Sheikh Muhammad bachu, tunakupata vizuri, wamekufungia zanzibar,lakini tunapata elimu kupitia huko huko mombasa, mungu akuzishie ustahamilivu wa vikwazo unavyopewa ,, ,amin
Wallahi mtu pekee aliyenifanya mimi na Maulidi sahii ni X ni Allah kupitia Sheikh Nassor Bachu Allah amuhifadhi,mwataka maelezo gani mengine jamaa zaidi ya haya......Muhammad Al Hatimy Allah amuongoze aweze kuifuata haki....tatizo labda hataki kuonekana ameshindwa lakini katika dini hakuna kuoneana haya kama hujui ULIZA ,wafuate waliokuzidi ILMU....tumeimbishwa Maulidi kuanzia utotoni madrasa SubhanaAllah 😪 Allah atusamehe....
Baaraka llahu fik,nakuelewa sana shekh Muhammad bachu,niliyaacha maulidi tangu nilipokusikiliza mara ya kwanza na Leo umenikinaisha, namuomba M'mungu akujaalie kila la kheri,azidi kukujaalie elimu na ufahamu ili tustafidi pia akupe mwisho mwema
Maashaa Allaah Shekhe Muhammad ALLAAH akuhifadhi na akulinde na shari za watu waovu, pia tuna muomba Mola wetu Mlezi awaongoze ndugu zetu Masufi kwenye Sunnah
Alafu haka kajamaa kanajichanganya chenyewe.mwanzo kataja hadith ya ibn Agassi akielezea aya ya bifadhli kuwa rehma inayo kusudowa hapo ni mtume na Allah anatutaka tufurahi kwa rehema hiyo. Sasa mbele anakanusha.sasa huwo si uchizi. Alafu anapodai kuwa rehma ya mtume inapatikana baada ya kupewa utume.sasa angepewaje utume ksbla ya kuzaliwa.au angepewaje utume kama asingezaliwa.au angepewa utume tumboni kwa mamake. Yani mawahabi ni akilifupi.
وما أرسلناك إلا رحمة للعالمين. Tutasoma maulidi mpaka Qiyama inshaAllah. Na wewe utakoma kupinga karibu inshaAllah kama wenzako. Jisifu tuu ati wewe ni Muhammad Bachu. اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آل سيدنا محمد الطيبين الطاهرين.
Wewe Muhammad unaumia roho sana Mtume Muhammad (S.W.) kusifiwa, kutajwa kwa mazuri. Na hii ni kwa mawahabi wote. Jichunguzeni na mjitathmini. Hivyo vitabu unavyorejea vyote vimeandaliwa na mawahabi. Tafsiri kwenye baadhi ya maeneo zina mawazo tofauti. Wewe n i Mtoto mdogo kwenye dini. Kwenye din uelewa wako hauko juu ya kila mtu.
KUNA HADITH YA MTUME SAW YAASEMA FUATA AMBALO HUNA SHAKA NALO UWATE AMBALO UNA SHAKA NALOO. دع ما يريحبك إلى مالا يريحك. KWA HIVO KUTETA KUTUKANANA HAKUSAIDI KUNA MENGI YA WAAJIB. INSHA ALLAH.
Sisi tunaendelea kukuombea maarifa ya Dini zaidi na zaidi, maana masufi hujiona wao peke yao ndio wenye elimu, lkn ukiwaangalia wenye elimu nafsi yako hujiskia rahaaaaaaaaaaa. Hahahahahaha Maashaa Allaah. Allaah akupe zaidi na akufungulie milango ya fahamu, na uwezo wa kuyabeba yalio potoshwa na kuyadadavua moja baada ya moja kwa adillah swahiihah swariihah
Mtume Alikubalika na kuaminiwa toka mtoto mdogo, Kila Mtume aliendaliwa na Mungu basi jua kuna mazuri mengi ambayo wamefanya ili kuja kumlinda wakati alipo mdhihilisha kuwa ni rehma
HUYU KIJANA MUNGU AMUONGOZE NI MGONJWA WA UFAHAMU NA KUELEWA NI MZITO MNO AND MTUME NDIE RA7MAH NA MTUME NDIE QUR'AN YAANI QUR'AN NI THEORY MTUME NI PRACTICAL LAKINI HIDAYA IKO KWAKE ALLAH TUNAMUOMBA ATUONGOZE SOTE YAA RABB
Ww masaka tonge barzanj hata mm nisiyesoma najua ya kwambia barzanji imejaa ushirikina na yyte mwenye kufa ktk mambo hayo huyo ni mshirikina na makazi ya washirikina ni Moton yaan mwamsingizua mtume yuwaja ktk magoma yenu ktk maulidi
Maana walichokua wakiringia ni kule kuivungavunga haqqi na ikawa watu hawaelewi kua imevungwa, ila inapo kuja bayana kama hii hakuna atakae chomoza uso wake hapa
@Aziza Aziza sio makosa kunapochafuliwa jambo la dini mwenye ilimu kuliweka sawa, na hilo alhamdulillah Sheikh Muhammad bachu aliliweka sawa kwa idni ya Allah kwa kupitia vitabu mbalimbali vya wanachuoni wakati gani mtu anatakikana akosolewe kisiri au kwa dhahiri.
Mimi siku zote hubaki kuwa mwanafunzi, toa hoja ukirejelea tafsiri kadhaa za Quran. Ni vizuri ukisoma ayah ukirejelea kwenye hizo tafsiri. Na hii ndio nidhami ya elimu ya Quran.
Allah akupe ulinzi put utapokuwa na akuepushe kila sharri Tumekuelewa Maulid hayamo ktk dini ila ni uzushi ila ni mipango tu ya kufanya Israfu ya Mali zetu WTawfiq Amiyn
Hivi Shekh maulidi hayafai mm nakusikiza kila siku ukiskia ma shekh wengine wasema yafaa hujui umuamini nani mwatuchanganya jamani Lakini sitochoka kusikiza maneno yako
@@adamsamata8754 ndugu zangu waislamu,tusifisteni mikumbo na akili ya kichwa tusomeni ndio tutapata ufumbuzi wa hayo yote,Allah anasema hatomuadhibu mja mpak amletee mjumbe ,mjumbe ndio aliokuja na ufunuo wote kupitia Quran,na allak akasema poa mkizozana kuhusu jambo Fulani rini kwenye qurani na Sunna aii hadisi sahihi buhari na Muslim na hadithi Al qudus.wallahu aalamu.
