Hongera sana sana siku zote uaminifu hulipa tenas familia yake niwaaminifu..nimi ninedondosha pesa mara tatu simu kubwamara tatu na simu ndogo sehemu.mbalimbali za bongonchiyetu sikuwahi kurudishiwa mungu akulinde huo.ndo mwanzo na mwanga wa maisha yako nami ningejua mawasiliano yako ningeongeza kwenye fungu la reward
Uzur ni kwmba sio Tanzania ...maana wenzetu wameona thaman yake..ona sas amepata nafas yakuendelea kusoma..pia pesa kapewa pamoja na pikipiki...ingekuwa Tanzania ungekuwa na kesi ya kujibu
Mungu wetu ni mwaminifu.naye snapenda tuwe waminifu.hivyo kavaa sura ya Mungu.pia familia yao wana hofu ya Mungu.hata aliyepoteza anamcha Mungu.Mungu wetu aliye mwaminifu atampa utajiri na heshima
@@ibrahimngurungu5607 Wanaogeuza dini kuwa biashara ni kina nani? Chunguza Bongo Masheikh na wachungaji wengi wanageuka kuwa waganga na kutapeli watu kupitia dini
Heee🤔nyie vp yamekua hayo tena mbona hamjielewi mada iliyoko hapo sio ya uislam wala dini mada hapo uwaminifu unaweza ukawa Muislam au Mkristo na usiwe na sifa ya uwaminifu kbsaa embu jitambueni nyie
Dogo amefanya jambo zuri sana, Amejiwekea hazina kubwa sana kwa Mungu, Pengine asingezirudisha huyo mama aliyezipoteza angeweza kupata hata msongo wa mawazo.
@@devothasimbi1055 Ni kweli kabisa usemayo, Alichokifanya huyo kijana amejitengenezea hazina kubwa kwa Mungu na utajri mkubwa Duniani kwa maisha yake yajayo, Tayari ameshatengeza channel kwa kiongozi wa Nchi yake.
Mashaallah mashaallah hiyo ni uwezo wa mungu ulivyo mkubwa kwa waja wake ,huyo kijana hiyo ndio ilikuwa rizki yake alopangiwa na mungu .na km asingezirejesha huenda asingeweza kufanya llt zaidi ya kuziharibu kwaiyo ona ss amepata heshma kubwa ktk inchi yake na duniani kwa ujumla ,hakuna kitu chema km uwaminifu duniani .Dola elfu moja ,alopewa km zawadi kwa muhusika ,pikipiki 2 alopewa na rais ,kusomeshwa na rais mpk mwisho wa elimu yake ,kuwa balozi wa kupinga rushwa nchini mwake SI mambo madogo hakutarajia maishani mwake ,Allah Akbar .mungu ni muweza wa Kila jambo .
Kwa hali yoyote ile MUNGU akitaka kukuinua anakuinua tu kwa mfano huu udhamini aliopatiwa wa masomo ni zaidi hata ya alichookota mnaomponda endeleeni kumponda ipo siku tu mtaelewa bado hamjaelewa
Wahenga walisema, wema hauozi! Sasa kijana atasoma hadi penye yeye atataka. Tena ile kuwa ambassador wa kuona kuwa hakuna rushwa nchini liberia, bado hizo ni pesa. Bado wahenga walisema- Tenda wema uende zako. Mema yatakufwata tuu.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu anaishi 🙏. Mimi nilimlaumu babu yangu aliomrudishia mzungu mfuko wa dhahabu kwa kumkimbiza kwa mguu huku mzungu akiwa kwenye pikipiki mpaka akamkuta. Mzungu akamwambia iko nini WEWE unafanya? Utakufa masikini. Akampa kibiriti na bakuli la chumvi 😭😭😭. Kipindi babu anatuadithia hivyo na kuona maisha yetu nililia sana 😭🙏
Yaani amepata makubwa zaidi ya hiyo aliyoiokota.Tujifunze Mungu hukupima kwa kidogo ukione kikubwa ili akupime imani yako.Mungu akitaka kukupa anakupa kwa njia yake
Ingekuwa ww Ingekuwa vp? Sema ukweli mm ningepita Nazo barabarani Ningekujua Mungu amesha nipambania🤣🤣🤣big Up Sana kijana mwenzetu mfano wa kuigwa ila kwa hapa kwetu🤔Wapo 🇹🇿
Jichanganye kwa Bongo hii uokote kiasi km hicho halafu ukirudishe tuone km utaitwa hata ofisi ya mtendaji wa kata. Refer jamaa wa Zanzibar sina kumbukumbu zaidi lakini ni kati ya mwaka 2019-2021. Aliokota million 150 na mwenye nazo alikuwa ameshaondoka nchini yuko zake uarabuni huko. Jamaa akaweka hadi hela ya kutolea ili mwenye nayo akiipata atoe kiasi kamili (150m). Jamaa aliishia kuandikwa kwenye magazeti tu na Millard
Nguvu ya uaminifu hiyo, karudisha milini 100 karudisha lakini kapata fursa ya kusoma life time “ambayo ni zaidi ya 100m” kapata zawadi 20% ya pesa alizookota, kapata pikipiki 2, Kawa karibu na rais na kajulikana dunia nzima! Lakini la mwisho kabisa ana fungu lake kwa Allah kwa uaminifu aliyoufanya.
