MCHAMBUZI THABIT AELEZA HISTORIA VITA PALESTINA NA ISRAEL/YESU NA MTUME MUHAMAD WALIISHI PALE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 553

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 3 роки тому +7

    Elimu nzuri sana. Hongera sana Gangana na Thabit.

  • @kassimmselem6024
    @kassimmselem6024 3 роки тому +3

    Huyu Bwana Thabit amebobea Sana katika medani siasa, uchumi na jamii. Na anachambuwa Kwa undani mnoo kihistoria na kifalsafa.

  • @shamterehani2161
    @shamterehani2161 3 роки тому +7

    Thabit! unajua sanaa ,upo vizuri.

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga Рік тому +3

    Mimi ndo nimejua leo jamani tupende kusoma historia da kaka ubarikiwe sana huna mbambaa❤❤❤

  • @josephatkiliko2546
    @josephatkiliko2546 3 роки тому +8

    Namuombea Sana Thabiti siku Moja Mungu amjaliye awe nafasi za juu sana ktk taifa Ili

  • @stephenmbatia7825
    @stephenmbatia7825 3 роки тому +7

    This guy is so informed. Kudos!

  • @wazirie4070
    @wazirie4070 3 роки тому +19

    Asante tena Mr Gangana. Ningependa mtaalam wetu, Thabit. Aongelee kuhusu Christianity na Islam, hizi dini mbili zinahusika kwa kiasi gani kwenye maendeleo ya nchi zetu za Africa. Maana dini mbili zote hizo, zimechangia kwa kiasi kikubwa kuyaendeleza ma taifa yao. Christianity in the western World, and Islam in the middle east. Maana nchi kama Uhindi na Uchina, wanadini zao na maendeleo yao yanaonekana.
    Pia dini mbili hizi, ni chanzo kikubwa cha vurugu Africa, kwa nini tunazitumia dini zilizoleta matatizo Africa kwa kuyatatuwa matatizo hayo hayo? Kuna njinsi tutaweza kuenzi dini zetu za kale na ubuntu spirit kwa kuyatatua matatizo? Maana Mungu yeye kila kabila Afrika inamjuwa tangu enzi za mababu zetu.

    • @salimmoha7962
      @salimmoha7962 3 роки тому

      Hujielewi

    • @kaundasutikaunda7769
      @kaundasutikaunda7769 3 роки тому +6

      Umeonge point sana. Ubarikiwe. Wewe ni kati ya wale watu wachache walio elimika juu ya dini.

    • @wazirie4070
      @wazirie4070 3 роки тому +4

      @@kaundasutikaunda7769 Asante ndugu, nawe pia ubarikiwe

    • @salesiasebastian6670
      @salesiasebastian6670 3 роки тому +5

      Uko vizuri sana katika kufikiri!

    • @wazirie4070
      @wazirie4070 3 роки тому

      @@salesiasebastian6670 asante, nawe pia

  • @petermwaikandage2475
    @petermwaikandage2475 Рік тому +1

    Well organized and with confidence. Good narration mkuu

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 3 роки тому +9

    Duuu ahsante kwa elimu,
    Japo maumivu ya moyo bado ninayo kwa kuona watu wakitaabika pia na kufa.

  • @mzalendotz3397
    @mzalendotz3397 3 роки тому +3

    Maweee tupu..thanks brothers 🤝

  • @denyu9975
    @denyu9975 3 роки тому +1

    Jamaa yulo vzr bro asante sana brooo

  • @sonti2821
    @sonti2821 3 роки тому +5

    Big up sana Thabit we ni kichwa

    • @awadhisimba1806
      @awadhisimba1806 3 роки тому

      Ukweli thabit nimekubaliana Sana,pamoja kwamba maelezo yako yabeba mb zetu nyingi lakini yanafundisha

  • @MosesALiu
    @MosesALiu 3 роки тому +5

    Vizuri sana Thabit

    • @zephaniamanembe6929
      @zephaniamanembe6929 Рік тому +1

      Kuna Jambo hulielewi, ni lini mzungu aliwahi kwenda utumwani, myahudi wa kweli ni mtu mweusi ambaye biblia ilisema nitamtawanya ulimwenguni mwote ili awe mtumwa
      Ni wapi mzungu aliwahi kua mtumwa, wayahudi hai ni wa mchongo Soma if 2.9 na 3.9
      Halafu mzungu eti auwawe ulaya hahahaaaa.

  • @gabrielnyanga8155
    @gabrielnyanga8155 3 роки тому +7

    Ume eleza vizuri ndugu!

