LIVE: MAOMBI YA UKOMBOZI KWA WOTE WALIOVIKWA VAZI LA AIBU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Mwanzo 40:23
    Lakini huyo mkuu wa wanyweshaji hakumkumbuka Yusufu, alimsahau.
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 211

  • @diazndomba6043
    @diazndomba6043 Місяць тому +1

    Asante Bwana Yesu naomba upon yani katika magonjwa yote yanayonikabili na pili kufunguliwa katika nguvu ya uchumi na kuondolewa kwa roho ya madeni. Asante Bwana Yesu kwa uponyaji wa nguvu na mitego yote za adui. Amen

  • @alicesemwaiko4491
    @alicesemwaiko4491 Місяць тому +2

    Naomba Mungu ukamfungue Mume wangu amelazwa hospital maututi kwa presha Mungu wangu fungua nakataa roho ya mauti

  • @MatridaPius-i3y
    @MatridaPius-i3y 5 днів тому +1

    Ninaomba kwajina la yesu kiristo mwana wa Nazareth alie hai baba wa mbingun na mungu wangu Nina omba uniokoe na huu msiba mzito nilio nao nisiaibike usimwache mt anae kutumainia apate aibu bwana wewe unaweza na unajibu kwa wakati Nina Amini Amina🙏🙏

  • @faridamselele-j8o
    @faridamselele-j8o 21 день тому +1

    Peke yangu siwezi baba, 😢nisaidie baba, BWANA YESU NISAIDIE kupitia Mtumishi wako , nimechoka madeni yamenitinga nafedheheka😢baba nisaidie nimekukimbilia nakuhitaji baba😭

  • @mariakihwelo1149
    @mariakihwelo1149 5 місяців тому +1

    Ifunike familia yangu kwa damu ya yesu aliokufa msalabani kwa ajili ya Dhambi zetu..

  • @ElizabethFerdnand-se7qp
    @ElizabethFerdnand-se7qp Місяць тому +1

    Nisaidie Ee YESU niondolee Roho ya Aibu kwenye masomo yangu

  • @naomijoseph8176
    @naomijoseph8176 6 місяців тому +5

    Ehh, Yesu Kristo nakosa nizungumze namna gani, niondolee aibu na fedheha juu yangu na uzao wangu, nikumbuke mimi Naomi katika yote. Sikia kuomba kwangu nashindwa kutamka😢😢😢😢

    • @julianarichard920
      @julianarichard920 6 місяців тому

      Kiukweli Mimi.nimechoka na hii roho ya vazi hili la haibu

    • @agnessmwasumbi4965
      @agnessmwasumbi4965 20 днів тому

      Mungu mwema naomna Unijalie moyo wa sala nikae nyumbani mwako milele

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri 3 місяці тому

    Yesu kristo naomba unipe mume sahihi kwangu pia nipate na ndoa yabaraka nipe kibari cha ndoa kwa jina la yesu kristo amen

  • @oman5875
    @oman5875 28 днів тому

    Ee mwenyezi Mungu nakuomba unikumbuke mimi na familia yangu kwenye maisha yangu ,na uturinde dhidi ya maadui waovu 🙏🏿🧎.

  • @JaneZipporah-mz9or
    @JaneZipporah-mz9or Місяць тому

    Amen 🙏🙏 nifunguliwe kwa mathibau ya ukoo ki family Mama na Baba ata niliko olewa e mungu ni ponye si mangojwa matatizo ya mwile nime choka kila siku vitu tofauti kwenyi mwili we nimechoka usinipite mungu nakuitaji

  • @tujeooohmygodsautiikochini8168
    @tujeooohmygodsautiikochini8168 19 днів тому

    Asante BWANA YESU naomba MUNGU amfungue Mume wangu ktk majukumu yake ya kulea familia

  • @user-oi2mn5nm5l
    @user-oi2mn5nm5l 3 місяці тому +2

    Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu akubariki nimeokoka nampenda yesu haikuwa rahisi na baada kupitia kipindi kigumu ndipo Mungu aliamua kunionyesha maisha ya mme wangu amefungwa katika nguvu za Giza na alinitoa sadaka nikiwa na mimba ya miezi Saba lakini Mungu nimwema aliniponya mpaka Sasa Mimi ni mzima na mwanangu mzima ana miaka tisa Sasa namshukuru Sana Mungu Kwa kuniweka hai mpaka saa naomba unikumbuke kwenye maombi ananizuia kusiliza neno la Mungu wala mahubiri hata maombi Huwa naenda tu ki nguvu namuona Mungu Sana Kwa sababu maisha yangu ni ya maombi Kwa sababu najua Niko vitani ombi langu Kwa Mungu amtoe Giza amlete Kwa yesu naitwa pendo Niko tabora ubarikiwe

