SOMO:NGUVU ITENDAYO KAZI NDANI YETU-MCH ABIUD MISHOLI....SIKU YA PILI YA KONGAMANO LA UAMSHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • Ni saa ya matengenezo na kusafishwa kwa kanisa, Ni saa ya nguvu za Mungu na matengenezo matendo makuu ya Mungu kuonekana ndani ya kanisa, Ni saa ya kukomeshwa kwa vitendo vibaya ndani ya familia zetu...Ushoga,ulawiti,usagaji,ubakaji,ulevi na magomvi na vifungo mbali mbali
    Ni saa ya kurejeshwa kwa ibada za Roho na kweli.
    Sikikiliza Nyimbo za Mch. Abiud Misholi kwenye mitandao mbalimbali kupitia Link hizi.........
    Spotify - open.spotify.c...
    Boomplay - www.boomplay.c...
    Mdundo.com - mdundo.com/a/2...
    Amazon Music - www.amazon.com...

КОМЕНТАРІ • 28

  • @kweliyakristoyesu
    @kweliyakristoyesu Рік тому +3

    Nakupenda sana Baba nitakuja mbeya nifike nikuone tu, wachache sana wanao hubili injili halisi ya Yesu kristo.

  • @sharonetsisiche5184
    @sharonetsisiche5184 2 роки тому +2

    From saudi 🇸🇦 bt I am Kenyan, nabarikiwa sana,hadi 11,09,2022,tuko pamoja,

  • @mwakibete
    @mwakibete Рік тому +1

    Nyimb zako mchungji zina nigusa san mungu akubarik

  • @Ndai7
    @Ndai7 Рік тому +1

    Amen mungu asante kwa kuniponya

  • @DanielyMtega
    @DanielyMtega 7 місяців тому

    Mahubiri yako yananibariki sana mtumishi naomba maombi yako

  • @MwamasangulaMgeni
    @MwamasangulaMgeni Рік тому +1

    Wonderful pastor

  • @hebronijaluomahuvi1025
    @hebronijaluomahuvi1025 2 роки тому +3

    Nguvu zaidi ya nguvu.asante baba mishol

  • @vivijohn2578
    @vivijohn2578 2 роки тому +1

    Woooow! Nabarikiwa Sana na mtumishi wa mungu Abiud. Amekuwa wa baraka kwangu, Kila nikisikiza shuhuda zake na injili yke nainuliwa kiroho na Imani yangu uinuka kiwango. Neema Zaidi na upako zaidi Katika jina la Yesu kristo Aliye Hai. Niko Kenya

  • @neemaswai2295
    @neemaswai2295 2 роки тому +1

    Napokea

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 роки тому +1

    MUNGU awalinde pastor Abiud Misholi na Abigail Misholi

  • @danielmbael7424
    @danielmbael7424 2 роки тому +1

    leo volume iko sawa nabarikiwa kutoka kenya

  • @BarnabaChacha
    @BarnabaChacha Рік тому

    Baba yetu mungu aendelee kukupa ufunuo,ili kila asikiaye na kuona apone!!

  • @ashakitwara2350
    @ashakitwara2350 2 роки тому +2

    Ameen Ameeeeeeeeen 👏

  • @AliceNgoi-d1l
    @AliceNgoi-d1l 4 місяці тому

    Barikiwa.sana.sana..baba

  • @elishamwamlima3514
    @elishamwamlima3514 2 роки тому +1

    Amina barikiwa sana baba ABUID na mama abigail

  • @kennedymwampote215
    @kennedymwampote215 2 роки тому +1

    Baba abyudi misholi barikiwa

  • @mariarin6428
    @mariarin6428 2 роки тому +1

    Amen Amen

  • @vivijohn2578
    @vivijohn2578 2 роки тому +1

    Aminaaaa mtumishi wa mungu

  • @kennedymwampote215
    @kennedymwampote215 2 роки тому +1

    Mchungaji abigaeli barikiwa

  • @getrinebulinda288
    @getrinebulinda288 2 роки тому +1

    Amen

  • @zainaluoga1666
    @zainaluoga1666 2 роки тому +1

    Wawoooo nimebarikiwa sana na mwonekano wa mama

  • @neemakameka3631
    @neemakameka3631 2 роки тому +1

    God bless you Dad Abihudi and mom Abigail Misholi

  • @kennedymwampote215
    @kennedymwampote215 2 роки тому +1

    Mtumishi nyanzira barikiwa

  • @goodluckjoseph3540
    @goodluckjoseph3540 2 роки тому +1

    Aminaaa Sanaa

  • @WemaBeatrice-yi2gt
    @WemaBeatrice-yi2gt Рік тому

    Ni kweli😂😂😂😢

  • @jemimahaloyce4740
    @jemimahaloyce4740 Рік тому +1

    ,🙏🙏

  • @ErickLwinga
    @ErickLwinga Рік тому +1

    >

  • @neemaswai2295
    @neemaswai2295 2 роки тому +1

    Amen