Country Boy: Harmonize, Zaidi ya Million 40, Kaa Nazo! Siwezi Kujutia, Konde Gang. Nilikosa.. Part 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 184

  • @starford
    @starford 2 роки тому +51

    I like this interview. Very balanced. Ommy umejifunza kutomtumia Konde vibaya. Country Wizzy is real. No hate no hard feelings with KondeGang. Respect

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 2 роки тому +2

      Ommy hajawahi kuwa bias

  • @calvinmoses4279
    @calvinmoses4279 3 місяці тому +1

    Mtaa kwa mtaa ft G nako & Watch was ma Fav

  • @hilarymayende
    @hilarymayende 2 роки тому +7

    At list this guy is behaving him self pure interview and this what we want.
    Ule ujinga wa wasafi ibaki huko

  • @thisboyisgreat
    @thisboyisgreat 2 роки тому +17

    Interview iko powa sana Haijawa yaku attack mtu nimeipenda

  • @BishooIbraah
    @BishooIbraah 5 місяців тому

    The way we talk country wizzy much respect unyamwez mwing San✅✅

  • @jbmsz2532
    @jbmsz2532 2 роки тому +16

    The MVP ✊ half Man ☝️much love from 🇧🇮✊

  • @thomasmalega3375
    @thomasmalega3375 2 роки тому +7

    Nakuelewaga sana Bro,,, from Kenya can't miss your interview..much love Lil Ommy

  • @albasnepa1552
    @albasnepa1552 2 роки тому +3

    Uyu apa 🔥 nirapa ambaye ana fanya poa nata mani nifanye nayeye kazi ila poshi haija kamilika ila Levon ilisha fika kama kuna mtu ambaye atakaye niwezesha nipo tayari naitaji sapoti

  • @kingradji6324
    @kingradji6324 2 роки тому +13

    Interview za kisomi omy uko poa sana hujawahi attack Harmonize eti kisa uko upande mwengine respect man

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 роки тому +4

    Africa tajaaa Oskido from South Africa kwanzia kutowa Brend fast mpaka leo

  • @adamjonas4928
    @adamjonas4928 2 роки тому +10

    Baba Kama babaa

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 2 роки тому +6

    Country wizzy naqubali kaka we ni 🔥

  • @mohamedally6518
    @mohamedally6518 2 роки тому +7

    Noma Sana wizzy

  • @ramaosman8060
    @ramaosman8060 2 роки тому +23

    Konde Gang For Everybody Number One In Tanzaina Let's Goo Winin Team Konde Gang 🏆 💪 💯 ♥️ ! #Ljaystunner #LuckyHavana #LjayKitchens #NyamaChoma

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 2 роки тому +32

    Mafanikio ya hamonize yanawatesa watu Sana maana hawachoki kumuongelea konde 💪💪💪💪

    • @zou7470
      @zou7470 2 роки тому +4

      Wanateseka sana👌👌

    • @davidibrahim9138
      @davidibrahim9138 2 роки тому +2

      Nini maana ya mafanikio

    • @rashidyally8715
      @rashidyally8715 2 роки тому +2

      @@davidibrahim9138 Kama hujui maana ya mafanikio Basi itakua huna akili timamu wewe nenda ukapimwe akili mtu mwenye akili timamu hawezi uliza swali Kama Hilo

    • @dontsto3865
      @dontsto3865 2 роки тому +1

      Wacha umakonde mwingi wewe...umeskia nn hapa kwa hii interview cha kuonesha mafanikio yake yanawatesa watu?ama itakua ni hizo data za oman zinakusumbua

    • @rashidyally8715
      @rashidyally8715 2 роки тому +2

      @@dontsto3865 na wewe ni mmoja Kati ya wale wapuuzi wanaoteseka

  • @MrLionVictor
    @MrLionVictor 2 роки тому +2

    Interview haijaisha

  • @DainoPerfect255
    @DainoPerfect255 2 роки тому +10

    Kubwa sana hii ommy 💯✊🎦💪🏾📸

  • @lewistz
    @lewistz 2 роки тому +4

    My role model bro, ni juu sikueza kukupata nkushauri, at first time you joined I also thought you could be growing up but things goes differently wrong,, piga kazi bro uhai ndo cha muhimu

    • @happynjukiz6495
      @happynjukiz6495 2 роки тому

      Wiz is big beast than konde nili shangaa why alijoin huko .

