Bwana Yesu atusaidie sana Mtumishi wa Mungu siku hio ya kuteswa na kuchukiwa kwa kila Mtumishi wa Kristo inabidi tuwe katika loho na kweli kila siku iitwayo leo Kwa kumukalibia Mungu sana
Wabishi hamukosi by prophet chandaro from Tanzania dar esalama anachosema cassiani Yuko sawa huo ndo mpango wa mpinga Kirsto kuabudu siku Moja, hata tukirudi Kwa maandiko Yako wazi tumurudia Mungu Yesu yuwaja kilajicho la mtakatfu litamuona
Hallelujah Great is our God , for this is the true Gospel ought to be preached under the Sun . Or God annoint many so as to manifest the true Gospel of the same . Blessed is your Name , Shalom to All .
Mungu atusaidie tuee nauwelewa ipasavyo tuko nyakati za mwisho yaliyotabiliwa sasa yantimia mungu naomba unisamehe makosa yangu naomba kuwa namwisho mwema baba
Nakushangaa wewe ndugu unaemwambia mtumishi anabwatuka hayo maandiko anayosoma na kufafanua wewe huyafahamu bila shaka wewe ndiyo hujui lolote kuhsu ahadi za mungu wa mbinguni nakuomba tubu usamehewe ni kweli Yesu yu karibu kurudi kulinyakuwa kanisa.
@@christianmwasakogo5579mkirsto Ana Neno sio maneno Kama ana maneno hayo Ni yy anaongea Wala so MUNGU Ila mtumishi analo Neno la MUNGU ndilo alinenalo
Man of God be Courageous , Determined , for the word of God has it Wherever you set your foot the Lord has rendered it into you . Joshua 1;1-10 .Man of God blessing of God Be upon to you , Shalom to the humble .
Ujumbe wa mnyama WA uf 13 Kuna watu waliopewa Nuru kubwa (SDA) wakahepa kuhubiri Ipasavyo wanapapasa tu. Hivyo basi mawe yameanza kusema. Piga kazi CASSIAN
Samahani ni nguvu za mungu zinamuongoza mtumishi wa mungu yaani uwezo wa roho mtakatifu mwenyewe hawezi kufanya hivyo pasipo roho wa mungu yaani nguvu za roho mtakatifu.
Yes, Miaka 70 ya mwanadamu kuishi duniani, siyo siku nyingi. Duniani ukitafuta jambo jipya, hakika halipo maana yote ni marudio ya yaliyosemwa au kutokea. Hakutatokea Mnyama mwenye vichwa Saba tofauti na siku Saba za wiki. Suala la namba lipo kihistoria lakini si katika uumbaji wa Mungu. Mfano; siku 40, Miaka mi 3, miezi 18, Miaka 5 au 4, etc. inamaana, Kila kitu kipo standardized kwa matakwa ya wanaadam. Mungu anasema, kilichotokea kwake kitarudi kwake na kilichotokea mavumbini kitarudi mavumbini.
Mungu akubariki mtu wa Mungu, unawaandaa watu vizuri, naamini kuwa unao ujumbe ambao Bwana amekupa agizo hivyo huwezi kunyamaza!!! Amen! Lakini usichanganye mambo kwa kushambulia vyuo vya Biblia, ukiamua kufundisha mpangilio wa matukio ya nyakati za mwisho fafanua vizuri watu walleye.
Usiviite vyuo vya Biblia ni mamluku wakati wewe umeyajua hayo kwa kuwa umejifunza, hata kama siyo chuoni. Tusaidie kujua unyakuo ni lini? Ni nani watakao nyakuliwa, mpinga Kristo atafunuliwa lini, vita vya harmagedon lini na gogu wa magogu lini utawala wa Kristo ni lini.nk. mambo hayo yanahitaji utulivu na Roho Mtakatifu, kama ulivyoanza vizuri!! Barikiwa.
Bwana akufunike Kwa damu yake sikuamini lakini mpaka hapa hakika yanatimia machoni Petu hivi sasa maana nyuma yetu Card jamii Kwa mtz inakuja Kwa kasi karibu na kutouza wala kununua.Ahsante Bwana kutufunulia kweli hizi kulingana na maandiko,si wakati wakuogopa balia kusalimisha maisha kwa ke yeye aliyekufa kwaajili yetu sote sio makusudi yake hata mmoja apotee Bali wote tuokolewe,mpendwa Mungu azidi sana kutufungua pia tufatilie na tusome Biblia,endapo tunaiamini kama laa huamini! Mungu awe na namna ya kukujulisha kwani damu ya Kristo ni kwaajili ya wote.mpendwa uwe makini pia herufi zako juu ya Mungu,Kristo na Bwana wa majeshi zinaongelea Mungu au miungu.daima anza na herufi kubwa Kwa mkuu wetu.PR,Mungu akubariki sana.🎉🎉🎉 naipenda injili hii maana inatia nguvu kuona niko karibu na ng'ambo Bwana tusaidie.
