WAKILI MWABUKUSI AFUNGUKA YANAYOENDELEA TLS AWABURUZA MAHAKAMANI KUPINGA UCHAGUZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @josepherjosephpaul1138
    @josepherjosephpaul1138 3 місяці тому +5

    Nakupenda Bure. Unasema ukweli. Tunakandamizwa. Nakuombea kwa Mungu. Go ahead

  • @LivinKimath
    @LivinKimath 3 місяці тому +3

    Asante baba uko vizuri mungu akibariki

  • @PezidaMlubwa
    @PezidaMlubwa 3 місяці тому +5

    Mzalendo wetu Mungu akufunike tunakukubali sana

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 2 місяці тому

    Mtu wa Mungu, mtu wa watu Mzalendo Mwabukusi nakuelewa sana,ulipo tupo mapambano yaendelee mpaka haki yako na ya Watanganyika ipatikane.Mungu akulinde,akuongoze,akutangulie kwa kila hatua,wewe ndiyo Rais wa TLS kwa uwezo wa Mungu,Amen.

  • @Flaviosafari
    @Flaviosafari 3 місяці тому +3

    Daaah kumbe hadi kwa mawakili haya mambo yapo. Sasa tunaponaje kisheria na haki katika hii nchi.

  • @ramamjema8391
    @ramamjema8391 3 місяці тому +2

    Shida kubwa Kwa jamii yetu ya kitanzania wamezoea kutenda dhuluma na sasa wanataka kufanya dhuluma ndiyo haki hapo ndiyo anguko lataifa litatokea Mambo haya yasipokemewa.
    Hongera sana wakili meomi na mwadilifu , wewe ni mtumishi kwelikweli Mungu akilinde na ufanikishe kusudi lako la kuwepo hapa duniani.

  • @IsiraelMwandupe
    @IsiraelMwandupe 3 місяці тому +5

    Mahakama km muda wote wangekuwa wanafuata haki, basi haya ya akina Mwabukusi yangekuwa yamepungua kama si kuisha kabisaa.

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 3 місяці тому +5

    Wafundishe sheria hao ,wanasheria feki,vibaraka ambao hata hatuwajui!!!wanakuonea wivu kisa wewe jina kubwa na una wafuasi wengi nchini

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 3 місяці тому +1

    🙏✔️💯 nakupenda bule wakili mwambukusi

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 місяці тому +1

    Mungu wasaidie wasema kweli kama Mwabukusi uwaadhibu waovu wote kwa mapigo makuu

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 місяці тому +1

    Kumbe wanasheria hawapendi ukwel ajabu kweli kabisa hongera Mwabukusi

  • @fredgonga
    @fredgonga 2 місяці тому +2

    Kuna watanganyika mpaka leo hawajui kama nchi hii ni yao kweli..

  • @PezidaMlubwa
    @PezidaMlubwa 3 місяці тому +1

    Tunakupenda sana mtetezi wa wanatanganyika na rasilimali za Tanganyika , viongozi wa TLS wajitambue kwamba wao ni nani kwa wananchi

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 3 місяці тому +2

    Mwabukusi❤❤❤❤

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 місяці тому +1

    TLS chukueni mfano huo bora sana, Rudini nyuma anzeni mbio upya, watanganyika tulio wengi tunawasubiri!

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 місяці тому +2

    Mabukusi kama Magufuli

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 2 місяці тому

    Haya mambo mmhh

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 3 місяці тому

    Yap

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 місяці тому +1

    TLS ni wakala wa ccm

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 2 місяці тому

    Kwa maelezo haya mmhh mpime wenyewe watanzania

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 місяці тому

    Rushwa upofusha macho hata wanasheria wa sasa wengi ovyo tu

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 місяці тому

    Kama wanaofahamu sheria ndyo wanaovunja sheria nchi iko pabaya

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 2 місяці тому

    Sasa kama ni hivi uana sheria uko wapi ikiwa ninyi wenyewe mpo hivi

  • @RajabuLanda
    @RajabuLanda 2 місяці тому

    Sasa mm nauriza mbinu hizo no ccm au nitanzani au wayanganyika au jeshi Mana kunamambo nnchi hiyi jui ya ccm tunanyanyasika was tamzaniaya

  • @Flaviosafari
    @Flaviosafari 3 місяці тому

    Dhuluma imetawala kila mahali nchi hii. Daaah!

