Kim. Yusufu diwani mm uwa nakukubali Sana lakini kwahili umefeli. Mm binafsi nimefatilia mihadhara tangu wakati wa marehem sheikh ngariba mpaka sasa sijawahi kusikia muhadhiri yoyote akifundisha aleluya maana ni shahada!!!! Semeni ukweli kuhusu hili ndugu zangu yusufu diwani. Dini sio ya mtu ata ukichukiwa kwakusema ukweli. Hamza issa aliingia kanisani kufunsiaha uwisilam mlitaka kumtoa roho. Japo kwa sasa kawa jahli.mbona siku ileile baada ya alhadi kuondoka alipanda muyahudi alisema aleluya hamkuitikia wote wahadhiri!!! Mpaka muyahudi akasema inamana hamjamuelewa sheikh wenu.halafu ukisema aleluya muitikiaji anasema amen iyo nishahada kweli!!??? Shahada ikisomwa utasema Alina??? Mimi naona aleluya ni sawa nakusema takibiriiii. Tubuni yisufu diwani.

  • @salehrashid-fx9rq
    @salehrashid-fx9rq Рік тому

    Allah akuhifadhi. Ila wasikumbue saana hawa wanaojiita mashehe njaa hawana mpango na dini wao wanaangalia matumbo yao zaidi

  • @ndalusanzekassim5902
    @ndalusanzekassim5902 3 роки тому +1

    Mwenyezimungu anaona na anasikia usiwe na hofu shekh Bachu hatokuacha kwenye ukweli.

  • @mahmoudhamisi673
    @mahmoudhamisi673 3 роки тому +1

    Sheikh hongera Sana maashallah allah azidi kukupa elimu uzidi kutuelimisha mm ni mtanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 lkn masheikh wa Tanzania wengi wapo kwa ajili ya maslahi Yao binafsi wanapenda sana kiki halafu ni washirikina vibaya mno

  • @AjsProSigns
    @AjsProSigns 3 роки тому +2

    Tupe faida hapa naona neno limetumika pengine
    Muongeze na hii
    (فَإِذَا بَلَغۡنَ أَجَلَهُنَّ فَأَمۡسِكُوهُنَّ بِمَعۡرُوفٍ أَوۡ فَارِقُوهُنَّ بِمَعۡرُوفࣲ وَأَشۡهِدُوا۟ ذَوَیۡ عَدۡلࣲ مِّنكُمۡ وَأَقِیمُوا۟ ٱلشَّهَـٰدَةَ لِلَّهِۚ ذَ ٰ⁠لِكُمۡ یُوعَظُ بِهِۦ مَن كَانَ یُؤۡمِنُ بِٱللَّهِ وَٱلۡیَوۡمِ ٱلۡـَٔاخِرِۚ وَمَن یَتَّقِ ٱللَّهَ یَجۡعَل لَّهُۥ مَخۡرَجࣰا)
    [Surah At-Talaq 2]

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 роки тому +4

    Sheikh tumekuelewa vizuri sana mashaallah.
    Mpaka hapo hawana hoja zenye mashiko zaidi ya kujinadi wao ni watoto wa mjini, wamezaluwa uswahilini, kijiweni, Tandale, Mwananyamala mmmh...! Hivi hizo ni sifa za kujisifu kwa Muislamu Muumini?!
    Kama wanaona sifa kujivunia wao wanajuwa uhuni (wamejidinza uwanja wa fisi) si wakajiunge na Watandale mwenzao Waimbe miziki wapate huo umaarufu?!
    Kwa mwenendo huu as usanii na utapeli ktk kuichezea dinini (kuchezea maneno ya Allah na hadithi as mtume) ndomana hata dua hazijibiwi, vituo vya Uganga na kuuza dawa mpaka Miaikitini lakini hali ngumu.kila kukicha maradhi, shida, na mabalaa hayaishi.
    Sheikh wachana nao hao wapuuze na waelewa tumeshawaelewa mashaallah.
    Waache watafute sifa kwa Rambo sizo na faida duniani wala Akhera, dunia ni mapito na starehe za muda..

    • @techmuuuseif5043
      @techmuuuseif5043 3 роки тому

      Na wakimaanisha kuzaliwa kijiweni kumtukana shekhe muhammad bachu so shida wakiona anawazingua. Ni lazima kwa mtu alitazame kila neno analoliongea sana ambalo ataongea kwa watu wengi.

