MWL.CHRISTOPHER MWAKASEGE: KUVAMIWA KWA ISRAEL NI ISHARA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2023
  • TAMBUA NYAKATI KIROHO ILI UWEZE KUJUA KINACHOENDELEA KIROHO KATIKA NYAKATI HIZO.
    Semina Ya Neno La Mungu Iringa, Day 1 2023.

КОМЕНТАРІ • 172

  • @samwelikimaro7802
    @samwelikimaro7802 9 місяців тому +7

    Mungu akuzingire kwa kuta za moto we we na huduma yako na nyumba yako.amina. we love u.master

  • @user-ws4ks2dg9e
    @user-ws4ks2dg9e 9 місяців тому +5

    Mungu akutie mafuta mabichi uzidi kustawi kama mtende

  • @selestiniasenga
    @selestiniasenga 9 місяців тому +6

    Mwalimu wetu ktk kanisa la tanzania ni hzina kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

  • @joyjackson258
    @joyjackson258 9 місяців тому +9

    Mwl Mungu azidi kukupaka mafuta na akupe mafunuo makubwa zaidi . Ukweli tunapokea elimu ya mafunuo🙏🙏🙌

  • @awezayekyando2203
    @awezayekyando2203 9 місяців тому +42

    Mungu mbariki mtumishi huyu ambaye ni hazina kubwa kwa taifa letu la Tanzania

    • @rosemuhandoofficial5676
      @rosemuhandoofficial5676 9 місяців тому +3

      Kwakweli

    • @ainealazaro7321
      @ainealazaro7321 9 місяців тому +2

      Tena ni hazina kwel kweli we proud to him

    • @pascalnicolaus6986
      @pascalnicolaus6986 9 місяців тому +3

      Mungu wa mbingu na nchi atuongezee watumishi wa kweli namna hii na kutupunguzia mitume na manabii wa uongo wanaoongezeka kila iitwapo leo.Ameen.

