JINSI YA KUSAJILI JINA LA BIASHARA AU KAMPUNI KWA USAHIHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @ahmedimghwira5899
    @ahmedimghwira5899 Рік тому +7

    Ndg zangu na wahudumu wetu wazuri mungu awalinde ,mm ninashida kuna kampuni moja ya mikopo online imenidhulumu niliomba mkopo kupitia mo foundation pia walitaka niwe na akiba kulingana na kiasi ninachotaka nmelipa hiyo akiba pamoja na malipo mengine imefika laki mbili baada ya kukamilisha mpaka leo sijapata ni miezi minne sasa

  • @obadiamakoko3611
    @obadiamakoko3611 Рік тому +4

    Asante sana,nimeelewa,nina ndoto ya kumiliki Kampuni,siku moja nitawatembelea.

  • @EmmanuelWilliam-q8c
    @EmmanuelWilliam-q8c 7 місяців тому +5

    Asante sana,naje unaweza sajili jina la biashara na badae kubadilisha kuwa kampuni?

  • @sulemanjafari3152
    @sulemanjafari3152 2 роки тому +7

    Mbona hapa morogoro kwenye maonesho ya tiba asili ya mwafrika hamjafika wakati wadau tulikua tunataka kusajiri jina la biasha?

  • @MamaSamson-xd6qo
    @MamaSamson-xd6qo Рік тому +2

    Vip kuhusu gharam za usajili

  • @LizGustav
    @LizGustav Рік тому +4

    Nawezaje kusajili biashara yangu?

  • @amani-y2o
    @amani-y2o Місяць тому

    Nahitaji kutengeneza brela

  • @DanielSamike
    @DanielSamike 5 місяців тому +1

    Kwakeli mi huwa nashangaa sana yaaa kusali kampuni tuuuvinachukua mpaka siku 2

  • @paskalinamwalongo5248
    @paskalinamwalongo5248 Рік тому +2

    Mnapatikana wapi?

  • @JacksonShirima-mw5ui
    @JacksonShirima-mw5ui 5 місяців тому +1

    Naombeni mtusaidie namna ya kusajili biashara kwa njia ya mtandao

  • @sakinaabas6668
    @sakinaabas6668 Рік тому +5

    Asante sana...lkn vp naweza kusajili jina la biashara?

  • @viviandaniel5089
    @viviandaniel5089 Рік тому +1

    Mna patikana wapi

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven 2 роки тому +1

    Mtakuwepo pia Nyakabindi Simiyu kwenye maonesho ya NaneNane

    • @brelaonlinetv
      @brelaonlinetv  2 роки тому +2

      hapana tupo mbeya kwenye maonesho ya nane nane yanafanyika kitaifa mkoan mbeya karibu

  • @alexlemanga3393
    @alexlemanga3393 11 місяців тому

    nikijaribu kuandika jina la kampuni naambiwa siyo sahihi nifanyaje hapo?

  • @HenryOkellopaschal
    @HenryOkellopaschal 4 місяці тому

    Samahani naomba namba ya watsp

  • @ShabanKarumie-nu3xo
    @ShabanKarumie-nu3xo Рік тому

    Naitaji kujisajiri naweza kutumia neno gani kama utambulisho wa kufahamika

  • @ShabanKarumie-nu3xo
    @ShabanKarumie-nu3xo Рік тому

    Mi ni fundi ujenzi naitaji kujisajiri.

  • @EmmyMollel-vf2nq
    @EmmyMollel-vf2nq 11 місяців тому

    Nataka kusajili ila biashara yangu ni shulee itafaa

  • @Vice_Tz
    @Vice_Tz Рік тому +1

    Nahitaji kubadilisha jina ila linakataa nashindwa kumalizia