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 3 роки тому +1

    Allah amrehemu Sheikh Nassor. Kutuachia kijana wake ili aendeleze dini. Sheikh Muhammad waelimishe hao usichoke

  • @musayuzufmusa9435
    @musayuzufmusa9435 3 роки тому +1

    Yaani anazusha live hata hana haya kweli watu wa biddaah wanapoteza ummah.ustadh bachu uko sawa na sisi twakuombea Dua

    • @yusuphkassim8117
      @yusuphkassim8117 3 роки тому

      Shekhe bachu allah akujaalie kila LA kheri hao washirikina wamlete huyo shetani wao mkubwa wa mkoa

  • @maryamibrahim4039
    @maryamibrahim4039 3 роки тому +5

    Sheikh Nassor mashAllah unafundisha kwa evidence, endelea kutupa ukweli.

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 Рік тому

    Nakuombe shekh allah akupe afy yakuendelea kupambana na bidaa na allah asikunyime ujira wako tulijuwa watu wa maulid tumeacha na tumeingia kusoma baraka lahu fikaa

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 роки тому +3

    kweli bidaa haiwez kung'aaaa panapo hakki!
    Ushaur wangu;
    Diwan unaxid kupumbs tu
    n bora ukaw kımyaa watu watakuacha kukufuatıkıa maana humuwez muhammad Bachu atakuhaıbısha
    vıjana wanasoma cku hız cıo kama mlıvyosoma nyınyı zaman mnafuata tu madufu
    kwa hıyo bora ukaw kumya
    Dıwan yusuf utatıka nıshaı vıjana hawa wamesoma wameelewa vızur dını
    Huyu Dıwan anapotosha watuu anaongea tofautı na maaana.
    Dıwan kaa kımya tu umeıngıa ktk levo cıo ysko huyu muhammad Bachu n mtu wa sunna hakısemwı kıtu ıls kwa dalili
    cıo mtu wa bıdaa husema vıtu kwa fıkra zake kama ww!

    • @shaadenshaduni7755
      @shaadenshaduni7755 3 роки тому

      Mi hadi natamani kijana wangu awe kama yy natamani awe mwalim wamwanangu haki Bachu elimu yake inanikosha ✌

    • @issaisacha2387
      @issaisacha2387 3 роки тому

      Assalam alykum tunakushukuru sheikh kwa kutupa elimu sisi tunaosikiliza tunaakili na tunafahamu tanbihi tuwe na hofu ya Allah.

  • @hansimassirhassan8154
    @hansimassirhassan8154 3 роки тому

    Sheikh wangu awa watu minaona kunadili la pesa wanalolitafuta upande wa pili mana wamekuwa wabishi sana katka maswala ya dini ila Allah yuko anawaona sheikh Muhammad Allah akuzidishie elimu na hikma ya kukosowa makosa kwa baadhi ya masheikh wetu in shaa Allah

  • @aboudsaidaboud7667
    @aboudsaidaboud7667 3 роки тому +2

    mashaalla sheikh bachu. twakufatilia mpaka kenya

  • @benjaminkangolo2017
    @benjaminkangolo2017 2 роки тому

    Allah Akbar Allah Akbar. Allah akulinde na mabala yote kwenye dunia hiyi na akulinde na shari za hao walim

  • @saidomar1408
    @saidomar1408 3 роки тому +3

    Allah akulipe kheri sheikh Muhammad endelea kuwatoa matongo ya macho masufi ao

    • @matitutvonline4184
      @matitutvonline4184 3 роки тому

      We koma hao masufi unawajua wewe hebu njoo whatsap utetee hoja yako kuwa masufi ni wapotevu si wewe wala huyo mtoto wa marehemu Sheikh Bachu. Amekimbia kujibu hoja huyo kwa masufi akakimbia sasa wewe mponze tu

  • @kassimsuleiman733
    @kassimsuleiman733 3 роки тому

    MASHAALLAH kijana wetu Allah akujaalie upate afya uendelee kutupa ukweli.
    Kiswahili cha kutafsiri Quran Ustadh Diwan bado hakijui akasome kwanza kwa wafasiri Quran kwa lugha ya kiswahili mm naona aendelee kufasiri dawa za nguvu za kiume na dawa nyengine akitaka Ushekhe akasome tena.