Kama mnataka mdahalo jipangeni mumualike yeye hana neno maadam mdahalo.wa kielimu sio wa kiujanja ujanja wa vijitabu visivyo na kichwa wala miguu, mdahalo bora wa Quraan na hadithi sahihi na sio hadith za kutunga ambazo dhaifu.
Raisi wetu ni ruto tumsherehekee siku yakuapiswa au siku yakutangazwa ushindi au siku yakufa waonaje zote tatu tukafurahikia ataskia vbaya akienda safari sikuyuwarudi tukasherehekea atakasirika sioni kipimo chakumfurahia rais ruto je sembuse mtume muhammad
Lakin haka kajamaa ka Lamu tukaombee maana wengi wamepata faida kupitia video hii kwa sababu ya kuropoka ropoka kwake uzushi wake maana kuanzia itikad yake na mafundisho yake yote ni mabovu. ukiwa na akida mbovu ambayo ndio msingi basi kote kwengine ni ubovu mtupu na naamini wengi waliokuwa wanaifuatilia video hii wamepambazukiwa na wamepata faida ya kujua kuwa Barzanji (au Baraza nje) ni maneno ya barazani tu ya porojo ambayo tunapaswa wote tusimamie watu wajue maana ya upuuzi ulioandikwa humo. Hivi mtu anakufa halafu arudi kumzalisha mtu wamepata wapi haya kama sio wahyi wa shetani kwa kuwatokea? na kwakuwa hayapo katika Quran na hadith wamepata wapi haya mambo? Naomba kila anayetetea hoja ya Barzanji aje na aya au hadithi sio blaa blaa. na hao wanyama waliofurahia waliwaona wapi katika hadith na vipo visa vingi vituko barzanji imevisheheni humo, Kiukweli ulio wazi barzanje ni kitabu mithli ya hadith za punda na Juha
Hana elimu huyu kwanza kasoma wapi anajisomea tu mwenyew ndo maana wenye Elimu zao hasa watu wazima hawamjibu akikua ataacha balehe inamsumbua anafasiri matini kwa ubongo wake mwepesi inamana huko kote wat walikufa maqafiri. Mtume (saw) UKIMREMBELEA MWENZIO UKAFIRI BASI UNAKURUDIA MWENYEWEO, mtajijua na kuyumbishwa kwenu na watt wadogo wasio na elimu ya mambo, Imam Shafi anasema ANAEJIDAI KAJUA MWAMBIE KAJUA JAMBO MOJA MENGINE HAYAJUI. hamna kitu hapo HANA AGENDA HUYO SHEKHE WENU KOKO.
Sheikh usilete maneno ya kwenye khanga. Lete hoja zako zilizowazi. Unaposema kasoma wapi unataka ujue nini. Kama una hoja pangua hizo zilizoletwa kwa aya. Sema kama hizo aya hazipo kwa mashaf au anatunga fasiri yake. Wewe waonekana hata hujui kitu. Mtu anakupa rejea hutaki kufuatilia hizo rejea unaleta maneno ya mtaani hapa???You are damn dead
Kwaio unasema hajasoma izo aya na hadithi anazozianisha katunga mwenyew? Kama rahisi hemu toa japo hadithi moja na aya moja inayosema maulidi ni halali
Wewe unayo elimu mbona mumeacha watu ujingani huyu babake mwenyewe shekh dini imo ndani ya damu yake ubishi usio na maana hautampeleka mtu peponi duniani tunapita ukiwa kaburini ndio utajua
Washangaa hilo na jiwe lilivyo muamkia lilipata wapi mdomo sheikh Kalale bwana ulithibitisha hapa kwamba jiwe lilikuwa likimumkia mtume umesahau na hili muda huu
hivi msufi yeyote aje anijibu apa... hvi mimi nisipofanya mawlid napata dhambi? na je moja ya itikadi yao kwamba kama usherehekei mawlid utakua humpend mtume s.a.w???
Mwenyezmungu Anasema, HAtukukupeleka ewe MoHAMMAD ila hali y kua n Rehma kw viumbe wote. Swali , HUKU KUA MTUME MOHAMMAD NI REHMA kwa viumbe kulianza wakati gn? Je kulikua kabla ya utume wake wa baada ya utume?
@Ahmad Zubeir...matusi ni tabia yenu ila haki itabaki haki hata ukimtusi sheikh matusi yote unayojua, sisi jibu letu kwako na wenzako kama wewe ni SALAAMAN.. "Na waja wa ALLAH (ARRAHMAAN) ni wale ambao wanatembea juu ya ardhi kwa unyenyekevu, na wajinga wakisema nao (maneno mabaya) huwajibu (maneno ya) salama. *SURAH AL FURQAAN* #AYAH 63#
Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakaatuh jamani Shaikh Ahmad Bachu challenge yako hata i"rabu ya hizo aya mbili bainal ardh was samaa' tufanyieni madarasa kwa insaaf ikhtilaaf ni rahma kwetu kwa kuwa nyinyi ndio wa kutuekea vipimo tujue ukwel na baatwil wa illa tukijaziana anwaani za kukomeshana huko tukipeana challenge za kupimana akili badala ya kuelimishana si vzri
Huyu jamaa naona atachizika hoja ya watu wa maulid Mtume ( S A W)ni rehma sawa sawa iwe kuzaliwa kwake au kupewa utume kwake au kufa kwake hoja ilikua akatae kuwa Mtume si rehma lakini pia kasema kabla ya kupewa utume walinufaika vipi na rahma hii Aya inasema للعالمين hakuna zama zilizovuliwa Wala hajasema liumati Muhammad(S A W)
Kwa ambaye hapendi elimu ataona ni mabishano lakin ndio akida na ni msingi wa dini na dini yetu inakwenda kwa elimu na elimu ni kitu cha kwanza, tukiwa tutakaa kwa ujinga eti hatujui kitu tunataka umoja ndio bila elimu ndio zile zama atakuja mtu aso na elimu atawapoteza watu naye anapotea na hiI ni zama mbaya sana ambazo hadith sahihi imezitaja zitatokea, Wanaomukhofia Allah zaidi ni watu wa elimu sahihi. na mtume ndipo elimu ilipochukuliwa.