okay hapo sawa Nilidhani Tz ,kama Niberia basi sawa ingekua Tz hapo angekuwa angekuwa ameisha pigwa ,angekufa maskini kweli laki yuko na nch inayo jitambua
Kwel muung kaahid uaminifu ni kitu pekee ktk hii dunia Bodaboda 2 Udhamin wa masomo dunian popote had upeo wake wa akili Milion 21 Balozi wa rushwa mchin kwao kwakwel hivy ulivyopat ni Zaid ya milion 100 Congratulations KIJAN hakik umeshafunguka
Wengi waliompongeza na kumuunga mkono maamuzi ya huyu kijana ni baada ya dogo kuzawadia zawadi ya pkpk mbili na kiasi cha pesa pamoja na kuendelezwa kimasomo. Vinginevyo asingepewa chochote basi watu wengi wangetahaluki na kumkosoa dogo na kumtakia maisha mabaya zaidi. Ukweli upo hivyo
Hicho ndicho kimemfanya apongezwe asingerudisha labda hata asingejua atumie nn lkn kwa kurudisha kapata kuaminika na kutambuliwa na kupiyia Hilo anaweza pata ubalozi zaidi Kila kitu Kuna faida na hasara yake tunampongeza kwa uaminifu haijalishi angepata pesa au laaaa huwezi jua angeiliwa pia kwa hizo pesa vile vile
Sana ukiwa muaminifu hata nafisini mwako uanajisikia raha sana . Halafu kwao wanaoneka wote waamifu hata mamayake mdogo aliempa begi alihifadhi hakuzichukua kalihifadhi mpaka mwenyewe katokea
Yani leo nimeshuhudia boda boda kadondosha kiroba cha mchele na hajajua, sasa hao vijana wameokota wakasepa na fuko la kilo 25 la mchele😂😂nawaza kama ndio zingeanguka hizo dola ngapi sijui wangefanyeje😂😂
Hivyo ndivyo mkiristo wa kweli alivyo,heri kufa maskini na ufike mbinguni kuliko kumiliki pesa na kuishia kuzimu,sasa unakula kilichochako halali, ubarikiwe
@@bulugubujashi6378 Ndo tatizo lenu Wakristo, mnachukulia poa mambo ya Mungu. Utakwenda kuchomwa moto. Tena milele. Endelea tu kukwepa ukweli ukajutie.
Jamani MUNGU wetu sote tusichoke kuwa waaminifu hakuna kitu kizuri Kama chakulewa na Mungu tusichoke kungoja kwa wakati wake atatubariki na kuushangaza ulimwengu
Safi sana maana uaminifu ni bidhaa adimu sana kwa sasa kwahiyo mkimpata mtu kama huyu kijana kwenye jamii muhimu atunzwe
Nikweli
@@rahmaabdulla4949
...... .