    • @zubeiramlanzi2480
      @zubeiramlanzi2480 2 роки тому

      Kweli jamaa ongo sana ndo shida ya mashee wa bakwata

  • @alliabdallah224
    @alliabdallah224 3 роки тому +1

    Va kurithi vinazidi..hongera xana kijana wanyooxhe'

  • @nshimirimanadjamilla7270
    @nshimirimanadjamilla7270 3 роки тому

    Shukran sheikh wetu allah akukinge namahasidi tuko pamoja

  • @yusuphnjechele3073
    @yusuphnjechele3073 3 роки тому +5

    ALLAH akuhufadhi mtt wa marehemu Sheikh Bachu Aamiina

    • @fathiyasalim3946
      @fathiyasalim3946 3 роки тому

      Na bahati njema na ﹰMama mzazi wa ﹰMuhammad bachoo nae anaitwa ﹰBi ﹰAmina. Maa shaa ﹰAllah

    • @UMMAHWASATIYYAH
      @UMMAHWASATIYYAH 3 роки тому

      Aameen

  • @abdallaali579
    @abdallaali579 3 роки тому +1

    Allah akuhifadhi sheikh Bachu tuzidi kufaidika katika dini yetu

    • @arafazahor3760
      @arafazahor3760 3 роки тому

      Allah akupe umrimrefu ili uweze kuitetea diniyake na sisi tukopamoja na wewe inshaallah

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 3 роки тому +1

    Naam sheikh bachu , Allah akuhifadhi hawa madufi wanatekeleza mikakati ya wamarekani na mayahudi kuumaliza uislam, hiyo ni jihad l elim.

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 роки тому +1

    Shukran sheikh bachu

  • @abubakarsiwa345
    @abubakarsiwa345 3 роки тому

    Allah Allah akuhifadh shkeh Mohamad bachu,tusomeni dini yetu

  • @tvimaaanonline1222
    @tvimaaanonline1222 2 роки тому

    Shulman she he Allah akupe umri mrefu wenyemanufaa

  • @ahmedmalick2862
    @ahmedmalick2862 3 роки тому +8

    Mashallah sheikh wangu siku hzi naingia UA-cam kwa kuangalia video zako tuu

  • @omariweldingfabrication7630

    Allah akuzidishie haqi

  • @muslimmassoud2673
    @muslimmassoud2673 3 роки тому +1

    Mashallah sheikh Muhammad Bachu Allah akulipe Kheir

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 3 роки тому

    Bas aleluya itajwe et misikitini nasie waislam tuwe tu nasema.... Kama yy hodar had akaiseme leluya yake misikitini. Nambona hajitokez kujibu hana hoja

  • @khamiskhatib914
    @khamiskhatib914 2 роки тому

    Yaani ww sheikh wangu upo sawa

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 3 роки тому

    Juzi kwa jina la yesu, Jana haleluyah kesho utatu mtakatifu pia tunao ,maka Madina na aqswa, lengo kuleta mushabaha za ajabu kuridhisha wasiowaislam ya kwamba njia yetu moja,tusichukiane, na lafdhi anazoleta Ni ghareeb hazijawah kutamkwa hata na waislam waliopinda zamani wala hata wa Sasa, na anakuwa amejifananisha na makafiri kwa lafdhi zao wanazotamka

  • @seanmurray6516
    @seanmurray6516 3 роки тому +1

    بارك الله فيك شيخ الله يحفظك الله يحفظك يا شيخ محمد

  • @husseynhamad9790
    @husseynhamad9790 3 роки тому

    Tumekuelewa sheikh muhammad bachu. Ao masheikh ubwabwa tunawajua

  • @fahadahmed3851
    @fahadahmed3851 3 роки тому +1

    Sheikh Diwani kwa hili la Haleluya kwa kweli umeniangusha sanaa sijategemea utajibu au kutetea maneno ya Sh Alhad hivi....MashaaAllah sh Diwani umesoma Allah amekujaalia elmu nakuomba sana usijishushe bro.....usifikie level ya kubadilisha hadithi unavyotaka eti kwa kutaka kumpima level ya elmu tena unasema nimefanya maksudi walahi umefeli sanaaa Shame on you

    • @tugabiz4286
      @tugabiz4286 3 роки тому

      Hiyo ya kusema amefanya kusudi kugeuza ni baada ya kubanwa mbavu na ile clip iliyopita ndio akaja kwa style hiyo. Na bado tena amebanwa tena mbavu sidhani kama atakuja tena 🤣 masheik wetu wa kufikiri kwa tumbo na kujikomba wana tabu sana.