Nisifa gani ambayo mtume hana kama ni mawidha mtume ni mir'aatu lilmuuminiin mtume nishifaa mswalie mtume ukiwanamaradhi utapona mtume ni haadin yahdii ila ssabiil sifa ambayo hana mtume sijaiona kuwa muadilifu
Xx km mtume kuzaliwa kwakwe hakukua na faida unakosea sheikh wangu ,maana xiku ya kuzaliwa mtume ni xiku ambayo ilikua ni yenye barka kubwa, xx ww unasema kama hakukua faida yoyote. Na wakati dalili zote za utume alikua nazo ,na baadhi ya watu walijua,. Xx ww bachu unapotoa watu ,ww kazi yako mipasho tu
sasa inamaaana sheikh tusione hata umuhimu wa mama yake maana wakati anapewa utume yeye alikuwa keshafariki na hakumjenga kiaina yoyote maaana mama alikufa mapema.hapa vipi sheikh
Yani mimi nikiwasikiliza hawa mawahabi najiuliza tatizo ni ubongo wao au ni mfumo waobmbovu wa elimu.Hivi inahitaji mihadhara ya siku tatu kuwa kukanusha rehema za mtume kweli? Alafu Tina yake ni nini watu wakijua mtume hakuwa rehema hapo mwanzo.alafu kajitutumua na aya nyingi na hadithi na wanazuoni wasiojulika ilikuonyesha anaelimu.kumbe hoja yake ni fupi tu.anachokanusha nikwamba mtume hakuwa rahma kabla ya utume.huo ni uwongo kabisa. Kwanza nimuulize mtume alianza kuitwa Asadik al amini lini.kabla au baada.mtume aliitwa asadiq alamini kabla ya utume.hii ina masna mtume alishaanza kuifundisha na kuishawishi Jamie kuwa waaminifu..jee hii si rehma? Pili mtume aliwakuta wanawake wengi wajane na hawana mtu wa kuwasaidia .mtume akasnzisha NGO maalum kuwasaidia wanawake na watu wanyonge kabla ya utume wake.jee hii si rehma? Tatu tunafundishwa makuraishi walitaka kupigana wakati wakukarabati alkaaba.mtume kwa busara zake na hikma za utume akasukuhisha nakuraishi.je hii si rahma? Hawa mawahabi mujasima ni makafiri tu
Tija mtoke kwenye ushirikina na mkome kumpa mtume Muhammad (swa) cheo asichostahiki,kweli nimeamini kusoma mbali na ufahamu kitu kingine,laiti ungelikuwa umeskiliza vizuri mawaidha hili halikuwa swali la msingi,lkn umekaa kiushabiki ndo matokeo yake kama haya.
@@mwaramimwarami1479 mimi nafikiri mawahabi ndiyo mbumbumbu hawailewi kitu. Sasa ukisema mtume ni rahma kabla au baada ya utume shirki ipo wapi hapo. Shirki nikumpa mtu sifa za mungu. Je ukisema mtume ni rehma ndo umempa mtume sifa za mungu.nyinyi ni mahahili kweli.ndo maana mbamungu aiyekuwa Allah.mungu wa mawahabi anaviungo kama binadamu, pia ana shuka na kupanda kama ndege.mungu wenu anamakao makuu mbinguni kama mawingu.pia mungu wenu analaa kwenye arshi na makalio yake yameoitiliza kwa vidole vinne. Haya na mengine utayapata kwenye kitabu cha ibn taymiyah majmaul fatawa vol.2 hadi vol.7.sasa mtu mwenye elimu na akili timamu anaweza kuwa na mtazamo juu ya mungu kweli.ndo maana wanazuoni wamewaita mujasima. Na mujasima ni makafiri kwa mujibu wa ijmai ya wanazuoni wote.
ndugu umesikiliz clips zote tatu za sheikh muhammad au unakurupuka maan hujui hat kinachoongelew fuatilia vzur km kwel watak kuping sio unaangalia nusu nusu fuatilia kuanzia clips ya kwanz mbk hii ya tatu kwnz hii clip si ya shirk hii mada ni kuw mtume ni rehma baada ya kutumw au kawa rehma kwtu alivyozaliwa na shekh muhammad akasema shirk ipo kwny barzanji hyo mtunzi wa hcho kitabu kwnye baadhi ya riwaya kamap mtume s.a.w sifa amabazo si zake fuatilia vziri katika clip ya pili km kwl watak kuijua haki..Na kuhusu mungu SUBHAANALLAH uko mbali ndug yang Allah kathibitihsh kuwa anamkon akisema kumwambia sheytw la'anatullah a'layh kuw vp unakataa kumsujudia yule ambae nimemuumba kw mikono yang sas Allah anasema kuw anamko wew unaping na Allah nd msema kwl kuliko yeyot na mtume alimuuliz mtu kuwa ainallah. Allah yuko wapi akasema mtu hyo Allahhu fissamaah kuw Allah yupo mbinguni yaan juu na mtume hakukanusha hlo na pia kasome suratul mulk aya ya 16-17 أَأَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاءِ أَن يَخْسِفَ بِكُمُ الْأَرْضَ فَإِذَا هِيَ تَمُورُ Mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwa hatakudidimizeni kwenye ardhi, na tahamaki hiyo inatikisika! Allah mwenye anathibitish kuw yuko juu f ww unakanusha wee na Qur-an nan anasem kwl na Allah anasema yy hafanani na chochote nae ni mweny kusikia mwenye kuona sas akiwa na mkono sio nd atafanan na mwanaadama akili yako ya kufikilia ni ndog sna kwani mkono wa monkey na wako ni sawa fungua akili yako ndug kuona kwako ni sawa na anavyoona mwewe hakufanani kabx ss viumbe tu hatufanan katika maumbo vip useme Allah akiwa na mkono utafanan na wabinadamu mkono wa Allah unafanan na utukufu wake nakuona kwake pia na hata huko kuwa kwake katk A'arish yay nd anajua vipi yupo hko juu yako kuchukua kam ilivyokuj kwny Qur-an usilete tafsir zako wakat mtume s.a.w hakusafili km hvy والله اعلم Allah akuongoze ww na mm katk kuifuat Haki
