Jinsi ya kupanga malengo 7 ili biashara ya vinywaji kupata faida

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Jinsi ya kupanga malengo 7 ili biashara ya vinywaji kupata faida ni moja kati ya mada zinazo tolewa na Tan Business Channel kupitia video zake
    Sababu kubwa inayochangia kufilisika kwa biashara ya vinywaji, ni biashara hizo kuanzishwa bila ya kuwa na misingi imara
    Ni misingi ipi imara ambayo inachangia biashara ya vinywaji kupata faida na hivyo kutofilisika?
    Video hii inaeleza mambo 7 ambayo yana chochea biashara ya vinywaji kupata faida na kuwa endelevu
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    UA-cam: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

КОМЕНТАРІ •