HIZI NDO BIASHARA 10 ZA KUFANYA KWA MTAJI WA 250,000/= TU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • hizi ndo biashara 10 za kufanya,na mtaji 250,000 tu.
    kwa biashara nyingine bonyeza link hii
    • BIASHARA

КОМЕНТАРІ • 25

  • @UsherAnorld
    @UsherAnorld 6 місяців тому

    Thanks dada angu ❤

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 2 роки тому +3

    Asante mpenzi kwa maarifa na ujuzi..hizi biashara ni best hulali njaa kabisaaa sabuni za maji zinasave life🤗🤗🥰

  • @Yasintabahati
    @Yasintabahati Рік тому

    Hiyo ya kuuza lasta jmn

  • @humphreykarua5241
    @humphreykarua5241 2 роки тому

    Significantly to take byurvurs ost talentlyH

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 2 роки тому

    Yaan dadangu labda biashara ya maji na vinywaji.lkn ingine ni uongo watu wana hali ngumu vinakudodea mwenyewe.

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  2 роки тому

      Ni kweli hali ngumu sana usawa huu,unapambana ivo ivo tu kipenzi,

  • @matridanikodemasi3824
    @matridanikodemasi3824 Рік тому +3

    👍👍Nimekubali biashar ya mitumba nipambe

  • @reyna0997
    @reyna0997 2 роки тому +4

    Asante nimejufunza ,naomba kuuliz biashara yashuka zile shuka za kukata kitambaa alaf unashona kwa dar dula liko wap

    • @Gersah
      @Gersah 7 місяців тому

      Tandika dear ukiwa asubuhi unakuta mashuka mazuri namakubw kias kwamba shuka Moja unaweza toa shuka mbili palepale Kuna kua na fundi cherehan

  • @emmanuelmathew9917
    @emmanuelmathew9917 6 місяців тому +1

    naipenda sana biashala ya rasta lakin sihelew napataje mizingo nisaidie dada na mtaji ni nao

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  6 місяців тому

      Upo wapi??na unataka rasta kiasi gani? Mtaji kiasi gani??
      Nicheki insta,keki plus tujadiliane vizuri

  • @lisavictor3102
    @lisavictor3102 2 роки тому +2

    Nakupenda sana we dada,you're so open.

  • @azenathawuor8254
    @azenathawuor8254 2 роки тому +4

    Ahsante dada ,basi kua supplier wangu wa leso na dera kutoka Tanzania ,mimi niko kenya

  • @carieen4873
    @carieen4873 10 місяців тому

    Thank you

  • @maguga
    @maguga 2 роки тому +1

    Mie hii yamwisho namba kum ndio ndoto yangu

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  2 роки тому +1

      Asante sana kwa mchango wako dear,
      Unaweza kuweka ukurasa wako wa Instagram hapa ili watu wakutembelee na kuona na kuhakiki biashara yako ili wakivutiwa basi wahamasike Katika hili.

    • @rosemarysulle9288
      @rosemarysulle9288 2 роки тому

      Yaan sasa hiv biashara ya kula tu ndiyo inatoka maana ni laima kula.lkn ati rasta?!ni ngumu sana dadangu watu tumeshazunguka mpk tumeishia kuvivaa wenyewe

  • @mariekabikashabani4325
    @mariekabikashabani4325 2 роки тому

    Thanks you so much my sister

  • @mariekabikashabani4325
    @mariekabikashabani4325 2 роки тому

    Thanks you so much my sister

  • @bettymwanga691
    @bettymwanga691 2 роки тому

    Asante sana

  • @geophreymgangala5798
    @geophreymgangala5798 2 роки тому

    Thank u