  • @madpeoplezzzz5121
    @madpeoplezzzz5121 Рік тому +2

    Muongo hakuna mabomu ya dizaini hiyo huwo ni uwongo wa myahudi feki anaotumia kuidanganya Dunia......😊 FREE PALESTINE 🇵🇸.... FROM THE RIVER TO THE SEA

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 10 місяців тому +1

      Hata mkiambiwa ukweli huwa hamkubali hebu tuambie wewe ilikuwaje? Hao WAYAHUDI pale ndio kwao

    • @ibrahimgwasma1223
      @ibrahimgwasma1223 3 місяці тому +1

      Umesema ni uwongo ukweli ni upi

  • @dasilvajunior3016
    @dasilvajunior3016 3 роки тому +1

    Safi sana ndugu wachambuzi mmchambua vizuri

  • @mitanakadorho2356
    @mitanakadorho2356 2 місяці тому +2

    Pia waislamu waache uongo kusema Yesu akiishi Jerusalem na muhamed. Muhamed ni mtu wa Saud arabia, hakiwayi kuishi Jerusalem uongo mrupu, pia akitamani kujilingalinsha na Yesu kapatwa na pigo kubwa, waislamu museme ukweli

  • @hashimuhussein4993
    @hashimuhussein4993 3 роки тому +2

    hongera yake blother kaichambua mada kiasi kwamba sasa nnafaham chanzo cha vita huko islael

  • @producerema291
    @producerema291 3 роки тому +3

    Mtaalamu yuko vzr

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 3 роки тому +1

    Daaah. Tunapo lazimishwa kuelewa lugha tusiyo ifaham hali yakua mzungumzaji mwenyewe haifaham vyema hapa kuwa makini mno . Mgogoro huu upo kinafiki saana na unafiki huu umepandikizwa na umoja wa mataifa na si vinginevyo.
    Wanao dai inchi walipewa na mungu bado wanakikwazo kikubwa kutoka utra othodox jew ambao wanaamini baada ya kupinga amri za mungu waliharamishiwa pale. Wanacho tafautiana ndugu kinatokana na gubu si vinginevyo.
    Swali langu hawa watu wasio na dini wala kuamini vitabu vya kale je wanashawishika vip kiamini mungu aliwapa ardhi hawa mazayuni.
    Ukilijuwa hili ndio utafaham kuwa huu umoja wa mataifa una mapungufu mengi zaid ya matobo ya chandarua.
    Roho ya mwanadam inapo halalishiwa mauti kirahisi kuliko roho ya kuku amini wanao ongoza hawajuwi majukum yao.
    Tatizo ni umoja wa mataifa.

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 3 роки тому +6

    Salute,♥️♥️🙏🙏🙏💯🥂

  • @bidayo1058
    @bidayo1058 3 роки тому +2

    Daaaa! Kuna watu wanajua vitu. Kipindi kimenoga Sana, keep on #Ganganainfochannel

  • @MorisTolotolo
    @MorisTolotolo Рік тому +2

    Haipo hata siku moja eti Israel itapigwa na waarabu kwasababu Mungu aliwaahidia atakuwa pamoja nao hadi mwisho wa dunia,Mungu na asidi kuwalinda waisrael siku zote Amina

  • @godifalsafa6956
    @godifalsafa6956 3 роки тому +9

    This man is 🔥🔥🔥🔥

  • @harsoshelezi4658
    @harsoshelezi4658 3 роки тому +10

    ACHENI UONGO, UYAHUDI UPO MBALI SANA NA UKRISTO. YESU NI ADUI WA MAYAHUDI NDIYO MAANA HAWA MKUBALI NA HAWAKUBALI BIBILIA WANAKITABU CHAO

    • @abrahamhassan351
      @abrahamhassan351 3 роки тому +1

      Wakiristo wanajikomba kwa mayahudi Israel Wakiristo haikuhusuni kabisa na uboya wenu Italy na Vatican ndio yenu na dini yenu yakuungaunga hiyo Wakiristo hehehe

    • @elizabethwallace8598
      @elizabethwallace8598 3 роки тому +5

      @@abrahamhassan351 ujinga ni mzigo,ukristo umetokea kwa wayahudi hakuna kujikomba na Yesu alikuwa myahudi

    • @josephatdakhala2615
      @josephatdakhala2615 3 роки тому +2

      Nan amekwambia

    • @abeidkhamis6130
      @abeidkhamis6130 Рік тому +1

      Kitabu cha imani ya mayahudi kinaitwa "Talmud" na mayahudi hawanaga mpango na ukristo wao wenyewe mayahudi ndio wale waliotaka Ku mwua yesu

    • @abeidkhamis6130
      @abeidkhamis6130 Рік тому +1

      Yesu alikana dini ya kiyahudi na aliwakana ku jiita uzao wa Ibrahim yohana 8:39-58, pia hawa mayahudi wanaojinasibisha na uzao wa yakobo Mungu alikataa akimwambia yesu katika ufunuo wa yohana 2:9; ufunuo3:9

