Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Siri 5 za biashara ya vinywaji kupata faida kubwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2023
  • Siri 5 za biashara ya vinywaji kupata faida kubwa
    Hii ni Tan Business Channel Online TV ikitangaza kutoka jijini Dar es Salaam Tanzania
    Hiki ni kipindi cha Mipango ya kuendeleza Biashara kinachowajia siku za Jumatatu-Ijumaa saa 3 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki
    Mtangazaji wa kipindi ni Ali Mwambola
    Kipindi cha leo kinahusu siri 5 za biashara ya vinywaji kupata faida kubwa
    Biashara ya vinywaji ambayo ni endelevu ni lazima ipate faida.
    Kama hakuna faida maana yake ni kuwa biashara inapata hasara na hili sio jambo zuri kwa biashara ya vinywaji
    Sasa basi, unafahamu siri ya biashara ya vinywaji kupata faida kubwa?
    Kipindi cha leo nitaeleza siri 5 za biashara ya vinywaji kupata faida kubwa
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    UA-cam: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

КОМЕНТАРІ •