Mnafanya kazi nzuri sana. Hakika Kiswahili ni Lugha pana sana, kuna maneno mengi mno. Nawapongeza sana,,,binafsi, mimi ni Mwalimu na nafundisha lugha hii hapa Ulaya.
Lugha tendeti, balagha pia kajitokeza hasa Munene na ustadh pasua wanapokaa pamoja kipindi murua sana. Pongezi Citizen Tv pia kwa kukipa Kiswahili muda kikakolea kwa watazamaji.
Wallah huyu dada nampenda! Huwa naangalia hiki kipindi nikiwa hapa Tanzania. Akicheka ana mibonyeo kwenye mashavu! MashAllah, ni Kichuna kweli.
Aki nuhu bakari nisaidie kiswa kcse,😎♥️♥️
Mnafanya kazi nzuri sana. Hakika Kiswahili ni Lugha pana sana, kuna maneno mengi mno. Nawapongeza sana,,,binafsi, mimi ni Mwalimu na nafundisha lugha hii hapa Ulaya.
Bora sana
Lugha tendeti, balagha pia kajitokeza hasa Munene na ustadh pasua wanapokaa pamoja kipindi murua sana. Pongezi Citizen Tv pia kwa kukipa Kiswahili muda kikakolea kwa watazamaji.
Atii Kenya station Ni umbilical cord 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mabibi na mabwana.
Yamaanisha: wanaume na wanawake
mashallah
Ni
Sawa na kusema،;, dear brothers ,&_sister's
Waaa🤭🤭🤭bibi 🙊🙊
Ndio maana naogopa kiswahili
Kiswahili sanifu
Swahili sanifu