Kwa nafsi yangu nimekutamani wakati wa usiku; Naam, kwa nafsi yangu ndani yangu nitakutafuta mapema; maana hukumu zako zikiwapo duniani, watu wakaao duniani hujifunza haki. Mungu atusaidie maana tayari mnyama anafanya vita na watakatifu na watu hawaoni..... Raisi wa kenya amekubali kitambulisho cha bill gates microchip kutekelezwa kwa watoto na raia. Watoto wanapozaliwa watakuwa wanawekwa kabla hawajatoka sipitalini. Hiyo ni vita tayari tunayopigwa watakatifu... Hivyo ni kuomba Mungu atusaidie sana. Mungu akulinde mtumishi wa Mungu
@@PelagiaMayengo OK. Umesikia kuhusu digital ID? Ndio hiyo ambayo Ruto amekubaliana na America kwamba mtoto akizaliwa atakuwa anawekwa kwa mkono na hakuna kupewa birth certificate tena.. yaani kutakuwa hakuna documents za kubeba na mikono maana tayari utakuwa umewekewa ndani ya mwili wako. Ukienda bank hiyo ndio itakuwa inatoa pesa. Yaani utakuwa unajulikana mahali popote ukiwa uwanja wa ndege Tanzania hautaulizwa umetoka wapi juu utakuwa nayo kwa mwili. Nayo ni hekima ya dunia hii ambayo inawapotosha wengi. Saa hizi watakatifu watakuwa wanajifungua nyumbani kuepuka haya yanayokuja. Alisema kuanzia December inaanza tayari.
Sema yote mtumishi wa MUNGU watu atununui biblia tuyasome Aya ili waamini tuko radhi tununue cm za gali laikni atukumbuki kununua biblia ya sh. 20 MUNGU utusamehe tuelewe haya amen.
Umoja wa makanisa sio tatizo, kwanza ndo maombi ya Yesu kwamba tuwe wamoja katika baba maana yeye hakuleta dhehebu. Nafikiri ulikuwa unajaribu kusema muunganiko wa dini na imani tofauti kuwa kitu kimoja.
Bwana Yesu atusaidie sana Mtumishi wa Mungu siku hio ya kuteswa na kuchukiwa kwa kila Mtumishi wa Kristo inabidi tuwe katika loho na kweli kila siku iitwayo leo Kwa kumukalibia Mungu sana
Namshukuru Kwa kutufumbua macho Kwa uwezo wa Roho mtakatifu Mungu akubariki mtumishi
Wabishi hamukosi by prophet chandaro from Tanzania dar esalama anachosema cassiani Yuko sawa huo ndo mpango wa mpinga Kirsto kuabudu siku Moja, hata tukirudi Kwa maandiko Yako wazi tumurudia Mungu Yesu yuwaja kilajicho la mtakatfu litamuona
Barikiwa uko sahihi
Ameeen
Naomba Mungu tuwepo mbinguni Mimi na wanañgu,ndugu na marafiki
Amen Mungu tusaidie tuwe na mwisho mwema ili tuwe na wewe kwenye uzima wa milele
Aminaaa mtumishi, nakuelewa sana hayo unayosema, kweli hizi ni nyakati za mwisho, Yesu karibu anarudi
Aminaaa mtumishi wewe nimtu mkubwa sana Mungu ameweka kitu ndani yko . Uzd kubarikiwa kakangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Habari ndizo hizo, Asante sana mchungaji.
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤ Good work my brother in Christ
Hongera sana mtumishi wa Mungu tuko pamoja sana iende mbele injili❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe sana mtumishi Bwana, Mungu atupe kuwa na mwisho mwema MARANATHA
Hallelujah Great is our God , for this is the true Gospel ought to be preached under the Sun . Or God annoint many so as to manifest the true Gospel of the same . Blessed is your Name , Shalom to All .
Ubarikiwe,mtumishi hongera pia kwa kazi njema
Amina Mungu akubariki na anitie nguvu mwisho wangu uwe mzuri
Mungu tunaomba tuvumilie mpaka mwisho kwa Damu yako Yesu Kristo.