  • @mohamedihassani2390
    @mohamedihassani2390 2 роки тому

    Ommy umepotea nilikua nakubali kazi zako ila ssa unafanya umbea ushapoteana utajisifu ila joni joo yuko vzr zaidi yako saizi we ni kolo unaimba taarabu mmi sina kundi ila mtanga zaji na msanii nikio cha jamii upaswi kua na hoja za upande moja ushapotea nawakubali Joni joo na milad ayo wako vzr sijaona issue za kishoga Kama zako wamewaoji kila aina ya wasanii

  • @Swahili_Wisdom
    @Swahili_Wisdom 2 роки тому +5

    This Guy is Very Smart in Business issues

  • @izzo_master
    @izzo_master 2 роки тому +9

    King 👑 wavijana

  • @daddyblue6632
    @daddyblue6632 2 роки тому +6

    Wizzy my role model 🔥🔥🙌

  • @eliasparf4m
    @eliasparf4m 2 роки тому +1

    Kitoko 😘😘😘🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @chundabadsingasinga3130
    @chundabadsingasinga3130 2 роки тому +3

    Ila Kwenye Uwekezaj...Kaka mwaka Mmoja ni Mdogo Sana Kusema Hukufika international...ungejipa Time kaka

    • @youngyiz6320
      @youngyiz6320 2 роки тому

      He was a big artist already hajitafutii uyooo...mavoko alichukua muda gan

  • @octavebtz2293
    @octavebtz2293 2 роки тому +2

    Unyama Sana broo ommy interview zako mwisho

  • @Official_Evara
    @Official_Evara 2 роки тому +3

    The role model!

  • @dreamtvtz283
    @dreamtvtz283 2 роки тому +2

    Yeah respect brother lil ommy

  • @amedeuslema8614
    @amedeuslema8614 2 роки тому +2

    Kumamake interview ya wasafi fm bg Sunday haitoshi achani upumbavu

  • @lilmonitz4265
    @lilmonitz4265 2 роки тому +3

    Brilliant interview with ma home brother 🔥🔥🔥🤜

  • @barakambwilo6021
    @barakambwilo6021 2 роки тому +2

    Kipind safi broo

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 2 роки тому +6

    I used to like this boy until he left for K G!

  • @sadickponera2464
    @sadickponera2464 2 роки тому +3

    Hapo ndo nmeelewa lengoi kuu la hii interview inamlenga Jeshiii hawo n snichies😏😏😏😏

  • @مونيكمونيك-ع1غ
    @مونيكمونيك-ع1غ 2 роки тому +4

    Wizzy msenge tu

  • @allyamuli8027
    @allyamuli8027 2 роки тому +7

    Duu kweli hamo abali yajini

  • @amedeuslema8614
    @amedeuslema8614 2 роки тому +1

    Ndy maana mi namkubali sana mwanang yaung lunya kwa7bb yupo tofaut wa wasanii wengine wa hiphop

  • @manofomeyoungyoung5839
    @manofomeyoungyoung5839 2 роки тому +3

    Good bro country

  • @neyhb1586
    @neyhb1586 2 роки тому +1

    country weezy ni mnyama

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla 2 роки тому +1

    country viiingereza vingi aya katoka konde so where is now kua international its not easy ni kukaza nati.

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 2 роки тому +16

    Tanzania clebrities knows how to dress for real

  • @dihklassic
    @dihklassic 2 роки тому +2

    Chiiiiiiii the MVP

  • @justnjustn6168
    @justnjustn6168 2 роки тому +3

    Daddafi one more time

  • @loveworld6070
    @loveworld6070 2 роки тому +1

    Kizazi sana

  • @bukurujuma3944
    @bukurujuma3944 2 роки тому +6

    Good

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 2 роки тому +3

    Lily wine wa tz

  • @happynjukiz6495
    @happynjukiz6495 2 роки тому +1

    Mambo ya kiboya Sana konde anatangaza amempa gari then Wiz anaondoka then wananyanganya gari.😎😂

  • @dunialoguelwangila5953
    @dunialoguelwangila5953 2 роки тому +20

    Lil unakamata muda sana kutafuta watu wenyewe wametoka KondeGang4EveryBody ya jeshiii Teacher ili utuponde😀😆😆 kwanini aujamutafuta Rayvanny atwambiye kwanini ametoka Wcb

    • @footballhighlights7305
      @footballhighlights7305 2 роки тому

      Facts

    • @bekatv1009
      @bekatv1009 2 роки тому

      Right

    • @rabsontryphon9254
      @rabsontryphon9254 2 роки тому

      Ametoka kwasababu kashakua mkubwa bwegge ww hauelew?

