MAPITO ya MFANYABIASHARA ASKOFU MONABANI -HASARA ZAIDI ya BIL.19 KUPORWA KIWANDA na KITUO cha MAFUTA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • MAPITO ya MFANYABIASHARA ASKOFU MONABANI -HASARA ZAIDI ya BIL.19 KUPORWA KIWANDA na KITUO cha MAFUTA...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 32

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 місяців тому

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @joshuamtinangi6958
    @joshuamtinangi6958 5 місяців тому +1

    Yesu Kristo alisema.
    Ukitaka kunifuata uza mali zako zote uwagawie maskini.
    Sasa wewe unachanganya mambo.
    Nilikufundisha taratibu za kununua mali ya umma lakini wewe ukajimilikisha na baadaye ukaanza taratibu za kununua.
    Serikali iliona umefanya makosa.
    Serikali ukikosea inakuadhibu.
    Mungu (kanisa) ukikosea na kutubu unasamehewa.

  • @naishiyemollel7478
    @naishiyemollel7478 5 місяців тому +2

    Hahaha ujanja mwingi mbele giza my brother Monaban, keep it up Baraka my kaka, mzee Titus hayupo basi Simamieni vitu vyake kwa ufasaha...... Rest in peace Titus Aaron Mollel

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 5 місяців тому +2

    HISTORIA kama hiyo inasaidia kuwapa MOYO vijana,maana vijana wa leo wanataka maisha ya short cut,mimi na monaban tulikuwa pamoja NMC arusha!!

  • @kassimualli1755
    @kassimualli1755 5 місяців тому +2

    Sasa mbona umedhulumu na umeshindwa kesi?

  • @Excellent1Michael
    @Excellent1Michael 4 місяці тому

    Background music ipo juu sana

  • @heribuberwa2372
    @heribuberwa2372 5 місяців тому +3

    Thomas Laiser hakuwahi kuwa Mkuu wa KKKT

  • @mosepaul3886
    @mosepaul3886 5 місяців тому +1

    Global tv mmelipwa hela ili mumfanyie interview kumsafisha

  • @loserianmaoi3607
    @loserianmaoi3607 4 місяці тому

    Background sound is really annoying..acha ama punguza

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 5 місяців тому

    Tuseme kapata hasara zaidi ya Bilioni 100😂 Hasara ambayo imesababishwa na ujinga wake mwenyewe. Atulie dawa iingie.

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 5 місяців тому

    Bagamoyo oyeee,,huyu jamaa km mm ningelikuwapo karibu picha ingekuwa muzuri sana,,wee bwege huyu s kaka Yako,wee mjinga mjinga usiogope nzi wakati unauza utumbo,,,pole sana my professor umeonyesha uprofesa wako,,,Huyo bwege mpumbavu mwizi yy Huyo kwani hapo SI eneo lake kawambwa is former of parament na former minister,,,wanahitaji ulin,I mawaziri mastaafu na wabunge wastaafu,,,hizo Kodi zenu hazikifiki Hadhi ya dk kawambwa

  • @joshuamtinangi6958
    @joshuamtinangi6958 5 місяців тому

    Nmc tulikufundisha ku add value kwenye product zako.
    Uliwalipa Nmc Milling charge na wala hatukununua mahindi yako.
    Tulikutajirisha na kukutunzia mali zako kwa uaminifu mkubwa.
    Mwisho wake ulitutoa kwa namna ya kikatili.

  • @EmilianaSevere
    @EmilianaSevere 5 місяців тому

    Me ni KKKT mbona simjui ni Askofu wa Dayosisi gani ??
    au mwandishi umekosea??

  • @petertemu7136
    @petertemu7136 5 місяців тому +1

    Aavhe utapeli Kwanza

  • @nassontunyande1109
    @nassontunyande1109 5 місяців тому

    Naomba nyoosha maelezo soko la kariakoo lilijengwa mwaka gani? 1979 ndiyo lilianza kubuniwa? Unamkumbuka mbunifu wa hilo soko? Na unamkumbuka mkandarasi aliyelijenga? Mbona unajikweza for nothing?

    • @knowledgeispower1118
      @knowledgeispower1118 5 місяців тому

      Haya maswali yako ya kimaskini achana nayo tafuta pesa..ungekuwa na hela haya maswali hauwezi uliza maswali kama haya

  • @BobMollel
    @BobMollel 5 місяців тому

    WATAKUPAKA MATOPE YOTE ILI TU KRISTO ASIONEKABE

  • @daudiPeter-o4b
    @daudiPeter-o4b 5 місяців тому +2

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 5 місяців тому

    Haya yote ukitaka yasikutokee jalibu kua umenyooka katika Mapito yako ya kimaisha ili usiweke uhasama na visasi kwa watu ili kesho na kesho kutwa wasije kukufanyia Mambo mabaya

  • @LambertKyakwe
    @LambertKyakwe 5 місяців тому +1

    Mungu nu mwema anakupigania

  • @praygodarmstrong7670
    @praygodarmstrong7670 5 місяців тому

    WTF Celine Dion song as a background sound 😂😂😂

  • @JSSTATIONERY
    @JSSTATIONERY 5 місяців тому

    Mungu ni mwema utazidishiwa zaidi ya hivo. Nimejifunza kitu kutoka Mungu akubariki sana kwa historia yako tunatoka mbali sanaa

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 5 місяців тому +2

    Eneo hilo ulilipataje?

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 5 місяців тому

    Pole sana Baba Askofu Molel, kwanza ulizaliwa na nyota ya pekeee ukiwa mtoto wa nne kwa wazazi, ukitanguliwa na wadada 3! Mama anajua siri za watoto wakingali tumboni, ni kama Esau na Yakobo mapacha lkn kila mtoto na chake mama alimjua MUNGU, muimbaji wa nyimbo kanisani. Alikutengeneza na ukajitambua, kutoka kwenye umaskini kama nilivyo wengine, bado una nguvu, MUNGU atakurejeshea haki zako za msingi, pambana mpaka ufikie pazuri, mtumishi. AMEEN.

  • @leonardkoloneli147
    @leonardkoloneli147 5 місяців тому +1

    Mungu akutie nguvu

  • @reubenndendya8345
    @reubenndendya8345 5 місяців тому

    Hawa sio kkkt ila ni Askofu wa kkam

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 5 місяців тому +2

    Aache utapeli aende kwa Mungu akatubu aachane na dunia

  • @abdallahhamza9689
    @abdallahhamza9689 5 місяців тому

    Wa 97????

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 5 місяців тому

    Tell me
    We’re do you get?

  • @allymdoka8634
    @allymdoka8634 5 місяців тому

    Malii za watoto wa taitas kua na aibuu mzeee