❤ haki nasikia furaha na pia bajikia na wivu kwa ndugu zetu watanzania kwa kupata rais mzuri sana mama samia ni rais mpenda watu wake na nchi yake sio kama huyu wetu ndili mla watu.hongera mama mungu akulinde na akupe afya.
From Dwangwa Malawi yes a moving scene the president hugging the small girl even sitting on a presidential sofa unheard of across the globe thanks the humble Mama Samia Zikomo Mama mkuu
Natoa.Hsante kwa Rais Samia Suluhu kwa kitendo alichokifanya kwa huyo mtoto kwani kwanza ameridhika na ujasiri wake pili ameonyesha kua hana tamaa ya kufikiria kua kiti ni chake mwenyewe MUNGU amuongezee hekima Amina
Asante sana mama umefanya mambo makubwa sana ayo ni mambo ya kiroho yatakuwa kweli ktk kizazi chake uongozi wa kiti cha urais upande wa kina mama utaendelea ayo ni mambo makubwa sana ktk ulimwengu wa kimwili na kiroho
Mimi Ema kirua kutoka mbezi nimefurahi sana mama kukuona unakumbatia mtoto huyo mwenye ndoto kubwa za kua kama wewe mama,mama yetu ,mama yangu Mimi natamani nikutane na wewe niongee nawewe kidogo tuuu❤♥️nakupenda mama.
Mbegu bora ilivyo panda na wazazi wake kuna wazazi awajua ku muomba mungu awalindie family zao na huku wakizilinda familia zao ukipenda family yako mungu ataipenda
Maashaallaaaah Mama mwemwa Allah Akubariki kwamapenzi unaonesha upendo Allah akuzidishie Umuri wa Tanzania munagoja nini mumupe Guraa nyingisanaaaaaaa💞💞💞💞💞💋💋💋💋💋💋💋💪🏽💪🏽💪🏽Courage Mama Samiya🇧🇮🇧🇮💯💯💯💯💯💛💚💛💚💛💚
Mungu wa Binguni, nakuomba kama vile doto ya huyu Binti mzuri umeitimiza, na moyo wake ukafurahia, Nakuomba Mungu wangu itimize doto yangu na unibariki Nakuomba, Niondolee umaski niweze kusomesha watoto wangu na kuwapa maisha mazuri na pia familia yangu, Yesu Nikumbuke Leo na Mimi.😢😢
Ubarikiwe Sana Mheshimiwa kumtia moyo mtoto sio dogo litawapa somo watoto kuwa mawazo Yao Yana nafasi tena tunawajali Inapendeza Ubarikiwe Sana Raisi Samia
%%nakukubari sana %%%5 tena mama inakusu.umefanya mamba mengi mazuri kwa nchi yetu.akuna wa kupingana.nawewe.mama yetu kipenzi cha watanzania na duniani kwa ujmla mungu.akupe maisha malefu mama.
Waaaoohhh vizuri sana mtoto mzuri Mungu akutunze uje kutimiza ndoto zako
Nimelia kwa furaha hii nimeipendaa kwa dhati❤ #ssh 🙏🙏
😢😢kumbe hata ww yanakutokeaga basi tumefanana mm nikiangalia vitu kama hv machozi yanatiririka bila sababu cjui hata kwann
❤ haki nasikia furaha na pia bajikia na wivu kwa ndugu zetu watanzania kwa kupata rais mzuri sana mama samia ni rais mpenda watu wake na nchi yake sio kama huyu wetu ndili mla watu.hongera mama mungu akulinde na akupe afya.
Sura sio Roho
Amen and Amen and Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Amin
Mungu apewe sifa atimaye mtoto atimmiza ndoto zake
From Dwangwa Malawi yes a moving scene the president hugging the small girl even sitting on a presidential sofa unheard of across the globe thanks the humble Mama Samia Zikomo Mama mkuu
❤❤❤❤Hio kukalia kiti ni Very spiritual one day yes atakua Raisi
Sahii kabisa
Amina Amina Amina sana.
Ndoto hii na itimie kwa jina la Yesu Kristo.
