Masanja bora hao wanakuja na vimini na jinsi makanisani wanajulikana kuliko wanaokuja wamevaa nguo ndefu kumbe ni malaya adabu hawana wezi na dhambi zote hapa duniani zao. Hivi Yesu akija hapo kanisani atawahukumu hao wenye jinsi, wale wakuu wa makanisa na makanzu yao Yesu aliwaumbua maana walikuwa wanawahukumu watu sana mmoja wao akasema amefuata amri za Mungu tangu utoto, Yesu akamwambia bado moja hujafanya uza ulivyonavyo ukawape maskini yule kuhani roho ilimuuma sana, Yesu akamwambia ni rahisi kwa ngamia kupita ktk Tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi uzima wa milele, kuhani alijiona ni mtakatifu na amefuata sheria zote kumbe hatupo chini ya sheria tena na bali chini ya Neema.
Kaka masanja uzidi kubarikiwa jamani nawish kuudhuria kwenye madhabau yako hakika u watofauti sana Mungu azidi kukutia nguvu na akuongezee BARAKA kila iitwayo leo
Amen Mungu akushike mkono wake ukushike nakuomba usome Isiya 41:1 InatoshaYesu alisemwa itakuwa sisi sisi? Mungu ana wewe Pastor Masanja. Tunakuombea mpaka shetani ashindwe.
Nashkuru kwa kunielewa kaka , huyu mtumishi bado hajamuelewa Mungu vizur ipasavyo , Sasa IPO siku Mungu atamfunulia live , hatoamini macho yake ,maana Mungu achezewi ,ataniwi, na pia Mungu huwa apendi mzaa , Sasa haya yanayofanyika kanisani mwake nin ? Kama sio mzaa ? Basi Ipo siku Mungu atanena nae , na ataongea kwa hasira na hasira yake Mungu ukitoka salama Basi hutabakia Kama ulivyo , ipo siku tuu ,tupo hapa Mungu atamjibu tuu ,
Haleluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Masanja , nimemuona Mungu aliye hai ndani yako!!!!! Baba, Baba, Babaaaaaa! Wewe ni Jembe la Yesu! Yaani Mungu amekukusudia! Yaani kwa wewe Mungu anasaga saga na kuponda ponda maadui. Masanja, kwa kuvuka huo mtego aliouandaa shetani, Umeongezewa nyota ,na cheo Mbinguni kwa Jina la Yesuuuuuu!
🤣🤣🤣🤣🤣 kabisa masanja ni mtumishi wa mungu ila anatuigizia sana move, ila ni sisi tuyafate yale neno la mungu linasema basi. hayo mengine tumwachie apitae majina yote 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Yes F Karimi ila tumia herufi kubwa kuandika Yesu.... Barikiwa mnoooo... Tz tunamshangilia Mungu kwa Watumishi kama Massanja... Ataeleweka tuuuu. Amina...
Amen nimebarikiwa songa mbele ingeku Mimi ningekua na shaka lakini ukiona kunakupigwa mawe una kitu kikubwa sana Mungu akuinue kwa viwango vya juu walitamani uwe Kama wao lakini wewe SI Kama wao songa mbele katika zamu yako
Napendaga majibu yako,mchungaji anatumia maneno ya Mungu ili mtu aone mwenyewe kubadilika na siyo kama kukamata watu kwa mateke kuwabadilisha,nakukubali.
Ubarikiwe sana maan yapo makanisa ni kusemana tu et kaavaje wanazani kanisan waje walio Safi tu wakat kanisan ni kama gereji kila aina ya gar bovu lije ili litoke limepona co mm huwa nakuelewa sana
Nakuelewa Ng'wana wane. Wengi ni wanafiki wanavaa suti na kujifanya watakatifu lakini ndani ni mbwa koko. Uko poa masanja uko wazi hii inadhihirisha usafi ulio ndani yako.
Kabisa!!.Wao wanafikiri wabaya sio wa kwao. Pastor Emma kusanya wabaya wote uwaombee. Siku ya mwisho wataulizwa sijui watajibu nini? Kazi ya Yesu iliyomleta dunia kwani ni ipi? Watujibu hao wachungaji.
dont know if you guys cares but if you guys are stoned like me during the covid times then you can stream all the new movies and series on Instaflixxer. Been watching with my gf for the last couple of days =)
Masanja the problem, people takes God's work and they apply to regular ,l wish they could let God do his work( judge). Tell them dressing will never take anybody anywhere. To make matter worse the people saying that are born again people. So l wonder where are we going? Keep up the good work Masanja
Nliwahi kusema kuna wewe ni Mtumishi mzuri ila kwa MTU Mwenye dini bila ufunuo WA roho mt hawezi jua,baada ya kuisikiliza hii tu nmetiwa moyo kumbe ni MUNGU alikua anasema ndani Yangu,tatizo ulokole wamapokeo sio wokovu WA kristo halisi,chaps Kazi,Na ni vzr kumsikiliza Mungu.