  • @hassanhamid4359
    @hassanhamid4359 3 роки тому +4

    Alla akujaze elimu shekh wangu

  • @mwanamkuurashid7782
    @mwanamkuurashid7782 3 роки тому +8

    Hakuna mtu mbaya zaidi kama mtu ambaye hajui alafu anajifanya anajua diwani rudi darasani usipoteze watu nauyo mwanafunzi wako.

    • @ahmadsaid5845
      @ahmadsaid5845 3 роки тому

      Maneno yako yanafaa kuandikwa kwa wino wa gold

    • @hajielmi7518
      @hajielmi7518 3 роки тому

      Wabongo wanapenda sana sifa ktk dini

    • @minahadi2190
      @minahadi2190 3 роки тому +1

      SubhanAllah nimswiba kwakwel

  • @IbrahimAli-ns1lj
    @IbrahimAli-ns1lj 3 роки тому

    Ustazi mm nakukubali wale mashehe waserekali wappo kimaslahi na wanamuogopa

  • @Stanbul.Y
    @Stanbul.Y 3 роки тому +10

    Asalam aleykum
    Ndungu me naona hao watu wache tu
    Sio kila mtu alienda madrasa eti ni
    Msomi
    Wallahi nilikuwa nadhani yusuf diwani
    Ni msomi mzuri kumbe ni bure kabisa

    • @binsultan3155
      @binsultan3155 3 роки тому +2

      Hao ni wasaka tonge

    • @abuutasniym2675
      @abuutasniym2675 3 роки тому

      Jamani hebu mda mwengine tuache ushabiki tusome kiwa kweli wewe unaweza kusoma maandishi yakiarabu na umemfuatilia mwanzo hadi mwisho basi utaona neno hilo lilivyo tafsiriwa ktk kamusi la kiarabu na limeandikwa vyema kabisa na limeelezewa kua neno HALLELUJAH/HALELUYAA (هَلِّلُوْيَا) nineno la kiibraania kwa lugha ya kiarabu ni HALLILUU (هَلِّلُوْا) kwamaana semeni: "Laa Ilaaha Illa Allaah (قُوْلُوْا: لَا إِلَهَ إِلَّا الله)"
      Nikama vile mtu kusema kwakiarabu: "SABBIHUU (سَبِّحُوْا)" yaani semeneni: "SUBHAANA ALLAAH (قُوْلُوْا: سُبْحَانَ الله)".
      Kwahio hio ndio hali tusomeni nasio kufuata tuu mkumbo naushabiki ili kutafuta umaarufu

    • @taustaus2737
      @taustaus2737 3 роки тому

      Yani bora kusoma yusuf diwani nilijua anaelimkubwa kwa kuongea kwa msisitizo kumbe nibure bora aendelee kuuza dawa tuu asidudanganye

    • @chiyamohd2665
      @chiyamohd2665 3 роки тому +2

      Hata mimi pia lakini tumshukuru Allah sheikh Mohamed anatufumbua macho
      Allah amjaalie kila la kheri

    • @alimali9963
      @alimali9963 3 роки тому

      @@abuutasniym2675 kama nawewe umesikiliza vizuri basi sheikhe amedai hicho kitabu kilicho andikwa hivyo au jina la kitabu na mwandishi wa kitabu au na wewe umeyatowa kwenye wiki pedia?

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 роки тому

    Shukran Mungu akulipe kheir kwa kutufikishia elimu , kumbe tulikuwa tunapotezwa na Masufi

  • @abuuikramkalokaza1496
    @abuuikramkalokaza1496 3 роки тому +8

    Allah atuongoze alama za mnafiki Diwani hata haangalii kamera

    • @mohamedimiraji5495
      @mohamedimiraji5495 3 роки тому

      una dalili yoyote katika aya au hadithi kuwa moja ya alama za mnafiki ni kutokuangalia kamera?