@@abiabi9353 ukijihis wewe unafaham na yeye afahamu ebu jitahd ukutane nae mfanye mnakasha wa waz tukifunze zaid!!! usije ukawa unasumbua kwny comment section na hoja za kukaririshwa
@@Yu-jr9uf Huyo jahili hana chakunifundisha mimi. Huyo jamaa anajiulixa swali alafu anajijibu mwenyewe. Tatizo la mawahabi kiarabu chao kidodo sana alafu nahisi mfumo wao wa elimu wanavyofundishwa ni mbovu sana. Clip zake zote za nyuma nimezisikiliza .nilicho gundua nikwamba ufahamu wake ni mdogo.yeye anataka sifa ikitumika kwa Allah isitimike kwa mtume wala binadamu mwengine yeyote. Nahiyo haiwezekani.kwasababu zipo sifa ambazo Allah anazo lkn pia kama binadamu. Kwamfano Allah ana uhai na sisi tuna uhai.lkn uhai wa Allah ni absolute ,yani tofauti na 8hai wa binadamu.uhai binadamu unategea Allah. Pia Allah anaumba na sisi tuna umba .lkn uumbaji wa Allah ni absolute lkn umbaji wetu unatumia vipawa alivyotupa Allah kutengeneza .vitu. pia Allah ni bwana na mtume pia ni bwana.lkn ubwana wa Allah ni absolute lkn ubwana wa mtume nikiasi alichopewa na Allah. Hapo mawahabi hawaelewi. Pia Alikuwa anakanusha kuwa mtume si rahma kwa mujibu wa ata ya bifadhlillah.lkn yeue mwenyewe katoa hadith ya ibn Abbas mwanzo kuthibitisha hilo.sasa ngonjera zake alizo endelea nazo hatuna haja nazo. Pia alikuwa anapinga kuwa mtume hakuwa rahma kabla yakutumilizwa kwake.hiyo sikweli.labda mawahabi hawajui maana ya rahma. Walahaihitaji aya wala hadithi kuthibitisha kuwa mtume alikuwa pia rahma kabla ya kupewa utume. Unahitaji kujua historia ya mtume tu.kwa mfano mtume aliwakuta wajane wengi na wazee hakuna wakuwasaidia.Mtume akaamua kuanzisha NGO kuwasaidia. Je hiyo si rahma. Mara ngapi watu waliodhulumiwa wailkwenda kwa mtu kuwasaidia na akawasaidia kudai haki zao.je hiyo si rahma. Tunajua mtume alimuwa anaitwa Asadiq Alamin.hii inaonyesha alivyoweza kubadilisha watu mamna yakuamiliana kwa ukweil .je hii si rahma? Pia kama mnasema mtume alikuwa rshma alipopewa mtume.sasa angekuaje mtume bila kuzaliwa. Kwahiyo haya mawili yanakwenda sambamba.tatizo mawahabi wanapenda kujichanganya tu
Mwenyezimungu akulipe kheri Kwa kututoa gizani
Allah akuhifadhi na kila shari. Na akuzidishie upole, unyenyekevu na hikma zaidi.
Sheikh Muhammad bachu, tunakupata vizuri, wamekufungia zanzibar,lakini tunapata elimu kupitia huko huko mombasa, mungu akuzishie ustahamilivu wa vikwazo unavyopewa ,, ,amin
Wallahi mtu pekee aliyenifanya mimi na Maulidi sahii ni X ni Allah kupitia Sheikh Nassor Bachu Allah amuhifadhi,mwataka maelezo gani mengine jamaa zaidi ya haya......Muhammad Al Hatimy Allah amuongoze aweze kuifuata haki....tatizo labda hataki kuonekana ameshindwa lakini katika dini hakuna kuoneana haya kama hujui ULIZA ,wafuate waliokuzidi ILMU....tumeimbishwa Maulidi kuanzia utotoni madrasa SubhanaAllah 😪 Allah atusamehe....
Allah Akulinde na Shari, na akulipe kheir Dunian na Akhera.
Baaraka llahu fik,nakuelewa sana shekh Muhammad bachu,niliyaacha maulidi tangu nilipokusikiliza mara ya kwanza na Leo umenikinaisha, namuomba M'mungu akujaalie kila la kheri,azidi kukujaalie elimu na ufahamu ili tustafidi pia akupe mwisho mwema
Ameen
Aamiin
Mwenye zimungu amfungulie sheikh mohd bachu ilimu na mtu anae shikana na bidaa huwa yuko kwenye giza haioni haki .(astray peoples)
Amiin
Kwa hyo maulid n bidaaa?
Maashaa Allaah Shekhe Muhammad ALLAAH akuhifadhi na akulinde na shari za watu waovu, pia tuna muomba Mola wetu Mlezi awaongoze ndugu zetu Masufi kwenye Sunnah
Alafu haka kajamaa kanajichanganya chenyewe.mwanzo kataja hadith ya ibn Agassi akielezea aya ya bifadhli kuwa rehma inayo kusudowa hapo ni mtume na Allah anatutaka tufurahi kwa rehema hiyo. Sasa mbele anakanusha.sasa huwo si uchizi. Alafu anapodai kuwa rehma ya mtume inapatikana baada ya kupewa utume.sasa angepewaje utume ksbla ya kuzaliwa.au angepewaje utume kama asingezaliwa.au angepewa utume tumboni kwa mamake. Yani mawahabi ni akilifupi.
Maa shaa allah. Haki itabaki kua haki tuu .... ان الباطله كان زهوقا
Ustaz wenu ndio ilikua anajipanga, kaja kuvunja hoja ya miaka mitano iliyopita sharti Muhammed Bachu amjibu
@@eastzooadmin6416 mmi sisapoti maulid akhy
Jazakhillah kheri nimejifunza Allah akuifadhi sheikh maisha malefu kwako
Wallah najuvunia sheikh Muhammad kua nae katika upande mmoja
Watu wa bidaa hawamo kabisa shk shukran sana kwa uwazi wa kweli wapoteza ummah watu wa bidaa
Allah akuzidishie elim yeny manufaa ewe sheikh wetu isiokua na riyaa
وما أرسلناك إلا رحمة للعالمين. Tutasoma maulidi mpaka Qiyama inshaAllah. Na wewe utakoma kupinga karibu inshaAllah kama wenzako. Jisifu tuu ati wewe ni Muhammad Bachu. اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آل سيدنا محمد الطيبين الطاهرين.
Swali zuri shekhe kapeana. Jazakallah million kheir
Jazaka ALLAHU khairan
Maulidi ni yoote ni Rehma na Kuzaliwa. InshaAllah utapata jawabu lako.