Heshima yako sana Mh Rais Samia
P0❤❤❤❤❤⁰00p0
Hii ndoto ishindwe kwa jina la yesu hatutak tena kuja kuongozwa nawaha viumbe
Yesu hana uwezo wowote
Wau wonderful 🎉❤ mu h love mama mtukufu rais hongera sana
Acha kukufuru mtukufu amekua mungu au ndio uchawa
Hongera sanaa mama yetu kwa upendo wako ju ya watanzania bira kujali umri Hongera sanaa mama
Vzr xan we mtoto mzuri Mungu akubark utimize ndoto yaki
Mungu atakubariki mtoto mzuri
Kumpisha huyu mtoto Ni ishara nzuri za baraka kiutawala na kmafanikio serikalini kiuchumi na kadhalika
Mashallah Raisi wangu nakupenda Sana Allah akujaalie moyo wa upendo Kwa watoto wako pia Kwa nchi nzima inayokuzunguka Ameen
Nimejikuta na mfrahia mpaka nimecheka Ubarikiwe Sana mama Kwa kimtia Moyo Mtoto wetu 🎉🎉🎉🎉
Hii ni ishara nzuri MUNGU akujalie uwe kiongozi ujae na wwe Amin
Hongera sana rais wetu kwa. Kujali watoto mungu akupe maisha marefu
Nafaraha mimi munyarwabda 🇷🇼
❤❤❤❤❤❤
Congratulations our president, umeonesha kumjali huyo mtoto, ni historia nzuri kwake
Wow wow nice congratulations ♥️
Mama umefanya kitu sijawahi kukiona katika maisha yangu wewe ni kweli mama unamapenzi na watoto
Hakika inatia moyo watoto kutamani urais. Tuwatie moyo
Nimejisikia furaha had mwili wote umesisismka wallah Masha Allah❤❤❤❤❤
Pongezi kwako Mama wa taifa wa Tanzania you have a good heart keep it up your excellency.
Maashallah kumbe ndoto zingine ni kweli😊😊❤
Safi Tena inafurahisha sana
Mtoto kuongozwa na roho ŵa mungu. Sasa kazi kwenu chawa kusifia.
Nakupenda Sana Mama yetu kiongozi Mzuri Mungu Akupe miaka mingi Akujaze Hekima za Marifa. I love My Mom Samia suruhu Hasan 🧡🧡🧡🫂
Nani mwingine anatokwa na machozi aje hapa ajiunge na mie, this was amazing ❤
Wow hongera mtoto jasiri..
Mavazi ya huyu mama mash Allah
Taratibu mama samia umeanza kuwa kama mgufuli hongera mama❤❤
💪💪💪💪💪 superwoman 🥰🥰🥰✊✊🤝🤝
Natoa.Hsante kwa Rais Samia Suluhu kwa kitendo alichokifanya kwa huyo mtoto kwani kwanza ameridhika na ujasiri wake pili ameonyesha kua hana tamaa ya kufikiria kua kiti ni chake mwenyewe MUNGU amuongezee hekima Amina
Vizur sana nimependa l love you president Samia big up
Ila umaarufuu ni kitu kidogo sanaa jmnii😂😂😂
Daaa inapendeza sana hongera Rais wetu kwa upendo wako .
Asante kwa rais Mungu akutangulie mbele
Nimeipenda hii mtoto hiyo ni baraka kubwa baadae jitunze utakuwa kiongozi mkubwa baadae mama hongera
Lovely Samia Hassan.we love you .Kenya
Wow wow that was so good
Tido mhando ni mtu muhimu sana kwa taifa letu anautu Mungu azidi kumlinda mtu huyu tido mhando
This lady shall.rise and shall be great
Mungu akulinde utimize ndoto yako
Asante sana mama umefanya mambo makubwa sana ayo ni mambo ya kiroho yatakuwa kweli ktk kizazi chake uongozi wa kiti cha urais upande wa kina mama utaendelea ayo ni mambo makubwa sana ktk ulimwengu wa kimwili na kiroho
acha ushamba
This is what we call leadership nurturing the next generation for leadership ❤❤
Tanzania hakuna matat ❤❤❤ i love 💕 Tanzania ❤ God bless 🙏 Tanzania god protect our Tanzania
Mimi Ema kirua kutoka mbezi nimefurahi sana mama kukuona unakumbatia mtoto huyo mwenye ndoto kubwa za kua kama wewe mama,mama yetu ,mama yangu Mimi natamani nikutane na wewe niongee nawewe kidogo tuuu❤♥️nakupenda mama.