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa Рік тому +2

    Israer nitaifa la mungu mungu hupo katiyao watashinda tu hata jesh lawatuwachache

  • @pascalmstaarabu4372
    @pascalmstaarabu4372 3 роки тому +9

    Taifa la Mungu linapiganiwa na Mungu mwenyewe

    • @furahandabadugitse2659
      @furahandabadugitse2659 3 роки тому +1

      Taifa lamungu nilipi taifa lisokuwa la mungu
      Hauna akili mayahudi sio wa islam wala sio wa kristo hao namashetwani wewee wa uwajii wakubwaa mungu awalaaanii

    • @travvella4392
      @travvella4392 3 роки тому +2

      mbona maadhimisho ya mashoga hufanyika telaviv kama ni watu wa mungu

    • @madirishasimon9692
      @madirishasimon9692 3 роки тому +1

      @@furahandabadugitse2659 pumbavu heshimu maoni ya mwingine Israel ni taifa la Mungu

    • @masoudkatiba1484
      @masoudkatiba1484 3 місяці тому

      Na taifa la mashoga linapiganiwa na nani?

  • @masoudkipara5053
    @masoudkipara5053 3 роки тому +5

    Jamaa ana mawe sana.

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 3 місяці тому +1

    Sio kweli

  • @sapricatermaregeri6571
    @sapricatermaregeri6571 Рік тому +1

    Hello Chris Masozi

  • @eddyjosephmagenge9658
    @eddyjosephmagenge9658 3 роки тому +1

    Shukrani sana kaka,nakukubali mno 🙏🙏

  • @sanamukama942
    @sanamukama942 3 роки тому +1

    Safi

  • @hassanmassaga2476
    @hassanmassaga2476 3 роки тому +15

    Wanaotoka mapovu humu wanahisia za kidini tu.....wengi hata hawajui chanzo kwsbb hawana taarifa sahihi...na kama wanataarifa basi wamezipata kwa viongozi wao wakidini😆😆 tujifunze kusikiliza hata yale tusio yapenda alf ndo baade tuamue kufuata au la! Mbn ni jambo rahisi tu

    • @allychengula3511
      @allychengula3511 3 роки тому +2

      Fuatilia vizuri vita haijaanza leo wala 1948 ni vita ya milele narudia tena ni vita ya milele.. itaisha yesu akirud... Soma biblia upate maarifa kwani history ya mashariki ya Kati ni bc

    • @petrofabian4523
      @petrofabian4523 Рік тому

      Mwenye eneo kabisa ni myahudi ,wapalestina walijichomeka baada ya wayahudi kwenda kuzurula sasa waliporudi wale waliokuwa wamejichomeka wakajifanya kuwa wao ndio wenye eneo

  • @salminwamu2297
    @salminwamu2297 3 роки тому +1

    Duh

  • @omahe1
    @omahe1 3 роки тому +5

    🏹 naomba hizo vita zifike mwisho

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 3 роки тому +1

      Hazitafika mwisho maana hilo ni kusudi la Yesu kurudi

    • @omahe1
      @omahe1 3 роки тому

      Kwani Pregnant mother wanateseka pamoja na watoto pia wagonjwa je hilo c Tati I?

  • @mlamtv4839
    @mlamtv4839 3 роки тому +8

    Hii vita ataimaliza Yesu pekee.Huyu ataleta amani

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze Рік тому +1

    Waarabu wazurii bwana

  • @z.nalnabhani7194
    @z.nalnabhani7194 3 роки тому +4

    Huyu muyahudi ataitesa sana dunia,tusione leo kwa palestine,inaonesha hana hata chembe ya imani,dunia ishirikiane imuangamize kabisa,au mwenyezi Mungu amuangamize nchi ya izrael ibiruke chini juu hapo itakuwa salama,vinginevo dunia nzima hakuna amani

  • @emmanuellaurent2698
    @emmanuellaurent2698 3 роки тому +3

    Yuko vizur

  • @godfreymaebwa4657
    @godfreymaebwa4657 Рік тому +2

    Yaan namkubali sana saudia kumchana amasi kuwa walichofanya israel hakikubaliki

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 3 роки тому +3

    Umelezea Vizuri Sana Broo.

    • @AbrahamShehoza-kk6bj
      @AbrahamShehoza-kk6bj Рік тому

      Maandiko yanasema itakieni amani Yerusalem..na wafanikiwe wote waipendao Israel na Yerusalem..Hivo ukristo wa mtu unathamani na mafanikio makubwa kiroho na kimwili ikiwa atatenga muda wake kuiombea mema Israel..maana ndipo kuna chimbuko la wokovu wake...kumbuka Yesu Alisema wokovu watoka kwa Wayahudi(Yesu Kristo)..Na wote tuliookoka tunamwabudu Mungu wa Israel na si vinginevyo!

