Dr. SULLE:EPISODE 2 || CHANZO CHA MGOGORO WA PARESTINE NA ISRAEL || NANI MWENYE HAKI ZAIDI KATI YAO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • #DrSulle #Zvponlinetv #Tabora

КОМЕНТАРІ • 597

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 3 роки тому +19

    Wazanzibari tunakupenda sana kwa ajili ya Alla shekh wetu, na tunakuomba POPO usimjibu muache Alla afanye kazi yake, ww endelea kutupa daawa tu Dr. Yule tutamzika kwa choyo mwaka huu.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @mindedtipstv9472
      @mindedtipstv9472 3 роки тому

      mmmh

    • @presenterkabuma1646
      @presenterkabuma1646 3 роки тому +1

      Nyie hebu acheni upumbavu,mtu anataja mpaka mashahidi wakubwa kama sheikh kishki,mazinge nk bado mnamwona ni mwongo sio!?
      Mnamtetea kwakuwa hamjawahi kutapeliwa,nyie wala urojo tuulizeni sisi huku wabara tunaeishi nae, tutawaambia tabia zake,ila huko zanzbr huko zamu yenu inakuja ya kutapeliwa,na mlivyokuwa hamjui kuongea mbona mtalia.

    • @issamuhsin4308
      @issamuhsin4308 3 роки тому

      @@presenterkabuma1646 ww kichogo nn

    • @allymukhsin2962
      @allymukhsin2962 10 місяців тому

      @@presenterkabuma1646dk sure tapeli?

  • @wemapaschal2325
    @wemapaschal2325 10 місяців тому +1

    Bila kumkiri Yesu Kristu kuwa ni bwana na mwokozi wa Dunia huwezi kuiona pepo! Hizo zinging ni storyp

  • @eddymatrix8704
    @eddymatrix8704 3 роки тому +46

    Katika vijana wanaojitolea kuhubiri dini hapa E.Africa tena kwa taqwa kubwa sana ni dokta sule..ila tatioz walio na choyo na hasad ninwka sababu dokta sule anajipenda sana ktk maisha yake na anatfta riski halali, kuuza dawa za kisunna katika uislam sio dhambi ata Mtume s.a.w alifanya biashara, uyo mwaipopo badala ya kuwalingania na kuwaponda wanaofanya mapenzi ya jinsia moja(mashoga) eti anathubutu kumponda huhu shekh..Allah atakihifadhi na hasad za walimwengu dokta

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +6

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @zaitunichelaje1029
      @zaitunichelaje1029 3 роки тому +2

      Huyo ni taperi na siyo kila mhubiri ni mkweli ,sule ni tapeli mkubwa na ni mhuni

    • @eddymatrix8704
      @eddymatrix8704 3 роки тому

      @@zaitunichelaje1029 hakuna mkimilifu ktk hii dunia ila si busara kutoleana aibu mana mwenye haki ya kutoa aibu za mtu ni Mola pekee sasa wewe unajivisha cheo cha Mungu

    • @zaitunichelaje1029
      @zaitunichelaje1029 3 роки тому +2

      We ni mshabiki ,mwaipopo yupo sahih ,sule ni mhubir mzur sana ila tatizo ni tapeli sana ,

    • @fareedufahamu8893
      @fareedufahamu8893 Рік тому +1

      @@zaitunichelaje1029 una uhakika ? Haya twambie katapeli wapi na nani alietapeliwa ? Tupe faida tafadhali 👏

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 11 місяців тому +5

    Nilikuwa sijui hizi dini zinafanana sana ila ukweli kabisa waislamu wana elimu kubwa sana na wanasoma sana ni wakati sasa na sisi wakristo tubadilishe mifumo yetu hasa ndoa turuhusiwe mke zaidi ya mmoja

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k 10 місяців тому

      Waislamu wanasoma nini zaidi ya uongo wa Madrasa? Wewe bila shaka utakuwa ni mwislamu unajifanya kujivika kilemba cha Ukristo. Wakristo sio wajinga wengi wanaijua historia vizuri. Uislamu umeanza miaka 600 baada ya Ukristo

    • @Maua-pg5gl
      @Maua-pg5gl 9 місяців тому

      ​@@user-yv7ij4zh4kAllah hakuongoze upate kuitambua haki na huifuate uislam ulianza toka kale kabla ya kuumbwa mwanadamu maana ya uislam ni walio jisalimisha kwa Allah(mwenyezi mungu)

  • @AliOmar-dw4ml
    @AliOmar-dw4ml 3 роки тому +31

    Wacheni Mola aitwe Mola na Muslim ni Muslim,Alhamdulillahi kwa kunijaalia kuwa Muislam,Ameen

