Mazingira ni mambo yote yanayokuzunguka, yaani environment. Mazingara ni hali ya utokeaji wa jambo, mfano kutokea kwa ugomvi, tunasema. " wamegombana kimazingara" yaani kama miujiza.
Nadhani mazingara ni mazingira unayoyasiki kupitia hisia ya sita. Yaani unahisi kama kuna kitu kinachokuzunguka lakini huwezi kukigusa. Vitu kama vya uchawi ama mazingaombwe. Kwa hiyo nimeelewa Bwana Bakari anapoeleza kwamba mazingira anayabeba mazingara.
My perfect Swahili duo since childhood. Ninawapenda sana Munene na Bakari.
jameni nakupasha kutongoza kwa kiswahili huyabeba mawazo ya kipusa na bilashaka utampata ashakupenda tayari
2:49 Katumia neno 'shauku' badala ya 'shuku' Mashirima. Shauku = longing/desire/passion. Shuku = doubt/suspicion.
Yuko Sawa ww hujamuelewa, amesema ulivyo andika
kisawe chake ni tamaa
Sikubaliani na Nuhu pamoja na Mnene... Mazingara ni mambo ya uchawi ilhali mazingira ni mambo ambayo humzunguka kiumbe pale alipo au anapokaa...
Amejibu hivo hivo tuu jameni... lisikie tena..
KUCHOCHEA pia inatumika kwa maana ingine pale mtu anapo ongezea maneno ya uongo AU kusogeza kuni motoni
Waswahili wenyewe ambao wana lahaja ya kule pwani wamepata majibu vizuri. Waliokuwa wakikosea majibu lazima ni wageni huko. Lahaja yao inawasaliti.
Mazingira ni mambo yote yanayokuzunguka, yaani environment. Mazingara ni hali ya utokeaji wa jambo, mfano kutokea kwa ugomvi, tunasema. " wamegombana kimazingara" yaani kama miujiza.
Long time.nuhu bakari na munene nyagah.wapo wapi siku hizi? I really miss Kamusi ya chagamkaa. Plus sounds of Africa
Shukran sana
Nadhani mazingara ni mazingira unayoyasiki kupitia hisia ya sita. Yaani unahisi kama kuna kitu kinachokuzunguka lakini huwezi kukigusa. Vitu kama vya uchawi ama mazingaombwe.
Kwa hiyo nimeelewa Bwana Bakari anapoeleza kwamba mazingira anayabeba mazingara.
Kwenye Mazingira hawakuweza kudadavua vizuri,
Kipande cha sabuni kilichosalia baada ya kutumiwa ni kicherema au kichelema au panza si kacherema wala kachelema...Munene na Nuhu !
nmempata