MBEYA: MTOTO AJINYONGA BAADA YA KULAZIMISHWA KWENDA SHULE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @nyangetakaliba8585
    @nyangetakaliba8585 2 роки тому +9

    Jaman hawa watoto ni shida.....me wangu nmemwambia kwenda shule katoroka hayupo....naambiwa tu watu kaonekana mahali lkn cjui alipo nmemuachia Mungu aingilie kati😭😭😭😭😭😭😭

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 2 роки тому +1

      Jmn😭😭😭😭😭

    • @meyeomar7821
      @meyeomar7821 2 роки тому +2

      Mtoto mtafute ili mungu aone jitihada zako sawa watoto wanashida kwa kweli ndo tunatakiwa kuwaombea dua mungu awaongoze

    • @judithmaziku363
      @judithmaziku363 2 роки тому +1

      Mtafute mtoto aje tu akae nyumban

    • @nicedavid8536
      @nicedavid8536 2 роки тому +1

      Pole mtafute, mtafute ukimuacha uko mtahani atashindikana

    • @rehemafadhili2600
      @rehemafadhili2600 2 роки тому

      Duh pole Sana Ni mapepo Ayo ata mdogo wangu alianza. Kuwa ivyo Ila mungu mwema baadaa ya kuangaika uko na kule saiv anaenda shule yupo kidato Cha pili

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 роки тому

    Innahlillah wainnah illah rajiun poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu

  • @Ms.joyelle
    @Ms.joyelle 2 роки тому +8

    Mashuleni wawepo maafisa ustawi ili iwe rahisi kwa wanafunzi kuweza kueleza shida zao. Unaweza kuta mtoto huyo alikua na shida zingine ambapo hakuweza kumuamini mtu amsaidie. So wana saikologia wawepo Mashuleni watu wengi sahivi wana sumbuliwa na Afya ya akili bila wao kujua.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому

    Subuhanallah inalillahi wainailahi rajuun . Mtihani Dunia kwa heri tutubunitu kiyama Kisha fika

  • @fatmaaahmad561
    @fatmaaahmad561 2 роки тому +1

    Minaona hata hizi movie huchangia watt wanapenda kuiga

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 Рік тому

    Pole

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +2

    Jifunze quran kwa hukmu kuswali kwa vitendo gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojli

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому +1

    Jmn mdogo angu why😭😭😭😭😭

  • @goodluckmunisi4340
    @goodluckmunisi4340 2 роки тому +1

    Yani sasa ivi nikuombeya kilakitu

  • @bahatibahati5217
    @bahatibahati5217 2 роки тому

    Daaaa

  • @hamidmweusiii35
    @hamidmweusiii35 2 роки тому

    Karne ya saiv Raha Raha we ukiona jambo hulielewi t we jinyonge tu tanguliwa kw Mungu. Maan watoto wadogo hawana ata majukumu wanajinyonga kwl Dunia imefkia mwisho wak ss maan km nimtu mzma tungesema maisha yeshmshnd au msongo wa mawazo lakn mtoto mdgo kbsa haombwi ata ela ya chumvi tusemeje?

  • @sefaniambuba7133
    @sefaniambuba7133 2 роки тому

    Haya Sasa mbeya

  • @asiaabdalah5686
    @asiaabdalah5686 2 роки тому

    Mtoto mwingine imetoke ilemi mbeya, Leo msiba.

  • @dorothmungure9393
    @dorothmungure9393 2 роки тому

    Wazazi tuwe karibu na watoto tujue matatizo yao hapo lazima kuna kitu haiwezekani miaka yote aende mwishoni agome.

  • @agnessmunisi6668
    @agnessmunisi6668 2 роки тому

    Wanafunzi wanachangamoto sana shuleni hamjui tu, mm wakwangu aliambiwa apige pushapu sijui ilichukua muda gani lakini hawez kufanya chochote nilimpeleka kwa Doctor akampa dawa za maumifu nilijisikia vibaya sana, ukienda shuleni ni shida nyingine

    • @edyteemba1918
      @edyteemba1918 2 роки тому

      Pushap c mbaya ni moja ya mazoez ya mwili sema tu ni juu hajawai kuufanyisha mwili wake mazowz ya kiivyo so

  • @Zahrazahra-ue7bp
    @Zahrazahra-ue7bp 2 роки тому

    Nakingine warimu uwa wanachangia watoto kuogopa kwenda shure ukari wa madarasani na wengine azabu nasea ivo mwenyewe yamenikuta wakati nasoma ukari wa mwarim umuogopesha mwanafunzi

    • @Zahrazahra-ue7bp
      @Zahrazahra-ue7bp 2 роки тому

      Ata kama anaakiri ure uoga awezi fanya vizuri darasani utakuta kuna mwarim akiingia darasan wanafunzi wanafurai wengine mh

    • @Zahrazahra-ue7bp
      @Zahrazahra-ue7bp 2 роки тому

      Ware turio soma na warim weupe tijuana kunawarim akiingia darasan kituko mimi mwarim arikataa kufunndisha daras retu

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 2 роки тому

    Mimi nawaambia Kia zile sport bet..wala kubeti hazifsi