Hongera DC, hii ndo tunataka si mtu anakuja na wazo la machinga. Yaani Mkuu wa Mkoa unaona jambo kubwa ni kufukuza machinga. Ama kweli maono ya viongozi wa Tanzania!
Dada Valena..... umefikiria mbali sana na SIJUI kama wengi tumekuelewa. Hebu fikiria ..... gari hilo liko kwenye foleni UHASIBU Mtoni kwa Azizi Ally; kuna Daladala kuelekea Mbagala na Magari yanatokea BANDARINI; kuna kituo Cha mafuta pale na wakati wa Asubuhi au jioni watu wanarudi nyumbani 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Kazi iendelee tu, askari aliekamata shehena ya madawa ya kukevya lindi ametumbuliwa, maana yake inatuletea picha madawa sasa yanaingia kwa kasi kuja kuwaangamiza ndugu zetu lkn kuna msaada kutikea ngazi za juu na sasa uwizi ujambazi umerusi kwa kasi ya 🛩 jet, tulizoe kuona miradi ya maendeleo lakini tunajionea habari za uhujumu uchumi tu mwanzo mwisho, haya mana kazi inaendelea.
@@davidcurtis8556 Ndio uchumi wenyewe wa kina samia na Kikwete uwo , madawa , rushwa, ujambazi , polisi kupokea rushwa ,, kukwepa kulipa kodi , hawajali kama hospital hakuna madawa au kama nchi inajenga misingi ya kweli ya kiuchumi , yale madawa yalikamatwa mtwara mlikuwa na share yake mule , ndio maana cloves zinavuka walioyakamtwa wanatumbuliwa , bila aibu wala woga
Wanawake wanaweza kazi👍 wacha watuongoze tu, midume haifai ni mijizi sana wamezoea kuiba na kufanya starehe tu hawana huruma hata kidogo. Lkn wakina mama wanakua na huruma sana.
umeongea point bora wa mama kuliko midume mama ni mwenyewe huruma na bidii tusibishane mtandaoni, waongeze wamama serekalini, mwanamke akijua wewe ni mwaminifu hawezi ku saliti Jaribu kumuonyesha zarau atakuzingua Sasa apo serekalini mwanamke atakuwa na musimamo kwajili ya wale wazee Wana penda kula Bata na michipuko Waka ndo, angekuwa midume ndo apewehizo ripoto hangefanya hivo yeyenae angeushisha kwenye dili mafuta ingezidi kunyonywa.
Acha ujinga ww MAMLAKA ZIPO HIYO SIO KAZ YA MKUU WA MKOA SASA POLISI,DCI,TPDC INAFANYA KAZI GANI SIO KILA KITU MKUU WA MKOAA BADILIKENI KUNA MAMLAKA HIZO NDO KAZI ZAKE.
@@aishaalbalushaishabalush8291 kwani unahisi kwamba jambo hili limeanza Jana huu mtandao kitambo mbona jpm hakuliona hilo anakua mkali wenzie walikua wanapiga tu sio apo tu watu walikua wanatumia advantage yake ya ukali kupiga hela
@@elephantachaman2347 nafahamu suwala hilo lilikua la muda kabla hata ya maghuful ila viongoz wamaghuful ndi wamegundua hili suwala nadhani linamiaka hata 20 ila nasema tu angekuwepo mwenyewe mwenye uchungu na inchi yake mama angepewa cheo kubwa na ulinz mkali maana kajitahid kufanya kazi ya kizalendo ila kwa samia unaeza ona huyo mama katumbuliwa maana wote wanao kamata biyashara haram keshawatumbua
Hamna hata mnayemkomoa,,nyinyi wezi,,kila kipatikanacho nje ya halali ni upepo tu! Mtaondoka duniani,,watoto wenu watavitapanya tu,,sababu hamkuwafundisha namna ya kutafuta,,mliwajazia!!vitarudi kulekule,,kwa maskini!!"Hakuna baraka endelevu,,,mahali ambapo MUNGU hakutangulizwa!!"