    • @bonifacebochela4717
      @bonifacebochela4717 9 місяців тому

      Amina

    • @nicolasnzema08
      @nicolasnzema08 9 місяців тому

      KUTAMBUA NYAKATI
      Luka anaandika hiv
      “Enyi wanafiki, mwajua kuutambua uso wa nchi na mbingu; imekuwaje, basi, kuwa hamjui kutambua MAJIRA haya?”
      - ‭‭Lk‬ ‭12:56‬‬
      Mathayo pia anaandika
      “Akajibu, akawaambia, [Kukiwa jioni, mwasema, Kutakuwa na kianga; kwa maana mbingu ni nyekundu. Na asubuhi, mwasema, Leo kutakuwa na dhoruba; kwa maana mbingu ni nyekundu, tena kumetanda. Enyi wanafiki, mwajua kuutambua uso wa mbingu; lakini, je! ISHARA za zamani hizi hamwezi kuzitambua?]”
      - ‭‭Mt‬ ‭16:2-3‬‬
      Hapa tunaona majira ni sawasawa na ishara
      Ishara ni nin bas ? kwa muktaza wa kutambua nyakati#
      Ishara kwa kiswahiliiii sanifu ni dalili au alamaaa au muujiza unatoka kwa Mungu inategemea mukatza wakati unasoma Neno la Mungu !
      Ishara imetumika mara 52 katika bibilia ya kigiriki hivyo ni neno lililotumika sana na mara ya kwanza imetajwa katika Mwanzo 1: 14 ona
      “Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka;”
      - ‭‭Mwa‬ ‭1:14‬‬
      HAPA ISHARA KAMA KIELEEZO CHA KUELEZEA JAMBO LA KIROHO
      Maneno dalili na majira ni tofasiri ya SUV ukiweka kwatika lugha ya asilia yan KJV unaona sign and season
      Genesis 1:14
      And God said, Let there be lights in the firmament of the heaven to divide the day from the night; and let them be for SIGN, and for SEASON, and for days, and years:
      KJV
      SIGN-->ISHARA AU DALILI AU ALAMA
      SEASON--> MAJIRA
      Nukuu ni nying katika bibilia kuhusu ishara nimepitapita mpk kuchukua mistari miwili
      “Mungu naye akishuhudu pamoja nao kwa ISHARA na ajabu na nguvu za namna nyingi, na kwa magawanyo ya Roho Mtakatifu, kama alivyopenda mwenyewe.”
      - ‭‭Ebr‬ ‭2:4‬‬
      HAPA ISHARA KAMA Muujiza unatoka kwa Mungu inategemea mukatza wakati unasoma Neno la Mungu !
      Lakini MUUJIZA AU ISHARA INATAKIWA IMFUNUE KRISTO ILI WATU WAAMINI ona Petro alivyofunuliwa kuhusu muujiza
      “Basi Petro na Yohana walikuwa wakikwea pamoja kwenda hekaluni, saa ya kusali, saa tisa. Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mamaye alichukuliwa na watu, ambaye walimweka kila siku katika mlango wa hekalu uitwao Mzuri, ili aombe sadaka kwa watu waingiao ndani ya hekalu.”
      - ‭‭Mdo‬ ‭3:1-2‬‬
      “Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikatiwa nguvu.”
      - ‭‭Mdo‬ ‭3:7‬‬
      Muujiza au sihara
      “Hata Petro alipoyaona haya akawajibu wale watu, Enyi Waisraeli, mbona mnastaajabia haya, au mbona mnatukazia macho sisi, kana kwamba tumemfanya huyu aende kwa nguvu zetu sisi, au kwa utauwa wetu sisi?”
      - ‭‭Mdo‬ ‭3:12‬‬
      Petro anahubiri kupitiaaa muujiza ili watu wamuamini Kristo
      “Na kwa imani katika jina lake, jina lake limemtia nguvu mtu huyu mnayemwona na kumjua; na imani ile iliyo kwake yeye imempatia huyu uzima huu mkamilifu mbele yenu ninyi nyote. Basi sasa, ndugu, najua ya kuwa mliyatenda haya kwa kutokujua kwenu, kama na wakuu wenu walivyotenda.”
      - ‭‭Mdo‬ ‭3:16-17‬‬
      Bad mahubiri
      “Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;”
      - ‭‭Mdo‬ ‭3:19‬‬
      Alafu aya ya 19 anaawaambia WATUBU ili wapate BURUDISHO AKA ROHO WA MUNGU NDANI YAO
      KUMBUKA ROHO ALIKUWA AMESHAACHILIWA YEYEOTE ALIYE AMINI KUFA NA KUFUFUKA KWA YESU ANAPATA ROHO WAKE YESU
      HOJA UNATAMBUAJE ISHARA KWA NAMNA YA ROHO AMBAYO MTUMISHII MWAKASEGE AMEISEMA?
      Ni kwa njia ya kuamini tu ukiona hutambui mambo ya rohoni ni ishara pia sisi n watu wa mwilini aka watoto wachanga katika imani
      Ndo maan paulo anaandika hiv
      “Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.”
      - ‭‭1 Kor‬ ‭2:13
      Kwaiyo siku utakayo amini ndiyo utapokea Roho ya Mungu nawe utawezaaa KUJUA ISHARA NA MAJIRA KIROHO!
      Ijapokuwa saaa ya wokovu ni sasa hiv
      Ona “(Kwa maana asema, Wakati uliokubalika nalikusikia, Siku ya wokovu nalikusaidia; tazama, wakati uliokubalika ndio sasa; tazama, siku ya wokovu ndiyo sasa.)”
      - ‭‭2 Kor‬ ‭6:2‬‬

  • @MaselinaMkwenda-us4ch
    @MaselinaMkwenda-us4ch 9 місяців тому +6

    Mungu mtunze mtoto wako huyu mtumishi Mwakasege

  • @sayunimnyone-gy1pu
    @sayunimnyone-gy1pu 9 місяців тому +3

    Mungu akutunze mtumishi wa Mungu Wewe ni zawadi kubwa Kyla Tz

  • @robertlameckbabuthegreat683
    @robertlameckbabuthegreat683 9 місяців тому +5

    Mwl Wangu Mungu Akulinde na Kukutunza Zaidi, Mafundisho yako Kuna mqhali yamenitoa na najua yananipeleka sehemu Nzuri

  • @faustinconrad2554
    @faustinconrad2554 9 місяців тому +4

    Ahsante Mungu kwa sababu ya mtumishi huyu

  • @kanaelikanuya7919
    @kanaelikanuya7919 9 місяців тому +6

    Mwalimu unafundisha unaeleweka kwa100% barikiwa sana mtumishi

  • @suzannagibai213
    @suzannagibai213 9 місяців тому +6

    MTU wa Mungu . barikiwa.

