TAZAMA JINSI MZEE SHAMBA KUBWA LONGIDO, ANAVYOTENGENEZA PESA NYINGI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @beatusmtui507
    @beatusmtui507 Місяць тому +1

    Mungu akubariki sanaaaa maasai

  • @Daniel-qy4yw
    @Daniel-qy4yw Рік тому +3

    Hongera sana babu yangu shambakubwa Mungu akubariki

  • @domcityfarmingcenter7754
    @domcityfarmingcenter7754 Рік тому +3

    Somo zuri na linafundisha sana 🙏🙏🙏 Mbarikiwe sana...

  • @nsajimwasege68
    @nsajimwasege68 7 місяців тому +3

    Kama kila mfugaji wa kimasai angekuwa na mawazo kama ya huyu mzee chuki za wakulima na wafugaji zingekuwa historia Tanzania,hongera sana Mzee wa Longido👏👏👏

  • @frankchisemeli09
    @frankchisemeli09 Рік тому

    Mungu awabariki Sana! Mafunzo mazuri bado naendelea kujifunza kupitia Ngowi tv

  • @ndegebedua
    @ndegebedua Рік тому +3

    Hadi nywele zina sisimkwa kwa uzito wa ujumbe, hongera saana mzazi, ujumbe umefika.

  • @isaackbaraka
    @isaackbaraka Рік тому +3

    Kusema kweli nawashukuru sana hakika "Fikra na mawazo yako yatatuongoza daima"

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 5 місяців тому +2

    Hongera mzee

  • @keshukakurubay6178
    @keshukakurubay6178 Рік тому +4

    Hongera sana mzee shamba kubwa.

  • @chedielimrutu6955
    @chedielimrutu6955 29 днів тому

    Serikali ifanyie kazi mawazo haya kupunguza Migogoro ya Wafugaji na Wakulima

  • @LusekeloMwakyisa
    @LusekeloMwakyisa 2 місяці тому +1

    Hongera sana Mzee,mfano wa kuigwa

  • @alibinjuma793
    @alibinjuma793 5 місяців тому +1

    👍

  • @pauloegbert515
    @pauloegbert515 8 днів тому

    Anastahili kuwa kiongozi

  • @marychuwa8159
    @marychuwa8159 7 місяців тому +1

    Kwa kweli urithi si Elimu tu ngo'mbe 16 na fikra chanya zimebadili maisha

  • @GodfreyMwambwalo-ev9nh
    @GodfreyMwambwalo-ev9nh 7 місяців тому +2

    Hongera sana

  • @MuhammadiMnyawi
    @MuhammadiMnyawi Місяць тому

    Masha a llah

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 8 місяців тому +1

    Mash Allah.

  • @eliusmnyagwea9519
    @eliusmnyagwea9519 Рік тому +1

    Nipe kazi mi doctar mifugo