JE UNAHITAJI KUAGIZA GARI KUPITIA BANDARI YA DAR ES SALAAM? TIZAMA HII...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 45

  • @shedrackjacob6038
    @shedrackjacob6038 3 роки тому +1

    Technology yenu bado sana wakat ungekuwa na limashine flan yaan gari linaingizwa humo halafu mashine hyo inalisican lote na inatoa taarifa zote za gari km kuna kifa kimekosekana

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 5 років тому +2

    Mimi napongeza jitihada za raisi wangu John Pombe Maguri kwa kuifufua bandari ya dar na kuongeza kina cha bahari. Maombi yangu kwa wafanya kaz wa hapo bandarin, iweni na moyo Wa uzalendo ili tuinue pato la taifa kupitia bandari hizo

    • @kiumanursingtv1647
      @kiumanursingtv1647 3 роки тому

      Eka 2 na robo zilizolimwa mwaka Jana, Ila tuliongeza robo tatu eka Amina anazijuw, jumla kuwa 3

  • @fadhilimatandala7629
    @fadhilimatandala7629 5 років тому +1

    Now I see why storage charges zinakua nying too much beaucracy

  • @shebbydante6640
    @shebbydante6640 9 місяців тому

    Unaweza kutoa mzigo bandalini bila kulipa kodi za Tra au VAT

  • @bigboys016
    @bigboys016 4 роки тому +1

    At least kidogo sana mnahamasosha lakini boresheni mifumo mpunguze milolongo mingi sana,

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 Рік тому

    Nyie mmeitwa waizi na tulia speaker wa bunge kwa hio tunasubiri Dp

  • @remmywartmann3214
    @remmywartmann3214 5 років тому +2

    Tunaomba kujua bei ya kutolea gari kulingana na aina ya gari na umri wake. Mbona hua hamjiweki wazi kwa Hilo????

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 роки тому +1

      Aaah...Hapo Ndio kwenye KINDUMBWENDUMBWE.....gharama za ulipaji haueleweki....!
      Magari mbelembele bei Rahisi Lkn ikifika hapo ni danadana zisizo na sababu...!
      INABIDI WABADILIKE’

  • @fahminasser3855
    @fahminasser3855 5 років тому +1

    Mlolongo mrefu hauna msingi wowote wakati ukisha lipia mambo yote yanakuwa kwenye system nenda rudi mnasumbua tu wateja

  • @samwelpaul7334
    @samwelpaul7334 4 роки тому

    Ningeshauri mpunguze milolongo..process zimekua nyingi mno..hata kama nia nikuongeza ufanisi lkn naamini mnawezafanya mambo kwa ufupi nakuokoa muda mrefu mno mnaotumia kwa ajili ya hizo documentation.

  • @philipojosephlukumay3965
    @philipojosephlukumay3965 5 років тому +2

    Nimewapata barabara kabisa.
    Nina swali, Process zote zinatumia mda gani ?

  • @muragaraphilippe9087
    @muragaraphilippe9087 4 роки тому

    Mlolongo mwingi wa process unasababisha kuwepo RUSHWA corruptions bandarini

  • @muzneali5111
    @muzneali5111 4 роки тому

    Document nyingi sana fanyeni utafiti kupunguza hizi document kuokoa pesa za kununua hizi karatasi

  • @thabitiseapower4499
    @thabitiseapower4499 8 місяців тому

    Mnasachi kizamani hamna atambwa kama Kuna madawa utajuaje mnacheza nyie

  • @hajimakame4578
    @hajimakame4578 5 років тому

    TPA inamazonge ming ya kutoa gar argent abazunguka mpka anaisomba number kwa upande wa argent anapata shida sna kufatilia prosses

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 5 років тому +1

    Naomba kuuliza gharama za kulipia gari ndogo kama ist ni sh.... Ngapi maana nimeona Japan gari zinaonyeshwa hadi bei ya kununua

    • @minjamiraji1086
      @minjamiraji1086 5 років тому

      nimekupata

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 роки тому

      Yaani ndugu yangu magari mbelembele Sio INSHU kabisaaaaa....!
      Tatizo likifika BANDARINI Yaani utafikiri unakomboa DEGE au unakomboa mzigo wa haramu...!
      HAPO BANDARINI BADO KUNA MAMBO YA KITOTO SANA...!