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k 10 місяців тому

      Kwa porojo kama hizo za Sheikh Sule...hahahahahhahhahh

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 10 місяців тому

      ​@@user-yv7ij4zh4k porojo zipo kanisani mshenzi sana

  • @flova7022
    @flova7022 11 місяців тому +1

    Yerusalem .. wakristu tunaamn Yesu alisulibiwa na kuzikwa na kufufuka na kufufuka na hapohapo ( Golgotha) ndipo pia waislam wanaamini ndipo msikiti wao wa Kwanza na chimbuko la uislam ulipo yaan...pale ndipo mambo matakatifu..yalipo. easily sisi ni ndugu yaan tunagombania Mali ya Baba yetu Ibrahim..
    Tupendane...huu mzozo hautaisha...Kwa akili zetu tumwachie Mungu sisi tupendane Tu..
    Mkristu mromani nawaambia haya

    • @Muhammad1Suleiman
      @Muhammad1Suleiman 6 місяців тому

      I'la ndg yangu, sio, wakristo wanaogombana kwani hata wayahud, hawataki hata kuwaona wakristu, wayahud wanagombna na waislam

    • @kwangahudispensary7238
      @kwangahudispensary7238 6 місяців тому

      @@Muhammad1Suleiman yaani ni shida kaka , cha msingi ndugu yangu Mihammad tupendane,,dini ya kweli ni kumpenda mwenzio na kumheshimu kwa imani yake,na kumwombea pia katika sala zako bila kujali tofauti za udini wenu,ndio roman twafunzwa hivyo. Easly,,nawapenda waislam wote,,Hata Jews nawapenda .ingawaje Jews hadi leo hawaamn kama Yesu alikuja. Tupendane wana wa Ibrahim babu na baba wa imani kwa dini zote

  • @hanafimkondela9363
    @hanafimkondela9363 11 місяців тому +6

    Alhamdulillah...nimepata Elimu kwa uchache..nakuombea kwa Allah malipo mema Dr.Sule...

  • @swaumumohammed5710
    @swaumumohammed5710 3 роки тому +11

    Shukran shekhe wetu ila mioyo ya waislam imeingia vidonda 😢tumeambiwa umekua tapeli tunaomba tuweke Sawa shekhe 😭

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +4

      Kusema kila Mtu anasema shida kuthibitisha maneno Yake kueni na subra jambo lipo kisheria

    • @jumasalum2677
      @jumasalum2677 3 роки тому

      @@zvpOnlineTv hata Mimi ameniudhi Sana kumchafua Dr sule
      Lakini nadhani hili swala atalilekebisha

    • @rahmaayoub7519
      @rahmaayoub7519 3 роки тому +2

      @@zvpOnlineTv Allah ndie hakim

    • @mukrimkidume44
      @mukrimkidume44 3 роки тому +1

      @@jumasalum2677 kuna mapenzi ya watu na kuna mapenzi ya dini ukipenda dini na Allah ukweli unaposemwa huwezi chukia lakini ukimpenda mtu lazima uchukie

  • @stephenakech7817
    @stephenakech7817 3 роки тому +54

    Mkristo mimi lakini historia haijalishi dini. Ahlhamdulahi!

    • @flova7022
      @flova7022 11 місяців тому

      Ila kutuambia Ibrahim ni muislam anatuibiaa viingilio. Na mkizidi kuamn hivyo mtajiaminisha kuwa hekalu la Yerusalem ni la waislam..kitu ambacho sio kweli...mali ya waislam ni maca Kwa hajiri...na Mali ya Yerusalem ni mali ya Sara Kwan ndipo alipozikwa...asiye elewa hili daily atakuaa anaona WA Palestinians wanapigika maaana wanataka Mali isiyokuwa Yao .

    • @RBSMABATI
      @RBSMABATI 11 місяців тому +3

      Sisi ni ndugu 😊

    • @habibashabani5689
      @habibashabani5689 11 місяців тому +5

      Silimu ndugu yangu allah akupe neema duniani na kesho akhera inshaalah

    • @derickdennis1199
      @derickdennis1199 11 місяців тому +3

      Dini haimpeleki mtu mbinguni HABIBA

    • @allykwaya
      @allykwaya 11 місяців тому +1

      Sote ni Ndugu.

  • @alexlingwendu6780
    @alexlingwendu6780 11 місяців тому +3

    Mimi ni Mkristo Lakini Hakika historia ya hawa mataifa Umeielezea vizuri SAANA.Mungu akupe umri mrefu na maarifa makubwa zaidi

  • @frontdeejay2545
    @frontdeejay2545 3 роки тому +9

    Mashallah a lot of people you don't know the history about what you're talking about may God give you wisdom long age and health thank you so much for the knowledge and thank you so much for the station for hair this

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 3 роки тому +6

    JAZAKA ALLAHU KHEIR SHEIKH DR SULE KWA KAZI (DA’AWA)UNAYO YAFANYA NAKUOMBEA ALLAH AKUHIFADHI KWA UWEZO WAKE ALLAHUMMA AMIIN
    TUNA SUBIRI SEHEMU YA TATU
    IN SHA ALLAH.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Inshaallah shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @rosekimario4976
    @rosekimario4976 3 роки тому +8

