LIVE: MAOMBI YA KUKUMBUKWA NA MUNGU // ASUBUHI YAKO YAJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 вер 2023
  • Zab 56:3
    Siku ya hofu yangu nitakutumaini Wewe;
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/sirizabiblia
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 359

  • @samweljacob6466
    @samweljacob6466 3 дні тому +1

    Nani kama wewe muweza wa yote ee mungu funua akili yangu ipate kuelewa neno lako naiweka family yangu mikononi mwako wafunike kwa damu yako tuma malaika wa ulinzi katika jina la yesu wafiche wadogo zangu ubavuni mwako waepushe na adui shetani 🙏 god is good hallelujah

  • @gracehose8840
    @gracehose8840 10 місяців тому +5

    Naomba Baba unikumbuke na familia yangu usinipite Yesu kristo

  • @maernov4257
    @maernov4257 10 місяців тому +1

    Asante YESU kwajili ya mafundisho naomba roho mtakatifu anisaidie kuelewa neno la MUNGU

  • @consolataanyambilile-mr5ph
    @consolataanyambilile-mr5ph 8 місяців тому +1

    Najiunganisha na maombi pamoja na mafundisho haya Mungu unikumbumbuke maombi yangu ili cku yangu iwe kama nilivyoiombea, Asante Mungu

  • @user-wd1ey8vy5u
    @user-wd1ey8vy5u 3 дні тому

    Mungu naomba uniongoze ktkt nyakti hiz Bwana naomba unifundishe kila SKU nikujue ww tu Bwana wastahili sifa na utukufu naomba asubuhi yangu ikawe yatofauti Yesu

  • @jescamongi3583
    @jescamongi3583 9 місяців тому +5

    Mungu wajua kuketi na kuondoka kwangu tena umelifaham wazo langu toka mwanzo🙏🏽🙏🏽🙏🏽 hakuna mwingine zaidi yako. Hakuna wa kulingana nawe🙏🏽🙏🏽 Matendo yako kwangu ya ajabu sana. Amen

  • @ProsperNgabirano-pn2xy
    @ProsperNgabirano-pn2xy 10 місяців тому +2

    Amina na mim naomba Mungu anapo gusa wengini aniguse anijibu maombi yangu Amina

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 Місяць тому

    Eeeh Bwana tafadhali naomba uyakumbuke maombi yangu na unikumbuke mimi na familia yetu katika jina la Yesu Amen

  • @gracehose8840
    @gracehose8840 10 місяців тому +3

    Asante Mungu Kwa siku hii ya 27 ni Kwa Neema tuu Asante Yesu

  • @faridadauda3227
    @faridadauda3227 10 місяців тому +3

    Amen, sitabaki kama nilivyo bali nitavushwa na kuketishwa pamoja na wakuu. Asubuhi yangu yaja, tena haitakawia, no matter what, Ninavukaaa, Amen

  • @user-lf7tz4rz1x
    @user-lf7tz4rz1x 8 місяців тому +2

    🎉amen kwa jina lako Mungu napokea asubui yaja napokea Amani ,Baraka,Upendo asubui ikawe ya tofauti akika wewe ni Mungu muweza wa vyote peke ako wa stahili Matendo yako ni ya ajabu❤ Futa machozi yangu 😢 akuna mwingine wewe Mungu wa wastahili nijibu aja ya moyo wangu Mungu wangu

  • @janelucas9616
    @janelucas9616 8 місяців тому +1

    Mwenyezi Mungu naomba unisaidie nivuke hapa nione asubuhi yangu

  • @BarekeTumaini
    @BarekeTumaini 12 днів тому

    Mungu tuteteye mungu wangu kwajili yadosier yetu yasafari shetani ameinuka sana kuziwa ila ninahimani mungu wangu utatutendea Mimi nafamilia yangu kwajili yasafari yetu

  • @user-oe1gq7gq6c
    @user-oe1gq7gq6c 4 місяці тому +1

    Napokea kufunguliwa mimi na familia yangu na kupata ulinzi wa Mungu katika jina la Yesu

