Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
SINDANO YA MOTO KWA WAFANYABIASHARA
- Додати в
- Мій плейлист
- Переглянути пізніше
- Поділитися
Поділитися
Вставка
Розмір відео:
- Опубліковано 21 чер 2024
КОМЕНТАРІ • 79
Наступне
Автоматичне відтворення
Dhambi mpya Hiihapa : Mch Abiud MisholiMch. Abiud Misholi
Переглядів 76 тис.
SIKU YA PENTEKOSTE May 2024Mch. Abiud Misholi
Переглядів 5 тис.
MKUTANO WA INJILIULIO FANYIKA ARUSHA 2024: SOMO YESU NI NURU MUHUR MCH. ABIUDMch. Abiud Misholi
Переглядів 4,9 тис.
ВАТАЖОК Коростишівської банди та його дружина - хто вони такі?ТСН
Переглядів 1,1 млн
Сильна історія 🎥: 🎥: Kevin W. / X #спорт #олімпіада2024 #олімпійськіігри2024СПОРТ УКРАЇНИ SHORTS
Переглядів 1,2 млн
Каха заблудился в горахК-Media
Переглядів 10 млн
KONGA MANO LA MAOMBI ARUSHA DAY 2 MWALIM NA MHUBIRI MCH. ABIUD MISHOLMch. Abiud Misholi
Переглядів 2,4 тис.
SOMO. DALILI ZA KURUDI KWA KRISTOMch. Abiud Misholi
Переглядів 7 тис.
VAENI MAVAZI YA HESHIMA MNAPOKUWA MAKANISANI-MCH ABIHUDI MISHOLINY TV
Переглядів 283 тис.
"MAPYA" LEMA ALILIPUA SAKATA LA MAKONDA UKWELI WAFICHUKA SASA AMNA SIRIYuhai media
Переглядів 131 тис.
SONGEA; SOMO: UREJESHO WA FAMILI NOVEMBER 2022 DAY 2Mch. Abiud Misholi
Переглядів 19 тис.
Lini Utapita kwangu - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).Mch. Abiud Misholi
Переглядів 2,3 млн
#PART,2-AIBU# SIKU YA KUAIBIKA -MCH.ABIUD MISHOLINY TV
Переглядів 100 тис.
NABII ATOA UNABII PART TWO KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || ProphetedmoundmysticProphet Edmound Mystic
Переглядів 25 тис.
MBARIKIWA AWAGEUKA SERIKALI, AMTETEA KIBOKO YA WACHAWI. KWANINI MMEMFUNGIA KIBAKO YA WACHAWI??Helbeth Mlelwa 🎖️
Переглядів 6 тис.
У ТЦК втік "улов"ТРК Аверс
Переглядів 257 тис.
Опасность фирменной зарядки AppleSuperCrastan
Переглядів 12 млн
СТАСЯ МАКЄЄВА: СЕРДЮЧКА на гендер паті. Тато ЗРАДЖУВАВ, коли мама хворіла на РАК. Коли українською?Okay Eva
Переглядів 137 тис.
ВАТАЖОК Коростишівської банди та його дружина - хто вони такі?ТСН
Переглядів 1,1 млн
Алексей Воробьев - Всё остальное - лишь товар. «Профессор Тод Лебен» (лекция №5) Автор - А.ВоробьевАлексей Воробьев
Переглядів 1,9 млн
⚡️⚡️ 9 МИНУТ НАЗАД! ПОЕЗД С БОЙЦАМИ ПЕРЕВЕРНУЛИ Б@НДЕРОВЦЫ! На 60 минут ЗАБОРОНИЛИ це показувати!Курбанова LIVE
Переглядів 744 тис.
Прийшов додому на 5 хвилин, щоб попрощатися з батьками #shorts #війна #полонені #зниклібезвістиСуспільне Суми
Переглядів 342 тис.
Я обещал подарить ему самокат!Vlad Samokatchik
Переглядів 9 млн
Mundu nakulilia ingia ndani ya moyo wangu roho ya uwoga roho ya uwongo kila roho zote za uwovu nazikataa kwa damu ya yesu
Mungu akubaliki misholi nakupenda kutoka moyoni mungu akusaidie uje sumbawanga utoe injili
Hii injili imetoka katika moyo, roho na akili halisi ya Yesu Kristo. Ubarikiwe Pastor.
Ubarikiwe sana mtumishiwaMungu. Injili hii inatakiwa kuwafikia wengisana.
Yesu naomba unibadilish niache dhambi ya mazoea naomba neema ya kukuheshimi ili niweze kuwa mwaminifu kwako
Amina,YESU ANAWEZA,YESU NI BWANA!!!!!!!
Injiri safi kbsa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 injiri kama izi kwa Dunia tulio nayo ni zakutafta sana..yote kwa yote barikiwa sana baba MUNGU azidi kukutumia 🙏
Ubarikiwe Kwa injili unayohubiri mchungaji hiyo injili hakuna anayehubiri naipenda kuisikia na kuiishi
Amen
Mungu akubariki sana, ukweli kanisani liambiwe mtumishi, watu waamue wenyewe A au B
Huyu Mtumishi Mungu amtunze mno.
Wewe ni mfano wangu! Niombee naitwa Titus Lucas najenga kanisa niombee nimalize Baba!!
Asante sana kwa kuweka wazi mambo yayobeba asilimia kuu katika maisha yetu .