  • @georgendalawa4510
    @georgendalawa4510 5 місяців тому

    Neema yako Bwana Yesu...Mungu wangu ije inisaidie nisikie sauti ya roho mtakatifu...inisaidie kutulia kwenye uwepo wake

  • @HeritierMwengeGisele
    @HeritierMwengeGisele 24 дні тому

    Naomba Mungu aokoe familia yangu imujuwe, Mungu anipe haja ya moyo Wangu.

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri 3 місяці тому

    Eeee yesu kristo niondoree aibu yangu pamoja na familia yangu kwa jina la yesu kristo niondoree mateso kwangu niondoree kira mipango ya giza kwa jina la yesu kristo

  • @neemamwaipopo110
    @neemamwaipopo110 5 місяців тому

    Hee Mungu wangu katika madhabau ya mtumishi wako, naomba ukombozi kwaajili ya mume wangu David kazana bwana ukatende jambo, akombolewe kupitia madhabau ya mtumishi wako.

  • @kapamevenas79
    @kapamevenas79 5 місяців тому

    Mungu niko apa mbele zako kwa jili ya maitaji yangu. Usi ni pite Leo baba sema Kitu. Amen !

  • @lisakuingwa7337
    @lisakuingwa7337 6 місяців тому +1

    Eeh bwana niondolee vazi la aibu na fedheha...kwangu na hata uzao wangu walitaka niteseke walitaka niaibike lkny walisahau napendwa na bwanaaa maadui yote yao hayatakuja kunitimiaa najitamkia uhai kwenye maisha yangu bwana niongozeeeee

  • @REHEMANGOME-h9s
    @REHEMANGOME-h9s 10 днів тому

    Yesu..mponye. mwanangu umuokoe Na. Mjaribu. anyopitia shetani ashindwe kwa jina la yesu

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 6 місяців тому +1

    Baba tuondolee uharibifu wowote uliojitengeneza kwangu na watoto wangu na mkwe na wajukuu ktk jina la Yesu

  • @MalaikaBrighton
    @MalaikaBrighton День тому

    Eee mungu naona aibu kuja hata mbele zako maana leo natubu kesho nakosea aky mm najiona ovyo sana mungu wangu nisaidie baba

  • @jeniphersichamba545
    @jeniphersichamba545 3 місяці тому

    Ee Yesu niondolee vazi la aibu Mimi na familia yangu. Amen

  • @victoriaaman6628
    @victoriaaman6628 6 місяців тому

    Nisaidie Mungu nifutie haibu yangu juu ya watoto wangu na katika mausiano yangu na watu wengine nikumbuke Bwana

  • @NeemaRajabu-t9y
    @NeemaRajabu-t9y 2 місяці тому

    Ee Mungu naomba unifungue macho ya rohon na masikio karama na kipawa uchimi,wa familia nzima na roho za mizimu na uchawi

  • @shynesszennah1992
    @shynesszennah1992 Місяць тому

    Nakuhitaji Mungu kuliko ninavyohitaji vyote,maana ulinena kua tuutafute kwanza ufalme wa wako na vingine vyote tutazidishiwa🤲🤲

  • @josephinemasaki-zv7te
    @josephinemasaki-zv7te 6 місяців тому

    Ee Mungu Naomba uiondolee family yangu roho ya vazi la aibu na fedheha na Kila maneno yote mabaya yaliyonenwa juu ya family yangu na ukoo wangu

  • @DavidKijazi-qg8wh
    @DavidKijazi-qg8wh 3 місяці тому

    Ahsante Yesu kwa Ukombozi wako.
    Katika Jina la YESU Muujiza wangu ukatimie

  • @adophine1063
    @adophine1063 6 місяців тому

    Amen , Damu ya Yesu kombowa mimi na kizazi changu tufunikwe kwa kwa damu ya yesu.

