YOUNG LUNYA AMLIPUA TENA YOUNG KILLER - "HAONGELEWI Mpaka ANIDISS"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 594

  • @jaykillertz9231
    @jaykillertz9231 Рік тому +117

    Killer ndo ambae anajua🤴 uyu jamaa wenu mbuz👆 anapenda kujiimba mwenyewe sasa sisi atuitaji maisha yake tunataka MZIKI🔊

  • @DekelvaSoujaboy
    @DekelvaSoujaboy Рік тому +5

    Tamba pande zako pande zetu autambi hii verse naikubali sana young killer ni mtu bad from Drc congo lubumbashi young killer always likolo ❤❤❤❤❤🎉🎉 mnyonge mnyongeni haki yake mpeni 🎉🎉🎉🎉

    • @JosephJosephhaule
      @JosephJosephhaule 5 місяців тому

      Wangekuwa marapa Bora wanateuliwa ningemteuwa young killer❤❤❤❤

  • @juniourku
    @juniourku Рік тому +13

    Usupastaa dogo sio kununua cheni 🔥🔥🔥young killer msodok on 🔥🔥🔥

  • @shaimavunde305
    @shaimavunde305 Рік тому +42

    young killer moto mwengine.....tunaomkubali killer tukutan hapaa❤❤❤❤

  • @xclusivebtz7516
    @xclusivebtz7516 Рік тому +4

    LUNYA Z THE BEST OF ALL TIMES
    mm nashindwa chenye young killer ana do cjui n rap or poetic ju bdal ya kurap anaongea LUNya to world 🌎 wide

    • @pesamingi275
      @pesamingi275 Рік тому

      The comment I’ve been looking for Lunya ako bieee 😂 huyu kila hata simuulewi ni mawhat anasema 😂

  • @MariootzViewskhoursago
    @MariootzViewskhoursago Рік тому +9

    Young killer is the best 🙌

  • @Mkidke
    @Mkidke Рік тому +20

    Killer 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MapuliMisalaba
    @MapuliMisalaba Рік тому +16

    Killer atabaki kwenye ubora wake, anazijua sana tungo

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 Рік тому +23

    They're in their own battle but for me I'll go for KILLER
    Amekinukisha tangia Lunya anatoa funza miguuni af killer ni mshkaji flan sio mshamba

    • @allyjonas6510
      @allyjonas6510 Рік тому

      Lunya unarap kelele tu uwezi moto wa killer ata cku moja niamini meme

  • @sikalumea9028
    @sikalumea9028 Рік тому +56

    Killer is killing it

  • @ValessKenny
    @ValessKenny Рік тому +4

    Killer atabaki kuanomatu❤️💥🔥

  • @NuhuMetson-mt1vc
    @NuhuMetson-mt1vc Рік тому +7

    Young killer is the best

  • @Ellythegreat-cl5jv
    @Ellythegreat-cl5jv Рік тому +10

    Youngkiller kendrick 💯👑

  • @thembadforreal
    @thembadforreal Рік тому +13

    KILLER KILLED IT

    • @BonifasotwenyaKitine-mw2cj
      @BonifasotwenyaKitine-mw2cj Рік тому

      Broo Kuna m tz makli Kwa jina #Skotziki in UA-cam m tz makli sana #skotziki in UA-cam m tz mkali sana ❤❤❤❤

  • @alfredbaraka2937
    @alfredbaraka2937 Рік тому +16

    Young killer is at another level.....

  • @JumaChimilila
    @JumaChimilila Рік тому +1

    Nakubali lunyaa anakwenda kixaxa na flowers❤❤❤❤

  • @elishaworkout6116
    @elishaworkout6116 Рік тому +12

    Dakika sita za makele hamna point yyte unainba perfyum 😂😂😂😂😂😂 humwezi killer ata kidog ngoma zako laini sana afu we mlamba lips mchumba tu, me naeza ata kuflow zaid yako coz unaflow visivyoelimisha

    • @DrizzyRynie
      @DrizzyRynie Рік тому

      Shida nahc na ww ni msukuma mwenzake Rapping is not speaking Bruh wen we say Rapping we mean Flowing *Ditch*

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 Рік тому +3

    Killer mkali sana dogo anatungo hatari Yani maneno yake ni chakula Cha ubongo# anaemkubali like hp#

  • @DottoCharles-op4ri
    @DottoCharles-op4ri Рік тому +2

    Wasafi makuma tu siku izi mnampa promo lunya , mnyamwezi killer mnamnyima promo.

