UBUNIFU: KIJANA AUNDA MASHINE ya KUTENGENEZA VIFUNGASHIO kwa Kutumia KARATASI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • UBUNIFU: KIJANA AUNDA MASHINE ya KUTENGENEZA VIFUNGASHIO kwa Kutumia KARATASI...
    Clinton Joseph ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa mji wa Babati mkoani Manyara, kijana huyu ni miongoni mwa vijana nchini Tanzania waliobuni mashine ya kutengenea vifungashio kwakutumia karatasi Ambapo amesema humgarimu shilingi million 1 na laki 5 mpaka kukamilisha mashine hiyo.
    Global Online Tv imezungumza kwa kina na kijana Clinton juu ya ubunifu wake huo ambao umelenga kunusuru uharibifu wa mazingira.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 38