Postor mungu akuinue saana mafundisho yako ni ya kristo kwel kalibu bukoba tena
Masanja bora hao wanakuja na vimini na jinsi makanisani wanajulikana kuliko wanaokuja wamevaa nguo ndefu kumbe ni malaya adabu hawana wezi na dhambi zote hapa duniani zao. Hivi Yesu akija hapo kanisani atawahukumu hao wenye jinsi, wale wakuu wa makanisa na makanzu yao Yesu aliwaumbua maana walikuwa wanawahukumu watu sana mmoja wao akasema amefuata amri za Mungu tangu utoto, Yesu akamwambia bado moja hujafanya uza ulivyonavyo ukawape maskini yule kuhani roho ilimuuma sana, Yesu akamwambia ni rahisi kwa ngamia kupita ktk Tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi uzima wa milele, kuhani alijiona ni mtakatifu na amefuata sheria zote kumbe hatupo chini ya sheria tena na bali chini ya Neema.
Amen mtumishi, kweli tuna kungojeya Congo ujebaba
Mungu akubariki Sana wewe unaelewa Mungu ni nani sio wanaohukumu watu.
ubarikiwe mchungaji tumrudie Mungu in Jesus name
Kaka masanja uzidi kubarikiwa jamani nawish kuudhuria kwenye madhabau yako hakika u watofauti sana Mungu azidi kukutia nguvu na akuongezee BARAKA kila iitwayo leo
Mtumish yesu aliulizwa maswali hakujibu hubiri neno na MUNGU wa Mbinguni atakuinua
aminaa sana MWANA WA MUNGU, yupo mbabe wa wababe na MFALME WA WAFALME
Ameeeen mchungaji, pia tunaomba unapohubiri mpiga kinanda apunguze sauti tuskie vizuri bila kuskilizia
Wape vidonge vyao, Tumshukuru Mungu kwa vyote alivyotupa Amen.🙏
Mchungaji asante kwa mafundisho mazuri,naomba kinanda kipunguzwe au kuzimwa kabisa kwani neno ni la muhimu zaidi tusikie kwa utulivu.
Ni kweli waondoe kinanda
That's my pastor,l wellcome you all to our church.
Masanja jaribu kujifunza zaidi usijiamini sana hutashaurika jua unamtumikia Mungu katikati ya wanadamu.
Pasteur ubarikiwe na bwana wetu yesu kristo kwa mafundisho
Amen
Mungu akutunze Mtumishi
Amen Mungu akushike mkono wake ukushike nakuomba usome Isiya 41:1 InatoshaYesu alisemwa itakuwa sisi sisi? Mungu ana wewe Pastor Masanja. Tunakuombea mpaka shetani ashindwe.
Mungu akutumie pastor
Aisee nimekuelewa sana, Mungu anisamehe nilikuwa mmojawapo kati ya hao, nikubali tu, Mungu anisamehe, now i support you brother
Nashkuru kwa kunielewa kaka , huyu mtumishi bado hajamuelewa Mungu vizur ipasavyo , Sasa IPO siku Mungu atamfunulia live , hatoamini macho yake ,maana Mungu achezewi ,ataniwi, na pia Mungu huwa apendi mzaa , Sasa haya yanayofanyika kanisani mwake nin ? Kama sio mzaa ? Basi Ipo siku Mungu atanena nae , na ataongea kwa hasira na hasira yake Mungu ukitoka salama Basi hutabakia Kama ulivyo , ipo siku tuu ,tupo hapa Mungu atamjibu tuu ,
Ubarikiwe kaka mana umetambua
Mungu alikuja kwa wenye dhambi
Nipe tano mwanangu🤣🤣🤣
Nadhani tunahitaji wachungaji wengi sana kama pastor masanja. Yesu alikuja kwa wenye dhambi. Amina sana pastor
umenikumbusha na kunielimisha zaidi mtumishi. barikiwa.