  • @mussarukigwa3453
    @mussarukigwa3453 9 місяців тому +1

    Kweli wewe ni Mwalimu kweli kweli MUNGU akubariki sana wewe na Uzao wako kwako Kistoke Kinyonge Amina

  • @UpendoDaudi-iq6hy
    @UpendoDaudi-iq6hy 9 місяців тому +3

    Mungu akutunze mlezi wetu ,,uishi siku nyingi zenye uheri

  • @GraceRichard-rt1ov
    @GraceRichard-rt1ov Місяць тому

    Tunakupenda baba yetu mwl wetu, wewe ndio tunu ya taifa letu❤❤❤❤

  • @priskilayambazi4796
    @priskilayambazi4796 9 місяців тому +9

    Mungu azidi kukutunza baba

  • @linashayo2068
    @linashayo2068 9 місяців тому +10

    Utukufu kwa Mungu.

  • @esteryohan290
    @esteryohan290 9 місяців тому +4

    MUNGU aendelee kuwatunza mtumish

  • @EuniceMwanri-jw9py
    @EuniceMwanri-jw9py 9 місяців тому +2

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @silaleopard7263
    @silaleopard7263 8 місяців тому

    Mwalimu wa dunia Uishii sana Teacher

  • @frankmosha5854
    @frankmosha5854 9 місяців тому +3

    Mungu analo kusudi ya sis kujua

  • @eng.lazarongoro
    @eng.lazarongoro 9 місяців тому +1

    Sema wazungu wametudanganya Sana walipotosha maandiko wakapachika Kataifa kao kakihuni

  • @gabrielygodfrey7815
    @gabrielygodfrey7815 9 місяців тому +7

    Somo la Nyakati na Majira amefundisha sana..Kuna jambo laja naamini

  • @benjamingaliatano7291
    @benjamingaliatano7291 9 місяців тому

    Asante sana mwalimu.. kwa maarifa haya. Mungu wa mbinguni azidi kukubariki

  • @andrewlema6600
    @andrewlema6600 9 місяців тому +2

    Mungu akubariki

  • @GodloveJames
    @GodloveJames 8 місяців тому +1

    To whom be glory for ever and ever. Amen.

  • @user-eg2yv2pn4z
    @user-eg2yv2pn4z 9 місяців тому

    Mungu baba wa mbunguni mbarikimtumishi umzidishie upako zaidi na zaidi

  • @user-pd1xl9ih4q
    @user-pd1xl9ih4q 9 місяців тому +3

    Mungu akupe kushiba miaka Baba, nafunguliwa sana na mafundisho yako.

  • @ZaitunMaji-fj3sq
    @ZaitunMaji-fj3sq 9 місяців тому +5

    This is deep revelation

  • @trivoniakiwango3508
    @trivoniakiwango3508 9 місяців тому +3

    Mungu akupe miaka mia ktk huduma hii ameeñi

  • @rodjassebaseba7974
    @rodjassebaseba7974 8 місяців тому

    Akika tunafarijika na maombi yako mtumishi barikiwa Sana🙏🙏

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 9 місяців тому +4

    Ubarikiw na mungu mtumish umenitoa mahali

  • @ArumeruMlili
    @ArumeruMlili 8 місяців тому

    Barikiwa sana mtumishi, kwa hakika nimebarikiwa sana!!!!

  • @PauloHamza-fh8xg
    @PauloHamza-fh8xg 9 місяців тому +4

    Mungu akutunze mwl

  • @user-qe5oc2pe5n
    @user-qe5oc2pe5n 9 місяців тому +1

    Blessed more Mwlm wetu

  • @abibumbota5160
    @abibumbota5160 9 місяців тому +3

    Mwakasege ni mwalimu anajua sana kutuelimisha akili zetu mbovu tunakua tunafeli lakin kama kutufundisha anafundisha

  • @dpmsauge2321
    @dpmsauge2321 9 місяців тому +2

    Man of god

  • @tonneymadeit3369
    @tonneymadeit3369 8 місяців тому

    Baba baba Mungu akutangulie baba🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @GraceMethuselaNtwale
    @GraceMethuselaNtwale 9 місяців тому +3

    Huyu ni BABA wa kiroho Tanzania

  • @user-qz4bk5zc8z
    @user-qz4bk5zc8z 8 місяців тому

    Mungu awabariki Mwl na Mama Mwakasege.