    • @massco99hacker
      @massco99hacker Рік тому

      bro umeongea kwa uchungu sana basi kaka si wenyew tunaumia sana tu fuck it

  • @kennohg6152
    @kennohg6152 Рік тому +2

    Young killa talks on the beat but lunya got flows

  • @cosbytz2370
    @cosbytz2370 Рік тому +9

    Young lunya alichomzidi Msodoki ni Mashavu tu hakuna kingine 😂

  • @zakaliaalberto9252
    @zakaliaalberto9252 Рік тому +11

    Dogo lunya naona bado unaendelea saiv tunatoa dakika kumi zakwako iyo itakua mwisho et namsaidia you have nothing bro😂

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 Рік тому +4

    Young lunya gat style of corse while killer anaongea tu

  • @massco99hacker
    @massco99hacker Рік тому +18

    Greatness is not guarding yourself from the people; greatness is being accepted by the people na uo ndo ukubwa wenyew so mashabiki mda huu ndo tunahaki ya kusema nani mkali me nafikiri kwangu ni killer ndo best coz ameweza kuonyesha ukali kwa maana ya action lakini sio kudefense yeye mwenyew kama young lunya kila ngoma me me me me mkali no we need ukali wenyewe ndo ukutambulishe kua wewe ndo mkali arafu nimuelekeze pia kumbe anafanya mziki asio ujua yeye sio hip hop ni sehemu ya hip hop sasa why anakosoa hip hop ooh sijui wenzake wanaongea fuck it So let's begin! To be clear, rap is the delivery used in hip-hop music and trap is a sub-genre of hip-hop music. Therefore, out of the two, only trap is a genre. Trap derives from hip-hop, an urban-based genre from New York City

  • @ulimbombonaulindi5088
    @ulimbombonaulindi5088 Рік тому

    Nikitaka radha ntamskiza mbosso, nikitaka michano ntamskiza killer, dogo anajua sanaaa.

  • @alisoniboy8812
    @alisoniboy8812 Рік тому +2

    Lunya mnyama🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @arabicanarestaurant1940
    @arabicanarestaurant1940 Рік тому +13

    Huku Kitaa Tumekubaliana Kua
    sio kila Young Ni Killer

  • @LeonardLeonard-fu7sc
    @LeonardLeonard-fu7sc Рік тому +16

    Lunya is next level

  • @YaGa60
    @YaGa60 Рік тому +3

    Lunya mshamba tu huyo hamuwezi killa ni kitambo brother

  • @fredyalexkomba7910
    @fredyalexkomba7910 Рік тому +2

    Uyu jamaaa na mwakinyo awapishani kwa majigambo

  • @swedikitenge6391
    @swedikitenge6391 Рік тому +19

    Kuna wengine mnasema2 killer mkali Kwa mapenzi kwakuwa kiiler kaanza mda, sifa kubwa ya hip-hop ni flow, mistari na kucheza na beat, Sasa lunya anaweza Hivyo vyote, Sasa killer nyimbo zake nyingi ni kuongea2, Sasa hiyo ni rap au poetic song, sikilizeni top ten rappers wote Africa, especially kaligraph Jones km utakuwa anaimba Kwa kuongea , ni speed2 na flow changes.

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 Рік тому +1

      Sema unapendaa flow zake ilaa ulichoooelezeaa sio vigezo vya rap bora !! Kwaiyo fid Q ni rapa wakaidaa sabab awez flow kama lunya ??? Jay MO ?? Wakazi ?? Stamina ?? Utasemaa ni wabov??

    • @alphoncegeoffrey7018
      @alphoncegeoffrey7018 Рік тому

      Ushawahi sikia lunya akitema punchlines?? Usimuweke level ya Khaligraph na sarko kabisa

    • @eliazebedayo1802
      @eliazebedayo1802 Рік тому +1

      Nilitaka kukujibu lakini ngoja nikuache tu! Humjui killer vzuri!!