    Ishi maisha marefu mnenaji maana nimekusiza sana uko vizuri umenijenga sana

    • @rosekimario4976
      @rosekimario4976 3 роки тому +3

      Natamani kijiunge nawe maana unayosema ni kweli hawa wazungu wanatuaribia ngepewa mamnaka ningeua wakiristo wote wapuuzi sana hawajui Mungu, kiukweli sitaacha kufanya niwe muhisalamu niynganishe nashekhe hapa nijiunge namanisha

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 11 місяців тому

      Umemuelewa au nawe ni muislamu?? kama wewe ni muislamu lazima utamuelewa ila sisi wakiristo hatumuelewi kabisa tunaona anapuyanga tu hapo

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 10 місяців тому

      ​@@ramadhanmahongole9293Kwani nani kakauita huku au shobo

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k 10 місяців тому

      @@ramadhanmahongole9293 huyo sheikh ni muongo anawadanganya wasiojua historia. Anataka kuwaaminisha watu kwamba Dini ya Makureish inahusiana na Wayahudi.
      Mtu kaanzisha Dini yake Makkah miaka 600 baada ya Kristo eti ndio aje awadanganye watu kwamba ibrahim alikuwa ni mwislamu. Njia ya mwongo ni fupi

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 роки тому +13

    Alhamdullillah nimesikiliza part 2nasaha nzuri sana 😘😘

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @tresorkinyeshe6965
    @tresorkinyeshe6965 2 роки тому +5

    Mashallah cheikh wangu nakukubali sana nakuombeya kwa mwenyezi mungu akulinde n'a akuzidishiye zaidi elimu Yako cheikh

    • @AshaMashaka-uf6nl
      @AshaMashaka-uf6nl 11 місяців тому

      Frtvvvvvvvgvvv

    • @johnb1842
      @johnb1842 10 місяців тому

      Mimi nauliza ni vipi Ibrahimu awe muislam ilihali uislam ulianza na Mohamad mwaka 610 baada ya kristu na Ibrahimu aliishi miaka mingi kabla ya kristu? By the way, ni kweli kabisa kuwa Iblahim hakuwa Mkristu maana ukristu umekuja baada ya Kristu

  • @issahhbmt6709
    @issahhbmt6709 3 роки тому +8

    Maashallah kiongozi wetu mungu akuweke tuzidi kujua historia ya kiisilam

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @jumaamsuya5
    @jumaamsuya5 Рік тому +5

    Upo sahihi maalimu allaah akulinde Isha allaah

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 3 роки тому +11

    Allah akupe umri mlefu sheikh dr Suleiman kwa ku2gea elmu bila malipo

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @paulbayser5182
    @paulbayser5182 3 роки тому +2

    Mm mkristu lakin nimekwelewa Sana Dr sulle ,uko fiti Sana mzee umezungumza ukweli

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @user-jg8yq8pm2y
    @user-jg8yq8pm2y 6 місяців тому

    Allah akulinde yani nikimsikiliza uyu shekhe nakubwa na uoga namuomba Allah anijalie kizazi chenye din na iman amina❤❤❤

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 роки тому +8

    Nshaingia mm Ni mkristo ila nakuja kujifunza tu

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +2

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      @@zvpOnlineTv Asante Sana

    • @arthurnuhu8570
      @arthurnuhu8570 3 роки тому +1

      @@gosbertmuta5421 karibu sana kujifunza
      ALLAH akuongoze katika njio iliyonyooka
      In shaa ALLAH
      ukipenda kujuwa mengi account ya Facebook yangu ni Issa Moussa Arthur utaonana picha ya mtoto mdogo weupe iko na kafimbo kumdomo ,tutawez kujadiliana na kuulizana maswali ,in shaa ALLAH kwa ruksa la ALLAH tutawez kuyajibu

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      @@arthurnuhu8570 amen

    • @arthurnuhu8570
      @arthurnuhu8570 3 роки тому +1

      @@gosbertmuta5421 ama wewe unipe account yk ya Facebook nikutafit

  • @amonbwanakunu910
    @amonbwanakunu910 10 місяців тому +5

    Katika maneno yote Aliyosema Dr Sulle, Nakubaliana naye Katika yote aliyoyanukuu Kutoka Katika Biblia Takatifu, Kuanzia baadhi ya Mitume na manabii aliowataja, Hata pia Hivyo vitabu vitano alivyovinukuu Kutoka Katika Biblia Takatifu vipo, Lakini kuhusu Aliyoyanukuu Kutoka Katika Quran Tukufu sina cha kusema kwa sababu sijawahi kuisoma,, Lakini naamini Quran Tukufu nacho Ni kitabu Cha Mwenyezi Mungu kama ilivyo Biblia Takatifu,,Lakini kuhusu mgogoro wa Israel na Palestine ukiachana na Sababu zilizopo kwa Sasa na zinazojulikana Duniani, Mimi ndo nazifahamu hizo hizo Kama wengine wanazozifahamu" Na sidhani Kama kuna sababu Nyingine za Chanzo cha mgogoro huo ukiachana na Sababu zilizopo kwa Sasa"

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 9 місяців тому

      Weka sawa kidogo maelezo yako.
      Hakuna kitabu katika vitabu vinne vya MwenyeziMungu kinacho itwa Biblia.