  • @anglestinailungu9252
    @anglestinailungu9252 8 місяців тому

    Mungu akubariki baba jicho la Tanzania

  • @user-ji8vs9bs2m
    @user-ji8vs9bs2m 6 місяців тому

    Mungu akubariki baba.

  • @ElisafishaMosse-gx5rj
    @ElisafishaMosse-gx5rj 8 місяців тому

    Mungu akuinuwe sana

  • @danielkaaya7111
    @danielkaaya7111 9 місяців тому

    Mtumishi wa moyo wangu Mungu akubariki

  • @tinamwango709
    @tinamwango709 8 місяців тому

    Mungu akubariki sana

  • @user-yu3kg6zl8q
    @user-yu3kg6zl8q 4 місяці тому

    Asante baba ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RamadhanMwinyimvua-ry8yp
    @RamadhanMwinyimvua-ry8yp 9 місяців тому +4

    Ahsante Sana Baba Kwa mafundisho mazuri, japo yanarushwa kipande kidogo tu hata hatufaidi vizuri.

    • @neemayared4165
      @neemayared4165 9 місяців тому

      Fatilia uone live leo upendo TV

    • @ianmeta2177
      @ianmeta2177 9 місяців тому +1

      Tazama upande wa live utayapata yote... full ceremony.

    • @RamadhanMwinyimvua-ry8yp
      @RamadhanMwinyimvua-ry8yp 9 місяців тому +2

      Tatizo nipo Huku nje ya nchi, na makanisa hakuna Kabisa huku omani ndo tabu, na upendo TV sina.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 9 місяців тому

      @@RamadhanMwinyimvua-ry8yp Dah Vipi ukiingilia upande wa u tube

    • @johnjacob5491
      @johnjacob5491 9 місяців тому

      @@RamadhanMwinyimvua-ry8yp ingia you tube andika mwakasege live hapo utapata full package

  • @user-iu5xi1dd9y
    @user-iu5xi1dd9y 8 місяців тому

    Hakika Mungu ni mwaminifu kwa waliomwishia

  • @sesiliasebastian6867
    @sesiliasebastian6867 9 місяців тому +3

    nmeumia sana kujua huu kweli kwa kucheleweshwa

  • @YoelJmwaipungu-dn3ev
    @YoelJmwaipungu-dn3ev 9 місяців тому +2

    Nikweli kabisa huyu baba nihazina ya taifa

  • @johncat4038
    @johncat4038 8 місяців тому

    Mungu awe nawewe milele.

  • @juvencialusimbi8236
    @juvencialusimbi8236 9 місяців тому +1

    Barikiwa mwalim

  • @kingcole60
    @kingcole60 9 місяців тому +2

    Barikiwa mwalimu

  • @anandepallangyo4177
    @anandepallangyo4177 8 місяців тому

    Glory be to the LORD

  • @mikalaizer719
    @mikalaizer719 9 місяців тому

    Asante sana baba

  • @winledlyimo3587
    @winledlyimo3587 8 місяців тому

    Mungu akutunze mtumishi

  • @EliasHamisi-uy7qo
    @EliasHamisi-uy7qo 9 місяців тому +3

    MUNGU MLINDE MTUMISHI WAKO MAANA BADO TUNAITAJI AIFUNDISHE TANZANIA

  • @petermalema5702
    @petermalema5702 8 місяців тому

    Glory To Jesus

  • @georgemushi1846
    @georgemushi1846 9 місяців тому +1

    Ee yesu nakusihi zidi kuonekana kwenye huduma yake

  • @user-gi3ix6fj1f
    @user-gi3ix6fj1f 9 місяців тому +1

    Watanzania tufungue mioyo nà roho zetu ziwe macho kukesha tupate kuyajua haya tuyasikiayo na kuyaona.

