ASKOFU na MFANYABIASHARA MONABANI AFUNGUKA KUPORWA KITUO cha MAFUTA na KUVUNJWA kwa KANISA la MUNGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • ASKOFU na MFANYABIASHARA MONABANI AFUNGUKA KUPORWA KITUO cha MAFUTA na KUVUNJWA kwa KANISA la MUNGU...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 73

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 місяців тому +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @AndreaDaud-k2c
    @AndreaDaud-k2c 4 місяці тому

    Mzee kama wamechukua pesa zako warudishe fungua kesi wamechuku pesa zako Kwa njia ya udanganyifu

  • @newchemchem5251
    @newchemchem5251 5 місяців тому +3

    Watu wa Mungu awatunze sana Mungu Yuko nyuma ya kanisa lake siku zote watu waache kudhihaki kanisa la kristo Mungu anaona Kila kitu walichotendea kanisa Mungu asinyamaze Kwa kweli

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 5 місяців тому +2

    Nimedifunza Kitu hapa uyu baba anamoyo wapekee sana mungu atafungua Milango Mze Wangu Askofu .

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 4 місяці тому

    Sawa unahaki lkn umewaibia waumini wako umefanya biashara gani?

  • @godlivingkoikan6297
    @godlivingkoikan6297 5 місяців тому +4

    Pamoja na hayo mapito huyo mzee yupo vizuri ni bilionea namjua vizuri
    Changamoto alio nayo ni kuwaamini watu
    Mali inahitaji roho ya kibepari zaidi,
    Ukisikiliza vizuri utaona alikuwa hana wana sharia wazuri.
    Lakini kuhusu lile eneo la ngulelo alikosea sana kutobadili mmiliki wa eneo watu wakachungulia wakaona pa kupita .
    Kisheria Mwenye hati ndio mmiliki wa ardhi

    • @ShamsiAdamu-j5z
      @ShamsiAdamu-j5z 4 місяці тому

      Sahihi hapa kuna chakujifunza kwa kweli

    • @lameckdaniel6724
      @lameckdaniel6724 4 місяці тому

      Ila haki yake haitaenda Bure , hao watoto wakamuombe msamaha mzee

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 4 місяці тому

    Ukitaka umalize haraka nenda kwa makonda

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 5 місяців тому +1

    Simulizi yake inaonyesha uonevu mkubwa sana na hapa ndipo hitaji la katiba mpya inapoonekana. Katiba mpya itampa mwananchi uwezo wa kudai haki zake na mifumo kutenda haki.

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 4 місяці тому +1

    Wazir wa ardh mbona kaziba maskio kwenye hil

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 4 місяці тому

    Mali yakani siyo yako

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 5 місяців тому +2

    Interview ya pili alisema aliingia kwenye siasa ccm ili kulinda mali na je kujenga kanisa na kujipa uaskofu ni kulinda nini

    • @massweafuraha4994
      @massweafuraha4994 4 місяці тому

      Msanii huyoo wakati aliingia kwenye siasa alinunua mapanga kwaajili yakushugulikia watu wa upinzani alafu Leo anajiita askofu

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 5 місяців тому +2

    Pole mzee wetu monaban hata huku moshono masaleni pia wamekufanyia figisu dahhh aisee

    • @Soon815
      @Soon815 5 місяців тому

      Moshono pande gani??

  • @foka255
    @foka255 5 місяців тому +1

    Mzee pesa unayo ila unachokikosea vitu vingi unafanya kienyeji sana kwanza hapo ulipofikia ulikuwa unatakiwa kuwa na Mwanasheria wako hayo yote yasingekukuta.

  • @ComredOisso
    @ComredOisso 5 місяців тому +1

    Umefamia kwasababu palikua pori Sio Wacha umasai wewe

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 5 місяців тому +2

    Kwenye biashara oote lazima ufanye due diligence, institutions za Tanzania haziko stable ni rahisi sana kuibiwa. Hiz verbal agreements ziliwork out mwaka 47 ...

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 5 місяців тому

      Sio tz due diligence ni jambo la msingi in a gist of any meaningful business mahali popote duniani, lazma uweke protection mechanism ya kulinda hela u don't just go n put ur money that easily, otherwise u will find urself at quagmire.

    • @AgustinFonga
      @AgustinFonga 5 місяців тому

      Monabani uipofikia yatosha iliobaki mwanbie muumba wetu ulivyonipa vilikuwa vyako Mimi nilikuwa msimamizo wako tuu pia hawakuchukua vitu tuu na waumini wako na kansa lako wamethihakiwa na Mimi nimebaki Sina kazi naomba kazi nyingine NA nakuarifu hapo uwe uneachana na mahakami ukabaki na mungu haiwezekani huku Iko mahakamani huku Iko kwa mungu ndugu yangu achana na yakaisari Baki na mungu najua unaumia na mambo ya Dunia nakutaarifu achana na mambo ya Dunia waandishi WA habari hao ndio waliogozana na mafaisayo kwenda kumihukum mungu yaani YESU na sehem nyingi kama wanasheria wanaandikwa wakitaka kujua Ili wamshtaki ikiwaona wamekuja kutaka kujua utajiuwa kwa kukosa mali au Vipi ndio maana wanakutaka ubakize mali umeche waambie wachukue zote ubakize na mungu