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 3 роки тому +1

    Jamaa yuko vzr.huyu jama anatishaa

  • @salimmapande4668
    @salimmapande4668 3 роки тому +12

    Al Masjid Al-Aqsa was founded forty (days or months or years) next to the Ka`bah. Historians believe that Prophet Ibrahim, peace and blessings be upon him, was the one who built or ordered Al-Aqsa to be built. It was demolished during the conquests of Jerusalem. `Umar Ibn Al-Khattab, may Allah be pleased with him, is the first one then who restored Al-Aqsa. He recognized the sight but nothing was built. When abdul-Malik Ibn Marwan held the office in the year 66 A.H., he rebuilt Al-Aqsa and the Dome of the Rock.
    Al-Aqsa is one of the largest and most important mosques in the Muslim world, and the earlier Palestne.

  • @husseinmatekwa276
    @husseinmatekwa276 3 роки тому +3

    Uko mbali sana na historia. Tangu lini wayahudi wakawa wazungu. Kama kweli wayahudi walikuwa wazungu, mbona wana wa yakobo wakashindwa kumtambua ndugu yao 'mweupe' yusufu walipokuja misri. Wacha kutuambia hadithi ya kuskia

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 роки тому +3

    Hapo ukisema wamarekani ni wakiristo ni uongo. Njoo marekani ujionee. Hawana dini. Vile vile wayahudi sio wakiristo. Na kwa kweli ukiristo katika bibilia ni jina la kupangwa na wapagani (watu wasiokua na dini). Sasa kwa taarifa yako wamarekani na wayahudi ni wapagani. Wamewakataa manabii na Mungu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Рік тому

      Akili hauna na hii ndio shida ya wabongo , Kwanzaa haumfahamu maana ya ukristu na ata pia hamfahamu maana ya dini ni nini wewe ni mkundu na wewe ndiye kafir ambaye una abudu mwezi na jua na kwenda kuliabudu kabur jeusi huko makka pamoja na mafunzo yenu yakikafir kuswali majini ndani misikitini, Mungu hawezi kusikiliza watu wanao shirikiana na mashetani

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 Рік тому

      @@Mpakauseme please Nipe mkundu nakuomba. Nitakupa pesa. Nikutie kende upate raha please tuonane majengo

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi7754 3 роки тому +6

    Vita ya wayahud na waparestina ...M/Mungu ndio jaji wa haki atakae kata hyo kesi kwa haki , mana yeye ndio anayejuwa ya zahiri na yaliyojificha vifuwani mwa watu kwani tulionalo kubwa kwa Mungu ni dogo na mwenye kusubiri yupo pamoja na M/Mungu ..Allahu Akbaru ....

  • @stephenguga1034
    @stephenguga1034 3 роки тому +3

    Jinsi wazungu walivyo shirikiana kubadilisha taifa LA Israeli halisi kwenye kitabu cha.
    Zaburi 83:4
    YESU alitabiri ukoloni ulio isha kipindi cha Nyerere kwenye kitabu cha luka21:20-24.
    Ona MUNGU akiongelea juu ya Israeli halisi na feki iliyo jiweka kwa mpango wa umoja wa mataifa Mwaka 1947.
    Ufunuo 2:9-->
    Ufunuo 3:7-13
    Mtu mweusi ndio myahudi halisi
    Maombolezo5:10 {maombolezo ya yeremia myahudi}
    Ayubu 30:30.
    Wimbouliobora 1:5 {wimbo wa Suleiman myahudi}

  • @kabogeof9597
    @kabogeof9597 3 роки тому +4

    Jamaa mungu akupe maarifa

  • @ramadhanwazir5457
    @ramadhanwazir5457 Рік тому +1

    Naomba tu utaft historia pia aliyoelezea DR Suley n ushauli tu msikiliz n ujifunz kitu

  • @mgasathedon1579
    @mgasathedon1579 3 роки тому +4

    Naipenda Israel sana

  • @SalomeGeorge-il7vf
    @SalomeGeorge-il7vf Рік тому +1

    🔥

  • @nduwimanamoses363
    @nduwimanamoses363 3 роки тому +4

    Naipenda israel Mungu ibariki

    • @kungugeni9412
      @kungugeni9412 3 роки тому

      Wewe mkundu sana unaipenda Israel imekufanyia nini

  • @MWAKASAGULE
    @MWAKASAGULE Рік тому +1

    Gangana, ukitaka watu wakufuatilie sana fanya Interview nyingi na huyu jamaa THABITI.