  • @user-oe1gq7gq6c
    @user-oe1gq7gq6c 4 місяці тому +1

    Mimi nitasimama katika zamu yangu kwa uwezo wa Mungu katika jina la Yesu nipate kujjibiwa haja ya moyo wangu

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 14 днів тому

    ❤❤ Asanteeee Muñgu Baba wa Mbinguni kutuamsha salaama najiungamsnisha katika mazabahu hii Mimi na familia yangu popote walipo Ñaamin Muñgu unawaona na omna ulinzi wako Ubarikiwe mtumishi wa Muñgu

  • @AgnessMafuwe
    @AgnessMafuwe 2 місяці тому

    Bwana naombq unifungue kimwili na kiroho,ufungue familia yang ,ndoto zang, kwa jina la Yesu kristo amina

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 4 місяці тому +1

    Najiunganisha nami kwenye maombi haya kufunguliwa familia yangu uchumi wangu watoto wangu

  • @hobokelamwansisya1615
    @hobokelamwansisya1615 10 місяців тому +2

    Amen hakika nmepokea Kwa damu ya Yesu asubuhi yangu inakuja hakika najiungamanisha na hii madhabahu usiku huu amen 🙏🙏🙏

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 14 днів тому

    Ubarikiwe nabarikiwa Sana na maombi yako Muñgu awe nawe daima akulinde akuponye na kila kitu asanteeee Yesu

  • @gloriabayeka423
    @gloriabayeka423 7 місяців тому +1

    Najiunganisha na ibada hii mafundisho na maombi asubuhi hii ya Leo, nikabarikiwe ma Mungu akanitoe katika magumu ninayoyapitia na madeni niliyonayo, na changamoto nyingi ninazozipitia na watoto wangu. Kuna changamoto zinajirudia nashindwa kupiga hatua, naomba mungu akanione asubuhi ya Leo na kuniondolea magumu ninayopitia, nakataa magonjwa na mauti zote katika maisha yangu na watoto wangu, Amen

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 2 місяці тому

    Asubuhi hii iwe ya mafanikiwe kiuchumi komboa faamilia yangu amina

  • @user-mg3yl1vw4o
    @user-mg3yl1vw4o 2 місяці тому

    Amen wewe Ni mungu mweza yote baba rejesha vyote adui alibeba.najiunganisha na madhabahu haya amen

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 8 місяців тому +1

    MUNGU. Najiunganisha Mimi Na Mamaangu Monica Bibi yangu baba naomba ukanene juu yao ukapite Kwenye Miyoyo yao uwaponye baba ugojwa unao wasumbua. Nijibu na Mimi ombi langu baba naomba mwanaume sahihi kwenye Maisha yangu baba😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 2 місяці тому

    Mungu ninajiunganisha na maombi haya nikafunguliwe mimina familia yangu amina pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina mwanangu Lillian apate mume sahihi pia uchumi

  • @maahorichirizah2981
    @maahorichirizah2981 9 місяців тому +3

    My morning is coming 🙌 Amen Amen Umri umeenda lakini Mungu tu Ndie anapeana baraka Thank you God 😊 🙏

    • @rehemasumuley-yv3wh
      @rehemasumuley-yv3wh 6 місяців тому

      Kwa Mungu hakuna umri mkubwa mkumbuke Ibrahim na sara

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 2 місяці тому +1

    nakufata vizurisana bwana yesu akulinde kwenye mazabahu ili upate kutupatiya neno lakutujenga ili tupate kubadirika katika maisha yetu

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 10 місяців тому

    Asante sana Mungu kwa imani na uvumilivu, najua asubuhi yangu inakuja, Amen

  • @marymueni7891
    @marymueni7891 10 місяців тому +4

    Najiunganisha na madhabahu .Damu ya Yesu ikanene juu ya watoto wangu,ndoa yangu na familia yangu.Naunganisha mtoto wa kwanza Evans ambaye ameingilia ulevi na madhabahu. damu ya Yesu ikamnenee