  • @PatienceNeema-wo2dn
    @PatienceNeema-wo2dn 5 місяців тому

    Ee mungu naomba unitangulie katika njia zangu ufungue milango yamaisha yangu nanikawe nuru katika family yangu naiman utazidi kuniongoza kwakila Jambo🙏🙏🙏

  • @user-vn5eg2mz3y
    @user-vn5eg2mz3y 6 місяців тому

    Eeh mungu Naomba 😢😢ondoa roho ya aibu ndani yangu juzi nimeota Niko uchi jmn hili somo linanihusu 😢😢😢na ninaaamini nimepona kwa jina la yesu adui hana nafasi ndani yangu tena na roho ya aibu haitonipata tena

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 6 місяців тому +1

    Nakataa ile roho ya kukosa kazi ajira biashara kwa kijana wangu kev Yesu kamuone umfungue vifungo vyote

  • @Trifozanestory
    @Trifozanestory Місяць тому

    Asant mtumishi kwa maombiyako mungu akupe guvu kila siku uzidi kutuombeya naamini kupitia aya maombi ninaimani mungu ata tends🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @diazndomba6043
    @diazndomba6043 Місяць тому

    Eee Bwana Yesu niepushe na mitego yote ya adui na vunja maagano na roho ya kucheleweshwa

  • @renfridakomba7499
    @renfridakomba7499 6 місяців тому

    Nafuta ndiyo zote za kushindwa kwa damu ya Yesu Kristo🙏🙏🖐️naamini imekua

  • @DianaShayo-io1pz
    @DianaShayo-io1pz 23 дні тому

    Ee Bwana Mungu nakuomba uniondolee hili vazi la aibu la kila biashara ninayofanya inaisha nakuniacha na kilio,leo Anza nami Bwana

  • @loemaangelo8779
    @loemaangelo8779 5 місяців тому

    Asante mtumishi wa mungu mwanangu rlory aliota ndoto akiwa uchi wa nyama naomba maombi kwa ajili yake mimi mama yake bwana uitetee familia yangu isiaibike milele

  • @frolencinahenry2407
    @frolencinahenry2407 3 місяці тому

    Yesu Nakuomba uanze na mimi niondoleeee hiii aibu ya kutumikishwa na kuhusisha na mambo ya Giza kupitia vya kula vinywaji vya Giza Nisaidie Yesu kwenye hichi kipengele

  • @omaryabdallah6669
    @omaryabdallah6669 5 місяців тому +1

    Ee bwana yesu Najiungamanisha na maombi haya ya UKOMBOZ Katika madhabahu hii.mungu komboa kibali changu Cha uimbaji komboa familia yangu komboa uchumi wangu komboa mafanikio yangu komboa mafanikio yangu komboa elimu ya watoto wangu yusrah na samia.miliamu,Ezekiel,Timotheo, Komboa na uzao wangu kwa damu ya yesu kwa jina la yesu AMENI

    • @JessicaKapona
      @JessicaKapona 3 місяці тому

      Kwa Jina la YESU Alie Hai najifungua kwenye mitego ya adui

    • @JessicaKapona
      @JessicaKapona 3 місяці тому

      Napokea ukomboz Kwa Jina la YESU

  • @user-ch3fl4tr9j
    @user-ch3fl4tr9j 3 місяці тому

    Naitwa Anna naomba Mungu anifungue kwenye kila kifungo mimi na uzao na kila vazi la aibu anivue nahitaji uhuru nimtumikie Amina

  • @user-ce1me1jq1i
    @user-ce1me1jq1i 5 місяців тому

    Ee yehova mungu ulie umba mbingu na dunia nikumbuke nikohapa nakungoja wewe mungu wangu ❤❤

  • @JovithAbdul
    @JovithAbdul 3 місяці тому

    Mungu naomba anikumbuke aikombie ndoa yangu mme wangu kaacha familia amfungus arud

  • @ndayizeyevianney8803
    @ndayizeyevianney8803 3 місяці тому

    Asante Yesu kwenye kichomi Nina amini kimeondoka kati kajina la Yesu

  • @user-nw5of4xh4q
    @user-nw5of4xh4q 2 місяці тому

    Huwa nabarkiwa sana na maombi Yako Kwan Huwa yanagusa mahtaj yangu Moja Kwa Moja km nilishakusimulia mapto yangu barkiwa sana pasta

  • @sarahfeni1866
    @sarahfeni1866 4 місяці тому

    Eeeh MUNGU WANGU, GUPITIA aha MAOMBI YA UKOMBOZI, NAKUOMBA UNIKOMBOLEYE MALI ZANGU ZILIZO BEBEWA 🙏🙏 UNIBALIKI TENA NIPATE CAGUTUNZA WA TOTO WANGU. NAKUOMBA NAAMINI UNATENDA AMEN 🇧🇮🇸🇦

