BIASHARA 5 ZA KUKUINGIZIA 10,000/=KILA SIKU KIRAHIS//5 BUSSINESS IDEAS TO EARN 10,000/= EVERYDAY
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2021
- JINSI YA KUFUNGUA CHANNEL YA UA-cam KWENYE SIMU YAKO NA ULIPWE
• JINSI YA KUFUNGUA CHAN...
BISKUTI ZA BIASHARA
• Video
MWONGOZO BIASHARA YA JUICE BONYEZA LINK HII
• MWONGOZO WA JUICE//A G...
jifunze na zijue biashara 5 za kukuingizia 10,000/= kila siku kirahisi kupitia video hii.
BIASHARA 13 KWA AJILI YA MAMA WA NYUMBANI
• BIASHARA 13 KWA AJILI ...
Jana nimeangalia video yako ya ubuyu Jana iyo iyo nikafata mahitaji na kuanza kuandaa..unanitia moyo sana na biashara ya juice naitamani ila mtaa wetu mgumu nafikiria niendege kuuza kariakoo eh Mungu nisaidie
Pambana mungu atakutia nguvu
Ww uko wap tuungane yn tuchangie tutafute sehemu tuanze biashara Ila mm sijui kutengeneza juice natafuta anae jua kutengeneza juice vzr na matunda ya mchanganyiko awe mzoefu ambaye Yuko tyr anicheki Ila awe dar
Me ni mtaalamu Sana WA juice fresh.
Na nafundisha watu pia
@@yasinthaprosper4226je una group namie nahitaji kipenz
maasha Allah sadaka kubwa ya idea i like t
MWONGOZO WA BIASHARA YA JUICE BONYEZA LINK HII
ua-cam.com/video/96VzLabR4dM/v-deo.html
Nisaidie number yako my ninashida na ww pls.
Nimependa ideas zako,mungu akuzidishie...new subscriber kutoka kenya
Asante sana dada kwa ushauri wako
Asante mpnz watu wanachukulia easy vitu vidogo lakn bnafaida kubwa thanks kwa ushaurii
Nimekupe bure, Mungu akubariki Dada.
That's great 👏👏👏 be blessed
Congrants kwa video nzur sana, mm nlikuw naomb muongoz mzur wa biashar ya cace
Nipenda sana love it
Kweli kabisa dada
Kweli Dada ahsante
Asant sana kwa Darasa zuri Madame.🙏🙏🙏
Asante sana dadangu
Nilisema nitanunuwa, Brenda kwasababu napenda sana juis
Yani wewe dada nakupendaga sana Sana jinsi unavotufundisha kupika hapa ushauri wako WA biashara Allah akuzidishie moyo huo huo dadangu kutuchanua sisi wanawake wenzako 🥰🥰❤️❤️nimepata kitu hapa aki Acha nifatilie hizo video za kupika keki na biscuit 🍪 nijifunze nianze biashara na mm 😊thanks alot dear❤️🙏🥰
Karibu sana dear,na shukran sana kunifuatilia..bila wewe mimi si kitu.
Nimefurahi sana kama umepata kitu dear..kipambambanie..Allah akufanikishie na atuzidishie sote.
@@kekiplus1andonly Aamiiiiiiiin 🙏
Asante ssna🌹
Vizur sana
MashaaAllah my dear 😘😘
Mungu akubariki sana dada nahitaji muongozo wa biashara ya juice na icrem
Ahsante sana
Asante dad kwa darasa zuri naomb kjua bei ya blenda
Mungu akubariki
Napenda biashara ya viatu na mikoba changamoto niwapi naweza kupata sehem ambayo wanauza jumla napenda Sana hyo biashara
Hongera Sana na hasante. Mi nimevutiwa na biashara ya keki naomba viamba upishi rahisi nitakavyopata hiyo faida. Asante
Mashaallah
Thanks for this video sis. So informative kama kawaida- really love your content❤️
Thanks dear,am really trying here😍😍😍if you know what i mean(am sure you do)lol
@@kekiplus1andonly i do. Ain't easy but it's worth it 😉.. keep doing your thing- you're an inspiration ❤️
Asanteee
Shukran dear
Karibu sana dear
Shukran mnooooooo,,,,,,,
Karibu mnooooo😍😍😍
Asante
Asante umenipa idea
Karibu.sana
Asantee
Mashallha shukurani sana dd kwa kutujuza
Am from Kenya and nigekaa kujua jinsi ya kutegeneza juice na kupack and I will appreciate alot. Allah bless you always for your good heart of helping others with ideas.
