#TBCShambani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Ufugaji huu wa Ng'ombe wa maziwa ni fursa, unaweza kupata hadi lita 40 ya maziwa kwa Siku.

КОМЕНТАРІ • 15

  • @josephmkina
    @josephmkina Рік тому +4

    Mtangazaji nimeipenda maswali yako Yana tija kubwa sana . Pia mtaalamu Asante Kwa majibu sahihi. Big up sana.

  • @DawsonAkyoo
    @DawsonAkyoo 17 днів тому

    lerombo kwemaa bwana mim nikitaka kujiunga ntafanyeje nko arusha

  • @emilianamakiya6437
    @emilianamakiya6437 Рік тому +1

    Asante kwa somo zuri sana. Kwenye kunyo kwa ndama kua mwanzoni anatakiwa at least lita 3,je hizo lita utajuaje kua sasa amenyonya lita 3 ?

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому

    Asante

  • @DawsonAkyoo
    @DawsonAkyoo 17 днів тому

    tunaomba namba zao

  • @ramadhaniddi9879
    @ramadhaniddi9879 2 роки тому +2

    TBC NAOMBA HII VIDEO KWA AJILI YA KUFUNDISHIA

  • @hamismboi152
    @hamismboi152 Рік тому +1

    Napenda sana huo mrad

  • @Auto_5r
    @Auto_5r Рік тому

    Kipindi bora kabisa safi lerombo ,nenda lita Kampasi ya temeke utulishe zaidi

  • @tinakois2769
    @tinakois2769 Рік тому

    Hi. Tunaomba namba zao kwa ushauri na kujifunza zaidi

  • @mariambryceson5903
    @mariambryceson5903 Рік тому

    Mie ninashida na huyu mwalimu jaman anipe maelekezo vzr

  • @jeremiabahatmagesa4654
    @jeremiabahatmagesa4654 Рік тому

    Naishi musoma mjib natamani kufuga ngombe wakisasa wa maziwa wanao vumiria change Moto za Hali ya hewa

  • @mshamyusuf6332
    @mshamyusuf6332 Рік тому

    Jamani mimi nahitaji haong'ombe nawapataje

  • @alexanderhudson6386
    @alexanderhudson6386 7 місяців тому

    Ssy umeupija mwingi