Mungu atusaidie tuee nauwelewa ipasavyo tuko nyakati za mwisho yaliyotabiliwa sasa yantimia mungu naomba unisamehe makosa yangu naomba kuwa namwisho mwema baba
Amen hallelujah God bless you and receive what you need
Niko Kigali Rwanda. Injili iende mbele. Tenda kazi mtumishi!
Mungu tusaidie tuwatengue wote wanaompinga kristo. Hawanamamlaka katika jina la yesu.
Mungu atusaidie sana na ubarikiwe sana mtumish wa mungu uwendelee kutufungua masikio
Huwa watanzania hatupendi kuambiwa ukweli ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
Heri nkupali mungu kuliko nkupali shetani,nitakatwa kwa upanga lakini nfufuke katika uzima wa milele🙏
Nakushangaa wewe ndugu unaemwambia mtumishi anabwatuka hayo maandiko anayosoma na kufafanua wewe huyafahamu bila shaka wewe ndiyo hujui lolote kuhsu ahadi za mungu wa mbinguni nakuomba tubu usamehewe ni kweli Yesu yu karibu kurudi kulinyakuwa kanisa.
Mungu atusaidie mwisho umefika ubalikiwe paschal mungu aendelee kukupigania Ili useme ukweli 🙏🙏🙏
😢Hajui fumbo za manen
@@christianmwasakogo5579mkirsto Ana Neno sio maneno Kama ana maneno hayo Ni yy anaongea Wala so MUNGU Ila mtumishi analo Neno la MUNGU ndilo alinenalo
Yesu akubariki sana na aitunze huduma yako amen
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
Amina , MUNGU wa mbinguni atusaidie tuwe na mwisho mwema , 🙏🙏
Mungu azidi kukuinua Mtumishi wa Mungu,Hakika tunajufunza mengi,Mungu akutumie tumludie Yesu.
Niko tayari kupiga injiri Hadi kifo changu,am apostle Mark Yuvenalis from kitale kenya Africa supporting you 100%
Hongera fanya kazi ya MUNGU kungali mchana maana ucku waja❤❤❤❤
Waanbiyee!! Wakatae ;Wakubali;Sharti wamezeee
Nimebarikiwa Mungu wa mbingu na nchi aendelee kukutumia kwa viwango vikubwa
Man of God be Courageous , Determined , for the word of God has it Wherever you set your foot the Lord has rendered it into you . Joshua 1;1-10 .Man of God blessing of God Be upon to you , Shalom to the humble .
Mungu wangu wambinguni nipe moyo usiogeugekage niwe nawe siku zote za maisha yangu 🙏unipe na mwisho mwema🙏
Mungu akubariki mtumishi hao wanao Pinga INJILI hii nidhahili hawaoni Dunia Iko mwishoni
Ubarikiweee,ee Mungu ninaomba unihepushe na hili jangaaaa
Apostle Mark Yuvenalis the massage of God ministries Kitale kenya,surport you man of God
BWANA akubariki sana mtumisha, Nikweli tupu YESU anakuja very soon.
Ujumbe wa mnyama WA uf 13 Kuna watu waliopewa Nuru kubwa (SDA) wakahepa kuhubiri Ipasavyo wanapapasa tu. Hivyo basi mawe yameanza kusema. Piga kazi CASSIAN
Aminaaaa,,, kweli mawe yameaza kunena
Anachoongea mtumishi yupo sahihi
Huyu papa yani ataishi kama mawe atakufa,mungu ndio atajua maneno yake yy mungu amsamehe
Sio uongo mtumishi mahubiri kanisani iko jini sana upako ulizimwa mungu atuongoje katika hii mwendo tumalize salama
Nikweli mtupu kwamwe mungu hataacha kuwafuniliya watu wake yanayo jilii❤
Amen Mungu atusamehe na watu tusomeni bibilia
Ubarikiwe Mwijilisti Paschal Cassian
Mungu akutiye nguvu mtu wa Mungu.
Paschal cassian yupo sawa kabisa na anachokisema,,
Samahani ni nguvu za mungu zinamuongoza mtumishi wa mungu yaani uwezo wa roho mtakatifu mwenyewe hawezi kufanya hivyo pasipo roho wa mungu yaani nguvu za roho mtakatifu.
Yes,
Miaka 70 ya mwanadamu kuishi duniani, siyo siku nyingi.
Duniani ukitafuta jambo jipya, hakika halipo maana yote ni marudio ya yaliyosemwa au kutokea.
Hakutatokea Mnyama mwenye vichwa Saba tofauti na siku Saba za wiki. Suala la namba lipo kihistoria lakini si katika uumbaji wa Mungu. Mfano; siku 40, Miaka mi 3, miezi 18, Miaka 5 au 4, etc. inamaana, Kila kitu kipo standardized kwa matakwa ya wanaadam.