    • @swedikitenge6391
      @swedikitenge6391 Рік тому

      @@salim02tv24 kati ya hao wote FD Q, ndie rapa, Sasa una uhakika kwamba FD Q hawez ku flow, ushawahi skiliza professional , bongo hip hop na zingine au unasema2, Sasa embu ntajie nyimbo ipi huyo killer ameflow

    • @swedikitenge6391
      @swedikitenge6391 Рік тому

      @@alphoncegeoffrey7018 punchlines maana yake nn kwanza, maan usiongeee2 Mzee

  • @frankmeney6775
    @frankmeney6775 Рік тому +3

    Lunya🎉

  • @alevanytz3472
    @alevanytz3472 Рік тому +14

    Killer anajua kulap LUNYA anajua kupiga makelele😂😂

  • @JiopodTrendline-ui8mm
    @JiopodTrendline-ui8mm Рік тому +10

    Karne ya hizi ni Karne ya kutumia akili nyingi asee na kujituma, kiukweli Killer Ana mistari yenye akili nyingi( elimisha,inafundisha,inamtia mtu nguvu na kumpa mtu akili kumfanya asilkilize Kila mstar anaotamka na mistar yote Ina Radha na stle yake kurap Ni asali).truly killer is the best killer and predeter.
    Huyu jamaa lunyaa Ana rap stylish tu (Tena kuiga rapa wa mbele wanavyo flow+ marehem salasala) Hana mistar yenye sense and combination in real.

  • @merckmdamu2942
    @merckmdamu2942 Рік тому +8

    Killer ni🔥🔥🔥goma lake liko no1 ontreding kamshusha hadi mondi. Wewe lunya uko nafasgani? Nawewe ndoumeanza kumdis killer halafu leo unasema Hasikiki bila kukudis kakudis lini? Acha upumbavu

  • @S_ucre
    @S_ucre Рік тому +2

    ...young killer everyday

  • @rasheedyramadhan2091
    @rasheedyramadhan2091 Рік тому +12

    Killer nihatarrr lunya anajiogopa

  • @medallionsihaba1954
    @medallionsihaba1954 Рік тому +23

    Young killer Katisha sana lunya mdogo sana killer mnyama sana 🔥💪💯🔥

    • @lilpaff93
      @lilpaff93 Рік тому +2

      Acha ushabiki sema2 ukweliii lunya ni Moto🔥🔥🔥🔥🔥

    • @medallionsihaba1954
      @medallionsihaba1954 Рік тому +1

      Unachekesha kweli brother Killa brother 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @jaykillertz9231
      @jaykillertz9231 Рік тому +1

      Ujakosea lunya ni kama kijusi tu anajiimba mwenyewe

    • @amourworldbeats
      @amourworldbeats Рік тому

      ​@@lilpaff93Inaonekana Umemaliza form 4 Mwaka Jana Lunya Has Nothing Zaidi Ya Kujisifia Tu,Sisi Tunataka mziki

  • @agrasbalandya9389
    @agrasbalandya9389 Рік тому +3

    Haya ndo yaleyale ya Rapcha kulinganishwa na mtu mwenye Dizasta zake, ni usenge usiofaa .Sio kwamba Rapcha mbovu 'ila levo za Dizasta bado ' .Kwahyo huyu Lunya asijisikie 7babu kasainiwa SONY, Killer alichokosa ni mtu mwenye mapana ili asonge zaidi

    • @massco99hacker
      @massco99hacker Рік тому

      basi kaka inatosha tumuache akalale

    • @barakamkumba
      @barakamkumba Рік тому

      Ukweli tu tuseme mwanza hatoki mshamba Killa sayali nyingi hat fdq awe making tu na mtot killa

    • @mwasit726
      @mwasit726 Рік тому

      Oya izo zarau sn luny mtt sn young killer amkuti ata kidogo killer ana hip hop irignol

    • @mwasit726
      @mwasit726 Рік тому

      Mna mbrand Tu uyo mbuzi alio kosa mfugaji ata mfanye nn killer hawezi kupotea sababu yy ni kipaji