  • @erickochara3361
    @erickochara3361 10 місяців тому +1

    Huyu mtu yuko vzuri kichwani aisee! Mungu ambariki sana

  • @abuukilanga2249
    @abuukilanga2249 3 роки тому +10

    ALHAMDULILLAH. ALLAH AKUJAALIE MWISHO MWEMA

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +2

      Walillahil-hamdu shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 3 роки тому +8

    MashaALLAH mungu akuzdishie umri utufunze mengi inshaallah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @otwonamakosh8341
    @otwonamakosh8341 3 роки тому +7

    Umeubiri Na kuutetea ukristo "mungu wa isaaka"

    • @busta_malik5971
      @busta_malik5971 3 роки тому

      Kenge ww otwona makosh

    • @flova7022
      @flova7022 11 місяців тому

      @@busta_malik5971 matusi yanatoka wapi...Kwan ni uwongo isaka sio chimbuko la ukristu..?

    • @NunuKupela
      @NunuKupela 11 місяців тому

      Vyote vimeelezwa kwenye Quran tukufu
      Tofauti yetu ni km Palestine na Israel , waislam tunazingatia Quran kwasabab mtume Mohammad ni nabii wa mwisho hivyo tourat injil na zabur tunasoma tu lakin watu ni waislam

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 3 роки тому +12

    Maa shaa Allah, jazzakallah khayran

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +2

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @radhiaomary5591
      @radhiaomary5591 3 роки тому

      Ahsante, Allah ataibariki channel hii

  • @omarysaidy5524
    @omarysaidy5524 3 роки тому +4

    Duh nilitaka nikuone ukiongea nawapnd wote masheikh napnd darasa zenu sana Allah akuongozeni akujalieni kilala kheiri

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @gastormichael7677
    @gastormichael7677 3 роки тому +6

    Allah akubariki... Akupe maisha marefu.

  • @ashahemed9843
    @ashahemed9843 3 роки тому +11

    Maashallah nilikuwa naisubiri kwa hamu hii darsa
    Allah akutanguliye

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @sulimanmasoud9337
      @sulimanmasoud9337 3 роки тому

      Mgu akubarik

  • @zubedamustapha7256
    @zubedamustapha7256 3 роки тому +5

    MashaAllah MWENYEZI MUNGU akupe umri mrefu na makazi mema JANNAH. kweli umejaaliwa kutoka kwa ALLAH. YARABBI mjaalie kila la kheri Dokta SULLE

    • @saidimnyani3330
      @saidimnyani3330 11 місяців тому

      Kipaji Cha Hali ya juu Sana, wenzetu wangekuwà na waalimu Kama hawa wangetamba sana

  • @user-py9ht4oe3d
    @user-py9ht4oe3d 9 місяців тому

    Asante sana mungu akupe maisha malefu

  • @khalidndayizeye3639
    @khalidndayizeye3639 3 роки тому +5

    Tunakupnda sana Cheikh wetu unatupa elimu tosha

  • @allymukhsin2962
    @allymukhsin2962 10 місяців тому

    The fact that hi clip imepostiwa toka miaka miwili ilopita na bado mpka mwaka hu waisrael na wapalestina wako kwenye vita vizito it prove everything may allah grant them all jannah who died for the battle field in Palestine 🇵🇸 Ameen

  • @subiraabdallah5697
    @subiraabdallah5697 9 місяців тому

    Mashaalah allah akupe umri mrefu zaidi Dk Sule ili utupe elimu zaidi

  • @khatibukhalid1563
    @khatibukhalid1563 10 місяців тому

    Allah akulipe shekh nimekuelewa et

  • @shaibunachuli4259
    @shaibunachuli4259 3 роки тому +8

    Allah akuzidishie dr suleiman.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @famitoissa5706
    @famitoissa5706 3 роки тому +5

    Nipo hapa Maputo nilikua naisubiri atimae imekuja asante sana

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @ramanolmwilax2520
    @ramanolmwilax2520 3 роки тому +4

    Mashallah allah akujaalie mwsho mwem na pia utufundsh dini yet#dr sulle

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @masindelubengo4129
    @masindelubengo4129 10 місяців тому

    Uko vizuri sheikh Dr Sulle! Ila naomba kuuliza, je Uislamu na Waislamu walikuwepo kabla Mtume Muhammad SAW HAJAZALIWA?