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 роки тому +1

    Mhm

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr Рік тому +1

    Someni biblia vizuri

  • @FaridaOngala
    @FaridaOngala Рік тому +1

    Waislam wagonvi sana yani

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro Рік тому +1

    Mungu aliambia Israel kuwa nenda vitani na hakikisha unaangamiza kabira hilo na mifugo yao yote uimalize, sasa walipo enda vitani wakawahurumia hawakuuwa kitu chochote, jioni wamerudi Mungu akawauliza mbona mmewaacha na mifugo yao? Wakajibu, Tuliwahurumia, Mungu akawaambia hivi: niliwaambia kuwauwa wote na hamkufanya hivo basi itakuwa kama mwiba ubavuni mwenu maisha yenu yote

  • @abuukarata9653
    @abuukarata9653 3 роки тому +3

    Acha upoteshaji mkuu.

  • @SifuniPallangyo-bc6xe
    @SifuniPallangyo-bc6xe Рік тому

    Naomba nambar ya mtafiri tuwasiliane tuongee kuusu Vita ya Israeli na Palestina Asante

  • @hasbaallamaa749
    @hasbaallamaa749 2 роки тому +1

    Habari . Niwape hongera kwa uchambuzi wa mchambuzi mahihiri sana . ndugu Thabit, umezungumza kuhusu maendeleo ya Hamas wamepata wapi ? Ukiangalia wamezungukwa na wazayoun pande zote na hawana msaada wowote wa kijeshi kutoka kwa nchi za Kiarabu ?

  • @stanfordshombe1379
    @stanfordshombe1379 3 роки тому +1

    Mpo juu sana juu sana Gangana nilitaka mzungumzie juu ya kitu kinaitwa Freemason je IPO au ni hadithi za kutishana ?

  • @kaishazabengesi2971
    @kaishazabengesi2971 3 роки тому +1

    Mpango wa MUNGU ni hili wote wamwabudu YEYE katika roho na kweli.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 роки тому

      Kwa kuwa na viongozi tofauti, ya Mungu makubwa

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 3 роки тому +2

    Hodari sana kwa kupanga story.
    Hivo vita vya yuomkipur,kama ingelikuwa sio Marekani kupeleka msaada wa kivita,baada kuona Israel imeelemewa kivita, basi leo tungekuwa na story ingine.

    • @elijahsolomon7961
      @elijahsolomon7961 3 роки тому

      Sivyo hayo ni mawazo yako Israel mpaka leo wamewekewa vikwazo na umoja was mataifa kwa utengenezaji wa silaha Kali za kemikali .. Kumbuka Wayahudi ni Wavumbuzi wa mambo mengi na akili zao zinacheza kuvumbua vitu vipya kila leo na wanajua tecknik kubwa za kivita.. Osama bin Laden ni myahudi wala si Mwarabu tafit vizur usiwahi kubisha ... Ila ameishi Saudi kwa miaka mingi na kusomea din ya kiislamu huko.

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 3 роки тому

      @@elijahsolomon7961 Hayo pia ni mawazo yako.
      Bora tuyaache mambo ya watu,kama lipo la kuchangia la hapa kwetu basi lete.

    • @elijahsolomon7961
      @elijahsolomon7961 3 роки тому

      Nimejibu kutokana na sentes yako

    • @z.nalnabhani7194
      @z.nalnabhani7194 3 роки тому

      @@elijahsolomon7961 uongo osama mwarabu

    • @elijahsolomon7961
      @elijahsolomon7961 3 роки тому

      @@z.nalnabhani7194 mmh ulizia vizuri au fanya utafiti .. Yule ni myahudi .. Kumbuka wayahudi na waarabu ni watu wanaofanana kasoro desturi za dini ni tofaut.

  • @lupaprince1229
    @lupaprince1229 3 роки тому +2

    Ukiichambua Israel kisiasa huwezi ukapata ukweli wote, kwa sababu Taifa la Israel linaonekana dogo, dhaifu kwa macho lakini kwenye ulimwengu wa roho ni Taifa kubwa tena teule la Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Mungu ibariki 🇮🇱

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 3 роки тому

      Na ww nitaifa la shetani sio ???
      kweli sasa nimeamini uafrica ni uasirika kweli

    • @hasbaallamaa749
      @hasbaallamaa749 2 роки тому

      Ni kweli lakini wamelaaniwa na Muumba wao na maisha watateseka na Ulimwengu

  • @DEVOTIONTV
    @DEVOTIONTV 3 роки тому +10

    Haya mambo watu hawajui wachache sana wanao Jua Huyu Bwana anajua Kweli

    • @salimmapande4668
      @salimmapande4668 3 роки тому +1

      Ukweli hupimwa kwa yale yanayojulikana kutokea kwake na kila kilichotokea kipo documented kwenye vitabu, magazeti na makala mbalimbali. Jambo lolote ambalo halikuandikwa na waliokwepo nivigumu kushuhudia ukweli wake

