Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hongera dada kazi uliyofanya ni kubwa hata kipofu ameiona
Umemsahau harison mwakyembe
Asante Abdul🙏
Shukrani sana @SalamaNauthar
Ongera mama yang
Namuombea Sana huyu dada, ipo siku atarudishwa kwenye nafasi nzuuuri, napenda anavoongoza, anajiamini Sana, ngoja mama yetu Samia akuweke upumzike kidoogo! Anakwangalizia pahala.
Mambo ya historia ni kipaji, ina mapungufu sana, mwachieni MPAGAZE na EDGA
MAKWAYA ni watu wa Sumbawanga kumbe wanahusiana na waTanga
Congratulations mama oumy
Nampenda sana bi ummy
Hogela mungu ni mwema pambana ndugu
MASHALLAH ♥️♥️♥️♥️
Namkubali mchapakazi
Baba mtumish wa serikali
Ummy nikiongozi mahiri anastahiri maua yake
😜
Sasa mtu kasomea Shelia anapewa wizara ya afya mtu apewe nafasi kulingana naalichosomea
Kumbe hajasomea udoctor
Huyu mama Ana li shepu nzuri sana
Anafaa mama kwani umemtoa mrudishe wizara ya afya
Mchukuuni ni handeni acha kutupanga bana
Acha kudanganya. Mchukuuni IPO Wilaya TANGA...na siyo Handeni na ndipo alipozaliwa Ummy.... Mwalimu
Kwaiyo historia yake ana mume wala watoto 🙄
Private
Haujatupa kuhusu mume na watoto wangapi?
LABDA MJANE,,OMBA NAMBA ZAKE
Unataka kuoa... ni vigumu mwanaume kuishi na mwanamke mwenye umaarufu wa kisiasa na uongozi
Historia imekosewa mno
Makamba ndio chanzo cha kuvuruga chama mpaka chama kikawa ovyo ccm ikawa ya matajiri ni porojo nyingi na maneno ovyo
🙄😢😂
Historia Ina mapungufu
Uwanja ni wako tufundishe kidogo nasi tutajifunza
@@Santzmediaacha ubishi, wengi humo wanamfahamu ummy,umetuingiza chaka