Sema kweli baba mimi mwenyewe mwizi wa kikumi😭😭😭🙏🏼 Yesu wangu ni semehe
Mungu akubariki baba
Barikiwa baba
Natamani sana niwe mshirika wako Injili hivi naipenda sana
Yesu tuokoe wakati tunapozani kuwa tupo salama kumbe adui anatumia kazi ya mikono yetu kututenga na Mungu eeh Mungu tusaidie😢
Amen uniombee
Mathayo 17:24-27;Warumi 13:7-Hiki ni kipindi cha kuliandaa kanisa Takatifu, pia nimecheka😂😂😂😂😂😂 autaki kufa tena, Ubarikiwe sana Mtumishi.
Asantee mtumishi kwa kutwambia ukweli ili tuwe salama
Amen amen,, Mungu akubariki sana
Hapa ni wengi noma san
Mungu akutunzee mchungaji.
😂😂😂😂😂Imeingia hiyo baba chiiiii!! 😂😂
Hakika siku za mwisho zimekaribia na watumishi wa MUNGU wa viwango hivi hawapo kabisa duniani,,,
Mungu azidi kukupaka mafuta ya shangwe.
Mungu Baba , kwenye zile 10 na mimi nina zangu 100 😭😭😭😭😭😭
Aminaaaaaa mtumishiii
Mch unachotaka ni utakatifu naomba ukae nao wafanyabiashara ulionao humo ndani uwaulize kwa nini wanadanganya ndipo utoe hilo tamko lako, maana chanzo ni TRA wenyewe vinginevyo tuliookoka tusifanye biashara.
Chanzo ni watu wa TRA
Aliyeokoka kweli kweli akajazwa na Roho Mtakatifu akapokea nguvu ya Roho Mtakatifu huyo anaishi kwa mapenzi na kwa sheria ya Roho wa MUNGU anayeishi ndan yake Roho Mtakatifu n mtakatifu ina maana dhambi na uchafu wowote haumo ndani yake uongo, wizi na hofu ya kidunia si tabia ya Roho wa MUNGU aliye hai ukiona mtu anaogopa kusema ukweli na ameokoka Roho wa MUNGU hayupo ndani yake na haujui ukuu wa MUNGU anaentaja. TRA n ndogo saaaana kwa MUNGU mfanyabiashara inabid ajue hilo. Et mtu aseme uongo chanzo TRA!!!!! Walokole tutasubiri sana baraka za Baba yetu kama tunafanyabiashara kwa kutosimama ktk kweli! Bwana Yesu Alisema tukiijua kweli kweli itatuwrka huru sasa inakuwaje mtu anajifunga ktk dhamb ya uongo kwa kubanwa na TRA
Amin mtumishi
😂😂😂😂😂😅😅😅😅😢😢😢😢
Jamani haya ndio mahubiri sasa manake kuna watu wengi hawajui ukweli Jamani na ukivunja sheria moja umevunja zote
Ubarikiwe baba
Amen and Amen
Amen amen amen
Hapa mtumishi Mungu atusaidie sana
Ni past bonn kutoka kenya uniombee
We utatupeleka mbinguni kiukweli sema ndo hivyo hatuelewi
Mchungaji mungu azidi kukupa mzima tufaidi mahubili yako.
Mungu athurumie
Na wanyoa viduku, je????wake Kwa waumd, are we going or not pastor, and there are there
Ameen
Hapo mtumishi umeshukiwa na roho kwelikweli
Amen kubwa
Asante kwa ukweli,ni dawa ya ajabu!!!
Mmmmh Mungu niokoe
❤💪💪
Amina mtumishi umeongea ukweli
True gospel am telling you pastors don't tell the truth God use me to tell the truth
Amina.
😂😂😂 Abiud!!!!!!!!!!
Kweli kabisa
Ukiona mtu ni muhalifu au anatabia fulani ujue kuna mahali kairithi haijaanzia kwake, hawa tunaosema viongozi ni wahalifu kuliko wananchi
Huyu Roho wa Bwana ndani yake
❤❤❤
Ameeeeeen
Dawa iooo
Wengi ss ni wezi
Sindano imeingia hata kama inauma watu wapone. bado kuna wafanyabiashara wanaotumia mizani isiyo ya haki
😂😂😂😂😂 na ni walokole uwiiii MUNGU sema nasi tupone na kuzifaidi hazina za mbingun ulizotuwekea
✍️✍️
Hapo sasa naanza kukuelewa.
Hahahaaa
❤😅❤
UYU MZEEW ABARIKIWE KABAKI YEYE TU MẞEMA KWELI WENXAKE WOTE ASILIMIA KUBWA WANAPITIWA NA EURO
Seba wawiza, napandeka isomo lyakunilanga hatale noo
Gete gete
utaishi
Sindano ya moto
Mtumishi unachokiongea ni kweli lakini ukweli mazingira ya kodi kwenye nchi yetu Ndo yanasababisha yote hayo imagine ulipe Leseni, ulipe makadirio TRA kwa wale wanaofanya biashara zinazo toka nje ya nchi mzigo ukifika bandarini au mpakani kuna kodi za mipakani zinazo umiza hawa watu wao wataishije?
Serikali iangalie wafanyibiashara hawana Furaha kwenye maisha yao
Duuh!!?
Nahisi uchungu wa moyo
Mtaji wangu ni ml20,faida napata 200000,kodi inachukuliwa kwenye ml20 nitafika hapo kweli
Kwakwel Yan hata mm najitafakar sana... !!! TRA WATASABABISHA MBINGUNI TUSIINGIE
Amen and Amen
Amen