    • @DEVOTIONTV
      @DEVOTIONTV 3 роки тому +1

      @@salimmapande4668 Mimi sizani Kama kwa kauli hiyooo Uko sahihi. Kwasababu Kuna Mengine yaliyo andikwa na Walio Kuwepo lakini Ni Uongo Unaacheje Kumwamini Mtu anaye udhihilisha Ukweli Mbele ya Umma, Na labda Una mtazamo binafsi na Upande wako

    • @DEVOTIONTV
      @DEVOTIONTV 3 роки тому +1

      Na Kwanza naona Huyu Ananichanganya Tuuu….. Brooo Halid Mimi Ninashida nawewe Broooo Whatsapp 0766836355

    • @hazygardmericho9571
      @hazygardmericho9571 Рік тому

      amini kwamba

  • @benjaminkiteleke8458
    @benjaminkiteleke8458 3 роки тому +1

    Myahudi alisaidiwa na marekani. Bro ameacha vitu vingi

  • @raphaeldinyu427
    @raphaeldinyu427 Рік тому +1

    Hamjui chochote kuhusu myahudi , mnatafuta rangi ya myahudi , wakati myahudi ameenea dunia na ameweka ujasusi kwa serikali zote duniania

  • @mceeray254
    @mceeray254 Рік тому +2

    Hawawezi kuiondoa Israeli kwenye ramani ya dunia amini usiamini itawapa tabu maana n Mungu kainua,maandiko ayo

    • @Erik-kj5no
      @Erik-kj5no Рік тому +1

      Wewe unaesema hivyo wewe Ni mpinga Kristi Soma mathayo 21:43 yeah aliwanyang'anya ufalme

  • @harsoshelezi4658
    @harsoshelezi4658 3 роки тому +1

    mayahudi hawakutangaza bali walipelekwa na waingereza iliyokuwa nguvu kuu ya dunia zama zile. Mayahudi walikuwa wakitangatanga bila kuwa na sehemu, walikataliwa uganda , italy, na kwengine.

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 роки тому +6

    Ukitaka kufahamu ukweli wa waislam, angalia mpaka leo wameshindwa wayahudi kugeuza msikiti wa al’Aqsa kua kitu chengine. Sababu Quran inasema msikiti ni nyumba ya Mungu. Ukweli ndio huo

    • @martinarinjuguna891
      @martinarinjuguna891 3 роки тому

      But soon Ill See. Mwislamu pale siku hizi haingii

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Рік тому

      Mungu wakipagani ambaye anapiganiwa nakuamrisha watu wawachinje binadamu wasio mwabudu yeye sasa huyo ni Mungu au ni shetani tu

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 Рік тому

      @@Mpakauseme Nina hamu kukufira tuu please Nipe utapata raha za dunia ntakufira upige kelele tuonane temeke

  • @SuzieMahalu
    @SuzieMahalu 3 роки тому +2

    Mambo fireee

  • @salehkhamis3063
    @salehkhamis3063 3 роки тому +7

    Hii vita imeelezwa hadi kwenye vitabu vya dini wala sio magen kwa sisi Waislam imani yetu hizo ni dalili za kiama

    • @hassanjuma2688
      @hassanjuma2688 3 роки тому

      Walio pale si waisrael halisi wale ni khazar from Europe COUNTRIES...taifa la ISRAHELL lilibuniwa 1943 baada ya kikao cha BALFOUR DECLARATION 1917

    • @furahandabadugitse2659
      @furahandabadugitse2659 3 роки тому

      Naam habibi swadakta

  • @kudrachristopher4640
    @kudrachristopher4640 3 роки тому +1

    Mtalaamu 😎

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa Рік тому +1

    Hyuy jamaa anajua Sana historia za kimataifa

  • @abdallahesika8407
    @abdallahesika8407 Рік тому +1

    Ktk vita ya siku 6 kati ya Israel na baadhi ya mataifa ya kiarabu, Israel alipewa Askari, pesa, chakula na siraha kutoka hasa Marekan na Wingereza ndo maan walishinda hiyo vita

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 роки тому +5

    Sio “wanasema, wanasema..” usieleze hivo. Wayahudi waongo. Mababu zao kina nani? Palestine ndio kwao kwanzia wakati na nabii suleiman (Solomon). Na kabla hapo tayari walikuwepo kwanzia wakati wa nabii Ibrahim. Wayahudi maisha yao walikua wakitawaliwa na hawakua na kwao maalum. Hata misri walikuwepo chini ya utawala wa farao

    • @jimmypeter5667
      @jimmypeter5667 3 роки тому

      @ Moza Zagalo; wewe unaongea ulichokaririshwa. Kwani Suleiman alikuwa wa taifa gani kama siyo mhebrania (myahudi)? Wanaoitwa Wapalestina wa sasa ni jamii ya mataifa yaliyokuwa jirani na nchi ya Israel baada ya kuchukuliwa mateka na wakatawanyika duniani hasa ulaya na marekani baada dola yao kuangushwa na hawakuwa na uwezo wa kurejesha taifa lao kwa sababu ya kugawanywa. mpaka walipoamua kulirejesha baada ya kuwa na uwezo.