Mashaallah allahumma barik alaihi, allahumma hifadhu hu
Wewe Muhammad unaumia roho sana Mtume Muhammad (S.W.) kusifiwa, kutajwa kwa mazuri. Na hii ni kwa mawahabi wote. Jichunguzeni na mjitathmini. Hivyo vitabu unavyorejea vyote vimeandaliwa na mawahabi. Tafsiri kwenye baadhi ya maeneo zina mawazo tofauti. Wewe n
i Mtoto mdogo kwenye dini. Kwenye din uelewa wako hauko juu ya kila mtu.
Mashaallah shekh Allah akufanyie wepsi duniani n ahera
Mashaa allah Mungu akuhifadhi tumefaidika alhamdulilah Mungu akulipe kila lakheri nabaraka
Barakallahu fik
Sheikh wangu kwaajili ya Allah nataka mawasiliano nawew
Elimu inayo tumika hapa inawatia khofu masufi Wallaahi nakwambia Shekh Muhammad
Maashallah
Barakh Allah fikh
Maulid ni bidah Yani uzushi imeleweka shukran shekh
Maasha Allah
Tumekupata vuzuri sana maalim wetu,ubishi ubaki kwa maslahi ya watu tu
Ramadan tunaomba tupate seira ya Rasuli llah
Nenda ukasome tadhali sana kwasababu unachokisema ujuwi
KUNA HADITH YA MTUME SAW YAASEMA FUATA AMBALO HUNA SHAKA NALO UWATE AMBALO UNA SHAKA NALOO.
دع ما يريحبك إلى مالا يريحك.
KWA HIVO KUTETA KUTUKANANA HAKUSAIDI KUNA MENGI YA WAAJIB.
INSHA ALLAH.
الله يعطيك العافيه
Masha'Allah! Ss kwetu Burundi hizo mambo za kusoma maulidi hakuna kabisaaa sijawahi ziskia na kuna nini hiyo kusoma maulidi
Ndo maana hamwishi vita
Humjuyi kitu burundi inasomwa eeee huyu Hana lolote elim hakuna hapo weka namba tuweke hoja
Maulidi siyo haram
@@mwalimumuhidini1544 alie kwambie Burundi kuna vita ninani?
Naaaam sahih Allah akulnd
Mung akulinde sheh wangu yaaan wew umekuta kuokoa watu najanga la wapotoshaji nausikate tamaa sheh indelea nadaw nallah atakulipa
Sisi tunaendelea kukuombea maarifa ya Dini zaidi na zaidi, maana masufi hujiona wao peke yao ndio wenye elimu, lkn ukiwaangalia wenye elimu nafsi yako hujiskia rahaaaaaaaaaaa.
Hahahahahaha Maashaa Allaah.
Allaah akupe zaidi na akufungulie milango ya fahamu, na uwezo wa kuyabeba yalio potoshwa na kuyadadavua moja baada ya moja kwa adillah swahiihah swariihah
Allaah akulinde na Riyaa
Sheikh vipi mbona riyaa tena? Umejuaje riyaa tena?
Daaii shekhe nimeanza kukuelewa kwa ufafanuzi wako mungu akupe umri mrefj upande wa pili ? Kimya
Mashaalahh
Mtume Alikubalika na kuaminiwa toka mtoto mdogo, Kila Mtume aliendaliwa na Mungu basi jua kuna mazuri mengi ambayo wamefanya ili kuja kumlinda wakati alipo mdhihilisha kuwa ni rehma
Suratu fiiil inaeleza rehma zamtume siku ya kuzaliwa jeshi la ndovu lilisambaratishwa
HUYU KIJANA MUNGU AMUONGOZE NI MGONJWA WA UFAHAMU NA KUELEWA NI MZITO MNO AND MTUME NDIE RA7MAH NA MTUME NDIE QUR'AN YAANI QUR'AN NI THEORY MTUME NI PRACTICAL LAKINI HIDAYA IKO KWAKE ALLAH TUNAMUOMBA ATUONGOZE SOTE YAA RABB
Kwahiyo Quran ni kiumbe??? Ukisema Quran ndio mtume inamaana nikiumbe na imefariki .au sijakuelewa?
Kwahiyo mtume saivi yupo hai maana tupo na Quran namtume kafariki miaka na miaka sasa ukisema mtume swalallah alayhi wasalm ndio Quran sukuelewi
Ww masaka tonge barzanj hata mm nisiyesoma najua ya kwambia barzanji imejaa ushirikina na yyte mwenye kufa ktk mambo hayo huyo ni mshirikina na makazi ya washirikina ni Moton yaan mwamsingizua mtume yuwaja ktk magoma yenu ktk maulidi
Mtume ni Quran inayotembea
Innalillah wainailaihi rajiun, mi nadhani wewe ndie mgonjwa hasaa wa ufahamu maana umeandika kufru
Haki ya haki nikkubali haki.
Mashaallah . Tokomeza bidaa imedhihiri
Hatmy hapa Kenya twamjuwa
Hana kitu ndipo masheikhe wasijibu
Elimisha sheikh langu elimisha
Watu wabidaa hawapendi mtume salalahu alayhi wasalaam wangekuwa wampenda wagemtwee
Muhamd bachu kasome weww acha kubishana na masheikh lugha ya kiarabu hujui ww
Jamani napataaje mawasiliano ya Sheikh
Duh wewe ndugu yangu unamatatizo katika mahfumu
Hayo maneno ya Ibn Hajar Al-Asqalany yameachiwa katikati....siku nyengine yamalize.
Shekh bachu umetumwa au au kuna nn.
Keep good job
Wambie washirikina
Me bachu ww sikufati,ni mpotoshaji.
Usimfate Muhadhir ila fuata kile kinachoelimishwa kuwa ni Haqi
Maana walichokua wakiringia ni kule kuivungavunga haqqi na ikawa watu hawaelewi kua imevungwa, ila inapo kuja bayana kama hii hakuna atakae chomoza uso wake hapa
Swadakta
Assalaam allaykum warahmatullah wabarakatu enyi mashekh mngali kaa chini mkafahamiana nyinyi nimfano kwetu Sasa mkiwa hivo elekea wapi
Anatuelimisha sote
@Aziza Aziza sio makosa kunapochafuliwa jambo la dini mwenye ilimu kuliweka sawa, na hilo alhamdulillah Sheikh Muhammad bachu aliliweka sawa kwa idni ya Allah kwa kupitia vitabu mbalimbali vya wanachuoni wakati gani mtu anatakikana akosolewe kisiri au kwa dhahiri.