Asante sana dear
Karibu sana dear
Ahsant sana
Asante dada
Ubarikiwe
Amina,ubarikiwe pia
Thanks
MashaaAllah shukran sana mpenzi ila keki huku kwetu iko asilimia kubwa sana
Competition pia iko juu zaidi
Ooooh poleni sana,but still your population si ni kubwa pia?just focus on taste & customer care..wateja ni wengi sana...
Yes,apo kwa competition..which is why focus on taste n presentation+customer care
Thanks mami.love u
Asante sana
Maa sha ALLAH
Asante kwa somo
You are doing a wonderful job 👏 🙌 ❤ thank you dear..keep teaching us
Amen,thank you for supporting
@@kekiplus1andonly tunaomba no yako jamani tujekujifunze
Allah akuwekee 💟💟
Nipo dar
Jaman nifanyeje boss naitaji maharifa zaid
axnt Sana kwa mafndxho
Pamoja sn sister
Mungu akubariki mpenzi🤗
Asantee kpenzi naomba recipe ya ice cream
Be blessed love
Asant
Shukran dadaa, naomba unielekeze unapatikana vp ili nije kujifunza baadhi ya vitu kwako
Nikawa nauza, na kachor zote wananunuwa mtoto wa mama mkubwa hodar Wa kuzipika sambusa nzur sana
Biashara ya vijola na visendo unatakiwa kuanza na mtaji wa shingp
Asante sana kwa kutupa somo zuri sana kwa kweli rasilmali tunazo nyumbani zinakaa bure KM Jiko lenye oven, friji, chupa za maji nk tujitahidi kina mama kutumia maarifa haya watoto watafurahia lakini tutachangia matumizi na kina Baba watatuheshimu!!Mungu akubariki!
Ni kweli kabisa,Allah atutie nguvu na uthubutu wakinamama tufanye mambo makubwa.
Asante sana kwa mchango wako.
Thank you my friend
Faida 1000 sukari umeme yaani ujipange
Elfu kumi ni nyingi sana
Mahitaji ya kutengeneza juice in mini na mtaji in sh ngapi!asanteH
Angalia channel yangu video ipo
Nliwai kuuza juice matunda ya efu MBL nltumia sukar nusu nlkua napat faid 4 mpk efu tano kla cku
Nikwelii Nashukuru sanaaaa kwa ushauli wako coz nilikuwa mtu wakuwaza nifanyeje ili niingize kipato at kidogo Nashukuru sanaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏
Biashara za viatu na pochi jmni uku babati nilinunua mzgo wa lki tano duuu nakopesha watu wanatoa kwa kujiskia maana yangu ni hi biashara ya mkopo ni mbaya asee msijaribu yn pambana tu mtu upate ela kwa siku.nawapenda pia asante kwa somo
Biashara ya mkopo siyo nzuri
Kabisa
Asante kwa somo ! Sasa kama Sisi tunaohishi vijijini hivyo vihanzilishi tutavipata wapi ? N'a ungefundisha jinsi ya kuitengeneza keki pamoja n'a Biskuti, tafazali
Jaman natamani kweli kufanya biashara hiyo lakini nimpate mtu mmuaminifu na nimuachie beshara hiyo na tukakubaliana malipo Mimi niendelee na kazi zingine
Biashara ipi mpenzi na upo wapi??
Asante dada naomba recepies za biscuts nimependa Sana.
Ninazo videos nyingi sana za biskuti hapa ziangalie..ila km hazikufai
Endelea kufuatilia channel yangu kwa video zaidi
@@kekiplus1andonly dada mm Nina idear ya kuwa mpishi wa keki tatzo vifaa na pesa sina
@@norbertenock3154 anza hapo hapo ulipo dada,vitu huwa vinakuja badae...jiko la mkaa unalo au gesi,pika keki kwenye sufuria uza 500 kata vizuri usipate hasara,kidogo kidogo unatunza pesa unanunua vifaa kimoja kimoja,unapatikana wapi?
@@kekiplus1andonly nipo chanika
Dad hongera nimeipend video hii naomba ushaur mm najiandaa kwenda chuo cha kati hivi kwa mda huu unanishauli nifanye biashara gani
Una sh.ngapi??na unapatikana wapi??na una ujuzi wa mapishi Aina yoyote?