Mungu anasema, kilichotokea kwake kitarudi kwake na kilichotokea mavumbini kitarudi mavumbini.
Amina mtumishi wa Mungu, ubarikiwe Sana
Mungu akubariki wanna mtu wa mungu
Exactly l wolrd order approaching
Mimi nauakika na unachosema maana nishaiona dunia inaanza kuyumba yumba siku zinakaribia Mungu akutunze mtumishi ili utujulishe zaidi
Kama huna chochote cha kunena nyamaza
Mimi nakubaliana na wewe. Uyo pasta mimi namkubali.
Mungu atusaidie mtumishi barikiwe
Mungu atupatie nguvu Na uwezo wakuepuka mitego Yote
Mungu akubarika mtumishi wa mungu kwa kulihubiri hili neno ya mungu kwangu
Ubarikiwe kwa kuusema ukweli ni wachache
Amina mtumish ubarkiwe ee mungu nisaidie
Songa mbele mtumishi wa mungu
Barikiwa sana baba
Mungu awe pamoja nawe hizi ni nyakati za mwisho hiki ni kizazi Cha nyoka
Mungu akubariki mtu wa Mungu, unawaandaa watu vizuri, naamini kuwa unao ujumbe ambao Bwana amekupa agizo hivyo huwezi kunyamaza!!! Amen! Lakini usichanganye mambo kwa kushambulia vyuo vya Biblia, ukiamua kufundisha mpangilio wa matukio ya nyakati za mwisho fafanua vizuri watu walleye.
Usiviite vyuo vya Biblia ni mamluku wakati wewe umeyajua hayo kwa kuwa umejifunza, hata kama siyo chuoni. Tusaidie kujua unyakuo ni lini? Ni nani watakao nyakuliwa, mpinga Kristo atafunuliwa lini, vita vya harmagedon lini na gogu wa magogu lini utawala wa Kristo ni lini.nk. mambo hayo yanahitaji utulivu na Roho Mtakatifu, kama ulivyoanza vizuri!! Barikiwa.
Ameni mungu atuidie nyakati izi
Bwana akufunike Kwa damu yake sikuamini lakini mpaka hapa hakika yanatimia machoni Petu hivi sasa maana nyuma yetu Card jamii Kwa mtz inakuja Kwa kasi karibu na kutouza wala kununua.Ahsante Bwana kutufunulia kweli hizi kulingana na maandiko,si wakati wakuogopa balia kusalimisha maisha kwa ke yeye aliyekufa kwaajili yetu sote sio makusudi yake hata mmoja apotee Bali wote tuokolewe,mpendwa Mungu azidi sana kutufungua pia tufatilie na tusome Biblia,endapo tunaiamini kama laa huamini! Mungu awe na namna ya kukujulisha kwani damu ya Kristo ni kwaajili ya wote.mpendwa uwe makini pia herufi zako juu ya Mungu,Kristo na Bwana wa majeshi zinaongelea Mungu au miungu.daima anza na herufi kubwa Kwa mkuu wetu.PR,Mungu akubariki sana.🎉🎉🎉 naipenda injili hii maana inatia nguvu kuona niko karibu na ng'ambo Bwana tusaidie.
Yehova nisaidie nafsi yangu iwe mojawapo wa wale144,000 waliochaguliwa barikiwa mutumishi wa Mungu kwa kutufungua macho
Katoriki ndiyo walibadirisha siku wakaweka hiyo ibada jumapili mungu hana ibada ya hivyo
Mungu akakupiganie baba najua utabezwa Sana hakuna kama yesu
Tafuteni ujumbe wa nyakati za mwish kutok kwa ndg William Branham mihuri imefunuliwa❤
Tunakuombea mtumishi Mungu akulinde
Mtumishi wa mungu ubarikiwe sana mungu akuongezee nguvu na uendelee na ukweli ila watu hawaamini ila usikate tamaa hapa ni kusonga mbelee wa yesu
Kwa nafsi yangu nimekutamani wakati wa usiku; Naam, kwa nafsi yangu ndani yangu nitakutafuta mapema; maana hukumu zako zikiwapo duniani, watu wakaao duniani hujifunza haki.
Mungu atusaidie maana tayari mnyama anafanya vita na watakatifu na watu hawaoni..... Raisi wa kenya amekubali kitambulisho cha bill gates microchip kutekelezwa kwa watoto na raia. Watoto wanapozaliwa watakuwa wanawekwa kabla hawajatoka sipitalini. Hiyo ni vita tayari tunayopigwa watakatifu... Hivyo ni kuomba Mungu atusaidie sana.