  • @rashidmambo1412
    @rashidmambo1412 Рік тому

    Killer na Lunya siongelei ila wote bado sana kwa king Rapcha🎉

  • @ChemBoe
    @ChemBoe Рік тому

    Lunya unyama mlima🤘mbuzi unaweza killer bdo

  • @nawafmohdy3476
    @nawafmohdy3476 Рік тому +2

    Huyu mbuzi jau san anayumba....alaf sas nymbo zke zote anajisifia yey tu kwn sis tunataka ujiimbie maish yko au uimbie jamii kw ujumla. Killer atabak kuw killer🔥

  • @joshuabalhally088
    @joshuabalhally088 Рік тому +7

    Young killer🔥🔥

  • @DatuDatu-rr4oj
    @DatuDatu-rr4oj 4 місяці тому

    Uyo namba 9 kila namba 1

  • @bernardmdendemi7347
    @bernardmdendemi7347 Рік тому +10

    Dogo amepanic sanaa hakutegemeaa hichiii fans base ya young killer ni kubwaa sanaa ya ages 30+ na wanaoelewa music sana wa rap and fans base ya lunya ni kubwa sana ya age 20+

  • @passmiracle5267
    @passmiracle5267 Рік тому +16

    Lunya tatizo kelele nyingi na kujisifia sana anakua kama chief good love

  • @kiduaalute603
    @kiduaalute603 Рік тому +3

    Unachana dakika mbili unatetemeka 😂😂😂😂😂😂😂

  • @SalumSquare-v5m
    @SalumSquare-v5m Рік тому +2

    .matako ww lunya uwez killer fire mn yan sikuelew at kidg

  • @projestusphillip5477
    @projestusphillip5477 Рік тому

    Wasaf wana jua kuua mbuzi Killa kamuua mbuzi

  • @ShebySwaggz-k6o
    @ShebySwaggz-k6o 8 місяців тому

    All ov you firee

  • @AthmanAmran
    @AthmanAmran 4 місяці тому

    Killer msodoki2024❤❤❤❤

  • @jacobsimon9649
    @jacobsimon9649 Рік тому +10

    Killer anarap maisha , lunya Hana panch inajiimba

  • @saidyallyy6103
    @saidyallyy6103 Рік тому +2

    killer 🔥🔥

  • @MwijahBenjamin
    @MwijahBenjamin Рік тому +22

    Nakubali sana Lunya king warap bongo salute kwako man

  • @Jumashadhil380
    @Jumashadhil380 Рік тому

    Hata Kwa Konde Boy walikuwa hivihivi
    Let’s do this my brother Mbuziii is the best number one hip hop artist in Tanzania
    Other rapper must learn 😂

  • @chinguilechinguile1501
    @chinguilechinguile1501 Рік тому +42

    Mashabiki wa bongo wengi ni wanafiki.Majority kwenye comments wanamsifia young killer while ukiangalia for the past 5 yrs young killer amekuwa aki_struggle sana kwenye game hata videos zake you tube hazina namba kihivyo,nyie fans wa young killer where were you all these yrs?.Kwa game ya sasa young lunya is more marketable than young killer.Watu hawataki kusikia mashairi pekee,watu wanahitaji pia flows, swags and staffs like that.Killer alikuwa wapi siku zote kutoa session 6?ametoa ngoma ngapi hivi karibuni na hazijaenda?Young killer anatembelea upepo wa Young Lunya na hiyo ndio fact.
    NOTE:With all due respect for YK I go for YL.

  • @b9media144
    @b9media144 Рік тому +1

    Killer atabaki kuwa Killer tu🔥🔥🔥

  • @mwendwamjukuu9468
    @mwendwamjukuu9468 Рік тому +7

    Lunya nimkali wa kuflow lakini killer ni mtunzi wa punchline Kali sana in short killer amemfunika lunya ipasavyo

  • @LucadrizLucadriz
    @LucadrizLucadriz Рік тому

    Young lunya hajui mbwa uyoo

  • @SamwelLuhasha
    @SamwelLuhasha Рік тому +3

    YOUNG KILLER ANAMJUA UYO LUNYA ANAWAIMBIA WANAUME WA DAR SISI WA KIGOMA MSODOKI 1

  • @officialdana5114
    @officialdana5114 Рік тому +2

    Lunyamila uyo

  • @RaymondJohn-zc1ny
    @RaymondJohn-zc1ny Рік тому +4

    Killer Ni Moto mwingne we lunya acha kmsema killer so mistar tuh anapiga mpaka judo Alf atjawah kumwona demu wako dogo acha kujich...hahahahaaa

