Mt. Kizito Makuburi - Hubirini (Live Performance)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @Mkatachuma89
    @Mkatachuma89 5 місяців тому +4

    Hongereni sana Mt Kizito. Walimu wa Muziki Mtakatifu Tanzania na Africa Mashariki. Tunaendelea kujifunza toka kwenu kila iitwayo. Bravo

  • @eugenekeragori
    @eugenekeragori 5 місяців тому +3

    Hongereni sana collman maze..kipaji unazo kaka pamoja na Vinny mukasa..two young vibrant brothers who doing God's work..makuburi hoyeee

  • @gabrielnyambu8287
    @gabrielnyambu8287 5 місяців тому +3

    Hakika ninyi ni neema isiyo na kikomo, hongereni sana kwa utume wenu na Mungu azidi kuwabariki katika utunzi wa mziki mtakatifu wa katoliki.

  • @marymimina
    @marymimina 5 місяців тому +2

    Hubirini kwa sauti ya kuimba , yatamkeni mpaka mwisho wa Dunia, semeni Bwana amewakomboa watu wake🥰🙏🏻 mmeimba tamu sana🤗👏👏👏👏

  • @IphigeniaAmandus-s7f
    @IphigeniaAmandus-s7f 2 місяці тому

    Hongereni sana kwa uinjilishani, nimemuona Chriss nimefurahi endelea kumtumikia Mungu.

  • @jessiewanjohi3300
    @jessiewanjohi3300 5 місяців тому +1

    Naombeni muwe mnaleta misa live kwa u tube kama zamani

  • @PauloKanje
    @PauloKanje 5 місяців тому

    Hongereni sana kwaya Mt. Kizito makuburi kwa kuinjilisha kwa nyimbo nzuri. Mungu awabariki nyote

  • @idefoncenicholaus9834
    @idefoncenicholaus9834 5 місяців тому +2

    Vocal imesimama sana

    • @piomallya9999
      @piomallya9999 5 місяців тому

      Sure kuna sauti ya kwanza mmoja hapo super🔥🔥

  • @ElidaMtasiwa
    @ElidaMtasiwa 5 місяців тому +1

    Hongera kwa utume

  • @WinifridaMgimba
    @WinifridaMgimba 5 місяців тому +1

    Safi sana waimbaji

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 5 місяців тому +1

    maestro Colman Key kwenye FX

  • @Arati3
    @Arati3 5 місяців тому +1

    Hubirini ❤❤

  • @TonnyMwenga
    @TonnyMwenga 5 місяців тому

    God bless you 🙏

  • @fridoliusrushunju9093
    @fridoliusrushunju9093 5 місяців тому +1

    🙏🙏

  • @stellagaspergamaliel1758
    @stellagaspergamaliel1758 5 місяців тому +1

    🎉❤