  • @zedmsafili6931
    @zedmsafili6931 4 місяці тому

    Ee bwana ukaonekanesasa katika maisha yangu natamuka kukombolewa sasa kwaadamu yayesu nakombowa uchumi wangu nakombowa maishayangu

  • @marialukumbi
    @marialukumbi 6 місяців тому

    Mwenyezi Mungu niondoe kwenye vazi la aibu katika maisha yangu🙏

  • @restitutaalphonce2466
    @restitutaalphonce2466 5 місяців тому

    Eeh Mungu naomba unibariki na fedha kutoka mashariki magharibi kaskazini na kusini ili na mimi niweze kubariki familia yangu na ndugu zangu

  • @francoisealimasi3999
    @francoisealimasi3999 4 місяці тому

    Bwana yesu Niko papa,najiunganisha na mazabau iyi,niponye, unifunguwe, vile unafunguwa,

  • @niymaedwin4297
    @niymaedwin4297 6 місяців тому

    Niko hapa Bwana unikomboe leo Yesu 🙏

  • @Mercy-jl1pn
    @Mercy-jl1pn 6 місяців тому

    Nashukuru Mungu mtumishi.niliskia kichefuchefu ulipokuwa ukiomba

  • @user-ju4mi1qx5b
    @user-ju4mi1qx5b 4 місяці тому

    Bwana yesu anikumbuke n nisimame nijae roho mtakatifu pia uchungu unitoka toka kaka yangu amefariki niliumia sana

  • @user-up6wl6cq3s
    @user-up6wl6cq3s 4 місяці тому

    Mimi jeneroza mungu naomba uniondolee aibu ya kila aina ya kuhaibishwa

  • @MayasaChitanda
    @MayasaChitanda 6 місяців тому

    Mungu naomb unikumbuke nipate Kaz nipo mbele zako mungu nikumbuke

  • @AbelMgimba-tn9sp
    @AbelMgimba-tn9sp 6 місяців тому

    Mungu uliyemwema nipe macho ya rohoni,,nione nakusikia sauti yako

  • @AgenesteRay
    @AgenesteRay 4 місяці тому

    Eee mungu najiunganisha na maombi haya yanikombowe naomba ukombozi wako mungu

  • @user-eq9ry7cd3q
    @user-eq9ry7cd3q 6 місяців тому

    Yese wangu mwambie kwangu nifue vazi la kukatarifa na kuto kukubarika nieshimishe mungu wangu nieshimishe mume wangu na watoto wangu kwa ujumla live vazi aibu na fedhea tenda baba ponya uchumi wetu mungu wangu

  • @maqueen-rs6in
    @maqueen-rs6in 6 місяців тому

    Nikumbuke na Mimi bwana,,, jibu hitaji la Moyo wangu,, yehova

  • @easterfraha5008
    @easterfraha5008 6 місяців тому

    Amen Asante yesu kwa kunipa uhai pamoja na familia yng

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 6 місяців тому

    Tuvue mavazi ya aibu mimi na familia yangu Jehova

  • @user-du5th9cd1h
    @user-du5th9cd1h 6 місяців тому

    Ee Mungu naomba uniondolee vazi la aibu katika familia yetu ,

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 6 місяців тому

    Baba nashukuru kwa kunivua vazi la aibu mimi na watoto wangu umetupa heshima ktk ndoa mahusiano,ajira,biashara baba tuondolee aibu

  • @aliaaliamint8545
    @aliaaliamint8545 День тому

    Eeeeh Bwana Yesu nanena kufunguliwa kwa wifi yangu ambaye kwa sasa n mwaka wa tano

  • @user-up6wl6cq3s
    @user-up6wl6cq3s 4 місяці тому

    Mungu naomba uniondolee aibu ya ndoa ,aibu ya mtaji na aibu ya ndoto mbaya

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 6 місяців тому

    Baba kuhusu ile kesi cma mza nakuachia utende muujiza wako Yesu ushindi ni wangu

  • @GladysOngera-ep4yg
    @GladysOngera-ep4yg 5 місяців тому

    Anza Na mimi ,familia yangu,ansante Kwa mafunzo ya Siri za biblia,Niko hapa bwana Niko hapa Nina Imani kwako yesu maana wanaokutegea huwezi waacha