  • @mejjaaokonko
    @mejjaaokonko Рік тому +2

    Ahahahahahahaha umeanza kujishusha

  • @koroboi
    @koroboi Рік тому

    Ayaaaaaaaa wameshamsikilizishaaaa ukuuu

  • @allymohamed2435
    @allymohamed2435 Рік тому +1

    Kelele nying ww lunya mipasho tu hyo

  • @MOHAMEDSIMBA-j2y
    @MOHAMEDSIMBA-j2y Рік тому

    Killer the best

  • @ngassa19
    @ngassa19 Рік тому +5

    Young Killa ni 🔥🔥🔥

  • @holylostborn
    @holylostborn Рік тому +6

    Young killer he’s the best rapper stop playing with him bro 😂😂😂😂😂😂😂😂 what is wrong with you , u good 😂😂😂😂

  • @mwamatengejay
    @mwamatengejay Рік тому +1

    We au lappu una jigamba rapper ni youngkiller

  • @MusaKipufya-ym2cb
    @MusaKipufya-ym2cb Рік тому +2

    Lunyaa😂😂😂 wauweeee

  • @monstermdb5047
    @monstermdb5047 Рік тому +1

    Huyu dogo umaarufu umeanza kumpanda kichwani. Ngoma zake zoooooooooooooooooooteeeeeeeee anajisifia tu nothing else. Killer is diverse he can story tell he can even sing for Christ Sake.

  • @frediestyles
    @frediestyles Рік тому +2

    Lunya hamuwezi killer hata kidogo labda killer angekuwa na beef na rapchat ingekuwa 🔥🔥🔥

  • @officialdana5114
    @officialdana5114 Рік тому +1

    Young killer ni killer kwel acha kuomba misamaha mbwa kokoo ww

  • @PharisMhando
    @PharisMhando Рік тому

    Lunya💥🔥💥

  • @Williamnyakwaka-gm3rz
    @Williamnyakwaka-gm3rz Рік тому +1

    Country kakupik kabl ujaiva kakupakua mshamb ww lunya

  • @amoji126
    @amoji126 Рік тому +4

    😂😂😂 watu wanasema Lunya anajiimba or anajigamba wanashindwa kuelewa kuwa Hip Hop ni majigambo although namkubali killer zaidi.

  • @boazimafole-jc4de
    @boazimafole-jc4de Рік тому +3

    Actually lunya is the best kwa hii kizazi, uyo young killer anaimbia masela wa ghetto 😂😂😂

    • @massco99hacker
      @massco99hacker Рік тому

      So let's begin! To be clear, rap is the delivery used in hip-hop music and trap is a sub-genre of hip-hop music. Therefore, out of the two, only trap is a genre. Trap derives from hip-hop, an urban-based genre from New York City. kwaio ata uyo rapper wako ajui anaimba nn fuck it

  • @MasterJay-vr6dc
    @MasterJay-vr6dc Рік тому +3

    killer ndio kusema🤙🏾

  • @issakatety3535
    @issakatety3535 Рік тому +2

    kweli sio kila Young ni KILLER UWEZO UTAJIELEZA.....huyu Lunya akatafute shughuli nyingine yakufanya😁😁😁😁😁

  • @hussensharifu4884
    @hussensharifu4884 Рік тому

    Lunya mkali sana 😮

  • @AloyceNassoro
    @AloyceNassoro Рік тому

    Young killer huwez fikia moto wake wew

  • @code_id3
    @code_id3 Рік тому +12

    Battle Kali✅...But this is Rap we need to see (Y.killer) akirap sana kuliko kuongea anapooza vibe...(Y.Lunya) got that rap spirit anabrag kdg that's what we need
    📌BOTH ARE GOOD📌 we need the best🔒

    • @kibeginiblue7188
      @kibeginiblue7188 Рік тому

      Kwan kurap Nini,
      Hivi umemsikiliza 21savage

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 Рік тому

      That true man Ila Mimi wote sio watu wangu Sana hawakai katika line Sana Kwa Hawa yule young d kiboko Yao...ana Radha na kila kitu