Mbona tukio kubwa alafu mh. Unaliongea kawaida ivyo..! Huo utakuwa ni mtandao mkubwa sana. Vikosi tofauti maalumu viingie kazini kwa dharula vinginevyo hela itatembezwa na kesi itaisha kma mshumaa
Watu wana hela ndugu, sio huyo tu! Hawa wakuu wa kaya wanakulaga mapene ya maana kwa issue kama hizo, ukiona imefuma ujue wamekosana kwenye makubaliano ya utoaji, we hujiulizi Hawa wakuu wapo kwenye kila idara ya masuala yahusuyo ipigaji, utawakuta bungeni labda wanaongelea koroshi, kumbe huko kuna wabunge hata 50 wanatetea korosho zao😆😆😆
Duh niatali tutaona mengi sana sasa atua gani itafata au ndio maskio wataweka pamba nani atafatilia hili maana mtetezi wetu ndio hivyo kasha tangulia mbere ya haki sasa itakuaje 😭😭😭
Dada nenda taratibu hii si awamu ya tano ni ya sita😳😳 Nchi imerudi kwa wenyewe hiyo biashara ni ya mtu mkubwa dear 😳 angalia wasikupoteze, Nchi Ndio imefunguliwa. Wewe ulifikiri imefunguliwa vipi sasa ndio kama hivyo, ni chukua chako mapema🤔
@@mohammedsururu4047 ....Tatizo watu wengi hawana mtazamo wa mbali....yaani hakuna nchi inawezekuzua ujambazi, wizi, mauwaji etc......ila Tz watu wana akili mgando sana....na has wale ambao hawajasafiri kuenda hata kenya🤣🤣🤣🤣🤣
@@davidchicharito7725 hakuna mada ya malehem hapa ila hakuna rais tuna kivuli tuu rais alikufa uchaguzi bado tupo na mzee wa msonga mzee wa totozii uyoo samia amewekwa tuu kaa chamboo
Hii deal ni kubwa watu wa juu kabisa wana mkomo humo, Africans tungekuwa mbali sana ktk maendeleo lakimi uaminifu, uadilifu na selfishness inatubakisha nyuma . Watu wengi HawanA huruma kwa wenzao,wakijaza matumbo yao hawali wengine ksb wanajua kwamba wananchi wanalalamikia serekali. Jambo hili linataka hatuwa hapo papo ksb ni kubwa mno
Na hizo sbabau ndio zinazoisababisha Africa haiendelei, na kila siku itabaki kidhalaulika kwa sababu ya Ujinga wa wengi walikuwa nao huo, wenye wanaona ndio dili, na matokeo yake hawapendi kifanya kazi kwa kujituma, wanawaza kupata hela za bila kuzifanyia kazi, halafu kitu kingine Uwaminifu hawana, wakati nchi za wenzetu zilizoendelea, watu wanajituma kufanya kazi na alafu kwa ufanisi na uhaminifu kazi, tena wanaeshimu mazingira yao ya kazi, Hili bara, ndio Maana watu wanataka waje wajichanganye ndio litabadilika, kama ilivyokuwa agenda ya African American wanataka kurudi kwenye ili Bara walibadilishe, Nadhani Kizazi hadi kizazi kitabadilika kitaondokana na dhana ya Ujinga
Nisarama mama kwani unadhani shughuri hii imeanza mwezi huu, ama ilikuwepo hata zaidi ya miaka ishirini ilio pita. watanzania hatulipendi taifa letu kila mtu ana jipenda ki binafsi. Mzarendo alikuwa mmoja JPM nae ametoweshwa na watanzania hao hao wasio tutakia mema.