  • @hakizimanaEric-vc8qy
    @hakizimanaEric-vc8qy 29 днів тому

    Eee yes kristo niondole fedhea katika maish yangu

  • @joycejoseph5705
    @joycejoseph5705 3 місяці тому

    Eeeh yesu naomba utende muujiza usiku huu wa leo juunya babaangu alioko hosptal akitaabika 😢mungu tenda kwaajili yake usk huu uwe wa miujiza kwangu😥

  • @carolinelucky9199
    @carolinelucky9199 6 місяців тому

    Mungu nitumie watenja kwa jina lako mungu usinipite...na ndoa mungu

  • @AnthonyRiwa-oc1lk
    @AnthonyRiwa-oc1lk 6 місяців тому

    Naikoneti family ya Salutary Riwa ikapokeuponyaji wamagonjwa yanayo tumwana watu wasioitakia mema family yangu ,mama yangu Devotha aka poke uponyaji wa ugonjwa wa presha inayomsumbua Kila siku . Ameen yupo Moshi Kilimanjaro

  • @user-eq9ry7cd3q
    @user-eq9ry7cd3q 6 місяців тому

    Amina ata mm nimeota nimetoka nje uchi kabisa napika mswaki sina abari watu wananiona ila sioni chochote mungu wangu nisaidie baba nipo apa

  • @restitutaalphonce2466
    @restitutaalphonce2466 5 місяців тому

    Eeeh Yesu nakushukuru sana kwaajili ya familia yangu na uzao wangu naomba ulinzi na damu yako takatifu ikawafunike na kuwatetea watoto wangu pamoja na Mume wangu naomba pia ulinzi wa kazi yangu na uchumi wa familia yangu. Amen

  • @margaretmumby2411
    @margaretmumby2411 3 місяці тому

    Eeh yesu nakuomba unisaidie! Sina mwigine ila wewe 😢usinipite Jehovah

  • @user-vn5eg2mz3y
    @user-vn5eg2mz3y 5 місяців тому

    Ee Mungu fungua milango ya baraka neema kibali afya Mimi pamoja na familia yangu nitie nguvu mfalme 😢ili niweze kufanya kazi kwa weledi,ukaondoe Kila mpango wa aduni ulioandaliwa kwenye maisha yangu pamoja na familia yangu,nafuta kwa damu ya yesu Amen

  • @monicaraphael8005
    @monicaraphael8005 6 місяців тому

    Naomba yesu nitoe kwenye iaibu mm na watoto wangu 1:00:34

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 6 місяців тому

    Naombea kuondoa aibu yoyote iliyotengenezwa kwenye mahusiano ya cosy na oly Baba ondoa aibu isiweke matukio yote yasiwe na aibu Yesu kasimame utufunike kwa Damu yako

  • @vivianrafael19
    @vivianrafael19 6 місяців тому

    Mungu nisaidie katika jaribu nayopitia

  • @Stellanovatus751
    @Stellanovatus751 Місяць тому

    Yesu mfufuka niondolee aibu niliyotengenezewa yakutokuwa napesa😢

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 6 місяців тому

    anza nasi Bwana tuondolee aibu na fedheha kila eneo la maisha yetu usitupite

  • @joycemaro1186
    @joycemaro1186 6 місяців тому

    Yesu niondolee aibu ya kutokuwa na nyumba nyumbani kwetu Moshi mama alifariki baba akaondoka nyumbani kwenda kuishi na mwanamke mwingine tufunguliye nataka ya kujenga katika eneo la nyumbani kwetu tuwezeshe bwana amen

  • @PerpetieMazambi
    @PerpetieMazambi 6 місяців тому

    Ninaomba Mungu anibariki kiushumi anipekibali kwenye kazi yangu na kunipandisha mushahara kwenye kazi tena Ninaitaji Mungu wa bwana yesu Kristo amuponye baba yangu figo Na moyo kwa jina la yesu Kristo wanazareti amen amen amen amen amen amen amen

  • @AnthonyRiwa-oc1lk
    @AnthonyRiwa-oc1lk 6 місяців тому

    Na jikonekiti na maombi ya nayoendelea muda huu mungu akayaguse maishangu akanifungue na vifungo vyote vya Giza nilivyotupiwa na kufungiwa na ninao wajua na niso wajua Yesu niguse Leo na unifungue Mimi na watoto wangu Raymond na Rayfred,mungu usimamena watoto wangu huko waliko wanikumbuke na kurudi kwangu tena ,ni mm Anthony Robert Riwa.Ameen