    • @directedbysuntana
      @directedbysuntana Рік тому

      @@kibeginiblue7188ru 21 anarap anaflow na beatz haongei ongei bro,, rudi kumskiliza kwa makini

  • @TenTo10
    @TenTo10 Рік тому +3

    Killer ❤

  • @bhachutv5858
    @bhachutv5858 Рік тому

    Always Killer is 🔥

  • @chrisk.efreestylerofficial149
    @chrisk.efreestylerofficial149 Рік тому +4

    Killer mmoja ni lunya watatu

  • @ricklandennis
    @ricklandennis Рік тому +12

    Lunya ana swaga style ila killer ana tungo hatari ndio maana nyimbo yake fupi ila Kila mstari unajibeba. Lunya kupotea ni rahisi wakija wasanii wengine na style mpya ila tungo ni kipaji Toka kwa mungu iq ya killer ni kubwa mno km unavyomwona fid q ni ngumu sana kupotea watu wa aina hiyo

    • @jafetzmwacha1503
      @jafetzmwacha1503 Рік тому +1

      Yes 😂😂😂

    • @onesmomwakasege5215
      @onesmomwakasege5215 Рік тому

      Kiukweli msodoki siyo saizi yako nandio Mana anauwezo wakusimama na rapas wakali Kama wakina dizasta na anafiti

    • @homeboybeyondtheborders4935
      @homeboybeyondtheborders4935 Рік тому +1

      Lunya ameanzia huko kwenye utunzi zaidi ila amebadilika kwenye commercial punch after punch ndo ameanzia huko ila wanaomjua Lunya kitambo wanajua😂

  • @topaztz7601
    @topaztz7601 Рік тому +3

    Killer ni mnoma sana, acheni kabisa wakuu

  • @revocatuscharles1512
    @revocatuscharles1512 Рік тому +8

    Youngkiller🔥🔥🔥🔥

  • @salomecomedyofficial
    @salomecomedyofficial Рік тому

    sisi tunatambua young killer,,( YKM)

  • @MohDaudizo
    @MohDaudizo Рік тому +5

    Young Killer Is Always A Killer

    • @almanalitoyngmula8079
      @almanalitoyngmula8079 Рік тому

      Amna ki2 amekill apo zaid kuongea.. maisha yanabadlika ata kina juma nature mwana fa ay .. gk oten fid no wakali ilaa wakati ukikupita bila kuchange styl kutokana na mzik unavoenda . Inakua imeishaa io

  • @elizabethjuma1548
    @elizabethjuma1548 Рік тому +12

    Killer moto sana lunya mdogo wetu hana kituu

  • @sirizawa3360
    @sirizawa3360 Рік тому +1

    Wewe kuku 2 kama unzaweza ingia studio tuone na akiingia mniite mmbwa nimekaa paleee

  • @azimioalbertongellangella8970
    @azimioalbertongellangella8970 7 місяців тому

    Killer is best hao wengine ni kelele tuuuu

  • @BonyMoses-i1h
    @BonyMoses-i1h Рік тому +1

    Lunya n msenge

  • @mndigaboy825
    @mndigaboy825 Рік тому

    Lunyaaa aa unastail nyingi sana washamba hawaelewi

  • @ramadhanisuedi2044
    @ramadhanisuedi2044 Рік тому +1

    Ume mchana killer alafu una hanya bwana lunya

  • @DenisMabau-bv6yp
    @DenisMabau-bv6yp 10 місяців тому +1

    Acha umbea bana ww mzaramo mother fanta

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 Рік тому +1

    Lunya acha kuchokoza mkubwa wako utakuja chanwa kuliko alipo chanwa rapcha na dizasta vina kama unaweza kwel mjibu basi uone utavoshushiwa mvua ya mawe#

  • @jamesmwanisawa4784
    @jamesmwanisawa4784 Рік тому +4

    Killer mnyama 🔥🔥🔥🔥

  • @elysoncharo6156
    @elysoncharo6156 Рік тому +3

    Lunya don't look for diss right now boy.. hustle hard like killer...the boy you are talking about is on another level men.c,on

    • @CarlosAkweywa-k4t
      @CarlosAkweywa-k4t Рік тому

      Lunya is like Jayz bt killer is a normal rapper with the ability to rap