    • @rabsontryphon9254
      @rabsontryphon9254 2 роки тому

      Mbona akili yako umefunika na shuka? Sanuka ww yule Dunia nzima inamtambua hana sababu tena ya kuendelea kukaa WCB ila uyo bado fala tu hajulikan popote zaidi ya hapa kw mama yenu

    • @dunialoguelwangila5953
      @dunialoguelwangila5953 2 роки тому

      Harmonize jeshiii anachafuwa ali ya hewa kbs 😆😆😆😆😆

  • @princemusenda6599
    @princemusenda6599 Рік тому

    Cool

  • @eliasjembe2394
    @eliasjembe2394 2 роки тому +7

    Tumemaliz kibabe kama ivo chiyaaaa

  • @godfreybeatusmahavile2250
    @godfreybeatusmahavile2250 2 роки тому +2

    Wizzy 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 роки тому +4

    Kwa hiyo H baba leo tuseme uko wasafi au chawa (shawishi) tu? Mnaboa kusema kachomoka, walio Konde contract wanajulikana

  • @ekicrevomnyanyi862
    @ekicrevomnyanyi862 2 роки тому +2

    Good interview

  • @mchattachattanoga7795
    @mchattachattanoga7795 2 роки тому +3

    Kaka naomba kazi nakipaji cha kutangaza

    • @geofreylucas1877
      @geofreylucas1877 2 роки тому

      Tujichange tuanzishe ya kwetu bro me nitakuja na spiker ww tafuta mike

  • @fabregasfagasonjux1166
    @fabregasfagasonjux1166 2 роки тому +2

    Good job 🇧🇮👊

  • @jayharmony
    @jayharmony 2 роки тому +2

    inspired for real

  • @lubbahferraripondis1733
    @lubbahferraripondis1733 2 роки тому +1

    One day utafany interview na mm hifadh iyo....utaipost km tbt...am lubbah Ferrari

  • @saunyimaaru3133
    @saunyimaaru3133 2 роки тому +2

    Good 👍👍👍

  • @theuniversetv2870
    @theuniversetv2870 2 роки тому +6

    This.man looks like Nigerian musicians

  • @thisboyisgreat
    @thisboyisgreat 2 роки тому +6

    I'm not celebrity ira napenda kuonekana tofauti na Jami inayoni zunguka

  • @safekidofficial3002
    @safekidofficial3002 2 роки тому

    Sawa

  • @lazarusbasil1762
    @lazarusbasil1762 2 роки тому +3

    Hakuna anayekupenda wew

  • @phelixonyango6067
    @phelixonyango6067 2 роки тому +6

    🤣🤣🤣amasema Alitoka Konde bila shida........shida ilikua distribution company.......

    • @happynjukiz6495
      @happynjukiz6495 2 роки тому

      Kwa kifupi tumelewa conde boy alikuwa anamnyonya Mwamba 😂😂

  • @agonysmartboy9775
    @agonysmartboy9775 2 роки тому +7

    Sasa hayo matamasha unayo yataka mbona hatuyaoni

  • @amedeuslema8614
    @amedeuslema8614 2 роки тому +8

    Sema nin country hip hop hainaga umbea bro ushamalizana na konde gang shukuru tu siyo kumchafua mtu huo ni ushoga brother

    • @kgchippy
      @kgchippy 2 роки тому

      ua-cam.com/video/2apIro4o91s/v-deo.html

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 2 роки тому

      Kipindi harmonaze alimchafua daimond nae alikua shoga

    • @mubuyafrancis3979
      @mubuyafrancis3979 2 роки тому

      Wana kwambia ivi unacho fanya Kwa mwingine vibaya,juw naww yatakufikia tu Ndugu yangu.Wesubili Bado Ibra na Anjela.Nawale wakina chidibenga🤣🤣🤣 bro

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 2 роки тому +2

    Aisee, Lil Ommy alihitaji Country wiz amsemee vibaya harmonize lakini wiz kawa smart sana katika majibu.

    • @Saidkhel
      @Saidkhel 2 роки тому +1

      Mawazo yako tu ya kimasikini

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 2 роки тому

      @@Saidkhel Asante

    • @Saidkhel
      @Saidkhel 2 роки тому +1

      @@furahachuma9039 welcome

  • @bongobana666
    @bongobana666 2 роки тому +6

    Broo hizi video uwe unaziupload na boomplay🙏

  • @lbmaasai929
    @lbmaasai929 2 роки тому +2

    Konde geng forever,,,huyu ajielewi

  • @ngwanasongowelero7153
    @ngwanasongowelero7153 2 роки тому

    Noma sana

  • @kendizzleedward653
    @kendizzleedward653 2 роки тому +5

    Lil ommy we ni ku*a

  • @MegaGreen70
    @MegaGreen70 2 роки тому

    Big up ! @wizzy ✴️

  • @ntakandibitela2858
    @ntakandibitela2858 2 роки тому +1

    Kiyaq kaka

  • @mylyrics8696
    @mylyrics8696 2 роки тому +2

    Acha kuongea maswala ya konde

  • @boniphacemgalula
    @boniphacemgalula 4 місяці тому

    Hot interview

  • @gabrielayubu3417
    @gabrielayubu3417 2 роки тому +3

    Muhun wang umenifundisha kitu

  • @madimpooo
    @madimpooo 2 роки тому +5

    Bonge LA interview

  • @wardamunguakuzidishew9399
    @wardamunguakuzidishew9399 2 роки тому +1

    Uyu kaka sijui anaringa nn akiongea leo umekoga

  • @michaelmiyayusho4205
    @michaelmiyayusho4205 2 роки тому +13

    Kumbe mafanikio ya zuluma konde girl🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @kingyeskingyes2263
      @kingyeskingyes2263 2 роки тому

