YOUNG LUNYA AFUNGUKA KUHUSU YOUNG KILLER/ FID Q na JOH MAKINI HAWAWEZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 чер 2024
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

КОМЕНТАРІ • 98

  • @user-qw3vx3pl2z
    @user-qw3vx3pl2z 16 днів тому +3

    Nashukuru kwa kutambua heshma ya regends poa dogo umetisha

  • @micmac7035
    @micmac7035 17 днів тому +5

    Alafu huu jamaa akiwa na dread locks kama Carter Wayne vile🧐

  • @Davida-vi7ef
    @Davida-vi7ef 14 днів тому +3

    Namkubar lunya coz stayle yake yakuimba kujikubar kuwachana masnichi nataka kumfananisha na Mick mill 🎉

  • @husseinmkungu1166
    @husseinmkungu1166 17 днів тому +2

    Kila mtu na style yake yakuchana acheni majungu lunya anajua ❤❤❤

  • @emmanuellaurent-uw7ym
    @emmanuellaurent-uw7ym 13 днів тому +3

    acapela ni sifur ila huwa anabebwa na biti

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 13 днів тому +1

    Watangazaji wengi mic 🎤 chache studio duh!Presenters liangalieni hili

  • @mzingtingofficial7401
    @mzingtingofficial7401 17 днів тому +3

    Huyu ndio rappa tunatambua global🇰🇪hawa marapa wengine warudi shule wanaimba ufala

  • @LotFta
    @LotFta 13 днів тому +1

    Daaah pole mwanang bola ungekaa kimya jam mjinga

  • @PauloBarton
    @PauloBarton 7 днів тому

    Young lunya wewe ni Noma ndio raper Bora hivi sasa hakuna ushindani wewe ni namba moja

  • @Lionboi600
    @Lionboi600 17 днів тому +3

    Youngking🔥🔥🔥

  • @HenrySebastian-uf3zj
    @HenrySebastian-uf3zj 17 днів тому +2

    Mbuzi International rapper🙌🏻🔥

    • @StevenKagaruki
      @StevenKagaruki 11 днів тому +1

      Hakuna raper hapo mwambie aache kelele

  • @GreenGhama
    @GreenGhama 13 днів тому

    ❤❤❤❤❤too much love brother

  • @waitinmboto8716
    @waitinmboto8716 17 днів тому +1

    mbwa mwitu ina inspiration mtaani bro💪

  • @kleenheart
    @kleenheart 17 днів тому +1

    Inspiration .the G.O.A.T

  • @shadrackjasson
    @shadrackjasson 15 днів тому +1

    Mbwa mwitu❤❤❤❤❤ mbuziiiii

  • @adammayogho300
    @adammayogho300 14 днів тому +3

    Kama una mpenda young lunya gonga like hapa

  • @user-vz4xj2ci2w
    @user-vz4xj2ci2w 16 днів тому +3

    wanamchuka mtu alofanikiwa sahivi wamemtafutia mpinzani samata kuwa msuva ndo mkali, mondi wanasema kiba mkali, mwakinyo wanasema mkali ni kiduku ila ukweli tunajua wote lunya nw ndo mkali labda useme mtu kama darasa na mtu kama jay moe hao wanaweza kuachia jiwe ata kesho ila nw kina killer wamepotea

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 15 днів тому +1

      Umeongea ukweli mtupu 😂😂

  • @hamzasanga1038
    @hamzasanga1038 17 днів тому +2

    Safii kak

  • @dismanManota
    @dismanManota 5 днів тому

    Bro nyimbo zake kali sana

  • @AthumaniChalamila
    @AthumaniChalamila 16 днів тому +1

    Oya uyo namba moja tu

  • @EvaDonasian
    @EvaDonasian 16 днів тому

    Baba wa kambo🎉

  • @Daniel_89_89
    @Daniel_89_89 16 днів тому +1

    Watangazaji wanaongea haraka kama wana tongue twist au Muda ni mchache??