ALLAH amzidishie imaan na uaminifu MaashaAllah...kibongo bongo daah
Amiin
Nakwambia angekubali kufa kuliko kuzirudisha
Mungu akubariki Sana pamoja na wazazi wako aminii. 🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏nakizazi chako utakacho zaa kikufate nyao zako
Hongera Saaanaaaa kwa uaminifu, Mungu akupe nawewe riziki harali,wabongo angesepa,,
You have already been rewarded for your honesty.See how God works 🙏
This guy is a really hero.In the world today there are very very few people who are honest especially with money.May God Bless him abundantly. 🙏
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu na yenye Amani na furaha.kwa usingekuwa na Imani usinge ziludishia mwenye nazo.Imani itakulinda Daima
Mungu with capital M
Maashallah maashallah pongezi kwa wazazi wa kijana huyo kwa kumlea katika maadili mema mungu awabariki
Hii habari nilijua bongo ,,,,kumbe uko kwa wenzetu Kijana umelewa vyema Mungu Amfanyie wepesi kila utakacho kiwe na kheri na ww
Bongo hilo linakuwa ni Zali la Mentali
@@samsonmagesa3959 😂
Bongo Iliwahi Kutokea Na Mtu aliokota Ml 150 akatangaza Watu wakasema ni Magumashi mpaka mwenye nazo akapatikan
Hongera sana sana siku zote uaminifu hulipa tenas familia yake niwaaminifu..nimi ninedondosha pesa mara tatu simu kubwamara tatu na simu ndogo sehemu.mbalimbali za bongonchiyetu sikuwahi kurudishiwa mungu akulinde huo.ndo mwanzo na mwanga wa maisha yako nami ningejua mawasiliano yako ningeongeza kwenye fungu la reward
Wangap tusingeweza kuludisha tuwe wakwel,mm wa kwanza🤣🤣🤣🤣🤣🏃♂️
Namimi hapa
Mie na mkoa nahama
Mm nahama nchi kbsa😂😂😂😂
Nguvu ya uaminifu❤️❤️❤️
God bless you President of Liberian
Uzur ni kwmba sio Tanzania ...maana wenzetu wameona thaman yake..ona sas amepata nafas yakuendelea kusoma..pia pesa kapewa pamoja na pikipiki...ingekuwa Tanzania ungekuwa na kesi ya kujibu
Mungu wetu ni mwaminifu.naye snapenda tuwe waminifu.hivyo kavaa sura ya Mungu.pia familia yao wana hofu ya Mungu.hata aliyepoteza anamcha Mungu.Mungu wetu aliye mwaminifu atampa utajiri na heshima
Amina kwa kweli Mungu anapenda uaminifu Mungu atusaidie tuwe na hofu yake
Ee Mungu hii mitihani naomba uniepushe nayo... Nijaribu kwa mengine lakini sio hili la hela..
😂😂😂
😂😂😂😂
😅
😂😂😂😂😂 kwakweli sio ya hela maana kurudisha siwezi
waooh hongera sana kijana Mungu alikuwa ana makusudio yake hicho ulicho kipata siyo kidogo tuna sema alhamdullha
Allah atampa zaid ya hizo na atakuwa tajiri zaid ya hizo pesa
Saaana
Amejitahd saiv mtu akidondosha karatasi tu. Imekunjwa mwingine akahisi umo Kuna hela haumbiwi
Wewe ungeludisha kweli😊😂
Mungu akupe afya njema kabisa katika maisha yako tanzania 🇹🇿 ❤❤❤❤❤
Kafanaya vizuri sana.hongera moyo waimani
Uislam nao umeelekeza hivi ktk kuokota mali. Namuomba ALLAH amuongoze kijana
Kuna tafauti kati ya Uislamu na muislamu
@@joezeno8 maana yake wewe unaujua uislam kuliko tuujuavyo sisi wenyewe?
@@ibrahimngurungu5607 Wanaogeuza dini kuwa biashara ni kina nani? Chunguza Bongo Masheikh na wachungaji wengi wanageuka kuwa waganga na kutapeli watu kupitia dini
Heee🤔nyie vp yamekua hayo tena mbona hamjielewi mada iliyoko hapo sio ya uislam wala dini mada hapo uwaminifu unaweza ukawa Muislam au Mkristo na usiwe na sifa ya uwaminifu kbsaa embu jitambueni nyie
🤝 MaashaaAllah Jazaakumullahu khairan 🙏
Dogo amefanya jambo zuri sana, Amejiwekea hazina kubwa sana kwa Mungu, Pengine asingezirudisha huyo mama aliyezipoteza angeweza kupata hata msongo wa mawazo.
Huenda hâta kupoteza Maisha ya aliyepoteza hizo pesa kisha muokotaji Laana ikimfuata n’a kula kizazi Chake.
🤲🤲🙏🙏🧎♀️Uaminifu umempeleka mbali sasa
Uaminifu ni mzur sana ingekua tz apo asingerudisha
@@devothasimbi1055 Ni kweli kabisa usemayo, Alichokifanya huyo kijana amejitengenezea hazina kubwa kwa Mungu na utajri mkubwa Duniani kwa maisha yake yajayo, Tayari ameshatengeza channel kwa kiongozi wa Nchi yake.
.