  • @marthaayo4980
    @marthaayo4980 6 місяців тому

    Ameneeeee

  • @marykisege2670
    @marykisege2670 9 місяців тому +2

    Amen

  • @noelmtumishi7895
    @noelmtumishi7895 8 місяців тому

    Amina

  • @JoyceJoseph-sy1dr
    @JoyceJoseph-sy1dr 9 місяців тому

    Ni neeema tu ya Mungu

  • @McTabasam
    @McTabasam 9 місяців тому +2

    Ameeen Barikiwa baba

  • @thomastarimo
    @thomastarimo 9 місяців тому +2

    uyu mtumishi ndiyo alitakiwa awe rais wa nchi na nchi yenge kua na baraka za kutosha

  • @febroniamsoma178
    @febroniamsoma178 9 місяців тому +1

    Baba kama Baba

  • @ezekielezekiely8476
    @ezekielezekiely8476 8 місяців тому

    Amina.

  • @saimonlaizer
    @saimonlaizer 8 місяців тому

    God protect your privacy and your family😊

  • @marthaayo4980
    @marthaayo4980 6 місяців тому

    Najiungamanisha n haya maombi

  • @ombenitukabilemo9540
    @ombenitukabilemo9540 9 місяців тому +1

    🎉🎉🎉

  • @user-vj2jz8hp7t
    @user-vj2jz8hp7t 9 місяців тому +3

    Mungu akupe ujasiri, nguvu, uvumilivu nyakati zote baba angu

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 9 місяців тому +1

    Ukweli me bado kaniacha Njia panda. Labda Kama kuna Clip nyingine yenye Maelezo zaidi kuhusu hii Vita.

  • @VicentKayagula
    @VicentKayagula 9 місяців тому +1

    Bwana Yesu tusaidie sana

  • @SalehLoffy-kn6oh
    @SalehLoffy-kn6oh 8 місяців тому

    Hao waisraeli hawawakubali wakristo na wanakupgeni vita lakn wakristo wengi hawasomi vitabu

  • @melisacake5640
    @melisacake5640 9 місяців тому +1

    MUNGU tusaidie

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 9 місяців тому

    Aliyeelewa ni Kitu gani kinachiliwa anifundishe na mimi.

  • @eliudimasebo3999
    @eliudimasebo3999 8 місяців тому

    Wewe ndye unaongea ukweli ten sana sana unatafungua wengi tusio jua

  • @marcelsylvestermasolwa271
    @marcelsylvestermasolwa271 9 місяців тому +1

    Hapo ni akili tu ndio inatumika, hakuna kitu....

  • @user-qn2cy3ih5e
    @user-qn2cy3ih5e 9 місяців тому +2

    Mbn mm nikiangalia inaishia katikati😢

    • @samwelrobeth7763
      @samwelrobeth7763 9 місяців тому

      Hicho Ni kipande kidogo tu chenye dakika 9.ukitaka fully nenda vidmate udowlod fully yenye Zaid ya saa moja

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 9 місяців тому

    To be honest, yule kijana Mbarikiwe anastahili kukinywea kikombe anachokunywa sasa; kumtukana Mtumishi wa Mungu kama huyu jamani 😢

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 9 місяців тому

    Hili somo ni zito sana sidhani kama wanakuelewa ingawa wanakubali alafu unasema mwakasege unaongea nini

  • @SalehLoffy-kn6oh
    @SalehLoffy-kn6oh 8 місяців тому

    Mnasema Eti kuvamiwa kwa Israel wakati Yesu mwenyewe aliwafukuza na nyinyi mnaona wanauhalali wa kuishi nyny mambo yenu mengi mnampnga Yesu na Nabii Mussa aliwalaani aliwaapiza aliwaambia hawatapata Sehemu ya kuishi duniani watahangaika mpaka mwisho wa dunia

  • @lucymsigwa443
    @lucymsigwa443 9 місяців тому +3

    Nashida na mwakasege nampataje😭😭

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 9 місяців тому +1

      Mtafute kwenye namba zake

    • @marymushi3806
      @marymushi3806 9 місяців тому

      @@miltonjohn9779 namba yake ni ipi jamani huyu baba Mungu amuweke tuuu kiukweli

    • @gracemkono1199
      @gracemkono1199 9 місяців тому +1

      Nenda kwenye mikutano yake

    • @nereaigogo4442
      @nereaigogo4442 9 місяців тому

      Fanya maombi ya kufunga na kuomba kwanza ili upate neema ya kumuona

    • @leverimlaki5667
      @leverimlaki5667 9 місяців тому

      ​@@nereaigogo4442kwa nini hayo maombi ya kufunga na kuomba asifanye kwa ajili ya kukutana na Yesu, ambaye ndiye mwenye Mwakasege? Nadhani akikutana na Yesu atapata kikubwa zaidi.