@@minskbelarus7255aaah ! Sasa mbona polisi alikamata madawa mtwara ametumbuliwa , kama wana democracia na haki za binadamu hawahusiki . Pia kama kawaida pia ya uozo kutoanzia juu hawa vifaranga wasinge fanaya haya . Pia huu ndio uchumi wa samia ili kuwafanya watu wawe pesa mifukoni , ujambazi , wizi bank kuu, madawa,, kutoboa mabomba ya mafuta , tax bubu, wachomoaji , polisi kudai rushwa, ndio uchumi wa samia na Kikwete, mambo yananoga sasa 🤣🤣🤣
Haiwezekani liunganishwe na bomba kuu Tiper kama wahusika wakuu wa bandarin hawapo hiyo inshu inavigogo wakubwa sema Magufuri hayupo lakin ungeshangaa kusikia wapo watu ambao hutegemia ...watu wanamagar ya transist 2000 unategemea mda wote ataweka mafuta halali??
Sasa afanye yake yapi zaidi ya hayo mkuu?Daah,comment yako imenipa mashaka sana juu ya maisha na kazi yako.....tunakatisha tamaa sana viongozi wachache wazalendo
@@elephantachaman2347 kuwa na akili timamu we kama unamasirah niyako si tunatumia akili zetu kudiscus .. inshu sio kuona inshu ni kuletewa taarifa na jinsi ya kuchukua maamzi ...magu hakuwa mfanyakaz wa TRA lakin data alizipata na aluzipata sehem mbali mbali ..kama hiyo inshu hakupa taarifa hatuwez kumlaum lakin naamin angepata taarifa angeshughulika nao soo hata tunachokiongea kuhusu mama ni namna ya kushughurikia tatizo na kutoa maamz
uwizi wa ki hali ya juu kama hii unahitaji floor plan nzima ya pipeline, sizani unaweza kupata intel kama huu kwa muuza mihogo 🤣 Haya tuone hao ma engineer wanakamatwa au polisi watapigwa tobo... kwasasa hivi mabao ni 0-0 watazamaji!
Watu majasiri sna dah unaihujumu nchi yako bila uoga wwte hiyo nyumba na vyote serikali itaifishe jamaa kajipanga sna inaonekana kafanya kipinndi kirefu
Ndio matajiri sasa, wee kilasiku bumbuwazi wa kusoma au kusikia wegine wanafanya kitu gani na kubaki kusema,,la ,duhh,hawa, jamani, basi nihaya tuu utayajua, wanaumme wanapakua nchi, HEBU JIULIZE HAWA WATENDAJI WAMELALA WAPI, DIWANI YUPO, SERIKALI ZA MITAA LIPO, AFISA MTENDAJI WA KATA NA MTAA WAPO, MHANDISI NA AFISA AFYA WA KATA WAPO ,CHAMA TAWALA WANAYO MJUMBE WA SHINA, MWENYE KITI NA MAKATIBU WA TAWI WAPO, MWENYE KITI NA KATIBU KATA NA WASAIDIZI KIBAO WA MAJUMUIYA WAPO, HAWA WOTE WAMELALA BASI SERIKALI IMELALA.....WAFUKUZENI HAWA WOTE WALIOTAJWA HAPO JUU, KAMA SERIKALI LINAIBIWA KIMACHOMACHO MCHANA PEUPE.......
Duuu halafu mseme eti hawa ni vigogo wa chama cha mapinduz hawa ni wakina kikwete na wenzake hongera mama kaz iendelee ndio maana makonda alitaka aende huku safii sana mama na bado
Mtu wa kawaida hawezi kufanikisha hii kitu, atajuaje exactly wapi mabomba yalilazwa ili aweze kudrill na kutoboa, lazima kuna kigogo wa serikali anahusika.
huwa nawashangaa sana serkal ya tamzania yaani kilakitu wamek8kuta ushahid wote wanao halaf wanasema bado wanafanya uchunguz upi wakat ushahid mnao kilakitu k8ko mikononi mwenu huo ni uzembe na kichelewesha kas ujinga huo
Huo ni wizi mkubwa sana, angekuwa Makufuli hapo kutafuta kiki lazima angeenda kushika yeye ili aonekane jemedali lakini Mama Samia kwa kuonesha yuko vizuri kamtuma tu mkuu wa wilaya kukamata majizi.