  • @mohdmahmoud2879
    @mohdmahmoud2879 3 роки тому +2

    Mashallah nakukubali sn sulee ao wanaokuchafuwa wanapoteza mda sisi tunakuwamini unapeleka uislamu mbele

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @thomasschone4134
    @thomasschone4134 3 роки тому +1

    Mazinge unaruka aya acha kupotosha watu unaruka aya kumbuka I rayon alivyofiia kaanani mungu akamtokea ktk njoz na mungu akamwambia nchi hii nitakupa mungu alikua akimuahid kumpa nchi hiyo yeye na hata uzao wake.acha upotoshaji unarukaruka aya

  • @zayanaduduna1405
    @zayanaduduna1405 3 роки тому +11

    SWALALAHU ALEYHI WA SALAMA 🇧🇮🇧🇮❤️❤️🇸🇦🇸🇦🇸🇦

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 роки тому +6

    Mashallah ❤️naumia navoona wtu wacheche wanaokuchafua doct sulle😭

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +2

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @zaitunichelaje1029
      @zaitunichelaje1029 3 роки тому +1

      Kumwambia ukweli kama ni tapeli ,subiri akutaperi ili uamini,maneno yake ni mazuli ila ni taper

    • @khdigahk4246
      @khdigahk4246 3 роки тому

      @@zaitunichelaje1029 aliwai kkutapeli au ushabwanda tu kutoa dawa Kuna itakufaa au isikufae ndo utapeli acheni izo kumyooshea Kidole mtu wakat vingine vipo vinakugeukia mwenyewe na hata km tapeli Kaya fanya mengapi mema mimi na ww tumefanya nn katika hii Dunia chefuuuuu

    • @asiliyakechuma4319
      @asiliyakechuma4319 3 роки тому

      @@zaitunichelaje1029 mkundu unakuwaxha

    • @zaitunichelaje1029
      @zaitunichelaje1029 3 роки тому

      @@asiliyakechuma4319 Shukran Allah akurehemu

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 3 роки тому +4

    Doctor Sule we fanya kazi ya Alah achana na watu wenye hasadi,pia maneno ayaui,me nakukubali vibaya mno mti wenye matunda ndo unaotupiwa mawe

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +3

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @zaitunichelaje1029
      @zaitunichelaje1029 3 роки тому

      Sule dini anaijua ila ni taper na. Ni mhuni sana ,siyo muaminifu

    • @jumasalum2677
      @jumasalum2677 3 роки тому

      @@zaitunichelaje1029 kwahio tukusaidie nini

    • @sadathboutique6253
      @sadathboutique6253 3 роки тому

      @@zaitunichelaje1029 Alikutapeli nini acha hasadi wewe,iyo yote wivu tu

    • @masala8099
      @masala8099 3 роки тому

      @@zaitunichelaje1029 ww mbona ulifilwa ccm kilumba 2015 hatukusemi

  • @mariamodeka-pc1nd
    @mariamodeka-pc1nd 10 місяців тому

    Allah akuzidishie elm

  • @CaptainFaudhiTz5383
    @CaptainFaudhiTz5383 Рік тому +2

    Al Hajj Doctor Sule unaipambania din ha Allah S.W, malipo mema yaja Kwa waja wema waipambanio dini yake

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k 10 місяців тому

      Hata kwa kutumia uongo sio? Ila taqiya inaruhusiwa kwenye uislamu. Hapo ni sawa

  • @abdulkandenyakandenya9915
    @abdulkandenyakandenya9915 Рік тому +3

    MASHA ALLAH Dr sule Allah akupe umri ndefu saaan

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 11 місяців тому +1

    Kwenye Ardhi Apo Nimekuelewa Sana Sana Ukitaka Amani Ya Nyumbani Kwako Ipotee Kata Ardhi Uza Na Anaenunua Aje Kujiona Kama Yeye Ndio Aliekuuzia Wewe Amani Ya Nyumbani Itayumba2 Watanzania Tujifunze Kutoka Israel Na Palestina Usiuze Ardhi Kwa Wageni Kuuza Ardhi Kwa Mgeni Nisawa Na Kuwa Na Taifa Moja Lakini Ndani Yake Utakuta Mataifa Ni Hatari Sana

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 3 роки тому +2

    Pamoja Sana sheikh wangu dr.sule
    Tanzania one katika historia
    Mungu akulipe linalo stahili juu yako
    Na kazi yako ya kuisomesha dini ya Allah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @hadijanangali8895
      @hadijanangali8895 11 місяців тому

      Alhamdulillah nimeelewa pakubwa

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 роки тому +2

    Dr shida yako huo utapeli tu, lkn historia ya ulimwengu imelala kichwani, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 Рік тому +2

    Mashaallah nimejifunza somo zuri

  • @user-dq9yd7hx3y
    @user-dq9yd7hx3y 11 місяців тому

    Ushauri wangu zungumza kiswahili kitupu usisome hizo aya kwavile hujasoma unakosea sana alaf inakua rahisi kwa watu kukujua kua hujasoma.