  • @user-hq5qx1hu2x
    @user-hq5qx1hu2x 8 місяців тому

    Tuna uhakika gani kwamba wale wayahudi tunaowaona pale Israel ndo wale wayahudi wanaosemwa katika biblia

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 8 місяців тому

    Israel sio taifa la Mungu ni taifa la makafiri walio ikana iman watu wenye shingo ngumu walio laaniwa na Yesu mwenyewe.ss wakristo tusiofuatilia historia walishatudangaya kwamba ni taifa llilo barikiwa. hiyo ilikuwa zama za kale. wala sio kielelezo cha ukristo. ila usipo kuwa na ufaham utatekwa nao

    • @YothamuMusa-qr9sx
      @YothamuMusa-qr9sx 8 місяців тому

      Haswa ndio ukweli, Israeli ya leo sio lile taifa, bali Israeli ya Mungu Leo ni watu wote walio wanyenyekevu wazishikao sheria zake

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 9 місяців тому

    Aise!

  • @johnrizi5978
    @johnrizi5978 8 місяців тому

    Mimi huwa simwelewi.

  • @charlesngwembele4541
    @charlesngwembele4541 9 місяців тому

    Israel ipi hii ya magaidi

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 9 місяців тому +1

    Israel imekuwa ikivamiwa miaka mingi sana tangia warudi kwao 1948 na sidhani kama uvamizi wa juzi unamaana yote zaidi.Wakristo hawaoni israel wanavyoua watu wasio na hatia ila wao kila kukicha,"tunaiombea israel".Biblia inasema "Muombee adui yako mema wala msilaani" lakini wakristo wa kisasa badala ya kuombea anani kati ya palestina na israel wao ni kuombea israel tu.Waisrael wenyewe kwanza hawaupendi ukristo wanaona waafrika wanavyojipendekeza kwao.

    • @goalpost6753
      @goalpost6753 9 місяців тому +3

      Mapenzi ya mungu SI mapenzi ya wanadamu na ni vigumu kuyajua mapenzi ya mungu kama huna roho mungu hata ayubu mateso yake yalikuwa yanakibali kutoka kwa bwana

    • @ianmeta2177
      @ianmeta2177 9 місяців тому +1

      Haya

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 9 місяців тому

      Soma bible vizr kaka.

    • @checkchannel3876
      @checkchannel3876 9 місяців тому +2

      Mambo ya rohoni yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. Hamuwezi kumlazimisha huyu mtu aelewe ya rohoni kama yeye ni wa mwilini, hata akisoma biblia namna gani huyu hawezi elewa chochote! Atabaki hivyo hivyo mbishi. Kwa hiyo na yeye anapaswa kuombewa afunguliwe macho yake ya rohoni!

    • @rosemuhandoofficial5676
      @rosemuhandoofficial5676 9 місяців тому

      Kwa kweli

  • @MaulidLihendeko-zu4mv
    @MaulidLihendeko-zu4mv 9 місяців тому +1

    Mmeanza kudanganywa

  • @michaelgershon9077
    @michaelgershon9077 9 місяців тому

    ....lakini ule mwisho bado😂😂😂😂

    • @klauslusajo774
      @klauslusajo774 9 місяців тому

      Haijarish lkn ujumbe umeeleweka

    • @michaelgershon9077
      @michaelgershon9077 9 місяців тому

      @@klauslusajo774 wewe ni wale unaua nyoka ukiamini ndio shetani wa edeni, hawa Israel hawamtambui huyo Yese, sijui unafahamu?