@@عمرأحمد-ص9ل4ش shukran allah alete kheri zake
🤲🏽آمين🤲🏽
Elimu kubwa sanahii wallahi kwa wenye akili
Hakikaaaaah
Aje na vitabu aje na vitabu. Sio mifano ya udereva dini sio gari
Naaam
Sheikh wangu naitaji mawasiliano yako
Hatuachi kosoma maulid.
@@cabduraxmaanxaaji2472 utaenda kuacha motoni sio maneno yangu (kila uzushi ni bidaa na kila bidaa ni moto)
Mimi siku zote hubaki kuwa mwanafunzi, toa hoja ukirejelea tafsiri kadhaa za Quran. Ni vizuri ukisoma ayah ukirejelea kwenye hizo tafsiri. Na hii ndio nidhami ya elimu ya Quran.
Hoja zinahitaji maarifa yalio pevuka kama haya, nasio maarifa machanga, au yalio vungwavungwa kwa uongo na upotofu ambae elimu haitambui manyago yake
Hayabwanaa wafundishe watu wasimpende mtume sindioutakavoo halafu hueleweki pia muogope mungu usimtaje mtume kama mtuwakaidaa achasifaaa okomambasa utawafitinisha waislam kwamambo yako nachuki zako juuyamtume ila utasumbuka buree alishindwa abuujehli utaweza ww
Sisi sote tunampenda mtume ila mapenzi yetu isiwe sababu ya kupetuka mipaka tukampachika sehemu asio stahiki.
Allah akupe ulinzi put utapokuwa na akuepushe kila sharri
Tumekuelewa Maulid hayamo ktk dini ila ni uzushi ila ni mipango tu ya kufanya Israfu ya Mali zetu
WTawfiq
Amiyn
قال الامام الشافعي رحمه الله
((من سام نفسه فوق قدره رده الله إلى.قدره )).
من قريب إن شاء الله ستعرف قدرك
Sheikh wangu naomba namba zako ninashida nawewe sana sijui nazipataaje
Duu mama wa Yesu aje kumzalisha Mama yake Muhammad mbona uongo ulio tukuka, daah, haya kanyaganeni wenyewe ila tunawafatilia vizuri
Nyinyi mufate hakii acheni kutusi masherhe ndo haki île watu wa bidaa musikiye na viremba al-hatimy kuja ujibu sasa na shirki zenu!!
Eti ni kweli mimba ya mtume SAW wanyama waliongea kiarabu fus'ha 😂
Hivi Shekh maulidi hayafai mm nakusikiza kila siku ukiskia ma shekh wengine wasema yafaa hujui umuamini nani mwatuchanganya jamani Lakini sitochoka kusikiza maneno yako
Kila anaemchukia mtume hapendi maulidi
@@adamsamata8754 ndugu zangu waislamu,tusifisteni mikumbo na akili ya kichwa tusomeni ndio tutapata ufumbuzi wa hayo yote,Allah anasema hatomuadhibu mja mpak amletee mjumbe ,mjumbe ndio aliokuja na ufunuo wote kupitia Quran,na allak akasema poa mkizozana kuhusu jambo Fulani rini kwenye qurani na Sunna aii hadisi sahihi buhari na Muslim na hadithi Al qudus.wallahu aalamu.
Kama tuna ruhusu yaku furahikiya qur'an bila kaifiya, vipi kumfuraikiya aliye kuja na qur'an ?
Unajitia ahibu ndugu yangu dah kweli wewe ni kaniki
Mawahabi na shia ni baba mmoja na mama mmoja
SHEKHE tunataka namba. Za simu tunataka mdahalo sisi
Mdahalo wa nni mbona majibu yanajitosheleza akhy!
Kama mnataka mdahalo jipangeni mumualike yeye hana neno maadam mdahalo.wa kielimu sio wa kiujanja ujanja wa vijitabu visivyo na kichwa wala miguu, mdahalo bora wa Quraan na hadithi sahihi na sio hadith za kutunga ambazo dhaifu.
kama mnahoja nzur mtafteni tu tupate kuelimika zaid
iyooo
Wenye kufuata bidaa siku zote wa natembea kwenye Giza ni watu walio potea ata ukimlekeza njia hawataki njia ilio nyoka wana taka njia ilo potea.
Allah akuongoze unavopotosha watu na khutba zako 😢
Ww kakojolewe uko Jing kbx
Usihukum jambo usillolijua utaidhulumu Nafsi yako
@@mohamedswaleh6778 kama unavokojolewa na babako mzazi
@@fauziakitenge8061 nendaa kakojolewe usilete utto mbele y wanaume unavyo kose heshim n walimu inaonekan waz bbako mzz anakukojolea
@@fauziakitenge8061 mbwa km ww unawez thubutu KU comment nni mbele y walimu xhenz kbxa
Ishara za utume walianza kuziona watu wa injili acha uongo bwana
Tufundisheni dini sio kuoneshana usome mashekh kwely wameisha Sasa ni washindani tu
Raisi wetu ni ruto tumsherehekee siku yakuapiswa au siku yakutangazwa ushindi au siku yakufa waonaje zote tatu tukafurahikia ataskia vbaya akienda safari sikuyuwarudi tukasherehekea atakasirika sioni kipimo chakumfurahia rais ruto je sembuse mtume muhammad
Lakin haka kajamaa ka Lamu tukaombee maana wengi wamepata faida kupitia video hii kwa sababu ya kuropoka ropoka kwake uzushi wake maana kuanzia itikad yake na mafundisho yake yote ni mabovu. ukiwa na akida mbovu ambayo ndio msingi basi kote kwengine ni ubovu mtupu na naamini wengi waliokuwa wanaifuatilia video hii wamepambazukiwa na wamepata faida ya kujua kuwa Barzanji (au Baraza nje) ni maneno ya barazani tu ya porojo ambayo tunapaswa wote tusimamie watu wajue maana ya upuuzi ulioandikwa humo. Hivi mtu anakufa halafu arudi kumzalisha mtu wamepata wapi haya kama sio wahyi wa shetani kwa kuwatokea? na kwakuwa hayapo katika Quran na hadith wamepata wapi haya mambo? Naomba kila anayetetea hoja ya Barzanji aje na aya au hadithi sio blaa blaa. na hao wanyama waliofurahia waliwaona wapi katika hadith na vipo visa vingi vituko barzanji imevisheheni humo, Kiukweli ulio wazi barzanje ni kitabu mithli ya hadith za punda na Juha
Nimekua wa mwanzo kusikiliza hii.haya tunamsuburi malemba aje uwanjani ajibu hoja.