Mwaminifu hafi njaa👏👏🙌
Safi Sana wajina,,
Kweli mtoto mtiifu una tamaa yakwako utaitafuta kwa jasho lako hongera sana
Duuuh Mungu amsaidie huyumtt jmn!!!! .. Dah.
*Duuuh! jamaa uaminifu wake umempa vingi kuliko hizo pesa alizookota kwa wenye akili zilizokaa sawa ndio wanalijuwa hilo*
Tambua ingekuwa kibongo bongo angeonelana fara na hata rais asingemuita na asngepewa chochote
@@killylevenson inawezakana ila jamaa ako na moyo sana ingekuwa mm kwanza naona ninge fanya kikao na halmashauri yangu ya kichwa wiki 3
Very much indeed
@@komboomar8275 🤸🏻♂️🤸🏻♂️😂
Kabisa
Hata mimi narudisha ili nipate radhi za ALLAHU subhaanahu wata'ala.
Unarudisha begi hamna kitu
Mashalaah mungu ambarikii
God Bless Emmanuel.
Mashaallah mashaallah hiyo ni uwezo wa mungu ulivyo mkubwa kwa waja wake ,huyo kijana hiyo ndio ilikuwa rizki yake alopangiwa na mungu .na km asingezirejesha huenda asingeweza kufanya llt zaidi ya kuziharibu kwaiyo ona ss amepata heshma kubwa ktk inchi yake na duniani kwa ujumla ,hakuna kitu chema km uwaminifu duniani .Dola elfu moja ,alopewa km zawadi kwa muhusika ,pikipiki 2 alopewa na rais ,kusomeshwa na rais mpk mwisho wa elimu yake ,kuwa balozi wa kupinga rushwa nchini mwake SI mambo madogo hakutarajia maishani mwake ,Allah Akbar .mungu ni muweza wa Kila jambo .
Kwa hali yoyote ile MUNGU akitaka kukuinua anakuinua tu kwa mfano huu udhamini aliopatiwa wa masomo ni zaidi hata ya alichookota mnaomponda endeleeni kumponda ipo siku tu mtaelewa bado hamjaelewa
Acha zako wewe ujinga mtupu
@@kelvinngenzi8578 mjinga ni wewe usiyejielewa
Hongera sana kwa uaminifu mdogo wangu
Ingekuwa bongo watakuita mwizi nakufungwa jela akina kingai wanakufunga
Mwizi utarudishaji hela tena?
Congratulations my dear brother 💪🤝
Wahenga walisema, wema hauozi! Sasa kijana atasoma hadi penye yeye atataka. Tena ile kuwa ambassador wa kuona kuwa hakuna rushwa nchini liberia, bado hizo ni pesa. Bado wahenga walisema- Tenda wema uende zako. Mema yatakufwata tuu.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu anaishi 🙏. Mimi nilimlaumu babu yangu aliomrudishia mzungu mfuko wa dhahabu kwa kumkimbiza kwa mguu huku mzungu akiwa kwenye pikipiki mpaka akamkuta. Mzungu akamwambia iko nini WEWE unafanya? Utakufa masikini. Akampa kibiriti na bakuli la chumvi 😭😭😭. Kipindi babu anatuadithia hivyo na kuona maisha yetu nililia sana 😭🙏
Babu alijichanganya apo mzungu hiyo zahabu alipola kwetu akamludishia tena Aisee
@@christopherdimagaaaikopouw916 🤣🤣🤣labda tumuulize wana nini saivi🤣🤣
Hee😎🤏
Alijichanganya sana huyo😃
@@christopherdimagaaaikopouw916 Babu alirejesha mali ambayo si yake haijalishi mwenyewe kaipataje.