Kwa tz yangu ninavyo ijua yani hapo ndo gem imeisha hiyo na vile wamesema wanaendelea kumtafuta mmiliki ukweli mmiliki hata patikana angekuwepo mjomba magu ingekuwa ni nusu saa tu baada ya tukio na muhusika angesha fikishwa
Mbona hio issue ianatia aibu kwenye. Taifa letu? Inamaana waliojuu hawajui huo mchezo ni mtandao mkubwa. Sio mtu wakawaida huyo. Pia mwenyenyumba anahusika. Na utakujasikia kimya na litaishia kimya na maisha yataendelea
Daaaa. MBONGO SHIKAMOO.🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙆♀️🙆♀️🙆♀️, kichwa cha mbongo akikitumia kwa usahihi, walai tutarusha rocket mwezini sasa hivi. Eeh, watu walikuwa na chem chem lao la futa, loh🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mnafanya kazi nzuri Sana mbalikiwe na bwana. Hii nchi ni tajiri sema watu wachache ndo wanaitafuna mama endelea na moyo huo
Hiyo ni rushwa ya wakubwa wenyewe, magu angekuwepo hapo kingenuka hatari,
Mungu akulinde dada angu...
Dah tatizo tunafanya kazi kizanani sana sasa mafuta yanaibiwa ovyo ovyo, tenakienyeji
Madam DC piga kazi mungu akusimamie kulinda haki za wananchi
Huyu dada naomba apewe ulinzi anafanya kazi nzuri sana.
Hongera DC, hii ndo tunataka si mtu anakuja na wazo la machinga. Yaani Mkuu wa Mkoa unaona jambo kubwa ni kufukuza machinga. Ama kweli maono ya viongozi wa Tanzania!
Na ni bahati sanaa mpaka sasa hakuna ajali ya MOTO iliyotokea. Yaani hawa watu ni hatari sana.
Dada Valena..... umefikiria mbali sana na SIJUI kama wengi tumekuelewa. Hebu fikiria ..... gari hilo liko kwenye foleni UHASIBU Mtoni kwa Azizi Ally; kuna Daladala kuelekea Mbagala na Magari yanatokea BANDARINI; kuna kituo Cha mafuta pale na wakati wa Asubuhi au jioni watu wanarudi nyumbani 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Asante sana Mungu kwa kulianika hili peupe
Hongera san mama etu chapa kazi tunaitaji kigambon mpya usijari watakao kuchukia wewe timiza jukumu lako la kazi hongera sana
Kazi iendelee. Huu ni mtandao mkubwa sana mpka viongoz wamo
Tena wa juu kabisa
Uko sahihi, hio itaisha hivo hivo juu kwa juu
Mtandao huo sio mchezo nahaukuanza leo inaelekea duuu hatari na nusu jamani binadamu nawanyanyuia mikono juuuu
Kwel kabisa kunaviongoz wanahusika
Tunaxhukulu sana serikali yetu kwa kazi nzuri mnayo ifanye waozee jela hao
Uyo jamaa mkimpata msimkamate mwendelezeni ni mbunifu. Anaweza kuwa engineer wa selikari
God bless you mom and save you 🙏
Mwenye nyumba ni muhusika mkuu....
Kazi iendeleeeee 🙏🙏🙏🙏👏👏👏🤔🙆
Hahahaha Bi Mkubwa kashindwa kaziiii
Kazi iendelee tu, askari aliekamata shehena ya madawa ya kukevya lindi ametumbuliwa, maana yake inatuletea picha madawa sasa yanaingia kwa kasi kuja kuwaangamiza ndugu zetu lkn kuna msaada kutikea ngazi za juu na sasa uwizi ujambazi umerusi kwa kasi ya 🛩 jet, tulizoe kuona miradi ya maendeleo lakini tunajionea habari za uhujumu uchumi tu mwanzo mwisho, haya mana kazi inaendelea.