  • @amehussein3295
    @amehussein3295 3 роки тому +1

    Akuje kheri mungu . Umenifurahisha kwenye lugha

    • @festochula7696
      @festochula7696 3 роки тому

      Shekhe kunawatu watembea uchi hao ndio wa kudilinao na mashehe wenzio

  • @seifalihassan9837
    @seifalihassan9837 3 роки тому

    Asante sheikh Mohammad Allah akuhifadhi ameen

  • @yahyasaid9353
    @yahyasaid9353 3 роки тому

    Shekh moh'd upo sawa kabisaa upo kwny mstari

  • @mamialsawafi8020
    @mamialsawafi8020 3 роки тому +1

    Wallahi Allah akupe kipaji zaidi usiwafatilishe hao mapunguani huyo sheikh kidudu mtu yy na sheikh wa mkoa mapungani

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 3 роки тому +3

    Mtihani wallah allah atupe mwisho mwema

  • @gwijiigwijii3846
    @gwijiigwijii3846 Рік тому

    Katka dunia kuna shekhe kuna shehe kuna shee na sheha sasa hao ni masheee nasio mashekhe

  • @abdallahmattar2044
    @abdallahmattar2044 3 роки тому

    Wafahamishe waelewe kama hawakuelewa kazi kwao kwani unapambanua na kuelezea kila kitu mashaallah

  • @amatullahummufurqaana7283
    @amatullahummufurqaana7283 3 роки тому +7

    😔😔😔Uwe NA subra pia Nimeona una subra kwel

  • @ramadhanimgeni5324
    @ramadhanimgeni5324 2 роки тому

    Naam shekhe nimekuelewa

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 3 роки тому

    Sheikh Muhammad endelea kufundisha na kurekebisha wasojua dini ya ALLAH. Haiwezekani LAILA HAILALLAH Iwe sawa na haleluya hata siku moja usiku na mchana vifanane Laaaaa! Hata wahadhiri wanaopambanisha vitabu sijawasikiapo.

  • @habibhassan7172
    @habibhassan7172 2 роки тому

    Huyu shabiki yake kichefuchefu kweli husussan ukimsikia sheikh Mohammad anavyomwaga Nondo, Allah Akupe kila la kheir

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 роки тому

      Wallah mtihan naona siku hizi Ata baadhi ya mashekhe wana machawa kama wasanii wa bongo fleva du Allah Atuongoze kwakweli

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому +1

    Hawa ukweri wanajua kwamba Alhajikakosea na laazima alekebishe kaxidi kilakukicha anatoa mamboyao ajambo kwenye vikao. Misif imemzidi kwahiyo atazoea shehe wetu Muhammad macho mwambie aache ujingawake kwenye Dini ya Allah

  • @yasinishabani8853
    @yasinishabani8853 3 роки тому +7

    Sheik shukuran sana uwe na moyo wa subira .

  • @sadruinfinix8491
    @sadruinfinix8491 3 роки тому +2

    Ama kweli uadilifu ni jambo kubwa, Ila kizuri waislamu wanaelewa haqq na batiri, Nakuomba Allah atuoneshe haqq na atujaalie kuifuata.

  • @abdulwakasso9040
    @abdulwakasso9040 3 роки тому +4

    Allah akuhifadhi azidi kutumia elimu aliyo kupa kwa kuelekeza na sio kujikweza kama wao

  • @alisaid5378
    @alisaid5378 3 роки тому +1

    Subhanalla shekhe Yussuf umekfuru utubie kbla yaumaut subhanalla

  • @aleyabra4160
    @aleyabra4160 3 роки тому +4

    Sheigh yusuf unaweza kwenda msikitini ukatamka haleluya nataman nikuone msikit wowote

  • @ramadhanimsita5356
    @ramadhanimsita5356 3 роки тому

    Nipo pamoja naww shekh wangu bachu wanjooshe mashekh njaa wa bakwata

  • @modredamour9713
    @modredamour9713 3 роки тому

    Shukrn shekh wape somo bakwata hao

  • @fundsim3183
    @fundsim3183 3 роки тому

    He mtihani, Ndugu yangu, zidisha kutufahamisha

  • @salimmapande4668
    @salimmapande4668 3 роки тому +2

    Allah akuhifadhi kamwe usiwaache wapotoshaji waendee kutupotosha endelea kutuelimisha wakati wowote wanapo haribu nasisi tunakuomba kwa Allah akuhifadhi na akupe mwisho mwema