    • @SolomonTweve
      @SolomonTweve 6 місяців тому

      mungu nataka niaze na wew kila unaponipa pumzi lako oh bwana tends ajambo baba

  • @annafimbo5917
    @annafimbo5917 10 місяців тому

    Asante Mungu kwa siku hii yaleo kunijalia uzima na afya mimi ja familia yangu

  • @HappyjosephMapunda
    @HappyjosephMapunda 7 місяців тому

    Ameeni najiungamisha na maombi haya ya asubuhi naomba mungu ukanitowe katika vita yesu ukanipitishe kwenye magumu katika jina layesu

  • @JoyceHongoli
    @JoyceHongoli 6 днів тому

    Mungu nakushukuru kwa uzima huu nilionao, ingawa napitia kwenye changamoto nyingi lakini najua nitashinda tu

  • @johnnyika9949
    @johnnyika9949 2 місяці тому

    Nimeguswa sana na masomo Yako naomba mungu anisaidie katika mahali nilipo

  • @AlexMollel-nf7ct
    @AlexMollel-nf7ct 8 місяців тому +1

    Bwana yesu asifiwe mutumishi wamungu naomba uniombee nafika mailing nakatatamaa sijuu kwanini nakatama

  • @gfcgghh9138
    @gfcgghh9138 2 місяці тому

    Amen amen amen,my morning is coming in Jesus name 🙏🏽

  • @doreenjane3215
    @doreenjane3215 10 місяців тому +1

    Naomba kuwa pamonja namungu nisiondoke Kwake,naakuwe pamonja nami mungu nisaindie

  • @ElisabethLydia-hf2tp
    @ElisabethLydia-hf2tp 10 місяців тому +1

    Asante Mungu kwa asubuhi yangu yaja yenye Baraka🙏🙏🙏

  • @nchimbilusda7259
    @nchimbilusda7259 7 місяців тому

    Najiungamanisha na Madhabahu hii, Ee Mungu ukayajue Maombi yangu yapokee na kuniponya , namkaribisha uwepo wa Roho Mtakatifu mahali hapa ,

  • @user-cz1lo7im4p
    @user-cz1lo7im4p 3 місяці тому

    Amen Mungu usinipite namie uniguse kupitia mazabao hii nione muujiza baba yangu

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 8 місяців тому

    Pokea. Maombiii yangu baba. Umrii unaenda. Baba. Nahitaji kuwa na family. Kuwa. Na Mwenza wangu. Tuzae watoto 🙏🙏🙏

  • @Lya-pl3vk
    @Lya-pl3vk 4 місяці тому

    My morning is coming. In Jesus name 🙏🙏🙌

  • @SusanAshle-zj8do
    @SusanAshle-zj8do 9 місяців тому +1

    Amen amen my morning is coming in the name of Jesus Christ

  • @NafunaLydia-yr8xh
    @NafunaLydia-yr8xh 8 місяців тому

    My morning is coming in Jesus name Amen 🤲🤲🙌🙌🙏🙏🙏🙏

  • @lucygichuru7214
    @lucygichuru7214 8 місяців тому

    Aijalishi nayapitia mangapi namini asubui yangu yaja eeh mungu usinipiti natembea na hi neno asubui yaja Amen😭😭🙏

  • @user-ff3dy3ox6v
    @user-ff3dy3ox6v Місяць тому

    Asante mtumishi wa mungu mahubiri yangu yanazidi kuinua imani yangu sikatii tamaa kamwe hata km napitia kwrnye magumu naaminimungu hataniacha Ubarikiwe

  • @eveabasi2469
    @eveabasi2469 10 місяців тому

    EE mungu wangu inua Imani yangu nikujue zaidi, niondolee aibu na fedhea iliyoko mbele yangu

  • @catherinemagori595
    @catherinemagori595 5 місяців тому

    Cku ya Leo ikawe ya baraka na mafanikio katika maisha yangu.muujiza mkubwa unitokee Leo hii katika jina la yesu

  • @JulitaAndrea-nu6pz
    @JulitaAndrea-nu6pz 3 місяці тому

    @Baba .Mungu unapowadhuru wengine Yesu wangu Naomba usinipite Naomba unitete .,

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri 2 місяці тому

    Najiunganish na madhabahu hi maombi yangu yakakumbukwe na hasubuhi yangu ifike kwa jina la yesu kristo

  • @jadymshary2035
    @jadymshary2035 10 місяців тому +1

    Baba Mungu nyoosha mkono wako unifute machozi ,nakuombaaaaà

  • @renaldamchaki3306
    @renaldamchaki3306 7 місяців тому

    Najiungamanisha Mungu na maombi niwezeshe kuzishinda dhambi.