    • @kazikazini1042
      @kazikazini1042 5 місяців тому

      ...in a quagmire

  • @shavasjohnkay-cw8lg
    @shavasjohnkay-cw8lg 4 місяці тому

    Kolumba kuwa makini unapomhoji mtu mambo usiyoyajua. Kuna watu walimtumikia Mungu kwa mali zao. Kwani Bishop akimtumikia Mungu kwa mali zake ni dhambi? Na usikariri utaratibu wa kanisa kutumika kila mahali. Kila huduma ina utaratibu wake. Ni vizuri ukatembelea kwenye taaluma yako. Mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna.

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 4 місяці тому

      Mali yakanisa siyo mali yaaskofu, kanisa ni taasisi cy mali inafsi

  • @oscarulotu9878
    @oscarulotu9878 5 місяців тому +1

    Monaba baba ,ardhi ni mali ya Mungu ,pia ardhi ndiyo inawapokea watu wote baada ya maisha haya, wote waliokudhulumu na kuchukua vifaa ya kanisa ibada itafanyika kwake ,Mungu adhihakiwi , naomba utulie kwa Mungu ,hat ayubu alinyanganywa vitu vyote lakini alikuja kurudishiwa vitu vyote

  • @ElihrJones
    @ElihrJones 5 місяців тому +1

    Huyu mtangazaji kafanana namimi nimemuina mpaka nikashtuka nikasema mm nimetokeaje hapo

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 5 місяців тому +2

    Kanisa ni taasisi kwa nini baada ya kujenga kanisa aliendelea kushikilia kanisa kama mali yake

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 4 місяці тому

      Very good. Ile ni mali ya kanisa siyo mali yake

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 4 місяці тому +1

      Kanisa siyo mali binafsi, kanisa ni taasisi sy mali ya mtu inasikitisha kwanini askofu anajimilokisha mali ya kanisa?

    • @joycemeela8595
      @joycemeela8595 2 місяці тому

      @@emmanuelmlowe-ew7gx pole sana baba Askofu Mungu akulinde

  • @niyonzimakatama6516
    @niyonzimakatama6516 4 місяці тому

    Unapenda kumiliki ardhi zenye migogoro kwanini angalia kama kule relini unga Ltd unaona ni sawa? Na bado utanyanganywa tu! Zamani siyo leo

  • @nicebatare2737
    @nicebatare2737 5 місяців тому +1

    Kwako pazuri jamani achana na watu wasiyo jua kutafuta pesa

  • @joeldaniel3348
    @joeldaniel3348 4 місяці тому

    Huyo monaban msanii sana kuna mtego ameulizwa na ndugu mwandishi wa habari kuhusu mali na kumtumikia mungu anasema yale ni maandishi mdogo madogo daah hatal na kanisa Amejenga hukumu ilivo tolewa kuwaaminisha watu na ngulelo na
    Relini kuna sehem umezinunua nazo zinamigogoro mingi

  • @stephenluoga9186
    @stephenluoga9186 4 місяці тому

    Huyu mtangazaji anaijua pia na biblia kwa kias fulan this why unaona anauliza maswali yanareflect kwenye bible

  • @massweafuraha4994
    @massweafuraha4994 4 місяці тому

    Je anakumbuka zile shoka na mapanga aliyonunua kwaajili yakuwashigulikia watu wa uponzani? Au ndo sehemu yakumtumikia Mungu?hukumu ni hapa hapa

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 5 місяців тому +1

    Mwandishi umeuliza vizuri maswali ya dini hivyo huyu mzee ajielewi

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 4 місяці тому

    Majaji wengi hufa haraka kwa sababu ya dhuruma kama hizi na wanalindwa sana kwa kuwa haki za watu baadhi yao ni wapindishaji tu kama kwa huyu askofu wamemfanyia hivi unatarajia nn kwa vizazi vyao?

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 4 місяці тому

    Mzee wewe ni mtumishi wa Mungu nikiwa mdogo siku nyingi miaka hiyooo KKKT

  • @LemaRapoi-np2gs
    @LemaRapoi-np2gs 5 місяців тому +1

    Minathani tumuachie mungu

  • @stephenluoga9186
    @stephenluoga9186 4 місяці тому

    Mimi nadhani hapo Familia na Baba askofu wangekaaa In Win Win situation kua hata kama Mahakama imetoa hukumu kua umevamia eneo ni sahihi lakin umeshaweka asset mbali mbali sasaa ni issue yakufanya mauziano upya na kuweka Fidia za familia kusumbuliwa ili kuondoa migogoro ambayo sometime haina ulazima

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g 5 місяців тому +1

    Kama walikula hela zako,na sasa wanaona wivu jua shetani kaingia mungu hataka kimya,wataanguka mmoja baada ya mwingine,jipe moyo mungu wetu halali.