  • @shikivokochabunu8011
    @shikivokochabunu8011 3 роки тому +1

    Kweli maji hayachanganyikani Na mafuta hata siku moja yani hakki haichanganyikani Na batwil Mohammed bachu tunakuekewa yani mwanzo mpaka mwisho Allah akuhifadhi

  • @mohammedsalim974
    @mohammedsalim974 3 роки тому +5

    Ma sha Allah tuko pamoja kila hatua.

    • @faisalashraf8031
      @faisalashraf8031 3 роки тому

      Wapo kimaslai Hao watu WA bidaa we ujumbe Usha wafikia wenye kusikia ukweli tumesikia shukraan Sana

    • @muslimmassoud2673
      @muslimmassoud2673 3 роки тому

      Naam akhy tuko nae pamoja bega bega lazima haki isemwe na bidaa ikemewe

  • @maheralfarsiy1860
    @maheralfarsiy1860 2 роки тому

    masha allah sheikh tunakuelewa kabda tupo pamoja bega kwa bega

  • @dulabori9922
    @dulabori9922 3 роки тому

    Shekh Bachu nakukubali ushauri wangu achana na hao wasaka Tonge utaonekana u natafuta kiki dili kutuelimisha sisi na waumini wengine

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 2 роки тому

    Mimi ham yangu nataka kujua maana ya aleluya

  • @abdillahsleyyum2768
    @abdillahsleyyum2768 3 роки тому +2

    Allah, akubariki

    • @ibrahimally9317
      @ibrahimally9317 3 роки тому

      Tunaomba majibu krip ya mwisho..
      Moja ya mwisho haujaijibu shekheee

  • @salmabintuthman3243
    @salmabintuthman3243 3 роки тому +3

    Tafadhali Yusuf diwani ujuwe sana tena sana LAA ILLAHA ILA LLAH!!! ndio kila kitu cha mwanaadam. Acheni kuona ni kitu kidogo.

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 роки тому

      Ama kwa hakika LAA ILLA HA ILA LLAH ukiikubar ndo pepo na ukiikataa ndo moto na ndo utulivu wa nafsi na ndo tulizo yaan ukitaka uishi maisha dunian kwa furaha na aman kubali hiyo karma na uitie kwa matendo wallah raha tu maaana unakuwa na kukinai ukipata Alhamdulillah ukikosa Alhamdulillah kila linalokupata unajua Allah kakuepusha na mengi hivyo kukupata hilo tu Alhamdulillah

  • @omarsaid6744
    @omarsaid6744 3 роки тому +3

    MAA SHAA ALLAH TUKO P1 ALLAH AKUJAALIE KILA LA KHERI

  • @feditomudumane929
    @feditomudumane929 3 роки тому +1

    Wachape nao awo vichogo hawana elimu pimbi tu washapewa pesa hawana ishu mungu atakulipa endelea kuwachapa nao usiwache mungu atakulinda

  • @jamilaalfarsi7712
    @jamilaalfarsi7712 3 роки тому +2

    Hilo diwani halijui lolote mn simuiti atasheikh kwasababu hanasifa ya usheikh hana

  • @ummykheyr8325
    @ummykheyr8325 3 роки тому

    Sheikh Muhammad umetumia nukuu na umetuonyesha pia, jazakAllah khery.Na wao pia waonyeshe nukuu zao, tuelimishane kisomi zaidi.

  • @eliazaemanuel4378
    @eliazaemanuel4378 3 роки тому

    nimekuelewa shekhe wangu allh akupe kher nying achana na wanasiasa hao wanachandanya hak na batil

  • @abubakarsiwa345
    @abubakarsiwa345 3 роки тому

    سبحان الله

  • @HafidhAli-lt5xt
    @HafidhAli-lt5xt Рік тому

    Tanzania mnashida kubwa na dini, innalilahi waina illaihi rajiun.

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 роки тому +1

    Mkubwa ni mungu si yule, alhadi hana kitu , sio km hana muda hajui kitu Hana elimu na wala hawezi kujibu