Ongera sana mdoangu kwa uaminifu wako
Safi sana kwani uaminifu nikitu muhimu sana katika maisha ya hapa Duniani
Hongera kwa wazazi wake najiskia kulia sana
Yaani amepata makubwa zaidi ya hiyo aliyoiokota.Tujifunze Mungu hukupima kwa kidogo ukione kikubwa ili akupime imani yako.Mungu akitaka kukupa anakupa kwa njia yake
Congratulation young boy
Be blessed
Uaminifu utakulinda siku zote za maisha yako, atakachokipata huyo kijana ni kikubwa kuliko hiyo pesa aliyoikota
Ingekuwa ww Ingekuwa vp? Sema ukweli mm ningepita Nazo barabarani
Ningekujua Mungu amesha nipambania🤣🤣🤣big Up Sana kijana mwenzetu mfano wa kuigwa ila kwa hapa kwetu🤔Wapo 🇹🇿
Sawa
Mungu amzidishe uyo kijana
Uaminifu wa kweli ni kitu ambacho hakipatikani kwa urahisi kwenye ulimwengu wa Sasa @bodaboda wenzangu tuchape kazi kwa uaminifu Mungu yupo 🙏
Jichanganye kwa Bongo hii uokote kiasi km hicho halafu ukirudishe tuone km utaitwa hata ofisi ya mtendaji wa kata. Refer jamaa wa Zanzibar sina kumbukumbu zaidi lakini ni kati ya mwaka 2019-2021. Aliokota million 150 na mwenye nazo alikuwa ameshaondoka nchini yuko zake uarabuni huko. Jamaa akaweka hadi hela ya kutolea ili mwenye nayo akiipata atoe kiasi kamili (150m). Jamaa aliishia kuandikwa kwenye magazeti tu na Millard
Duu! Hatari sanaaa
Kama ni Kenya sijui kama angezipa kamili zengeregeshwa lakin asingepata zote
Nguvu ya uaminifu hiyo, karudisha milini 100 karudisha lakini kapata fursa ya kusoma life time “ambayo ni zaidi ya 100m” kapata zawadi 20% ya pesa alizookota, kapata pikipiki 2, Kawa karibu na rais na kajulikana dunia nzima! Lakini la mwisho kabisa ana fungu lake kwa Allah kwa uaminifu aliyoufanya.
Safi sana Mungu amtangulie
Kwakweri Mungu ni mwema nimefurahi Sana na atakuwa tajiri kuliko hizo pesa
God bless good boy. 🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu aendelee kumubariki.Tuseme Amina
Dah mungu ambariki Sana" lait ingekuwa kijana wa tz hz pesa zisingerudishwa🤣🤣lkn hata yy kapata zawad ambazo hajazitegemea
HONGERA SANA MHE BALOZI
Mwenye kuliacha jambo kwa ajili ya Allah, Allah humpa kilicho bora zaidi ya kile alichokiacha. Allah akujaalie mwisho mwema.
Daaaaa hiiii Itabaki kusema daaa ingekuwa Mimi nisingeludisha ira kwangu
Noooo Wara nisingeludisha
Hiyo nchi yenyew wako vizuri ingekuwa Tz angepewa Elfu 50 tu kama asante
ukisikia kulala masikin kuamka tajiri ndo hivo sasa, ukiskia paah wa mwisho anakua wa kwanza na wakwwwanza anakua wa mwisho....goodboy honestlyboy
Mungu ambariki sana
Hongera san
Mungu anagawa ridhiki kwa aina tofauti mtot Hana bahati uyo
Ningeokota mm nisingeregesha coz mungu alikua na sababu Kwanini yy ndo aliokota hilo begi
Ni adim sana watu kama hawa mungu amjaze iman
Emmanuel Mungu pamoja nasi
Jingaaà kabisa kuku hili
okay hapo sawa Nilidhani Tz ,kama Niberia basi sawa ingekua Tz hapo angekuwa angekuwa ameisha pigwa ,angekufa maskini kweli laki yuko na nch inayo jitambua
Mungu atuongoze 💓
Aliandaliwa baraka za.kimbingu.
The fear of the Lord is the beginning of all wisdom
Kwel muung kaahid uaminifu ni kitu pekee ktk hii dunia
Bodaboda 2
Udhamin wa masomo dunian popote had upeo wake wa akili
Milion 21
Balozi wa rushwa mchin kwao kwakwel hivy ulivyopat ni Zaid ya milion 100
Congratulations
KIJAN hakik umeshafunguka
Umesahau dola elfu moja na miatano alizopewa na mwenye pesa🔥🔥🔥🙏
@@NaitwaChongx ndo mana tunaambiwa tusikate tamaa na rehma ya mwenyezi mungu❤
Wengi waliompongeza na kumuunga mkono maamuzi ya huyu kijana ni baada ya dogo kuzawadia zawadi ya pkpk mbili na kiasi cha pesa pamoja na kuendelezwa kimasomo. Vinginevyo asingepewa chochote basi watu wengi wangetahaluki na kumkosoa dogo na kumtakia maisha mabaya zaidi. Ukweli upo hivyo
Kweli kabisa, na angekuwa bongo alikuwa anapita ivi🤣
Hicho ndicho kimemfanya apongezwe asingerudisha labda hata asingejua atumie nn lkn kwa kurudisha kapata kuaminika na kutambuliwa na kupiyia Hilo anaweza pata ubalozi zaidi Kila kitu Kuna faida na hasara yake tunampongeza kwa uaminifu haijalishi angepata pesa au laaaa huwezi jua angeiliwa pia kwa hizo pesa vile vile
Hongera kwa walezi wake
Hongera sana
Uaminifu ni mzuri sana
Sana ukiwa muaminifu hata nafisini mwako uanajisikia raha sana . Halafu kwao wanaoneka wote waamifu hata mamayake mdogo aliempa begi alihifadhi hakuzichukua kalihifadhi mpaka mwenyewe katokea
Yani leo nimeshuhudia boda boda kadondosha kiroba cha mchele na hajajua, sasa hao vijana wameokota wakasepa na fuko la kilo 25 la mchele😂😂nawaza kama ndio zingeanguka hizo dola ngapi sijui wangefanyeje😂😂
The curriculum is highly concerned.God bless Emanuel.