  • @shavasjohnkay-cw8lg
    @shavasjohnkay-cw8lg 4 місяці тому

    Mungu akutunze Askofu. Mungu sio dhalimu hata aisahau kazi ya mtu .Na hili nalo litapita.

  • @petertemu7136
    @petertemu7136 5 місяців тому

    Kanisa Monabhan alijenga wakati Hukumu imeshatoka ya kwamba ni MVAMIZI

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 4 місяці тому

      Ninkweli kanisa alijenga bada ya hukum?? Kama ndoivo mbona io ni hatara sanaa manake alitaka kujificha kwenye kivul cha imani

  • @donekikimario3539
    @donekikimario3539 5 місяців тому

    Nilijuaga Masikini ndio tunaroho mbaya kumbe hata matajiri wakubwa duh hii dunia ngumu sana

  • @petertemu7136
    @petertemu7136 5 місяців тому

    Monabhan Kweli amesomea Uongo.95% ni uwongo Jimmy hakuwahi kukubali kwamba amekuuzia. Na je?Kazi ya Msimamizi WA Mirathi ni kuuza Mali? Jimmy alikuuliza Nitakuuzia je kitu ambacho sio changu?maana Title Zina jina la Titus Aaron Mollel na sio Jimmy

  • @oscarulotu9878
    @oscarulotu9878 5 місяців тому

    Monaba baba ,ardhi ni mali ya Mungu ,pia ardhi ndiyo inawapokea watu wote baada ya maisha haya, wote waliokudhulumu na kuchukua vifaa ya kanisa ibada itafanyika kwake ,Mungu adhihakiwi , naomba utulie kwa Mungu ,hat ayubu alinyanganywa vitu vyote lakini alikuja kurudishiwa vitu vyote

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 5 місяців тому

    Baba Askofu kila jambo lina utaratibu na kanuni zake. Je, wakati unanunua hayo maeneo kwa nyakati tofauti ulishirikisha familia nzima ili wakubali au wakatae kwamba haliuzwi na mmiliki Titus? Nyaraka zina majina na sain zao wote? Itakuaje basi mahakama wakatae ushahidi wote huo? Kama unayosema ni kweli tupu kwanini walikaa kimya mpaka umauti ukamkuta mmiliki sio kwamba alikua anauza kinyemela tu bila ridhaa ya familia?!

  • @petertemu7136
    @petertemu7136 5 місяців тому

    Hivi uwe na Mikataba uwe na Title bado Mahakama ikuone wewe ni MVAMIZI? Monabhan awe Mkweli tu

    • @EZRA-b1c
      @EZRA-b1c 5 місяців тому

      Umeona ee Inashangaza sana

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 5 місяців тому

    Kolumba uko viziri achana na maaskofu wa uongo

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 5 місяців тому

    Huyu babu ajikite kwenye kusali sana, aachane na kugombania mali za dhulma.

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 5 місяців тому

    Pole sana baba mungu akutie nguvu ! Mwamin mungu tu

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 5 місяців тому

    Lakini ungetakuwa uwashirikishe watoto wa huyo mwenye shamba wakubali,huenda muuzaji hakushirikisha watoto.

    • @lameckdaniel6724
      @lameckdaniel6724 4 місяці тому

      Huyu Mzee ukimsikiliza vizurii inaonyesha aliuziwa shamba mana HUWEZI wekeza miaka yote hiyo Hawa watoto waje baada ya baba Yao kutokuwepo ndio wamshitaki huyu Mzee , inaonyesha ni kitu walikipanga na kitaleta shida badae kwenye maisha Yao mana hela ya mtu hata kama aliuziwa kimakosa itadai mana ni haki yake.

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai 5 місяців тому

    Kweli hii nchi ngumu sana

  • @emmanuelkiwango6638
    @emmanuelkiwango6638 5 місяців тому

    Utajua hujui, Pole sana Mzee

  • @mustaphashabaz
    @mustaphashabaz 5 місяців тому

    Pole sana

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 4 місяці тому

    Mungu akupiganie

  • @joellongidare8280
    @joellongidare8280 5 місяців тому

    Haki ya mtu haipotei

    • @shabanponera2895
      @shabanponera2895 5 місяців тому

      Kweli kabisa, ndio maana wenye haki yao wamepewa mzee anabaki kubwabwaja tu, uliona wapi mali ya familia anauza mtu mmoja, ndiomaana alishindwa kubadili majina kwenye nyaraka

  • @ElizabethKimbi
    @ElizabethKimbi 5 місяців тому

    Dd

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 5 місяців тому

    Ndo mana baraka anaogopa chungu maana tumbo litapasuka

    • @petertemu7136
      @petertemu7136 5 місяців тому

      Si Avunje hicho chungu Kama hakijamrudia Monabhan.anachoeleza ni uwongo mtupu.

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 5 місяців тому

      @@petertemu7136 Acha kudandia tren kwa mbele na haujui kitu hata nikikuuliza aliemuzia monabani alifariki lini na ugonjwa gan hujui