      ua-cam.com/video/2H7qrULb3qk/v-deo.html Bo k o

    • @essauchibago8447
      @essauchibago8447 2 роки тому

      Unajua usipende kukomenti vitu usivyovijua ndugu miyayusho

  • @thelaoban6236
    @thelaoban6236 2 роки тому

    Ommy Saa yako ukutani haitembei ni saa 5:25 mwanzo mwisho

  • @chiefexecutiveofficer4942
    @chiefexecutiveofficer4942 2 роки тому +7

    Ulikuwa unfanya hii kazi ila saiv umekaa kinafiki sana maana upo mji wa wanafiki acha ujinga hauna uking wowote wewe saiv ni dudu baya tuu

  • @renatusaugustine3410
    @renatusaugustine3410 2 роки тому

    Kajamaa watu wanakachukuliaga kama kachaafu snaa bwanaaa

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 2 роки тому

    Falsafa aliuwa kwenye tan up ila ungemuweka Mon ingekuwa big zaidi

  • @shamakisimba7991
    @shamakisimba7991 2 роки тому +1

    Ok

  • @gowelemelcksedek
    @gowelemelcksedek 2 роки тому

    Nataman kutoboa kweny mziki nawezapata njia ommy na country??

  • @mirajikasimu2715
    @mirajikasimu2715 2 роки тому

    Naombakuuliza kwani wamakonde ndowadudugani na wanaishi mbuga yawap?

  • @seifismail6041
    @seifismail6041 Рік тому

    you understand 😂😂😂

  • @saidypilly1803
    @saidypilly1803 2 роки тому +1

    YULE BOY GADAFF

  • @bengerald2130
    @bengerald2130 2 роки тому +2

    Ommy akili ndogo sanaa

    • @happynjukiz6495
      @happynjukiz6495 2 роки тому

      Wewe akili yako kubwa umefanya nini ama unakilii ya utimu

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 2 роки тому +3

    Huyu mtu mmemjua wakati yupo kwa konde

  • @kabebemazambi194
    @kabebemazambi194 2 роки тому +3

    Umetoka akuna kilicho change bro 😂

  • @BBrown_vevo
    @BBrown_vevo 2 роки тому +4

    #father county wizzy💪💪

  • @praisesamson8298
    @praisesamson8298 Рік тому

    mbona hatuzioni back to back na umetoka Konde gang?

  • @anasdahir4537
    @anasdahir4537 2 роки тому +5

    YANI HAWA WATU WASAFI CONTENT NI HARMONIZE.

  • @elijahmwanga9276
    @elijahmwanga9276 2 роки тому

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @johnngosso62
    @johnngosso62 2 роки тому

    Inatamkwa ashake sio asake kama ilivoandikwa lol

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 2 роки тому +1

    Eti Harmonize ni mtu wa namna gani ha ha haaaaa

  • @sululuzungu9587
    @sululuzungu9587 2 роки тому +3

    Huna mpango ww uliixhiw ndomana ukaj konde gang nahakuna unachokiimba chawa2 km h baba hamuna ixhu yyt

    • @superwhitetz3258
      @superwhitetz3258 2 роки тому

      Hujui Muzik hujui hip-hop hujui trap tuachie sis wew kasikilize tarabu tyu 🤔 king of trap wizzy 🔥

  • @andrews_kodeson
    @andrews_kodeson 2 роки тому

    Lakin track #Baby ni Noma

  • @milnersings
    @milnersings 2 роки тому

    Diamond Platnumz na Baba Levo wakiiba nyimbo ya harmonize ya AMELOWA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    ua-cam.com/video/Mq83xNVGiZY/v-deo.html

  • @amedeuslema8614
    @amedeuslema8614 2 роки тому +4

    Kumamake country anaongea sana hip hop haipo hivyo

  • @lulually5209
    @lulually5209 2 роки тому

    Sasa mbona liHBaba linaongea uongo

  • @chibabydaniel
    @chibabydaniel 2 роки тому

    Tumia kipaji/nyota yako kujiendeleza kimaisha. Usione kijana mwenzio anahangaika ukaanza kutazamia akutumikie wewe. Mwanaume nikujituma.