  • @gracehose8840
    @gracehose8840 10 місяців тому +1

    Najiungamanisha na madhabahu hii Asante Yesu kristo

  • @catherinemagori595
    @catherinemagori595 5 місяців тому

    Najiunganisha na mafundisho na maombi ya asubuhi hii ya leo.mungu Niko pamoja na wewe Kwa Kila hatua.mungu niponye nifungue sikia kilio changu.mungu nisaidie

  • @KitsaoJaphet
    @KitsaoJaphet 2 місяці тому

    Naomba nijue maombi iletayo mtabibu nifundishe mtumishi wa Mungu.najiunga leo

  • @user-sw9pu4td8g
    @user-sw9pu4td8g 9 місяців тому

    My morning is coming i believe my father ❤❤

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 8 місяців тому

    Najiugamanisha maombi asubuhi hii naomba mungu unisaidie niweze kukujua neno lako na nimalize siku hii ya Leo salama asante mungu Kwa kunifikisha mm na watoto wangu na family yangu asante mungu Kwa Neema yako 🤲🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JoyceSimon-ms7lu
    @JoyceSimon-ms7lu 6 місяців тому

    N@jiunganisha na maombi pamoja na mafundisho mungu kumbuka maombi Yang

  • @ramadhanimziba2037
    @ramadhanimziba2037 10 місяців тому

    Eee, Mungu wa Mazabao ya SIRI ZA BIBLIA naomba uniokowe unitowe katika mateso

  • @emilypatrick5509
    @emilypatrick5509 10 місяців тому +1

    Nko ndan ya madhabahu mm na familia YANGU in JESUS MIGHT NAME

  • @NaumiBaya-wr7ri
    @NaumiBaya-wr7ri 10 місяців тому +1

    Na muonba mungu usiku muchana akainikoboe nadamu iliyo mwangika musalabani hakumwangika bure pale msalambani ili kutusafisha Dhabi zetu amen

  • @user-tn8mo8vg3s
    @user-tn8mo8vg3s 10 місяців тому

    Namshuru sana Mungu Kwa namna anavyokuongoza na jinsi anavyozudi kujinua juu yetu maana hata sasa anatenda kwetu aminaa

  • @GastoMkini
    @GastoMkini 2 місяці тому

    Amina MUNGU anapobariki wengine NAMI anikumbuke awabariki pia nanyi nyote umu ndani Asante pasta innocent.mimi ni mgeni odi umu ndani

  • @FausterLawrence
    @FausterLawrence 2 місяці тому

    Naomba tumwombee mwanangu uponyaji anaenda hospitali leo kutibiwa BWANA YESU AMPONYE

  • @julietwambua9890
    @julietwambua9890 8 місяців тому

    Ombea mzee wangu abadilike akue mkristo kamili

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 8 місяців тому

    Najiunganisha na. Maombi haya Pamoja na mafundisho Haya MUNGU ukanikumbuke na mimi. Asubhi hii ya Leo naomba ukanijibu na maombi yangu were Bwana 🙏🙏

  • @mayranehemia9469
    @mayranehemia9469 10 місяців тому

    Hakika hufananishwi na chochote BWANA. 🙋🙋🙋🙋Utabaki kuwa Mungu Maishani Mwangu. 🙌🙌🙌.