Dunia iko spidi saanaa 😅 Mungu atufunulie yanayompendeza👏
Nakubari Mtumishi nakuelewa saana Mungu akutie nguvu simama kwenye with wako
Ni kweli mtumishi
Tunakupenda kaka mch chapa kazi ya Bwana
Chapakazi, Kama Mungu anakuelewa inatosha hata Kama wao wasipokuelewa 👍👍👍🎤🎤🎤
"Master DTEM" anasema, kazi ya Mungu ni ya Mungu na si Wanadamu. Mungu azidi kukusimamia.
Ameeeeeeen
Haleluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Masanja , nimemuona Mungu aliye hai ndani yako!!!!!
Baba, Baba, Babaaaaaa!
Wewe ni Jembe la Yesu!
Yaani Mungu amekukusudia!
Yaani kwa wewe Mungu anasaga saga na kuponda ponda maadui.
Masanja, kwa kuvuka huo mtego aliouandaa shetani,
Umeongezewa nyota ,na cheo Mbinguni kwa Jina la Yesuuuuuu!
Ubarikiwe sanaaa
Da uimara huu Kama kwel unatoka kwa mungu wa Ibrahim, the man is very strong.!! Namwachia mungu.
Amina mtumishi wadog zake Roho mtakatif ni weng San
Songa mbele ndugu
Masanja bhana! Hya!
Mungu akusimamie katika yote uyafanyayo nimeona Mambo ya ajabu sana mungu kakuinua Sana katika kuinua injili amen
Mungu akubatoki zaidi
Ameeeeeeen mtumishi wa Mungu nimekuelewa Sana tu
Kinanda kipo juu sana kuliko saut ya mtumishi
Neno liko juu zaid
Mungu aseme nawe Jambo Kuna kitu hujaelewa kuhusu Mungu 🙏
🤣🤣🤣🤣🤣 kabisa masanja ni mtumishi wa mungu ila anatuigizia sana move, ila ni sisi tuyafate yale neno la mungu linasema basi. hayo mengine tumwachie apitae majina yote 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Nimekuelewa Sana miaka 2 uko church ndo ukaokoka, kweli majira sio kulazimisha AMEN
Barikiwa saana,...
Piga kazi kaka, kwa Mungu mbali sn sio km binadamu wanavyodhani
Amen Amen 🤲🙏🙏🙏hili ndilo neno hallelujah
Nakukubari Sana Mchungaji Masanja
🇰🇪Nikiwa Kenya huwa nafuatilia mafundisho yako,God bless you vessel of God,😀😂 Amen yesu ametutengeneza kwa Neema
Yes F Karimi ila tumia herufi kubwa kuandika Yesu.... Barikiwa mnoooo... Tz tunamshangilia Mungu kwa Watumishi kama Massanja... Ataeleweka tuuuu. Amina...
Acha Yesu akutetee kaka usipoteze muda wa kujibu mwanadamu.
Amina ubarikiwe mchungaji Mungu azidi kukuinua
Barikiwa sanaa
Amen nimebarikiwa songa mbele ingeku Mimi ningekua na shaka lakini ukiona kunakupigwa mawe una kitu kikubwa sana Mungu akuinue kwa viwango vya juu walitamani uwe Kama wao lakini wewe SI Kama wao songa mbele katika zamu yako
Barikiwa sana mchungaji tunapokea kwajina ra YESU KIRISTO
DAaah aseee safi saana nimeupenda ujumbe wako mtumishi
Napendaga majibu yako,mchungaji anatumia maneno ya Mungu ili mtu aone mwenyewe kubadilika na siyo kama kukamata watu kwa mateke kuwabadilisha,nakukubali.
Ubarikiwe sana maan yapo makanisa ni kusemana tu et kaavaje wanazani kanisan waje walio Safi tu wakat kanisan ni kama gereji kila aina ya gar bovu lije ili litoke limepona co mm huwa nakuelewa sana
Mungu akubariki
Nakukubali Sana
Ubarikiwe pastor kitambo sana npo azania secondary nakuona jangwani na mito ya baraka
Umenibariki Kaka Angu Mungu Akuwezeshe.
nimekwelewa mchungaji masanja. mungu azidi kukutumia. mimi nime badilika kupitia maubili yako.
Amina sana nimebarikiwa sana na mahubiri yako mtumishi wa mungu na nimejifunza pia
Asante mungu
Nakuelewa sanaaa sanaaaa
Good,,,,
Ila kinanda apunguze kdg
amina sanaa MWANA WA MUNGU
Nakuelewa Ng'wana wane.
Wengi ni wanafiki wanavaa suti na kujifanya watakatifu lakini ndani ni mbwa koko.
Uko poa masanja uko wazi hii inadhihirisha usafi ulio ndani yako.