  • @MwendeMeeme
    @MwendeMeeme 6 місяців тому

    Naamini katika Jina la Yesu kupitia maombi ya hizi siku Tatu familia yangu imepata amani kati ya wazazi pamoja na watoto na kutemganizwa na nguvu za Giza.Kaka yangu mdogo amepokea kutii na kuzifuata njia zinazofaa Kwa Jina la YESU KRISTO🙏🙏🙏

  • @elizabethmakokha364
    @elizabethmakokha364 5 місяців тому

    Pastor niombee miguu inaniuma sana na inafura

  • @Stellanovatus751
    @Stellanovatus751 Місяць тому

    Naomba kupitia kina LA Yesu aliyehai nikombolee nimekuwa nikihangaika katikakazi Kila nilipata kazi sidumunayo

  • @angelakimani4239
    @angelakimani4239 4 місяці тому

    Nimevikwa vazi la aibu mutumishi wa mungu mtoto wangu ka kiume anamkataa mke wake mwanangu wa kike akamkataa mume wake

  • @evelinemusanga621
    @evelinemusanga621 6 місяців тому

    Bwana nisongeshe kiwango kingine nifungulie njia tena tenda wema juu yamaisha yangutena una sababu yamimi kuwa hapa tena nitendee Ee Bwana

  • @AgnatarAmad
    @AgnatarAmad 6 місяців тому

    Tenda miujiza bwana juu ya shingo yangu inaniuma nimekuja kwako bwana mimi mwanao naomba uniponye na unisamehe makosa nyangu yote ntakase kuanjia sasa nkochini yasalaba wako Yesu ni hurumie ee Mungu nahitaji uponyaji wako naamini umeyasikia maombi yangu napokea uzima tokakwako Yesu amen 🙏🙏

  • @JessicaKapona
    @JessicaKapona 3 місяці тому

    MUNGU anisaidie nahitaji nipate ndoa sahihi mume mwema wa maisha yangu MUNGU anipe kibali cha ndoa Amen

  • @user-rl6pu5hi3d
    @user-rl6pu5hi3d 3 місяці тому

    Katika Jina la Yesu, nakataa roho ya magonjwa, kifua Cha ghafla ,nyayo zangu na zikombolewe popote nilipokanyaga, bacteria walipotokea na wanyamaze Sasa, Hali ya baridi kwenye miguu yangu, uchumi wangu ulipo fichwa naufichua Kwa Jina la Yesu kristo 🤲🤲🙏

  • @AbelMgimba-tn9sp
    @AbelMgimba-tn9sp 6 місяців тому

    Ahst kwa ibada hii,, Mungu kasimame mwenyewe

  • @MariamuMakele
    @MariamuMakele 3 місяці тому

    Eeebaba nakuja mbele zako unisamehe makosa yangu niondoe mangaiko kwenye mausiano yangu kuhusu uyu mwanaume kama alishikwa na kahaba mwingine muondoe na nimpate yuko wapi j mludishe na uniondoe vazi la haibu nisaidie sana

  • @elizabethmushi3748
    @elizabethmushi3748 22 дні тому

    Ee bwana naomba niondole vazi la aibu na fedheha juu yangu na mume wangu nawatoto wangu na wazazi wangu

  • @lilyndosy1760
    @lilyndosy1760 3 місяці тому

    naomba mungu anisaidie nipate mtaji

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 6 місяців тому

    Achilia Damu yako Yesu ikanene mema kwa engagement na kuitakasa hiyo siku ktk jina la Yesu

  • @LawenaMwinuka
    @LawenaMwinuka День тому

    Mungu atusaidie jamani

  • @AnthonyRiwa-oc1lk
    @AnthonyRiwa-oc1lk 6 місяців тому

    Anzana mm bwana uniponye mkono wangu bwana unaoniuma bwana unipefaraja ktk magumu ninayopitia bwana na Yesu usikie kilimo changu baba,ni Anthony Robert Riwa. Ameen

  • @maqueen-rs6in
    @maqueen-rs6in 6 місяців тому

    Niondolee hii aibu yehova,, niolewe mwaka huu usipite

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 6 місяців тому

    Ninazuia zawadi zozote zitakazoletwa kwa ajili ya kutengeneza aibu kwenye sherehe za wanangu hazitafanukiwa ktk jina la Yesu Amen

  • @priscapaul339
    @priscapaul339 6 місяців тому

    kwa jina la Yesu naamini nimekombolea kutoka kwenye magonjwa yote na magereza nilizofungiwa.Amen

  • @MariamuMakele
    @MariamuMakele 3 місяці тому

    Mungu nisaidie fungua milango yangu