  • @eng.lazarongoro
    @eng.lazarongoro 9 місяців тому +1

    Wapalestina wanauliwa na Hawa wahuni wanaongozwa na marekani na uingereza mashetani wakubwa

  • @joshuamtinangi6958
    @joshuamtinangi6958 9 місяців тому

    Mchungaji, tupe ufafanuzi wa kawaida wa kifamilia kuhusu watu ambao asili Yao ni Baba moja ila Mama tofauti na Wana ugomvi wa muda mrefu.
    Mwarabu na Mwi Israel ni ndugu, watoto wa Abraham.
    Moja Mkristo mwingine Mwislam.
    Angalizo .
    MTU toka Misri na Israel kwamwe hawana vita Kwa sababu wanaoleana

  • @ulayaz
    @ulayaz 9 місяців тому

    Lakini Israel haimjui yesu kwa namna ambavyo mnamjua na wala hawatumii agano jipya, hapa kuna tatizo la uelewa yaani walio wengi wanajua waisrael ni wakristo

    • @emanuelmargwe7087
      @emanuelmargwe7087 9 місяців тому +4

      Akuna dini ya ukristo ndugu, Kuna wafuasi wa Kristo. Na ndani ya israel wako wafuasi wengi tu wa Yesu Kristo.
      Usiwe mjinga na kuenenda kibinadamu. Haya Mambo Ni ya kiroho na waislamu hawawezi kuelewa haya mpaka siku ya kiama

    • @barackbrysonramsey
      @barackbrysonramsey 9 місяців тому

      Dishi lako limeyumba. Kwani um3zungumzwa ukristo hapa

    • @HildaPaul-hm4jk
      @HildaPaul-hm4jk 9 місяців тому

      Nani amekuambia utuwambie

    • @thelivingwordchannel9027
      @thelivingwordchannel9027 9 місяців тому

      @@emanuelmargwe7087 Kiroho wewe unakijua au umekalili tu?

    • @favourkimaro5490
      @favourkimaro5490 9 місяців тому +2

      Wafuasi wa Kristo ni israel wa kiroho. Haya mambo yamefichwa kwa watu wenye hekima ya kidunia. Hii ni siri (mystery)

  • @joshuanyamaiswe4327
    @joshuanyamaiswe4327 9 місяців тому +1

    Ole wenu ninyi mnaoweka matumaini yenu kwa walimu wa uongo kama huyu.

    • @EliyaMagiya
      @EliyaMagiya 9 місяців тому

      Funga kinywa chako kama umekosa la kuongea.

    • @EliyaMagiya
      @EliyaMagiya 9 місяців тому

      Acha mtumishi ahubiri neno

    • @christinakilla
      @christinakilla 9 місяців тому

      Tafuta wa kwako wa kweli

    • @evelynekamukuru8246
      @evelynekamukuru8246 9 місяців тому

      ​@@EliyaMagiyayaani tena akifunge haswa,hata kwa super glue,looooh

    • @joshuanyamaiswe4327
      @joshuanyamaiswe4327 9 місяців тому +1

      @@christinakilla wapo wengii Isaya DANIEL, EZEKIEL, HOSEA ambae aliandika watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa ambao ndio nyinyi, YOHANA wa ufunuo kuna YEREMIA n.k

  • @rajabrajab3525
    @rajabrajab3525 9 місяців тому

    Mchungaji inaonekana hujui hata historian israil haikuvamiwa ila wao ndio waliovamia ardhi ya Palestine na kuuwa millions za wapalestina na ujue hao unaowaita waisrail hawaikubali huo ukristo wako

  • @frednandnsakuzi7584
    @frednandnsakuzi7584 9 місяців тому

    Wajinga wa kiimani ni wengi sana Afrika,yaani mtu unasimuliwa kitabu/novel na unakubaliana na anayekutafasiria kabisa?umasikini huu ni zaidi ya ukoma!!

  • @ritchiekings_ke5970
    @ritchiekings_ke5970 9 місяців тому

    The Bibilical Israel is not the same as the current Israel which was discovered in 1948. This current Israel came about after 'the great reset' read history. And read the bible in spirit.

  • @jubilatemoses8547
    @jubilatemoses8547 9 місяців тому +2

    Mungu akubariki

  • @holyboy_midwife7596
    @holyboy_midwife7596 9 місяців тому +1

    Amina