@@davidcurtis8556 duhhhh
@@davidcurtis8556 Ndio uchumi wenyewe wa kina samia na Kikwete uwo , madawa , rushwa, ujambazi , polisi kupokea rushwa ,, kukwepa kulipa kodi , hawajali kama hospital hakuna madawa au kama nchi inajenga misingi ya kweli ya kiuchumi , yale madawa yalikamatwa mtwara mlikuwa na share yake mule , ndio maana cloves zinavuka walioyakamtwa wanatumbuliwa , bila aibu wala woga
@@davidcurtis8556 dah 😥😥
Genius...
Mama samia umeona iyo.kaka mkuu majaliwa umeona iyo yani ipo kazi
Safi sana wezi na wapa hongera wako vizuli
KWELI MAGU KASHINDWA KUWAKAMATA MAMA SAMIA OYEE.
Mungu akulinde mama huenda mtandao mrefu ,usijekuwa umegusa makalio ya watu flani
Wanawake wanaweza kazi👍 wacha watuongoze tu, midume haifai ni mijizi sana wamezoea kuiba na kufanya starehe tu hawana huruma hata kidogo. Lkn wakina mama wanakua na huruma sana.
umeongea point bora wa mama kuliko midume mama ni mwenyewe huruma na bidii tusibishane mtandaoni, waongeze wamama serekalini, mwanamke akijua wewe ni mwaminifu hawezi ku saliti Jaribu kumuonyesha zarau atakuzingua Sasa apo serekalini mwanamke atakuwa na musimamo kwajili ya wale wazee Wana penda kula Bata na michipuko Waka ndo, angekuwa midume ndo apewehizo ripoto hangefanya hivo yeyenae angeushisha kwenye dili mafuta ingezidi kunyonywa.
Ameni
Mkuu wa mkaa awe mwanamke basi mkoa wa salaam au bongo
Nmeipenda iyo... Kama movie vile
Bora ungekua mkuu wa mkoa wa dar kuliko huyo makala mpuuzi anayehangaika na machinga wanaojihangaikia hana maono
Acha ujinga ww MAMLAKA ZIPO HIYO SIO KAZ YA MKUU WA MKOA SASA POLISI,DCI,TPDC INAFANYA KAZI GANI SIO KILA KITU MKUU WA MKOAA BADILIKENI KUNA MAMLAKA HIZO NDO KAZI ZAKE.
Watu kama hao wanaubunifu mkubwa sana kwa mimi nilivyoona maana adi kawaza kufanya hivyo yuko vizuri😀😀😀
Sarah hongera sana na jeshi lako la ulinzi na usalama chapa kazi mama Tanzania inatafunwa sana na mwisho wa mwizi ndio huo arobaini yake imeshafika
people are very intelligent
Mama uchungwe na ulindwe kwakua hawa ni viongozi wakubwa nchini
Nikweli kabisaa nimuhimu sana kuchungwa amasivyo wata muwaisha kifoni mungu amlinde
kabsa angekuwa maghuful yupo mama angewekewa ilinzi papo hapo na cheo yake ingepanda
👍 fact
@@aishaalbalushaishabalush8291 kwani unahisi kwamba jambo hili limeanza Jana huu mtandao kitambo mbona jpm hakuliona hilo anakua mkali wenzie walikua wanapiga tu sio apo tu watu walikua wanatumia advantage yake ya ukali kupiga hela
@@elephantachaman2347 nafahamu suwala hilo lilikua la muda kabla hata ya maghuful ila viongoz wamaghuful ndi wamegundua hili suwala nadhani linamiaka hata 20 ila nasema tu angekuwepo mwenyewe mwenye uchungu na inchi yake mama angepewa cheo kubwa na ulinz mkali maana kajitahid kufanya kazi ya kizalendo ila kwa samia unaeza ona huyo mama katumbuliwa maana wote wanao kamata biyashara haram keshawatumbua
Hatari 🙌
Mkuu wa wilaya alishaondolewa, yaani nchi yetu
Acheni kazi iendele...si ndivyo alivyosema delila...
