Ona mama mjane anavyopamba mwenyewe tu unatamani kumsaidia. lakini midume mizima na nanii zao kazi kuomba tu mpaka unaogopa kuwa online kuchat sababu ya kuombwa. Creez nimependa sana kipindi chako naamini kitaelimisha wengi.
Mwanajuma O Mahundumla shosti wangu kama upo nchi za watu kwajili ya kutafuta pesa basi jiulize waombaji uwa awaishi mm nipo Dubai ila baadhi ya watu wakinitangazia ziki nawachunia wengine nawaosha vizuri wallah
Mtangazaji ukovizur Sana unauliza maswali vizuri
pole mama na ongera piya kwakuwa moyo wakupambana nyinyi njo wanawake waotakiwa najamii.
Hongera sana mama mungu akuzidishie rizik katika kazi yako
Mama mungu akupe afya Inn shaa ALLAH ameen
Mama umetisha! Umefanya kazi mpaka wizara ya kazi
Asante mama umeongea poit saan
Haya ndomambo tunayoyataka sio kila kukicha zari diamond
Mashallah Safi sana
Mashallah nataman siku Moja nifike alipofika huyu dada
Ona mama mjane anavyopamba mwenyewe tu unatamani kumsaidia. lakini midume mizima na nanii zao kazi kuomba tu mpaka unaogopa kuwa online kuchat sababu ya kuombwa. Creez nimependa sana kipindi chako naamini kitaelimisha wengi.
Mwanajuma O Mahundumla 😂😂😂😂yamekuwa ayo unaogopa kuchat hahaha wallah ningekuwa mm namchana mtu
@@fatwimamakungu5456 kuna ninao wachana ila kuna wengine mmmm hata huwezi kuamini kama ndio yeye kweli hata huruma wala aibu hawana
Mwanajuma O Mahundumla shosti wangu kama upo nchi za watu kwajili ya kutafuta pesa basi jiulize waombaji uwa awaishi mm nipo Dubai ila baadhi ya watu wakinitangazia ziki nawachunia wengine nawaosha vizuri wallah
Mama zetu hao Mungu awape afaya njema inshallah 😘🙏🏿
Chris Leo ugekua karibu nigekulipia lunch maan hiki kipindi kinanifajiri munoooo
Mashallah
KWERI HAPA NI KAZI2 MAANA USIPOFANYA KAZI Utabaki kuongea VIBAYA2 Watu 😂😂😂
SUBSCRIBE UA-cam CHANNEL Yangu
👉🇹🇿🇰🇪🇺🇬🙏✔
HAPA NI JOB 2
Poa sana HAPA kazi OK ila PITIA HAPA KUONA UBUNIFU WA MAPAMBO YA NDANI ili kuni sapoti SUBSCRIBE na bonyeza kengere bofya kapicha kushoto