Uko vizur pastor
Upo sawa mtumishi
Kabisa!!.Wao wanafikiri wabaya sio wa kwao. Pastor Emma kusanya wabaya wote uwaombee. Siku ya mwisho wataulizwa sijui watajibu nini? Kazi ya Yesu iliyomleta dunia kwani ni ipi? Watujibu hao wachungaji.
Mungu akupe uzima
Huyo wa kinanda anapiga kelele sanaaaaaaa
True kinanda apunguze
God bless you pastor
I get you pastor keep it up an big up
dont know if you guys cares but if you guys are stoned like me during the covid times then you can stream all the new movies and series on Instaflixxer. Been watching with my gf for the last couple of days =)
@Salvatore Alexander Definitely, have been using InstaFlixxer for months myself =)
Napenda sana yesu anavyotajwatajwa,sipendi wanavyotajwatajwa,wasanii wabongo freva
Karibu Sana mkesha wa vijana hapa Emus center ubungo,,, Katoliki church...njoo tukae pamoja na Yesu mpaka saa 10 alfajiri
Nimebarikiwa sana
MUNGU akubariki sana mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana kwa Neno unalo hubir
Ubarikiwe mwana one!
Nimekuelewa Sana mtumishi wa MUNGU
Umenenaaa Mtumishi wa Mungu, Kuna Mahal umenitoaaa
Msaka tonge huyo .Mungu ni mtakatifu Mungu hawezi kufata kama sisi tunavyo taka .Mungu anatutaka tuishi tufate kama yeye anavyotaka.
Maandiko yanasema kua tukijiita watakatifu tunamfanya Mungu kua ni muongo
Am blessed too
Na bado awajasema usiogope
Kama tumitwa kutafta utukufu waetu sawa ila kama ni wa Mungu acha kujitafutia haki ya kibinadam tafuta Mungu sana na ukubari kukosolewa
Ubarikiwe KAZI ya injili ni kumbadilisha mtu
Mungu akubariki mtumishi!
Masanja the problem, people takes God's work and they apply to regular ,l wish they could let God do his work( judge). Tell them dressing will never take anybody anywhere. To make matter worse the people saying that are born again people. So l wonder where are we going? Keep up the good work Masanja
You're right pastor, ninakukubali sana
Uko correct my pastor go ahead
Ameeeen mtumishi
Umeitwa na wazungu sio mungu wakweri
Wakweli Amemuita wakweri hajamuita!!!
Pastor Masanja piga kazi wanadamu hutawaweza wanamaneno mengi.
Timiza wito wako aliyekuita ni Mkuu Sana
Mpiga kinanda apunguze sauti ilituwe tunasikiliza vzr maneno ya MUNGU
Kelele zimekuwa nyingi za kinanda ushauri Muda wa neno asipige labda pale penye point hiyo itakuwa nzuri zaidi
Kwakwel pastor nimekuelwa sana unazungumza vitu vya kiroho kabisa. wasio na Roho mtakatifu hawawez kukuelewa
Ameeeeeeeeeeeeen baba. MUNGU akubariki sanaaaaaaaaaa kwa neno lenye uzima
Neno la uzima?
Frm kenya 🇰🇪 ijst love this pstr anaongea ukweli mtupu
Tunaomba mialiko baba
Am blessed by your Massage ,
Barikiwa Bro n Pastor Masanja
“Message “ 😊
NAKUELEWA SANA BRO MUNGU AKUPAISHE
Asante wajina pastor wafbue macho we are free in Jesus name
Amina pst 👏👏👏
Ubarikiwe.sana.mungu.akutunze.karibu.majimoto
@@tumainshaban5772 asante
Tangumwanzo wa huduma yako hua nakukubali sana pastor
Pg kazi ya mungu kila mtu ameitwa kivyake
Sindkzia na mstari wa Bible labda
Mungu akuinue mtu wa Mungu nikija Dar es salaam nitakanyaga kwa hiyo madhabahu
Mmmmmmmh, Daniel praise uko hapa ubarikiwe kwa kisikia huo ujumbe
Umesema kweli kabisa Pastor tunaipata hiyo taabu Sana
Jumapili ijayo utakuwepo nije kusali baba askofu msela,Naqubali sana mahubiri yako
So blessed pastor, umewajibu kimbingu aiseee.
Mungu akupe hatua zaidi
Tunapenda kukusikiliza ila hichokinanda kinatukera sau kubwa Sana kipunguzwesauti basi Yani nikelele kinatuboa
MPiga kinanda plz, we need to listen da word of GOD
Kaka nimekuelewa ndugu yangu wa ludewa