Duh aisee kuna watu wanamipango atareee doh pole sana wewe mwizi maana iyo ni kuujumu uchum
Duh....🙄
Hilo jumba ni lakigogo, mtaniambia kama uchunguzi hautaishia kwenye kabati za police.
Kabisa aisee uyo ni mtu mwenye pesa zake anajimudu kabisa
Umeongea poit
@@innocentgodwin5855 Kwa biashara hiyo lazima awe na pesa na hakuanza kipindi hiki, tayari amevuta mpunga wa kutosha, mafuta ni madini.
Na hivi Anko Magu hayupo.. yaan hutoisikia kokote hii issue tena
Kabisaaaa hii itaishia hapa hapa tuuu
Wizi huu mbona Uko miaka mingi na ni mtandao mpana na nahisi watu wa bandari wanajua
Noma
Tunamatumaini makubwa kwa Mungu, Kuna Siku Mungu atashughulika na kundi la Wapigaji nchini,
Hivi Jamani Hii Jeshi letu lipige kama adui wa ndani kabisa. Mkuu wa Majeshi ona UGAIDI WA MAFUTA
Hamna hata mnayemkomoa,,nyinyi wezi,,kila kipatikanacho nje ya halali ni upepo tu! Mtaondoka duniani,,watoto wenu watavitapanya tu,,sababu hamkuwafundisha namna ya kutafuta,,mliwajazia!!vitarudi kulekule,,kwa maskini!!"Hakuna baraka endelevu,,,mahali ambapo MUNGU hakutangulizwa!!"
Akili kum kichwa...🙌🙌🙌
Mtajuana wenyewe kwan unao hisi hawajui wanajua
Mbona tukio kubwa alafu mh. Unaliongea kawaida ivyo..! Huo utakuwa ni mtandao mkubwa sana. Vikosi tofauti maalumu viingie kazini kwa dharula vinginevyo hela itatembezwa na kesi itaisha kma mshumaa
Watu wana hela ndugu, sio huyo tu! Hawa wakuu wa kaya wanakulaga mapene ya maana kwa issue kama hizo, ukiona imefuma ujue wamekosana kwenye makubaliano ya utoaji, we hujiulizi Hawa wakuu wapo kwenye kila idara ya masuala yahusuyo ipigaji, utawakuta bungeni labda wanaongelea koroshi, kumbe huko kuna wabunge hata 50 wanatetea korosho zao😆😆😆
Hii huitwa the return of old guard of mafia economic chini ya mafioso samia suluhu 🤣🤣🤣🙆♀️
Kazi za vigogo
Eh!jamani🥺🥺🥺🥺
Hapo kuna mtu kawachoma baada labda ya kutofautiana kimaslahi sio bure kabisa
Hiv wakat wanajenga mpaka wanafanya hii ishu siku zote hizo mafundi hawakuchoma kama ni dili
Mama unakujakuja Sasa hongera sana
Duh niatali tutaona mengi sana sasa atua gani itafata au ndio maskio wataweka pamba nani atafatilia hili maana mtetezi wetu ndio hivyo kasha tangulia mbere ya haki sasa itakuaje 😭😭😭
Daah amejitaidi kuelezea lakin bado maelezo hayaeleweki vizuri angeelezea ata kamanda wa polisi
Tz ishakuwa nchi ya Wapigaji,
Issue Kama hiyo Ni kubwa ingefaa aongee Waziri wa Mambo ya ndani,
HIYO ISHUU MBONA YA MDA SANA HATA MWENDAZAKE ANAIJUAA KAIPOTEZEAA HUYO KATOLEWA CHAMBO HAKUNA KITU KITAENDELEAA HAPO
Magari yataifishwe
nyumba pia
🤔🤔Ukiona mtu anatumia pesa zake kaambari
Mkuu wa wilaya pole. Hayo ni kwa sababu nchi yetu imechuma ubaya (mihimili ya nchi isiyo na dini), hivyo jamii imezungukwa na maovu...... Q2:81
Dada nenda taratibu hii si awamu ya tano ni ya sita😳😳 Nchi imerudi kwa wenyewe hiyo biashara ni ya mtu mkubwa dear 😳 angalia wasikupoteze, Nchi Ndio imefunguliwa. Wewe ulifikiri imefunguliwa vipi sasa ndio kama hivyo, ni chukua chako mapema🤔
yaani Allah ataitetea tanzania kwa mara ingine insha allah😢
Kwani huu wizi umeanza awamu gani?