  • @MinzaMadilo-zf5yl
    @MinzaMadilo-zf5yl 10 місяців тому

    Najiungamisha na madhabahu ya siri za bibLia Mkono wa Mungu na damu ya yesu ikanibariki katika kazi yang niweze kuongezewa mshhara,familia yang ikawe na furha wazazi wang awajalie afya njema na upendo utamalaki kweny maisha yao ,wadog zangu shulen wawe vichwa wasiwe mkia mpenz wang mungu amjlie katika biashara zake amuongezeh kipato zaid ya kile anachopata sasa mwenyez mungu aniponyee ugonjwa unaonisumbua kwan unanikosesha @mani Eee mungu kanijalie ,kanibariki kabla ya Mwaka huu kuisha 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Amen

    • @MinzaMadilo-zf5yl
      @MinzaMadilo-zf5yl 10 місяців тому

      Asubuhi yangu inakuja ,my morning is coming in name of Jesus 🙏🙏Amen🙌🙌🙏🙏🙏

  • @gracehose8840
    @gracehose8840 10 місяців тому

    Kila kitu kigumuvktkt maisha yangu Asubuhi Yangu inakuja Asante Mungu asubuhi Yangu inakuja

  • @user-wk1rn6oe6m
    @user-wk1rn6oe6m 10 місяців тому

    Najiunganisha na mathabau ya mungu mimi na watoto wangu wote mungu tusaidie pamoja na kakangu

  • @WinnyMmbaga
    @WinnyMmbaga 15 днів тому

    Najifungamanisha na maombihaya eemungu ukayasikie maombiyangu nisaidie mungu

  • @KogaDenha-yy8lt
    @KogaDenha-yy8lt 9 місяців тому

    Amina mtumishi wa mungu naomba mungu akaingilie katika magumu ninayopitia

  • @JustineKabimbi-uo2so
    @JustineKabimbi-uo2so 10 місяців тому

    Baba iyi mafundisho ni yangu naomba munisaidiye sana na maobi yenu aksanti bwana yesu asifiwe

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 2 місяці тому

    Najiunganisha kwenye maombi yangu ya Leo naomba mwanangu Lillian apate mume sahihi pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina

  • @gracehose8840
    @gracehose8840 10 місяців тому

    Ubarikwe mtumishi wa Mungu naendelea kukutumani Mungu Wangu

  • @user-ks7gs9cb3g
    @user-ks7gs9cb3g 10 місяців тому

    Asante mungu kwa kunifungua katika kifungo kwa naiona nuru kwenye giza nene

  • @jokerquaver7151
    @jokerquaver7151 10 місяців тому

    Najiungamanisha na maombi haya damu ya yesu inifunike na baraka zake zinimminikie

  • @RachelMallya-gx1sv
    @RachelMallya-gx1sv 9 місяців тому

    Nikumbukea hasubuh ya Leo kweny maisha yangu na biashara yangu

  • @user-ri7fd9mn4t
    @user-ri7fd9mn4t 6 місяців тому

    Asante mungu asubuhi yangu yaja yenye balaka amen

  • @user-pb8di5pf6j
    @user-pb8di5pf6j 2 місяці тому

    Naomba mungu anikumbuke mm na familia yangu

  • @ClaraMharuka
    @ClaraMharuka 6 місяців тому

    Nashukuru sana kwakujifuz mtumishi niombee namm naitaji Mungu akah kwenye maisha yangu

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 6 місяців тому

    Najiugamaisha na MAOMBI pamoja na mafundisho haya MUNGU

  • @KararuthOnduso
    @KararuthOnduso 10 місяців тому

    My Morning is coming in Jesus amen.

  • @user-ic2rl7gz5z
    @user-ic2rl7gz5z 8 місяців тому

    Amen Mungu nikumbuke mimi nauzaowatumbo langu watoto wangu wapata wabwana wapate mandowa kwadamu yesu wapate visa sa Canada na esthere apate cotrat yafasianafanyiya kazii Tunaitajimusaada yamaombi Mungu a bariki kazi yamikono yangu

