MREMBO ASIMULIA ALIVYOACHA KAZI YA KUAJIRIWA NAKUJIKITA KWENYE BIASHARA "NIMEFANYA MIAKA 20"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 30

  • @azizamvungi6409
    @azizamvungi6409 2 роки тому +1

    hongera sana mama nakupenda maana ulijikita sana sitakata tamaa hata kama nimefikisha miaka 40

  • @witnessemanuel251
    @witnessemanuel251 2 роки тому +2

    Kazi zako nzuri sana dada

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz Рік тому

    Mzuri Sana kweli 💖💕

  • @ashrafmmbaga3868
    @ashrafmmbaga3868 2 роки тому +3

    Vizuri watu wengi wanazarau hiyo kazi bila sababu za msingi hongera

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 роки тому +2

    Hongera sana

  • @benjaminkapelah7664
    @benjaminkapelah7664 2 роки тому

    Hongera kumpenda mama mkwe

  • @jeremiahmollel5583
    @jeremiahmollel5583 2 роки тому

    Hongera sana kwa ubunifu

  • @mwigakatumpula6852
    @mwigakatumpula6852 2 роки тому +1

    Huyu mbona kama ni yule mke wa wakili piter madeleka 🙌🙌🙌🙌🏃🏃😃

  • @fatufatu5754
    @fatufatu5754 2 роки тому +1

    Dada Jen naomba tuongee kidogo maana najua unauzoefu kwenye kufuga kuku

  • @victoriarobinson7396
    @victoriarobinson7396 10 місяців тому

    Kip it up madam

  • @DenisMosha-gf2iu
    @DenisMosha-gf2iu Рік тому

    Naomba no zako dada

  • @neemasawe7016
    @neemasawe7016 2 роки тому +2

    Aliacha kaz kwa ajili ya kuuguza mamkwe au kwa ajili ya biashara?😁 enewei ni haki yake aache tu mana me hiyo 2001 nipo la kwanza

  • @deborahnyabintu6690
    @deborahnyabintu6690 7 місяців тому

    Namba yake plz

  • @christinakatega2012
    @christinakatega2012 2 роки тому

    Naomba namba zako dada.

  • @denisisilukala2628
    @denisisilukala2628 2 роки тому +1

    Ulikuwa na mtaji Dada kuku 3000

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 роки тому +6

    Sasa huyo ni Mrembo au ni Mama Jamani,naona sijafahamu hapo kwa hakika huyo sio mrembo ni Mama

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 2 роки тому +1

      Ili uitwe mrembo ni lazima uwe na jinsia ya kike hata bibi aweza kuitwa bibi yetu mrembo haaaaaaaa

    • @mwanaishazain7985
      @mwanaishazain7985 2 роки тому +1

      Mrembo ni mwanamke Mwenye umri wowote ambaye anajitambua kimwili na kimaisha. Weye unasema tofauti ya mama na msichana.

  • @adrianaspeiser1735
    @adrianaspeiser1735 2 роки тому

    unapatikana wapi?

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 роки тому

    Mjue kutofautisha,Mrembo,Mama ,bibi,binti n.k

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 2 роки тому

    Urembo gan alafu mtu kujiajiri kwa ushonaji ni habari sasa

  • @dicksonmagari8803
    @dicksonmagari8803 2 роки тому

    Yani huyu ni mrembo?

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 роки тому +2

    Huyu nae ni mrembo jamani?

    • @neema_mollel
      @neema_mollel 2 роки тому

      @@rahmakihwelo485 😂😂😂😂😂wasitukoroge

    • @loysaes2400
      @loysaes2400 2 роки тому

      Mzee wako hachomoki Apo 😂

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 2 роки тому

      Ah mi nimeiliza swali tu

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 2 роки тому

      Alitakiwa aseme mama yetu mrembo hajakosea sana

    • @CHRISTINAMAGASI
      @CHRISTINAMAGASI 6 місяців тому

      Haaaahaaaahaaaa​@@loysaes2400