Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Jinsi ya kuandika business plan ya biashara ya vinywaji

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2021
  • Kuandika business plan ya biashara ya vinywaji ni muhimu wakati wa kuanzisha biashara ya duka la vinywaji
    Kuna mambo mengi muhimu unatakiwa utekeleze na huwezi kutekeleza mambo yote kwa ufanisi kama hauna maandiko yatakayo kuongoza.
    Business Plan ni mandiko ambayo unatakiwa kuwa nayo, ambayo huwa ni dira inayokuongoza jinsi ya kuanzisha na kusimamia biashara mpya.
    Business Plan nzuri ni ile inayo kuongoza kuanzia hatua ya mwanzo ya kuanzisha biashara na usimamizi wake kwa ujumla.
    Video hii inaeleza taratibu7 ambazo zinatakiwa kufuatwa wakati wa kutengeneza business plan ya duka la vinywaji.
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    UA-cam: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

КОМЕНТАРІ • 2

  • @user-sj5sb6yi7i
    @user-sj5sb6yi7i 11 місяців тому

    Mfno unaweza kuanza na mtaji kiasi Gani?

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  11 місяців тому

      Hakuna kiasi maalum cha mtaji ambacho kinafaa kuanzisha biashara ya duka la vinywaji. Jambo la muhimu ni kufahamu vigezo vya kufanya makisio ya mtaji. Ukifahamu vigezo wewe mwenyewe unaweza kufanya makisio ya mtaji wa duka la vinywaji kutokana na matakwa yako. Vigezo vywa mtaji ni 3: (a) Fedha za kuanzisha biashara (b) Fedha za kuendesha biashara (c) Fedha za vifaa na miundo mbinu