ZSHEIKH MUHAMMAD NASSOR BACHU YAANI NAKUELEWA SANA KULIKO SHEIKH WA VILEMBA
Sheikh Muhammad Iddi aupate ujumbe huu
@@abdallahmgaya7521 😂😂
Hana elimu huyu kwanza kasoma wapi anajisomea tu mwenyew ndo maana wenye Elimu zao hasa watu wazima hawamjibu akikua ataacha balehe inamsumbua anafasiri matini kwa ubongo wake mwepesi inamana huko kote wat walikufa maqafiri. Mtume (saw) UKIMREMBELEA MWENZIO UKAFIRI BASI UNAKURUDIA MWENYEWEO, mtajijua na kuyumbishwa kwenu na watt wadogo wasio na elimu ya mambo, Imam Shafi anasema ANAEJIDAI KAJUA MWAMBIE KAJUA JAMBO MOJA MENGINE HAYAJUI. hamna kitu hapo HANA AGENDA HUYO SHEKHE WENU KOKO.
Sheikh usilete maneno ya kwenye khanga. Lete hoja zako zilizowazi. Unaposema kasoma wapi unataka ujue nini. Kama una hoja pangua hizo zilizoletwa kwa aya. Sema kama hizo aya hazipo kwa mashaf au anatunga fasiri yake. Wewe waonekana hata hujui kitu. Mtu anakupa rejea hutaki kufuatilia hizo rejea unaleta maneno ya mtaani hapa???You are damn dead
Tulia dawa iingie bwege wewe
Kwaio unasema hajasoma izo aya na hadithi anazozianisha katunga mwenyew? Kama rahisi hemu toa japo hadithi moja na aya moja inayosema maulidi ni halali
Wewe unayo elimu mbona mumeacha watu ujingani huyu babake mwenyewe shekh dini imo ndani ya damu yake ubishi usio na maana hautampeleka mtu peponi duniani tunapita ukiwa kaburini ndio utajua
Wewe kaa na chuki zako
Washangaa hilo na jiwe lilivyo muamkia lilipata wapi mdomo sheikh Kalale bwana ulithibitisha hapa kwamba jiwe lilikuwa likimumkia mtume umesahau na hili muda huu
Km ujui kitu kakojolewe
hivi msufi yeyote aje anijibu apa... hvi mimi nisipofanya mawlid napata dhambi? na je moja ya itikadi yao kwamba kama usherehekei mawlid utakua humpend mtume s.a.w???
Hupat dhambiiiii
Mwenyezmungu Anasema, HAtukukupeleka ewe MoHAMMAD ila hali y kua n Rehma kw viumbe wote. Swali , HUKU KUA MTUME MOHAMMAD NI REHMA kwa viumbe kulianza wakati gn? Je kulikua kabla ya utume wake wa baada ya utume?
Huyu habiya Hana akili rudi shule kasome uhabiya niukafiri Hana elim
Hampendi mtume kabisa
Towa namba watu wakufuze wewe ndevu kama abujahali tunajuwa hampendi maulidi nyinyi wahabiya
Kwahiyo watu wakienda maulidini wakila wali ndio wanashiba mwaka mzima?
@Ahmad Zubeir...matusi ni tabia yenu ila haki itabaki haki hata ukimtusi sheikh matusi yote unayojua, sisi jibu letu kwako na wenzako kama wewe ni SALAAMAN..
"Na waja wa ALLAH (ARRAHMAAN) ni wale ambao wanatembea juu ya ardhi kwa unyenyekevu, na wajinga wakisema nao (maneno mabaya) huwajibu (maneno ya) salama. *SURAH AL FURQAAN* #AYAH 63#
@omarahmedAllah akuhifadhi
@OsmanAbuu, Allah atuhifadhi sote na atusamehe na atuongoze njia ya sawa, na atuingize mahaba katika nyoyo zetu kuipenda haki na kuifuata.
Muhammad alisilimiswa na nani? maana alitakiwa awe wakwanza kusilimu
Mh
Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakaatuh jamani Shaikh Ahmad Bachu challenge yako hata i"rabu ya hizo aya mbili bainal ardh was samaa' tufanyieni madarasa kwa insaaf ikhtilaaf ni rahma kwetu kwa kuwa nyinyi ndio wa kutuekea vipimo tujue ukwel na baatwil wa illa tukijaziana anwaani za kukomeshana huko tukipeana challenge za kupimana akili badala ya kuelimishana si vzri
Huyu jamaa naona atachizika hoja ya watu wa maulid Mtume ( S A W)ni rehma sawa sawa iwe kuzaliwa kwake au kupewa utume kwake au kufa kwake hoja ilikua akatae kuwa Mtume si rehma lakini pia kasema kabla ya kupewa utume walinufaika vipi na rahma hii Aya inasema للعالمين hakuna zama zilizovuliwa Wala hajasema liumati Muhammad(S A W)
🤣🤣🤣ume gusa! Pole
Mm nimeshagaa pia zinavoingia Kwa hatmy aliposema illa ni atulhasri
Aje mombasa tueke mjadala ache kuruka ruka
Maulidi yamesomwa na wanazuoni wakubw wakubwa wewe bachu ni nani wakupinga tafta kazi ufanye
Hamupingi madisko ma bar makanisa miraa migokaa mpaka vitotoroni mwapinga swallu annabi tafteni kazi mufanye
Mimi naona silazima kubishana mwapata nini achenikubishana kilamtu angaliye anacho kifanya mwatia aibu
Kwa ambaye hapendi elimu ataona ni mabishano lakin ndio akida na ni msingi wa dini na dini yetu inakwenda kwa elimu na elimu ni kitu cha kwanza, tukiwa tutakaa kwa ujinga eti hatujui kitu tunataka umoja ndio bila elimu ndio zile zama atakuja mtu aso na elimu atawapoteza watu naye anapotea na hiI ni zama mbaya sana ambazo hadith sahihi imezitaja zitatokea, Wanaomukhofia Allah zaidi ni watu wa elimu sahihi. na mtume ndipo elimu ilipochukuliwa.