Mungu akulinde mtumishi wa Mungu
nifafanulie hapo cjakuelewa tafadhali naomba kujua hiyo microship ni nini?
@@PelagiaMayengo OK. Umesikia kuhusu digital ID? Ndio hiyo ambayo Ruto amekubaliana na America kwamba mtoto akizaliwa atakuwa anawekwa kwa mkono na hakuna kupewa birth certificate tena.. yaani kutakuwa hakuna documents za kubeba na mikono maana tayari utakuwa umewekewa ndani ya mwili wako. Ukienda bank hiyo ndio itakuwa inatoa pesa. Yaani utakuwa unajulikana mahali popote ukiwa uwanja wa ndege Tanzania hautaulizwa umetoka wapi juu utakuwa nayo kwa mwili. Nayo ni hekima ya dunia hii ambayo inawapotosha wengi. Saa hizi watakatifu watakuwa wanajifungua nyumbani kuepuka haya yanayokuja.
Alisema kuanzia December inaanza tayari.
Nakupongeza sana mtumishi wa mungu,ila yesu yesu amekwisha kurudi bila ya kuonekana mawinguni ,yupo vitani na waovu kwa huyo gogu wa magogu .
Kurudi kwa Yesu hakutakuwa siri, bali, kila jicho litamwona.
Hakuna kilichobaki kutokea mambo yote yameshatukia ni tukio moja tu dunia inasubiri la unyakuo tujichunguze sana njia zetu s
Mwenye masikio na asikie. Hii ndio injili sio pokea Gari.. Pokea safari ya China. Pokea nyumba.
😂 pokea safari ya china!
Barikiwa sana mtumishi
kweli kabisa ila Mungu atupe macho ya rohoni na atusaidie sana
Myama hata haza kazi paka yesu arudie.. Mungu akutie guvu muchugani
God is good be blessed
Kweli kabisa mtu wa Mungu,endelea maana ushoka umeingia hata makanisani
Wewe kama humuwelew mtumlshi wamungu sister tunamuwelewa
Barikiwa mjoli wa BWANA.
Mungu nibariiki mwisho mwema😊
Mungu tusaidie katika kipindi hiki cha mwisho
Mimi na Familia yangu hatukuchukii Mtumwa Tunakuombea Uzima
sanamu ya mnyama ni mafundisho ya uongo yaliyo kinyume na neno la MUNGU
Unapinga nni na mnyama ana vichwa 7 na tayari kuna umoja wa nchi 7 unajiita G7 huoni ndo mnyama wa vichwa 7??
Mwenzetu ni biblia gani unaisoma isiyoelezea habari za mnyama katika siku za mwisho?
Amina mtumish endelea kuhubili watu waokoke make wakati umefika sasa
Ee mungu niogoze usituwaje tupotee
Sema yote mtumishi wa MUNGU watu atununui biblia tuyasome Aya ili waamini tuko radhi tununue cm za gali laikni atukumbuki kununua biblia ya sh. 20 MUNGU utusamehe tuelewe haya amen.
Mungu atusaidie
Mungu akulinde ktk yote kwa injili ya kweli🙏
Ni kweli sanamu ya mnyama ni umoja wa makanisa
Naomba mwisho mwema Mungu wa mbinguni naomba ujasiri wa kukutafuta wewe,
Mungu akupe maono zaidi
Amina mtumishi hii ni hatari
Ee Mwenyezi MUNGU TUSAIDIE:::TUWEZE KUTENDA UPENDAVYO
Mbona viongozi wa Africa wameachia wazungu kukotrol nchi za kiafrica hivi hizi vitu waachie wazungu wenyewe sisi wa Africa tukae na maisha yetu
Hii ni imani moja duniani na sarafu moja
Yesu alisema kwani.hampotei kwakuwa hamyajui maandiko na uweza wa Mungu?? Watu wengi hawajui NENO la Mungu. Asome mathayo 24:3-26
Jina la YESU libarikiwe
Mungu akubaliki
MUNGU AKUBARIKI SANA MTU WA MUNGU KAZI YAKO NI NJEMA SANA
Mungu akutie nguvu mtumishi
Umoja wa makanisa sio tatizo, kwanza ndo maombi ya Yesu kwamba tuwe wamoja katika baba maana yeye hakuleta dhehebu. Nafikiri ulikuwa unajaribu kusema muunganiko wa dini na imani tofauti kuwa kitu kimoja.
Eee Mungu nisahidiye ili nipate kufika kwenye ufamlme wako
Mchungaji mungu yote anajua hawezi kutuacha tuangamie yesu alikuja kutuokoa acha woga mwamba.