  • @Sumambish
    @Sumambish 15 днів тому +1

    @##Mbuzi kamambuzi🎉🎉hamatiki

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 16 днів тому

    Dogo anajua sanaa sema minyama sanaa

  • @user-qw3vx3pl2z
    @user-qw3vx3pl2z 16 днів тому

    Lunya ni Lil Wayne wa bongo naye Hana kidevu kama wiz wa USA Ila mbuzi mnyama Ana kidevu hapo imekaaje

  • @CHOPPERMASNII
    @CHOPPERMASNII 17 днів тому +3

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-uw7er1ec3v
    @user-uw7er1ec3v 15 днів тому +1

    Nyinyi mafala acheni kumsema mtuvibaya . Kama kuna noma nawe . Mfate mwambie

  • @DotoMsangi
    @DotoMsangi 7 днів тому

    Hatuna rapper hapa kulinganisha na mistar ya msodok namakelele hayo Bado mno

  • @bongetimwa4948
    @bongetimwa4948 9 днів тому

    Sony wameuziwa mbuzi kwenye guni

  • @ramamabrok2523
    @ramamabrok2523 17 днів тому +3

    Msodoki 👑🏆

  • @CharlesMasanja-rb6ke
    @CharlesMasanja-rb6ke 10 днів тому

    Msodoki❤❤

  • @rodriguekalubandika535
    @rodriguekalubandika535 17 днів тому

    Still Moja kama nkombe😂

  • @Davida-vi7ef
    @Davida-vi7ef 14 днів тому

    Sura imaetakata kama naogea maziwa😂

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 10 днів тому

    #uyu aimbii bari anabwata

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 9 днів тому

    Mjomba bado kila mkorofi hata sauti yake ina ladha ya kuimba tatizo wewe ni kelele nyingi na kutunga mistari bado

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 11 днів тому

    Kama sijaelewa 😂😂😂😂😂

  • @NassibuKassimu
    @NassibuKassimu 9 днів тому

    Hahahaahhahahha hv tenah kmbeee lunyaaa jingaaaa kwl😢

  • @mhogomchungu7882
    @mhogomchungu7882 16 днів тому +7

    Huyu shoga tu…hamna rapper hapa

    • @richlord22634
      @richlord22634 14 днів тому +1

      Unaweza mchukia mtu lakini jaribu kumaintain respect kwa huyo mtu, itakusaidia sana kwenye maisha kuliko kuropoka mambo kama f*la.

    • @abuubaqr5808
      @abuubaqr5808 10 днів тому

      Shoga kwanini? Kwajili kafanikiwa au?

    • @mhogomchungu7882
      @mhogomchungu7882 10 днів тому

      @@richlord22634 we unamuona kabx jamaa ni wakiume??…”kuwa fahari kwa wenzio michezo ya namna hiyo hatuikubali ni ya kidemu,ni sawa na kusema we ni mkali wakat na radio zinakupa promo ya hatar unaua game…🎶

    • @mhogomchungu7882
      @mhogomchungu7882 10 днів тому

      @@abuubaqr5808 jamaa analiwa kinyeo..afu sio kwamb nmemdharau ..jamaa kashazoea kwaio sio shidah