Shekhe wewe unawenge lugha bado sana hujui
Iyo lugha bk nayo ww
Nisifa gani ambayo mtume hana kama ni mawidha mtume ni mir'aatu lilmuuminiin mtume nishifaa mswalie mtume ukiwanamaradhi utapona mtume ni haadin yahdii ila ssabiil sifa ambayo hana mtume sijaiona kuwa muadilifu
Ni sawa ila tumieni hekma munapoongea
Watakao kuunga mkono ni wale walioghafilika
Kumbe waumini huwa wanaongozwa Qur an acha uoga zungumza ukweli mzee
Sasa we hapo rehma kama zipo zaid ya moja mtu acha achague mwenyew
Xx km mtume kuzaliwa kwakwe hakukua na faida unakosea sheikh wangu ,maana xiku ya kuzaliwa mtume ni xiku ambayo ilikua ni yenye barka kubwa, xx ww unasema kama hakukua faida yoyote. Na wakati dalili zote za utume alikua nazo ,na baadhi ya watu walijua,. Xx ww bachu unapotoa watu ,ww kazi yako mipasho tu
sasa inamaaana sheikh tusione hata umuhimu wa mama yake maana wakati anapewa utume yeye alikuwa keshafariki na hakumjenga kiaina yoyote maaana mama alikufa mapema.hapa vipi sheikh
Ndio Ile siku akatafsiri الحوادث kuwa ni matukio mengi 😂😅. Akasahau kuwa si جمع التقسير
Yani mimi nikiwasikiliza hawa mawahabi najiuliza tatizo ni ubongo wao au ni mfumo waobmbovu wa elimu.Hivi inahitaji mihadhara ya siku tatu kuwa kukanusha rehema za mtume kweli? Alafu Tina yake ni nini watu wakijua mtume hakuwa rehema hapo mwanzo.alafu kajitutumua na aya nyingi na hadithi na wanazuoni wasiojulika ilikuonyesha anaelimu.kumbe hoja yake ni fupi tu.anachokanusha nikwamba mtume hakuwa rahma kabla ya utume.huo ni uwongo kabisa. Kwanza nimuulize mtume alianza kuitwa Asadik al amini lini.kabla au baada.mtume aliitwa asadiq alamini kabla ya utume.hii ina masna mtume alishaanza kuifundisha na kuishawishi Jamie kuwa waaminifu..jee hii si rehma? Pili mtume aliwakuta wanawake wengi wajane na hawana mtu wa kuwasaidia .mtume akasnzisha NGO maalum kuwasaidia wanawake na watu wanyonge kabla ya utume wake.jee hii si rehma? Tatu tunafundishwa makuraishi walitaka kupigana wakati wakukarabati alkaaba.mtume kwa busara zake na hikma za utume akasukuhisha nakuraishi.je hii si rahma? Hawa mawahabi mujasima ni makafiri tu
Tija mtoke kwenye ushirikina na mkome kumpa mtume Muhammad (swa) cheo asichostahiki,kweli nimeamini kusoma mbali na ufahamu kitu kingine,laiti ungelikuwa umeskiliza vizuri mawaidha hili halikuwa swali la msingi,lkn umekaa kiushabiki ndo matokeo yake kama haya.
@@mwaramimwarami1479 mimi nafikiri mawahabi ndiyo mbumbumbu hawailewi kitu. Sasa ukisema mtume ni rahma kabla au baada ya utume shirki ipo wapi hapo. Shirki nikumpa mtu sifa za mungu. Je ukisema mtume ni rehma ndo umempa mtume sifa za mungu.nyinyi ni mahahili kweli.ndo maana mbamungu aiyekuwa Allah.mungu wa mawahabi anaviungo kama binadamu, pia ana shuka na kupanda kama ndege.mungu wenu anamakao makuu mbinguni kama mawingu.pia mungu wenu analaa kwenye arshi na makalio yake yameoitiliza kwa vidole vinne. Haya na mengine utayapata kwenye kitabu cha ibn taymiyah majmaul fatawa vol.2 hadi vol.7.sasa mtu mwenye elimu na akili timamu anaweza kuwa na mtazamo juu ya mungu kweli.ndo maana wanazuoni wamewaita mujasima. Na mujasima ni makafiri kwa mujibu wa ijmai ya wanazuoni wote.
ndugu umesikiliz clips zote tatu za sheikh muhammad au unakurupuka maan hujui hat kinachoongelew fuatilia vzur km kwel watak kuping sio unaangalia nusu nusu fuatilia kuanzia clips ya kwanz mbk hii ya tatu kwnz hii clip si ya shirk hii mada ni kuw mtume ni rehma baada ya kutumw au kawa rehma kwtu alivyozaliwa na shekh muhammad akasema shirk ipo kwny barzanji hyo mtunzi wa hcho kitabu kwnye baadhi ya riwaya kamap mtume s.a.w sifa amabazo si zake fuatilia vziri katika clip ya pili km kwl watak kuijua haki..Na kuhusu mungu SUBHAANALLAH uko mbali ndug yang Allah kathibitihsh kuwa anamkon akisema kumwambia sheytw la'anatullah a'layh kuw vp unakataa kumsujudia yule ambae nimemuumba kw mikono yang sas Allah anasema kuw anamko wew unaping na Allah nd msema kwl kuliko yeyot na mtume alimuuliz mtu kuwa ainallah. Allah yuko wapi akasema mtu hyo Allahhu fissamaah kuw Allah yupo mbinguni yaan juu na mtume hakukanusha hlo na pia kasome suratul mulk aya ya 16-17 أَأَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاءِ أَن يَخْسِفَ بِكُمُ الْأَرْضَ فَإِذَا هِيَ تَمُورُ
Mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwa hatakudidimizeni kwenye ardhi, na tahamaki hiyo inatikisika!
Allah mwenye anathibitish kuw yuko juu f ww unakanusha wee na Qur-an nan anasem kwl na Allah anasema yy hafanani na chochote nae ni mweny kusikia mwenye kuona sas akiwa na mkono sio nd atafanan na mwanaadama akili yako ya kufikilia ni ndog sna kwani mkono wa monkey na wako ni sawa fungua akili yako ndug kuona kwako ni sawa na anavyoona mwewe hakufanani kabx ss viumbe tu hatufanan katika maumbo vip useme Allah akiwa na mkono utafanan na wabinadamu mkono wa Allah unafanan na utukufu wake nakuona kwake pia na hata huko kuwa kwake katk A'arish yay nd anajua vipi yupo hko juu yako kuchukua kam ilivyokuj kwny Qur-an usilete tafsir zako wakat mtume s.a.w hakusafili km hvy والله اعلم Allah akuongoze ww na mm katk kuifuat Haki