Jinsi ya kuanzisha biashara ya jumla

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Jinsi ya kuanzisha biashara ya jumla ni muendelezo wa video zinazo tolewa na Tan Business Channel
    Kuna wajasiriamali wengi wameanzisha biashara za kuuza bidha kwa jumla. Wapo waliofanikiwa na wapo ambao hawajafanikiwa kibiashara. Nini siri ya mafanikio?
    Video hii inaeleza mambo ambayo ni ya muhimu kuzingatia wakati wa kuanzisha #biashara ya jumla (#wholesale).
    Biashara ya jumla ni ile ambayo inahusisha kununua bidhaa nyingi moja kwa moja kutoka kiwandani au msambazaji mkubwa wa bidhaa na kuuza bidhaa hizo kwa wafanyabiashara mbali mbali.
    Kwenye hii video inaeleza kazi kuu za biashara ya jumla, aina ya wafanyabiashara wa jumla na mambo ya kutakari unapoanzisha biashara ya jumla.
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    UA-cam: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

КОМЕНТАРІ • 5

  • @robertmkundi3634
    @robertmkundi3634 3 роки тому

    Okay

  • @rehemaiddsalehe52
    @rehemaiddsalehe52 3 роки тому

    Je kiasi gani cha kuanzia biashara ya duka la vyakula

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  3 роки тому

      Hapo ina maana mtaji wa kuanzisha biashara ya duka la vyakula. Kuna taratibu za kufuata ili kufahamu kiasi cha mtaji unaohitajika. Wasiliana nami kupitia amwambola@gmail.com

    • @lucyalex3322
      @lucyalex3322 5 місяців тому

      Nahitaji kufungua duka la jumla la vinywaji kampuni ya Pepsi na coca nafanyeje hapo