  • @Mercy-jl1pn
    @Mercy-jl1pn 10 місяців тому

    My morning is coming. Asante yesu

  • @georginantemi8598
    @georginantemi8598 10 місяців тому

    Mungu akubariki mtumishi unanena niliyopitia kweli yesu ndio njia pekee

  • @annafimbo5917
    @annafimbo5917 10 місяців тому

    Napokea asubuhi yangu iliyo njema kwa jina la Yesu Kristo

  • @user-bs4jl5ou2y
    @user-bs4jl5ou2y 10 місяців тому +1

    Naamini asubuhi yangu yaja yenye neema na baraka tele, Amen 🙏

  • @RamadhanMkao
    @RamadhanMkao 10 місяців тому

    Naomba kibali Cha kazi Cha uzao wangu mungu nikubuke kila aibu basi mungu niogoze wewe mungu wangu nikunuke siku ya leo

  • @Michael-sd5lv
    @Michael-sd5lv 10 місяців тому +1

    Amen najiugamanisha mm na watoto wangu kwa damu yayesu kristo wanazareti alie hai MUNGU nikubuke na mm na familia yangu kupitia huduma ya leo Aminaaaaa

  • @tumainimatanda8214
    @tumainimatanda8214 10 місяців тому +1

    Mungu anatenda

  • @phabianmtewele9461
    @phabianmtewele9461 3 місяці тому

    Najiungamanisha Baba usininipite unapozuru ŵengine ktk family uchumi nakukujua zaidi ndio kiu yangu kuu

  • @user-ic2rl7gz5z
    @user-ic2rl7gz5z 5 місяців тому

    Yesu nisahidiye miminauzao watumbolangu yesu wangu patiya watoto mandowa wapemavisa y’a Canada naesther visa y’a ubeljiji nakuomba yesu tusaidiye saidiauzaowatumbo langu

  • @nchimbilusda7259
    @nchimbilusda7259 6 місяців тому

    Najiungamanisha na Maombi haya asubuhi hii🙏

  • @user-pc2er9mw3i
    @user-pc2er9mw3i 7 місяців тому

    Najiunganisha na maombi haya mafundisho haya mungu akumbuke maombi yangu ili asubuhi hii ikawe na utukufu wa mungu naelekea kwenye biashara yangu na mengine yote afungue

  • @hobokelamwansisya1615
    @hobokelamwansisya1615 10 місяців тому +2

    Thanks Jesus am keep holding and waiting for my morning 🙏🙏

    • @marcelineshanga9811
      @marcelineshanga9811 10 місяців тому

      Asade...mutu..wa.mungu..tunashukuru kwakutuombea..nakujuwaumri..wangu..lakini.asubuhi.yangu.inakuja..nàupokea.huo.mujija..

    • @marcelineshanga9811
      @marcelineshanga9811 10 місяців тому

      Kùpiti damu.ya yesu...ninapokea...saaaaaaaanahuo..muujiza. 45:06 45:08 45:08

  • @user-ug1we4xg9n
    @user-ug1we4xg9n 10 місяців тому

    Ee Mwenyezi Mungu nikumbuke na Mimi niweze kupata ndoa nipate mwenza wa maisha

  • @VELENARWEBUGISA
    @VELENARWEBUGISA Місяць тому

    Nimtumainia yeye na zidi kusema asante yesu kwayote amina

    • @VELENARWEBUGISA
      @VELENARWEBUGISA 18 днів тому

      Mungu,anitangulie iliniweze kupata fungu ilinitoe niweze kufunguliwa maana mangumu nimengi sana ili niziweze kuokolewa mawimbi ninayomengi sana asante yesu

  • @rithamalisa4636
    @rithamalisa4636 10 місяців тому +1

    Amen 🙏 naamin asubh yangu inakuja 🙌

  • @samuelabonifas5441
    @samuelabonifas5441 10 місяців тому

    Nakushukuru mungu wangu kila tuamkapo bwana unatupa nguvu mpya na kutupa mafundisho mazuri ya kututia nguvu tuamkapo

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 8 місяців тому

    Naunganisha biashara yangu asubh hii ya leo nakukabidhi baba naomba uridhi wako kwajili ya kunipatia wateja baba 🙏🙏naomba. Kibali chako chakukutanishwa na watu sahihi