Sekione Kitojo Astaafu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Mtangazaji nguli wa DW Kiswahili Sekione Kitojo amestaafu. Kitojo anafahamika zaidi katika matangazo ya spoti, usomaji habari na vipindi katika redio. Hebu tazama ujumbe wa baadhi ya watangazaji wenzake wakimtakia kustaafu kwema. #Kurunzi

КОМЕНТАРІ • 32

  • @mohamedalawy6172
    @mohamedalawy6172 3 місяці тому

    Soud Mnete ana Sauti nzuri SANA ya Utangazaji

  • @abdullahomar8687
    @abdullahomar8687 3 роки тому +2

    daaah wallah ni hisia za kipekee mno kipindi cha muda mfup tu amestaaf Mohammed Abdul-rahmaan kisha mama Ummil-kheyr kisha sasa Sekione Kitojo daaah hawa ni wanakhabar nguli wa kipekee mno tena waliobarikiwa weledi wa hali ya juu allah awafanyie wepes tutawakumbka mno ...

  • @abdullahomar8687
    @abdullahomar8687 3 роки тому +1

    naipenda mno Dw naamin ntakuja mafunzoni in shaa allah ...maana napenda utangazaj na watangazaj mahiri...Klla la kheyr mwalim wng Sekione

  • @MedardGombanila
    @MedardGombanila 4 місяці тому

    Kitojo nakutakia maisha kapumzike salama kwa kusitafu DW

  • @michaelkirui2966
    @michaelkirui2966 Рік тому

    Heo Sekione Kitaja kwa kustaafu. Maulana akujalie maisha mema.

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 3 роки тому +1

    Ufasaha wa Lugha ya Kiswahili ni TUNU ya DW Idhaa ya Kiswahili. BARAKA LLAHU FIYKA SEKIONI KITOJO.

  • @abdullahomar8687
    @abdullahomar8687 3 роки тому

    Saumu Njama kumbe ni mrembo hv maa shaa allah nmefurah mno pia kumuona mtu mtartiiibu Swaleh Mwanamilongo....

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 3 роки тому +1

    Kiukweli DW mi nawapenda sana WATANGAZAJI wake.

    • @Kiswahili
      @Kiswahili  3 роки тому

      Basharah Alhamgarra
      asante sana kwa kuchagua DW Kiswahili

  • @mohamedalawy6172
    @mohamedalawy6172 3 місяці тому

    Kitojo nilianza Kumsikia RTD mwaka wa 1980

  • @haroldemanuel5529
    @haroldemanuel5529 Рік тому

    Nyie sauti zenu ni unique jaman

  • @denistarange5580
    @denistarange5580 2 роки тому +1

    Upepo wa kisulisuli

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 Рік тому

    Ulaya kuna nn nj nyumbani

  • @jacobstake.4142
    @jacobstake.4142 2 роки тому

    Leo Nalia Kusikia Sauti Tajika...Jameni Siku Moja Naomba Mniite Hapo..

  • @friminiantony5041
    @friminiantony5041 2 роки тому +1

    Sekioni kiroho namuheshimu ila pia natamani uendelee tutamkumbuka sana

  • @JKQGAME
    @JKQGAME 3 роки тому +1

    Daaah hakika tukakukumbuka sana

  • @leonarddamian
    @leonarddamian 3 роки тому

    03:48 Zainab Aziz utani wa kuitana Mwalimu mzee na Mwanafunzi mzee nimeupenda.

  • @jacobstake.4142
    @jacobstake.4142 2 роки тому

    Mwana Milongo

  • @danstanpanga8490
    @danstanpanga8490 10 місяців тому

    Hakika hiyo ndiyo ilikuwa DW niliyoipenda daima.. Miamba mingi maarufu ya utangazaji imepita hapo nimemwona Ramadhani Ally na Kitojo nakumbuka kipindi cha michezo mwishoni mwa juma. Enzi hizo EURO 96 Germany ilitandaza soka safi halafu kulikuwa na kipindi kizuri cha Darubini Uchambuzi wa siasa kila wiki siku ya Jumanne na Othman Miraji

  • @abdullahomar8687
    @abdullahomar8687 3 роки тому

    Sekione ni mtu mwnye bashasha mno na ufasaha wa hali ya juu akitamka majina ya viongoz wa nchi mbalimbali dunia utapenda utulivu wake ktk kusoma khabar ni wa namna ya kipekee mno maa shaa allah tukijifunza mengi kwake ...klla anayestaaf Dw twahisi bado ana utamu yaan watu wa hapo ni mithili ya mvinyo bora kadri ukaavyo ndo wazidi khaswaa

  • @youthvocals4014
    @youthvocals4014 3 роки тому

    Hakika tumejifunza mengi sana kutoka kwako.

  • @dadasim2749
    @dadasim2749 3 роки тому +1

    Kina MOH'D KHELEF RASHID CHILUMBA na AMINA ABOUBAKAR hatujawona tulitaka nao tuwajue Sura zao zikoje

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    👍👊✌️.

  • @bashaakumaarpandan9021
    @bashaakumaarpandan9021 2 роки тому

    Sekione kipind nipo shule ni mdogo nikirud nyumbn nikiskia sauty yko taarifa ya hbr ,najua mpunga t

  • @natusmaganyiro442
    @natusmaganyiro442 3 роки тому

    Good job

    • @Kiswahili
      @Kiswahili  3 роки тому

      natus maganyiro
      👍🏽

  • @ndulujilala9643
    @ndulujilala9643 3 роки тому +1

    Sekione kitojo nakupenda sana baba angu ulisoma na baba angu namba angu Tanzania Ndulu jilala 0757021106 nitumie namba kaka dw umetenda haki umedumu , nakustafu kwa heshima

    • @Kiswahili
      @Kiswahili  3 роки тому

      Ndulu Jilala
      asante sana kwa niaba ya Sekione Kitojo

    • @ndulujilala9643
      @ndulujilala9643 3 роки тому +1

      @@Kiswahili sante sana kitojo

  • @ndulujilala9643
    @ndulujilala9643 3 роки тому

    Tutamkumbuka na umury herry