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 3 роки тому

      @@jimmypeter5667 suleiman alikua muislam. Na wote Ibrahim, musa, isa mpaka mtume Muhamad (saw) walitumwa kufundisha uislamu. Ndio maana utapata yesu (isa) alifundisha katika sinagogi. Yani msikiti. Soma bibilia vizuri Wacha kudanganywa na wachungaji. Yesu mwenyewe kasema yeye ni mtume Lakini wachungaji wanakudanganya ni Mungu. Soma vizuri bibilia na sikiza midahalo (debate) uone ukweli

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 3 роки тому

      @@jimmypeter5667 yesu kwanza alisema “sikutumwa ila kwa wana wa Israel “. Ukisikia “ila” manake hamna kabila nyengine. Nyie leo mnasema eti alitumwa kwenu. Nani kawaambia? Nyie ni wa’israel? Hamna dini ukiristo. Maana ya kristo ni nabii. Iko wazi katika bibilia. Sasa mtasemaje kristo ni dini? Mlipata wapi? Bibilia yasema wakiristo ni jina lilotolewa na wapagani. Yani maana yake ni washirikina manake kusema Mungu ana mtoto kisha hapo hapo museme huyo mtoto ndie Mungu kisha hapo hapo museme Mungu alivaa ubinadamu 😳 hebu tieni akili ndugu zangu

  • @rogersyshemweta6295
    @rogersyshemweta6295 3 роки тому +2

    Ukovizori ndugu

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze Рік тому +1

    Ww na hairuhusikii

  • @lucksonsikaona505
    @lucksonsikaona505 Рік тому +1

    Bibilia gani inayo sema wayahudi niweusi acha kupotosha soma vizuri bibilia hakuna muyahudi mweusi

  • @NIKUMBUKELEO
    @NIKUMBUKELEO Рік тому +1

    Upo vizuri, je mbona kama uongozi wa Tz Una akisi unachosema utawala wa strategic thinker syo great thinker kwa kuangalia chanzo. Je huoni unafeli pale bapo unangalia na kuzungumzia Israel na Palestine wakati kwako kunaungua na Tz ni kwetu kinacho Tu ila kiakili na kimawazo no? Je Tz kiakili na kiroho upo kwako? Mmmh tumepigwa upofu?

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 3 роки тому +5

    Wote wamekutana vichwa ,anaadithia kama anasoma kwenye kitabu hongera kaka .

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 3 роки тому

      Kwani wewe ukisoma,baadae huwezi kuelezea 😀

  • @magrethmkemwa9287
    @magrethmkemwa9287 Рік тому +1

    Dunia ikija kujua Israel ni Taifa la Mungu,alilochagua mwenyewe kwasababu zake mwenyewe ta ngu Ibrahim.Watu someni Maandiko matakatifu mtajua.

    • @philipjey8955
      @philipjey8955 2 місяці тому +1

      Uongo mpotofu...niambie maana ya kuwa na Zionism na Judaism?

  • @paskalmagiri4466
    @paskalmagiri4466 3 роки тому +3

    Chimbuko la Vita Ibrahim kuzaa na msichana wake wa kazi hajir na kumzaa ishmail

    • @benjaminkiteleke8458
      @benjaminkiteleke8458 3 роки тому +1

      Alikuwa mje wa pili. Sara alimony Ibrahim hajira kijakazi wake ile awe mke wa Ibrahim. So Ibrahim alizaa na mke mdogo at mke wa pili. Kasome vizuri maandiko

  • @hassanjuma2688
    @hassanjuma2688 3 роки тому +1

    Wengi wa wanahistoria upande mmoja wana ukweli upande mwengine wanadanganya.Gangana nenda katufate ukweli kuusu ISRAHELL baada ya kuangalia BALFOUR DECLARATION NA MTAFUTE MJEWISH HALISI BWANA RABAH WEIS UPATE UKWELI

  • @barnabasekelobarnabasekelo
    @barnabasekelobarnabasekelo Рік тому

    Jamani jaribuni kuangalia sehemu ilio mwagaka damu ya kif7 n8ngumu kisaha7

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm 3 роки тому +8

    Gangana nawapenda bure,,,maana huyu jamaa namfuatilia sana ,,ananipa elimu ya kutosha

