Kiswahili Somalia: Lahaja ni muhimu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • Kufuatia kujiunga kwa Somalia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, wasomi wanasema kwamba lahaja za janibu hiyo, kama vile Chimbalazi/Chimwiini au Kibarawa, Kibajuni zitaongeza mchango katika Kiswahili sanifu. Huu hapa mtazamo wa mtafiti wa lahaja za Kiswahili, Dkt. Mwanahija Ali Juma.

КОМЕНТАРІ • 2

  • @SantosKapita-gt9rc
    @SantosKapita-gt9rc 2 місяці тому +2

    Watching from Angola 🇦🇴 Portuguese speaking nation 🇦🇴.... Mimi Ninapenda sana kizungizia lugha ya Kiswahili

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 Місяць тому +1

    Ahsante sana Jazaka LAAH khaira hapo nimekuelewa kwa ufasaha mzuri