Mim sister ndan nina kias cha sh 47000 tuu na ninapatkana kigoma kibondo
habar Dada samahan me naitaji kujua kutengeneza caker na biskut Ila Sina vifaa je inawezekana
Ndoyo,inawezekana..kwajili ya biashara keki itakuwa ngumu kidogo..ila km ni kula nyumbani inawezekana..
Biskiti vifaa sio lazima
Notification gang
Aaaaw thank you for supporting 😍😍😍😍much appreciated
Asante. Ni wapi nitapata mafunzo
HV barafu huwa zinaaribika zikikaa kwenye fridge?
Mimi chuo nilikuwa, bauzaga sambusa, za viazi walikuwa wanazipenda sana nisipoenda wana nipigia wote wakawa wananunuwa kwangu
Hongera sana,biashara ya chakula ni nzuri,sambusa za viazi wanafunzi wanapenda sana
Viatu pia wanapenda
Biscuit pia Zinapendwa tulikuwa tunatengenezavga fild
Nilichopenda ni Biscuit.
Asant Sana naomba ushauri kwa Lita tano juice naweza weka matunda mangapi na nanasi ngapi na sukari kiasi ngapi, na je nilazima juice iwe nzito
Nenda kwenye channel yangu sasa kujionea video na muongozo mzima wa biashara ya juice
Kama parachichi na embu nzur au ya embe na pashen nzur
NZUR kwel biscuit hizo
Recep ya ice cream pliz
InshaAllah
Umenipa nguvu leo nimeanza kujifunza kupika cup cake za biashara Mungu nisaidie
Alhamdullillah dear,endelea kupambana..keki ni rahisi kupika
@@kekiplus1andonly Ahsante
Naomba namba yako p/s
Asante dear me nafanya biashara ya online likn sina views weng nifanyeje ili nipate views wengi
Umepata viewers..
Umeme na sukari waambie pia faida elfu uipati
Dada nataka kuanzia juice Nishapur Nina Brenda sina friji
Asa hyo biashara nguo ,mikoba inakuaje
Baby sirleem mm napenda juice na nahitaji kujuwa kutengeza juice tofauti
Samahani dada naweza kupata no zako
Mm naomba unisaidie kitu kimoja mm nimevutiwa kwakweli na maoni yako je kwa ss ambao tunamitaji midogo pengine nina laki mbili tu naweza kufanya biashara ipi
Nimependa ila sijui kupika izo biskuti
Kwenye hiyo faida ya tsh 10000 Itabidi utoe umeme, sukari, hivyo vifungashio, nauli ya kufuata matunda sokoni. Juice ya matunda inafaida kulingana na wateja. Kama una wateja wengi unauza. Pia kama unatumia glas za kawaida pia unauza
Lucy nitafute nikupe utajiri WA mawazo ya juice bure yàani hutoamini
Naomba namba ya simu
Pls namimi nisaidie kwahilo kipenzi
@@yasinthaprosper4226jmn na mm nahtj huo utajr wa mawaz kuhusu juice 🤲
Dada naomba no yako
Me nashida na vifungashio vya biscuits
Keki pia zinapendwa nalijuwa hilo tena izo ndogo watu walikuwa wanatengeneza Zaman tulikuwa tunanunuwa
Ni kweli kabisa
Je mtaji wa.juice inaanza na.shilingi ngapi
Dada asante naomba no yko 🙏
Wanaume bana namba ya nini??? Wewe focus kwenye mafunzo!!!
Ahsante dada nimependa hii video na nataman sana kufanya biashara mojawapo kati ya hizi lkn huwa najiuliza mm bado mwanafunz wa chuo huwa napata changamoto ntawezaje kucontrol biashara yangu na namna vp nitauza....ushaur wako plz naomba maana nataman sana kuanza biashara nikiwa bado nipo chuo
Kama uliniona ninachowaza na Mimi
Naomba namba mpenz
Recipe ya juice pls
Nenda kwenye channel yangu sasa kujionea video na muongozo mzima wa biashara ya juice
Unaitwa nani dada kwa UA-cam niku sach.
asanteeee mamy ila ukitengeza juice ya elfu 5 kwel inakuwa na viwango ya kupata faida ya elfu 10?
Matund ufate soko l jumla cyo reja utapat xn na zaid ya hyo 10
asante sana dada naomba no yko
Du keki moja elfu tano bei hila watu wananunuwa. Watu wanapenda juis na keki
5000 ni kawaida sana kwa keki,na inalipa sana keki.za 5000