  • @safiunamugen2523
    @safiunamugen2523 3 роки тому +3

    Masha Allah..Allah akuzidishie umri uendelee kutufunza na kutupatia elim

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @mwanaidimbwanamwakuro5884
    @mwanaidimbwanamwakuro5884 11 місяців тому +1

    Mashallah shekhe Mungu akupe umri mrefu na afya njema na mwisho

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 11 місяців тому +1

    Nimejifunza pakubw kuhusu maada hii,Allah akupe maisha marefu

  • @sharifumussaalaadabiy9001
    @sharifumussaalaadabiy9001 3 роки тому +16

    Masha Allah kk yetu ktk dawa

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +4

      Mwamba anaendelea na kazi Ya kumtangaza Allah

  • @khalidharuna7452
    @khalidharuna7452 11 місяців тому +2

    Allaha awape shifaa walio umiya palestina wajaliye ushindi sifa zote nizako Allah

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 роки тому +2

    Vitu Vyenye Kuusu Imani Mue Mnaeka Alaka Kwenye UA-cam Za Kudailodi Mana Izi Ni Imani Sio Mziki Wa Mtu Mmoja Ambae Mumchukie

  • @maryammamuu4206
    @maryammamuu4206 3 роки тому +11

    Jazallahkheri 📿

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +2

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @SsAa-by2ty
    @SsAa-by2ty 3 роки тому +4

    Allah akuhifadhi amir wetu

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @BlandinaMassawe
    @BlandinaMassawe Рік тому +1

    Asante historia nzuri mungu azidi kukuweka

  • @farusaimon3490
    @farusaimon3490 3 роки тому +1

    Tafadhali Sheikh, binafsi ningekuomba utoe ufafanuzi juu ya tofauti kati ya Wayahudi na Waisrael, kama ipo. Chondechonde!

    • @msangiramadhan1911
      @msangiramadhan1911 11 місяців тому

      Israel ni taifa ila wayaudi ni Moja ya kabila za Israel pia Kuna uyaudi wa Imani yakidin.. hope Kwa uchache umenielewa

  • @amedealigora6764
    @amedealigora6764 3 роки тому +4

    Allah e melhor,Dr:sulle Allah ti facilidar a sua vida modana e vida futuro.

    • @amedealigora6764
      @amedealigora6764 3 роки тому +2

      💛💛💛💛💛💛💛allah akibar meu sheike você tem muito palavra limpa e melhor

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Inshaallah

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +4

    Shukran Sana kwa kutupa mawaiza

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @ibrahimbarisa9510
    @ibrahimbarisa9510 3 роки тому +2

    Shukran ndugu yetu tunaomba nasi ututembelee huku Kenya tunatamani dawa zako za kisssuna kama vile V24

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Tutakufikieni Inshaallah

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 11 місяців тому

    Na sisi wakristo turuhusiwe tuoe wake wa3 au wa4 mmoja hatoshi kwenye hilo nimekuelewa vizuri sheikh

  • @flova7022
    @flova7022 11 місяців тому

    Hekalu la Yerusalem ndipo kaburi la Yesu lilipo... Golgotha ndipo ilipo...na waislam wanaamin hekalu ni msikiti wao wa Kwanza..duu..
    Mm nnachojuaa Yerusalem alizaliwa na kuzikwa Yesu Kristu.

  • @johnmangal5670
    @johnmangal5670 10 місяців тому

    Asante sana Dr. Sulle

  • @muharramhamisi5140
    @muharramhamisi5140 11 місяців тому +1

    Mashaallah sheikh mungu akupe elimu zaid ili tufaidike na elimu yko ...nakufuatilia tokea mwanzo mwalim hasa hiki kipnd cha vita vya Palestina na israel

  • @mwanaidiathumani5930
    @mwanaidiathumani5930 3 роки тому +2

    Mashaallah shekh!! Allah akulipe kwa elmu but tunaomba elmu ya dini muwe mnaweka mapema clip jaman!! Uislam raha san hakun mkristo anaeweza kutoa elimu hiii abadani

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @sungurarichard263
      @sungurarichard263 3 роки тому

      Ukristo hauna stori za kutungwa kama hizo biblia ilishamaliza hadithi zote za manabii na mitume

  • @MouryannMachasio
    @MouryannMachasio 10 місяців тому

    n vizuri qwa helimu bali imani ya mtu itavaki kuwa imani yake

  • @djramsoyusuph9661
    @djramsoyusuph9661 3 роки тому +2

    Raha sana yaan Mungu akubariki

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @user-gi4ls3bh3l
    @user-gi4ls3bh3l 3 роки тому +1

    Shukran sekh wangu babangu Allah akupe umri

  • @apostlesammymutachicfc.3744
    @apostlesammymutachicfc.3744 11 місяців тому

    Hii nakubaliana nawe Sana ndugu yangu, kwakweli umeshiba ilimu na dini, kunawakatinnilitaka kusunumgumza nawa, but sikupata bahati.