Wema una lipa .... Good luck .... MUNGU hutoa njia pasipo na njia ... Kama Wana wa Israel walipo fika bahari ya shamu
Kabisaaa
Makofi mengi kwa Raisi George...
Mashaalah❤
Uhaminifu ni walazima sana ongera sana Emmanuel Mungu ana makusudi na wewe
Ajengewe sanamu lake Na mafisadi wa nchi hii wajitathimini
mmmh Mungu hakupi zawadi kwenye bahasha
Maneno ya mtume yanasema uaminifu huleta riziki...na hapa imedhihirika kwa uaminifu aliouonesha amepiga hatua nyengne ya mafanikio... Allaah amuongezee uaminifu wake 🙏
swadakta kaka imani iyo na uaminifu Allah aenderee kumfungulia milango ya riziki🤲🙏
@@shamilanamkubarisanasultan1018 aamiyn
Hivyo ndivyo mkiristo wa kweli alivyo,heri kufa maskini na ufike mbinguni kuliko kumiliki pesa na kuishia kuzimu,sasa unakula kilichochako halali, ubarikiwe
Yesu kristo aendelee kukutunza
Yesu siyo Mungu una kufuru. Yohana 17:3)
@@khalfanifarisy3109 Kuna watu mnahoma jaman Kwani unakufuru wewe au
@@bulugubujashi6378 Ndo tatizo lenu Wakristo, mnachukulia poa mambo ya Mungu. Utakwenda kuchomwa moto. Tena milele. Endelea tu kukwepa ukweli ukajutie.
Kwani wewe yanakuhusu nini kila mtu na imani yake watu wote awatakuwa wa islam ahu wakriston bro
@@tresorsamson9200 baki na ukafiri wako.
Engekuwa... ... Ni mbongo... Saiv.. angekuwa Serena Hotel.. anakula Bata na warembo kila upande
Safiikabsaaaa kwa uaminifu mwingine angesema amewini maishaa
muaminifu sana na utazidi kubarikiwa km ataendelea kuwa hivo
Jamani walioona nguv ya mungu muumba wa vyote naomb tujuane
Mungu akitaka kukubariki anakupima nakitu kidogo t
Kibongo bongo mamdogo aliekabidhiwa furushi hilo mapemaa yupo China
Hujakosea
😂😂😂
Jamani MUNGU wetu sote tusichoke kuwa waaminifu hakuna kitu kizuri Kama chakulewa na Mungu tusichoke kungoja kwa wakati wake atatubariki na kuushangaza ulimwengu
Tujalibu tu kuwa waminifu kwe haya maisha
Lakini sio bongo🤣
😅😅😅
Mashallah
Amina.tuige mfano kama huo.
Kijana mpuuzi sana
Bongo usijidanganye ukarudisha Yani utajuta 😭😭😭😭😭
😁😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣bongo hakuna mwaminifu wa hvyo
Dah eti mimi mtot Wa mama Johary nirudishe begi La pesaa maan hizo sio hela ni pesaa..
Daah kwa mtanzania izo mungezisikia tu redion musinge ziona
There is always something about this guy's called EMMANUEL
Hawa Akina Emmanuel wa Tz🇹🇿...sizani Kama wangeweza ...lazima tunge kutana kidibwi tu😂😂
Kwa bongo ata ukiwa mwaminifu wa hvyo unapewa kesi ya uhujumu uchumi nan sasa aludishe🤣🤣🤣🤣🤣🏃♂️
Hhhh