Mt. Kizito Makuburi - Hamkujua (Live Performance)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 кві 2024
  • EASTER SUNDAY PLAYLIST
    Pamoja na Ishara na miujiza mingi iliyotokea tangu kuhukumiwa hadi Kifo cha Bwana wetu Yesu Kristo, Mayahudi kwa sababu ya Ugumu wa mioyo, hawakuamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu, mpaka alipofufuka siku ya tatu.
    Karibu tuungane kumtafakari Yesu mfufuka kupitia wimbo huu kama ulivyoimbwa na KMK MAKUBURI siku ya Pasaka
    WIMBO: HAMKUJUA?
    WAIMBAJI: KMK MAKUBURI
    MTUNZI: HENDRY KIMARIO
    ORGANIST: COLMAN UFUNGUO
    CONDUCTOR: ZACHARIA GERALD

КОМЕНТАРІ • 19