Mbegu bora ilivyo panda na wazazi wake kuna wazazi awajua ku muomba mungu awalindie family zao na huku wakizilinda familia zao ukipenda family yako mungu ataipenda
Maashaallaaaah Mama mwemwa Allah Akubariki kwamapenzi unaonesha upendo Allah akuzidishie Umuri wa Tanzania munagoja nini mumupe Guraa nyingisanaaaaaaa💞💞💞💞💞💋💋💋💋💋💋💋💪🏽💪🏽💪🏽Courage Mama Samiya🇧🇮🇧🇮💯💯💯💯💯💛💚💛💚💛💚
Mungu wa Binguni, nakuomba kama vile doto ya huyu Binti mzuri umeitimiza, na moyo wake ukafurahia, Nakuomba Mungu wangu itimize doto yangu na unibariki Nakuomba, Niondolee umaski niweze kusomesha watoto wangu na kuwapa maisha mazuri na pia familia yangu, Yesu Nikumbuke Leo na Mimi.😢😢
Unaupendo wa zati mama maisha marefu nakuombea kipenzi wamoyo wangu nakupend mm
Mbariwa🎉
Wonderful day to see little girl like this God bless you beautiful girl Have The Best fureture In Jesus Name.
Huku Kenya jamaa wetu haezi fanya hilo..😂😂🤣🤣
Hogera san 🎉
Nimependa sana❤❤❤
❤❤❤❤❤ mungu akusaidie Sikh moja ndot yako ije itimie
Ubarikiwe Sana Mheshimiwa kumtia moyo mtoto sio dogo litawapa somo watoto kuwa mawazo Yao Yana nafasi tena tunawajali Inapendeza Ubarikiwe Sana Raisi Samia
Amen
Mungu amubariki sana
Mungu amjalie uzima afikie ndoto yake
May almighty bless you mama
❤❤❤ Furaha sana
Sikuzote mwanamke anauwezo wakufanya vitu adimu. Hongera mama samia
Hii ni Ishara tayari ya kuwa kiongozi mkubwa huyu mtoto MUNGU aliye hai alitimeze hili
Wow congratulations mom ❣️👏
Dogo kawa Rais kwa muda kidogo
saf nimeipenda sana hiyo
Kama mkenya nimefurai sana hakuna ndoto kubwa maishani thatsks 🎉so much mama
Masha Allah
So nice❤❤❤❤❤
MUNGU akubariliki mom
Mau mengi kw mkuu wetu wa nchii unavitu vya kipekee mama 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Beautiful gal so confident
❤❤ i Bless her to succeed.
Amina mungu amjalie afya njema ili kutimiza ndoto yake nimependa kama mzazi kuona mtoto huyu akiwaza kua kiongoz bora wa inchi yetu ❤❤❤
Aandaliwe vzr kielimu ili badae awe hazina ya Taifa letu
Nakupenda sana rais wangu
Allah azidi kuiweka salama Tanzanie
%%nakukubari sana %%%5 tena mama inakusu.umefanya mamba mengi mazuri kwa nchi yetu.akuna wa kupingana.nawewe.mama yetu kipenzi cha watanzania na duniani kwa ujmla mungu.akupe maisha malefu mama.
Maashaallah❤❤
Wonderful
Wao wao yapendeza sana.
Excerent
Nice mma samia
This woman is extraordinary
Na hapa Kenya zakayo ametufinya Kama kuku
My eyes where just shading tears,....... dear lord,if possible lets have president Georgia in the next years
Extremely fabulous
Mama Samia anahuruma sana ila watu hawajamuekewa tu
Anahuruma kumwachia hicho kiti akae 😂😂duh hatariii
Woow 🎉
Mtoto mwenyewe anaonekana maisha Bora sio Kama wakwetu
Hakika mama ww unastahili Kwa furaha nliyokuwa nayo mpaka machozi!🎉
Mungu na atimize ndoto za huyu mtoto🎉
Mungu na atimize ndoto za huyu mtoto🎉
Ok ongera sana raisi Samia suluu Hassan
❤Mama wetu sote
Waoooiih❤❤❤
Good generation
Ohhh ❤
Daaah mpaka guz bam…aseee😊😊
THE DREAM WILL COME TO PASS
Mimi nasema mama anafanya kazi nyinyi amuelewi mnataka afanyeje mmuelewe
I love my president