  • @GodfreyTumaini-gf7sc
    @GodfreyTumaini-gf7sc 11 днів тому

    Msodokiiii🎉🎉🎉🎉

  • @rodriguekalubandika535
    @rodriguekalubandika535 17 днів тому

    Chid Benz oyee our legend

  • @rodriguekalubandika535
    @rodriguekalubandika535 17 днів тому +1

    Msodoki👑🤴🏻

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 17 днів тому +3

    Oiii kelele nyingi hana jipya huyu amefula nini vile ngoja nimuulize toxic😂😂😂😂😂😂

  • @oscarhenry451
    @oscarhenry451 5 днів тому

    Toka zama za mangwea sjawai muona mbuzi mwenye mashavu yaliolegea

  • @oscarhenry451
    @oscarhenry451 5 днів тому

    Pumzi zamkata hamna kitu hata ywanyongwa na mate

  • @josephphilipo5213
    @josephphilipo5213 16 днів тому

    Mna maswali ya kiwaki.uyo meneja angepewa muda angetupa madini mengi

  • @user-qw3vx3pl2z
    @user-qw3vx3pl2z 16 днів тому +1

    Usipomdiss killer wewe huna jipya unyama wako ni kumdiss imba na maisha

  • @user-qw3vx3pl2z
    @user-qw3vx3pl2z 16 днів тому +2

    Acha zako wewe huwa muda mwingi unamuwaza young killer

  • @thompsonkiputa6842
    @thompsonkiputa6842 17 днів тому +2

    Storytellers
    Rapcha, pc the MC, kontawa, young killer na wengne. 😅

  • @ibraaahmwanyello6233
    @ibraaahmwanyello6233 15 днів тому +1

    Wala huyu sio mkali sana sema ni managment yake ina mbeba

  • @user-xp4re6tv8l
    @user-xp4re6tv8l 15 днів тому

    Bado msodoki king❤

  • @japhsam_simulator
    @japhsam_simulator 14 днів тому

    mpeni definition ya mbuzi kwanza anaonekana hajui maana ya hilo neno

  • @manwoka4078
    @manwoka4078 16 днів тому +2

    Huyu ni Rapper tu kwenye HipHop hausiki kabisa.fake ,sioni meseji anayoileta kwa mitaa zaidi ya majigambo

  • @jomiAfrica
    @jomiAfrica 17 днів тому +1

    Makelele kama generator 😂😂😂

  • @user-rp1ly4xc8k
    @user-rp1ly4xc8k 16 днів тому

    Una kipaji bro ila hujui kubadirika kulingana na nyakati hebu jaribu kujifunza kwa OG maana nae alianza hivihivi lakini alikua anajua anachokifanya badae akachange na sas ukimsikiliza unaelewa anachozungumza

  • @FahadAli-ni5eu
    @FahadAli-ni5eu 15 днів тому

    Ana free style nyimbo zke hawezi kuzungumzia ata cheni yke huyu rapa gani sasa

  • @ginimbifamily3995
    @ginimbifamily3995 15 днів тому

    Huyu ajuw chochote..anacho kiimba akieleweki 😂😂😂😂

  • @GeorgeEdward-mu1xg
    @GeorgeEdward-mu1xg 17 днів тому

    Akashindane na gigy money ao sio type yake kbc ten kma fd atoboi kbc

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 17 днів тому +1

    Uyu anafosi bifu na msodoki

  • @magga_v
    @magga_v 12 днів тому

    Kurap anajua ila free stail uwongo

  • @AbilahSalumu-qx1cb
    @AbilahSalumu-qx1cb 17 днів тому +1

    Young killer ft Aumuwezi

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 17 днів тому

    Kashindane na gigy boya sana huna lolote,ukizungumzia mwalimu wako ni p the mc kelele nyingi

  • @mstarabubeats2165
    @mstarabubeats2165 15 днів тому

    promo za kishamba mbona mziki wetu hauendi kokote huyu anatumiwa na mabossi2 mda wake ukiisha mtamuona msanii anachana utumbo mtupu😂😂😂

  • @nomineetz255
    @nomineetz255 12 днів тому

    Live hana pumzi 😂jamaa

  • @TeophilBuilding
    @TeophilBuilding 16 днів тому

    Kinachokuharibia nikuwa shoga tu pale Ramada na ushahid upo

  • @merckmdamu2942
    @merckmdamu2942 17 днів тому

    Hunalolotewewe mbweha2

  • @agnessnkandi5229
    @agnessnkandi5229 17 днів тому +2

    Anapiga sana kelele uyu boya

  • @user-bm4ln5jc6j
    @user-bm4ln5jc6j 17 днів тому

    Huyu boy hata sijui demu wake anamsifia saangap😂

  • @eliudeliakayela9598
    @eliudeliakayela9598 12 днів тому

    Pumzi pumzi pumzi pumzi hamna
    Mate yamejaa kwenye maiki

  • @user-zj5ei1kl6p
    @user-zj5ei1kl6p 17 днів тому +1

    Msodokiiiii

  • @godsson5954
    @godsson5954 17 днів тому +2

    HIPHOP IS DEAD