  • @praygodmbowe1465
    @praygodmbowe1465 3 роки тому +2

    Me ninachujua hii imani ya kiislamu ilikuja mwaka wa 500 baada Kristo kuwepo na kuhubiriwa sana na mitume wake wale kumi na mbili kwamba kafufuka na anaishi na mwokoz wa ulimwengu kwa atakayemwamin… hii iman ilikuja kuibatlisha iman ya kikristo Antichrist, kupinga tuuuu.. Waislamu hamna chenu geuken ktk iman ya kumwamini Bwana YESU

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      MANENO YAKO MAZURI LAKINI YANAPATIKANA KITABU GANI

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 11 місяців тому

      Uwisalimu ulikua tangu Adam kumbwa kama hujui hata yesu ni muisilamu soma bibilia

    • @jakuabdull34
      @jakuabdull34 11 місяців тому

      Kama ww unajua hivyo bac hujui kitu

  • @huseinmwandwani1909
    @huseinmwandwani1909 Рік тому

    Historia ya Palestine 🇵🇸 vs Israel 🇮🇱 ni ndefu sana Dr Sulle ana base sana kwenye Dini kuliko uhalisia wenyewe hivyo kuifanya historia hii kuwa na mapungufu sana

  • @fidesthadey5305
    @fidesthadey5305 10 місяців тому

    Nilikuelewa MWANZO lkn happy MWISHO umepuyanga....Ibrahim ni Mkristu pure🎉

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k 10 місяців тому

      Ibrahim alikuwa ni Mcha Mungu na baba wa imani. Wala hakuleta Dini yoyote Duniani maana Mungu hakuleta dini yoyote Duniani. Hizi dini zote zimeletwa na Wanadamu tu lakini hata Yesu Kristo hakuleta Dini ila alitaka watu wote wamwamini na kumwabudu Mungu kupitia yeye.
      Story za Ibrahim alikuwa mwislamu ni za uongo zilikuja kutungwa na Muhammad mwenyewe ili watu wamwamini lakini wala havina uhusiano wowote.

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому +3

    Quubat la njano au gold si nyumba ya Mayahudi ni Quubat sakhraa Dome of the rock ni msikiti unaoswaliwa na waislaam hususan wanawake ndani mna jabal alilosimama mtume wetu Muhammad S.a.w wakati wa kupaa kwenda safari yake ya miraaj yeye na malaika Jibriil a.s

    • @ramadhanitawaqal8958
      @ramadhanitawaqal8958 3 роки тому

      soma historia vizuri

    • @aishasaid6749
      @aishasaid6749 3 роки тому

      @@ramadhanitawaqal8958 hata wew kasome mm nakwambia kitu nna uhakika nacho sasa kam kusoma hata wew ni wajibu wako kazi ya ukaidi tuu

  • @suhel5209
    @suhel5209 3 роки тому +2

    Nakupenda sheikh wangu sana,lakini hayo mambo ya madawa na mafuta nasaha nakupa yawache

    • @habibashabani5689
      @habibashabani5689 11 місяців тому

      Shekhe kufanya biashara c kosa maana muhammad (saw) pia alikuwa mfanya biashara maana akiamuwa kuwaomba mtasema shehe kawa omba omba

  • @imanimussa6256
    @imanimussa6256 10 місяців тому

    Huyu mtu huyu dr. Sule anajua historia mpk anakera namuelewa vzur sana sasa

  • @mudytandiko4698
    @mudytandiko4698 11 місяців тому

    Allah akupe umri mrefu uzid kutujuza inshallah

  • @simonshija4140
    @simonshija4140 9 місяців тому

    Hapo sasa nnimekuelewa Dr.Sulle, hivyo kwa mantiki hii hizi dini za Kiislamu na ukiristo ni imani zinazohusi Waarabu na Wazungu. Waafrika hizi dini siyo zetu tunafuata mkumbo tu. Kuanzia leo siamini tena hizi dini tunaibiwa hela tu. Turudie imani zetu za jadi

  • @athumaniomary1245
    @athumaniomary1245 3 роки тому +1

    Mashallah historia mzuri yenye mafunzo ndani yake

  • @jacobnorbertchenga9465
    @jacobnorbertchenga9465 3 роки тому +2

    Halafu utasikia kikundi Cha watu wachache Wana muita Dr Sule Tapeli .. Kama mnatofauti zenu masheikh ziwekeni sawa huko nyuma ya Panzi.