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 2 місяці тому

    wewe na madeleka mnaweza kuongoza hyo TLS mnajua mwanasheria anatakiwa kuwa na maadili yapi

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 місяці тому

    Tutachangia kabisa

  • @MakaMulinda
    @MakaMulinda 3 місяці тому

    Kama mwanasheria mwenyewe,wanapindishiana vifungu sisi ambao hatujui si ndio watatufanyia wanavyota

  • @donaldmaziku7915
    @donaldmaziku7915 3 місяці тому

    Hivi walio ccm hakuna ata mmoja anajisikia kuhukumiwa kwa kutotenda haki?

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 місяці тому

    Zungumza Mzalendo tunakuelewa,chùkua maua yako. Nahodha wa chombo ameyuwazamisha abiria...Rais wa TLS wa sasa aliyekua anafunguka mwanzo mwisho, amepwaya mno kipindi chake katika maamuzi ya chama na kuwadhalilisha mawakili wasomi wote kumuengua mgombea kwasababu za kisiasa tu! Wamemu-avoid Mwabukusi kwa maagizo fiche ya kisiasa.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 3 місяці тому

    Tls organization tanzania low sosayart it has been control by ccm leadership this is the case but it has to reach point tls organization tanzania low sosayart to unit as the team to let Tanzania respect your jobs as tanzania. Low sosayart is the lndipendet jobs of low activities in Tanzania pablic interest not gavment lntrest

  • @danielkanso
    @danielkanso 3 місяці тому

    Ukweli unawaumiza hivyo ndiyo wakatengeneza mchakato janja janja hakin ukweli unaongea

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 2 місяці тому

    Babule bamanye

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 місяці тому +1

    Wenye akili hawatakiwi na wajinga

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 2 місяці тому

    Wamekukomesha. Mpinga maendeleo wa mbeya yetu kwanza nani atakuunga mkono wakati watu wenyewe wa mbeya unawapinga?

    • @OscarKasalile-u4k
      @OscarKasalile-u4k 2 місяці тому

      wewe ni mpuuzi anapinga maendeleo gani, kwani anachokipinga hapa mbeya kuhusu maendeleo tuambie maana hata mimi mbeya ndio nyumbani, acha kuwa chawa usiejitambua

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo 3 місяці тому

    𝑁𝑎𝑘𝑢𝑝𝑒𝑛𝑑𝑎 𝑏𝑢𝑟𝑒 𝑡ℎ𝑎𝑚𝑎𝑛𝑖 𝑦𝑎𝑘𝑜 𝑖𝑡𝑎𝑘𝑢𝑚𝑏𝑢𝑘𝑤𝑎 𝑘𝑒𝑠ℎ𝑜 𝑤𝑎𝑙𝑎 𝑠𝑖𝑜 𝑙𝑒𝑜

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo 3 місяці тому

    𝑀𝑤𝑎𝑏𝑢𝑘𝑢𝑠𝑖 𝑚𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑤𝑎 𝑚𝑏𝑖𝑛𝑔𝑢𝑛𝑖 𝑎𝑘𝑢𝑙𝑖𝑛𝑑𝑒 ,𝑦𝑎𝑎𝑛𝑖 ℎ𝑎𝑝𝑜 𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑘𝑢𝑏𝑤𝑎 𝑤𝑎𝑝𝑜 ℎ𝑢𝑚𝑜 𝑛𝑑𝑎𝑛𝑖 𝑖𝑙𝑖 𝑤𝑎𝑓𝑎𝑛𝑦𝑒 𝑤𝑎𝑡𝑎𝑘𝑎𝑣𝑦𝑜 ,,𝑚𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑜𝑔𝑜𝑝𝑎 𝑢𝑘𝑖𝑘𝑎𝑎 𝑘𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑘𝑖𝑡𝑖 ℎ𝑎𝑤𝑎𝑤𝑒𝑧𝑖 𝑓𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑢ℎ𝑎𝑟𝑎𝑚𝑢 𝑤𝑎𝑜