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 5 років тому +1

    Nimependa sana utaratibu huu, na vipindi kama hivi kutujuza habari za kazi na majukumu ya TPA sisi kama raia wa kawaida, zamani tulikuwa hatuyapati haya.

  • @alvinsafi2733
    @alvinsafi2733 4 роки тому

    Tatizo kuna taasisi nyingi. TBS.TPA .Starage.Nk punguzeni Paper work..

  • @andrearafael2277
    @andrearafael2277 4 роки тому

    Naomben namba ya cm kwa mawasiliano zaid

  • @muzneali5111
    @muzneali5111 4 роки тому

    Yote mliyoyasema sawa Tatizo NI usiri WA ushuru gari zote zinajulikana uzito WA engine gari NI ya mwaka Gani sasa kwa nini ushuru NI Siri???

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 роки тому

    Process jinsi ya kutoka kuagiza au namba za cm

  • @rajabuomary3258
    @rajabuomary3258 5 років тому

    Tatizo hamwashikishi wateja mnatumia madalali ambao waongeza garama kama mteja ni kama analipa mapato garama ni nyigi sana kwa madali utafikiri unalipa ushuru

  • @muzneali5111
    @muzneali5111 4 роки тому

    Hivi NI lazima kumtumia ajenti wakati WA kutoa gari????

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 роки тому

    Too many processing documents

  • @gm7045
    @gm7045 4 роки тому

    How to make a payment?
    By credit card payment or cash payment?

  • @edgerpeter1355
    @edgerpeter1355 3 роки тому

    Jamani samahani naombeni kuuliza

  • @sanidathomas6355
    @sanidathomas6355 4 роки тому

    Refrigeted fuso trucks

  • @ramadhanmhadim1501
    @ramadhanmhadim1501 5 років тому

    too many documents

  • @onlinebandaritv4745
    @onlinebandaritv4745  5 років тому +2

    "Process" ya kutoa mzigo inategemea uwepo wa nyaraka zote muhimu kwa wakati na endapo zipo tayari ndani ya muda mfupi mzigo unahudumiwa kwa wakati.

    • @tzkwanza3861
      @tzkwanza3861 5 років тому +1

      Online Bandari TV Bandari TV kuuliza sio ujinga jaman gali inakua na ghalam gani. kuingiza tz maana tunatishia sana mitaana uku

    • @isaackitogo5043
      @isaackitogo5043 5 років тому

      Wahusika TPA,
      Majibu bado hayajajitosheleza. Itapendeza mkitoa jibu sahihi kwamba endapo gari halina tatizo na nyaraka zote zipo sawa, Je, gari litatoka baada ya muda gani?
      Kwa uelewa wangu ni kwamba processes zote hizo TPA kwa kushirikiana na wadau wengine ilifanya utafiti na hatimae kuidhinisha utaratibu mliotuhabarisha kwenye video hii.
      Ni muhimu kujibu maswali kwa ufanisi kwani gharama za kutayarisha na kurusha video hii zioane na malengo yaliyokusudiwa.
      Nitashukuru kupata mrejesho ndani ya wakati.

    • @abiollashayo5698
      @abiollashayo5698 5 років тому

      punguzeni milolongo,mbon kutoa contena simpo tu

    • @yohanandalahwa983
      @yohanandalahwa983 5 років тому

      Gari ikiwa mbovu mnafanyaje kwa mteja?

    • @maritinikisoda5308
      @maritinikisoda5308 4 роки тому

      Noah mbei gani nataka gari

  • @sanidathomas6355
    @sanidathomas6355 4 роки тому

    Refrigeted truck

  • @mussamalugu1793
    @mussamalugu1793 4 роки тому

    Mbona bado hamjaweza kudhibiti wezi wanaoiba matairi