    • @jacobnorbertchenga9465
      @jacobnorbertchenga9465 3 роки тому +1

      Kama ulihitaji Dawa kwa Dr Sule na haukupona ikutoshe Tu kuwa aponyaye Ni yeye Allah na Dr Sule yeye anauza dawa Tu , hata madaktari wenyewe wanafanya upasuaji na haukamiliki 100%.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @tedngowa2559
    @tedngowa2559 10 місяців тому +1

    Musa alikua Myahudi na hakua mpalestina,hata kina Daudi, Suleiman na Yesu Wote walikua Wayahudi na waliishi Israel....jina Palestina lilikuja juzi lakini sisi waafrika tunajifanya kujua na fuata Mambo ya wazungu na waarabu....

  • @allymahinda088
    @allymahinda088 11 місяців тому

    Mungu akulipe Zaidi kwa elimu unayoitoa kwa faida ya wote ukweli tuujue

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому +2

    Kabisa nabi Isa ndiye atawatowashayi awowote ashasema halitasaliwa pale jiwe ambalo halikucagulia musikiti niwa waisilam papa yuko na adabu kuliko wangine wakristo anajuwa kila haki niyawaisilamu

  • @johnb1842
    @johnb1842 10 місяців тому

    Dr Sulle kuna mengi ya ukweli umesema lakini kuna sehemu umepotosha. Ni kweli Ibrahimu hakuwa mkristu, hapo ni kweli kabisa na sidhani kama kuna mkristu anaejua dini atasema Ibrahimu ni mkristu lakini Ibrahimu pia siyo muislam maana Islam ilianza waka 610 baada ya Yesu. Ibrahimu iliishi miaka mingi kabla ya Yesu

  • @allyrashid3732
    @allyrashid3732 Рік тому +4

    MaShaAllah!!

  • @saumusaid7825
    @saumusaid7825 11 місяців тому

    Mashaaallh mashaaallh allh akujaze kheri ❤

  • @huseinmwandwani1909
    @huseinmwandwani1909 Рік тому +1

    Ukweli ni kwamba hawa manabii wa zamani haukuwepo ukristo wala uislamu Ibrahim alikua mtumishi wa Mungu tuu wala hakua mkristo wala muislam maana hizi dini zilikua bado

    • @costantinongulo6772
      @costantinongulo6772 11 місяців тому

      Fact kabisa

    • @costantinongulo6772
      @costantinongulo6772 11 місяців тому

      Hata mm najiuliza hapa kama wayahudi walinunua mashamba wajenge Palestine je kwao ni wapi taifa Lao ni lipi na ipi ni ardhi yao maana tunaambiwa wanatoka makabila 12 ya yakobo

    • @jescalaurent3183
      @jescalaurent3183 11 місяців тому

      Kabisaa

  • @selemanmaona5812
    @selemanmaona5812 Рік тому +1

    NASHAURI WAISLAM WENZANGU TUCHANGE KILA
    NYUMBA ILI DR SULE ANUNULIWE GARI IMARA BBENZI AU VYET ILI ATEMBEE TNZANIA MZIMA
    KUTOWA MAFUNDISHO KWA WOTE WASLAM NA WAKRISTO BADO TUPO CHINI
    YA UELEWA JAMANI DR SULE ALINDWE MZEE MAONA TOKA LNDI KK NIPO TAYALI KWA MCHANGO

  • @maryamm3738
    @maryamm3738 10 місяців тому

    Shekhe uko vizur mashaallah❤

  • @koyangadiscoveryresources1720
    @koyangadiscoveryresources1720 10 місяців тому

    Ibrahim ni myaudi yesu ni myaudi hakuna wakristo wala muisilamu

  • @saidahashim9229
    @saidahashim9229 3 роки тому +1

    Allah akupe kheli uzidi kituelimisha

  • @nowelaraymond5986
    @nowelaraymond5986 Рік тому +1

    Asante sana🙏🏻🙏🏻

  • @mutibukasamuel3640
    @mutibukasamuel3640 Рік тому

    Hapo Sule ume sema uwongo kwa sababu kipindi cha mfalme wa nabukadneza hapakuwepo misikiti . Zilikuwa sinagogi misikiti imekuja baada ya miaka 500 yesu hayupo. Wewe rudi uka bukuwe.

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 11 місяців тому

      Ww wacha unafik fungua bibilia utaona sinagogi ni msikiti mana yake someni bibilia utaona wacha ubishi kusoma husemi

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 11 місяців тому

    $sheikh Mbona history yako iko tofauti na biblia

  • @abdulihsan3137
    @abdulihsan3137 3 роки тому +7

    وَاِذْ قَالَ مُوْسٰى لِقَوْمِهٖٓ اِنَّ اللّٰهَ يَأْمُرُكُمْ اَنْ تَذْبَحُوْا بَقَرَةً ۗ قَالُوْٓا اَتَتَّخِذُنَا هُزُوًا ۗ قَالَ اَعُوْذُ بِاللّٰهِ اَنْ اَكُوْنَ مِنَ الْجٰهِلِيْنَ