  • @godfreymaebwa4657
    @godfreymaebwa4657 Рік тому +1

    Yaan hawa waarabu vichwa maji kweli yaan kila vita yanapigwa hafu hayakomi

  • @godifalsafa
    @godifalsafa Рік тому +2

    Huyu jamaaa anajua ndio mchambuzi bora wa nchi hii wa maswala ya mikakati na siasa za kimataifa

  • @salehkhamis3063
    @salehkhamis3063 3 роки тому +2

    Hao wayahudi walipigwa sana na hitla ujerumani wamekimbia vita ndipo wakafikia Palestina wakupora ardhi ya watu ndipo wakaanzisha makaazi

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Рік тому

      Rudia kusikila vizuri au ndui imekutia uwendawazimu maanake wabongo wengi vichwa vibovu

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 3 роки тому +1

    Wa Islam wala hatuna tabu sababu tunayafahamu vzr sana tu najua vip mayahud walivo NA wa falastin NA msikit wa Al aksa tena kila kizazi cha kiislam kinapewa mafundisho. Hatuna shida sababu kitabu chet hakijaacha kitu

  • @denyu9975
    @denyu9975 3 роки тому

    Kama watanzania tunakubali sana mnayofany ndungu zetu tutasamza kazi zenu sana pamoja sana Mungu awabariki sana

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 3 роки тому +2

    Palastine ilikuwa chini ya himaya ya Uingereza.Kweli itawezekana wayahudi waje na kujitangazia uhuru.
    Ninavojua,uhuru wamepewa na hao waliokuwa wanatawala.
    Kama ni kujitangazia basi nchi nyingi zilizokuwa chini ya uingereza zingejitangazia uhuru.
    Ndugu yangu king Abdalla wakati huo alikuwa sio mtawala.
    Umesoma Israel na umepikwa vizuri.

  • @ernestndauka9301
    @ernestndauka9301 3 роки тому +4

    Mungu akusaidie Mr. Gangana upate wireless Microphone Ili iweze kusaidia katika interview ndefu kama hizi.

  • @nancewanu6815
    @nancewanu6815 3 роки тому +3

    Walau elimu kidogo hakika sijapoteza mda kabisa kukusikiliza ganganas

  • @fibesolomon926
    @fibesolomon926 Рік тому

    Mungu watetee taifa lako Israel, maana ulimwambia Ibrahimu,Isaka na Yakob

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 роки тому

    Eti ana piga bomu saa moja saa mbili anaongeza kidogo aisee vita si nzuri Mungu haepushe haya mambo

  • @hassanisadiki824
    @hassanisadiki824 3 роки тому +5

    Sio Marekani wameshindwa, Bali Marekani Pamoja na Europe wanamuunga mkono Muisraeli

    • @elijahsolomon7961
      @elijahsolomon7961 3 роки тому

      Hata kama kaka ila Waisrael wanajua tecknick za kivita..

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 роки тому +1

      Wamarekani & Europeans matajiri wakubwa asilimia kubwa wana damu ya Israel, kwa hiyo watake wasitake lazima wawasupport ni kama ndugu

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 роки тому +3

    Lakini Inshaallah wakati unakuja wayahudi watauwawa wote Hadi wakijificha nyuma ya nyumba, ile nyumba itasema yupo hapa njooni mummalize. Ná uislamu utashinda. Ipo kwenye vitabu

    • @zaituniawadhi4044
      @zaituniawadhi4044 3 роки тому +1

      Sahau

    • @edsonndomba1049
      @edsonndomba1049 3 роки тому

      Ndipo Yesu atateremka kukomesha hilo na mwisho wa Almagedon war

    • @bonifaceirungu5594
      @bonifaceirungu5594 3 роки тому

      Hapo ndipo mtatangaza waziwazi kuwa uislamu si dini ya Mungu bali ni dini ya kigaidi iliyoudwa dhidi ya wayahudi

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 3 роки тому

      @@edsonndomba1049 Sasa unakubali yesu hakufa 😂 mwafrika wewe mzungu alivokutesa na bado wampenda. Anakupeleka pabaya 🤪🤪🤪

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 3 роки тому

      @@bonifaceirungu5594 myahudi amepinga yesu na kutaka kumuua. Mzungu aliwateka na kuwafanya watumwa mababu zako. Lakini bado wawapenda na kuwatetea. Mwafrika amka. Fungua macho. Unakataa uislamu Lakini utajuta ukifa bila kuukubali. Ukiristo Si dini. Hamna ushahidi huo katika vitabu vyote ndugu

  • @rosenalucas1906
    @rosenalucas1906 3 роки тому +3

    yoshua 23 - 1 soma yote ukweli huko humuu

  • @zainabuabdul7852
    @zainabuabdul7852 3 роки тому +1

    Muyahudi anasaidiwa na marekani na France wale wamepandikizwa tu kutoka Ukraine na Poland