@@mohammedsururu4047 ....Tatizo watu wengi hawana mtazamo wa mbali....yaani hakuna nchi inawezekuzua ujambazi, wizi, mauwaji etc......ila Tz watu wana akili mgando sana....na has wale ambao hawajasafiri kuenda hata kenya🤣🤣🤣🤣🤣
@@mohammedsururu4047 acha basi ndugu yangu kujifanya ujui tafakari kidogo hapo nyama nyuma kidogo utagundua niakina nani
Unadhani hii biashara imeanza awamu ya sita.?
Huyo jamaa anaakili sana aiseee nmemkubali sana ubunifu mzr km ingekuwa n move alikuwa ameua
Mama Angalia nchi haina raisi wasije wakakutoa sadaka bure
Umeonge kauli ambayo sio ya kizalendo...heshimu mamlaka zilizopo..mkuu
@@charlesmwambinga4355 hakuna rais kweli tuna kivuli tuu rais alikufa uchaguzi bado yupo sahihi
Rais wa msoga karudi madarakani
Mbona jpm hakuwakamata
@@davidchicharito7725 hakuna mada ya malehem hapa ila hakuna rais tuna kivuli tuu rais alikufa uchaguzi bado tupo na mzee wa msonga mzee wa totozii uyoo samia amewekwa tuu kaa chamboo
Hii deal ni kubwa watu wa juu kabisa wana mkomo humo, Africans tungekuwa mbali sana ktk maendeleo lakimi uaminifu, uadilifu na selfishness inatubakisha nyuma . Watu wengi HawanA huruma kwa wenzao,wakijaza matumbo yao hawali wengine ksb wanajua kwamba wananchi wanalalamikia serekali. Jambo hili linataka hatuwa hapo papo ksb ni kubwa mno
Na hizo sbabau ndio zinazoisababisha Africa haiendelei, na kila siku itabaki kidhalaulika kwa sababu ya Ujinga wa wengi walikuwa nao huo, wenye wanaona ndio dili, na matokeo yake hawapendi kifanya kazi kwa kujituma, wanawaza kupata hela za bila kuzifanyia kazi, halafu kitu kingine Uwaminifu hawana, wakati nchi za wenzetu zilizoendelea, watu wanajituma kufanya kazi na alafu kwa ufanisi na uhaminifu kazi, tena wanaeshimu mazingira yao ya kazi, Hili bara, ndio Maana watu wanataka waje wajichanganye ndio litabadilika, kama ilivyokuwa agenda ya African American wanataka kurudi kwenye ili Bara walibadilishe, Nadhani Kizazi hadi kizazi kitabadilika kitaondokana na dhana ya Ujinga
Wakubwa wte weka ndani asiye 😟😟😟
Aibu sana kwa serikali
Mama kama hujakaa sawa mwanamke mwezio atakutumbua
Nisarama mama kwani unadhani shughuri hii imeanza mwezi huu, ama ilikuwepo hata zaidi ya miaka ishirini ilio pita. watanzania hatulipendi taifa letu kila mtu ana jipenda ki binafsi. Mzarendo alikuwa mmoja JPM nae ametoweshwa na watanzania hao hao wasio tutakia mema.
kweli asee yaani inauma sana
Lilianza mda mrefu !!!!!! Je ni wakati wa Marhemu MAGUFULI ?
@@minskbelarus7255 ndy
@@minskbelarus7255 kodi yenyewe kalipa miaka miwili,sasa kazi unafikir imeanza lini
@@z.nalnabhani7194 mimi nawashangaa watu kumlaumu MAMA SAMIA eti WAKATI wa MAGUFULI haya mambo HAYAKUWEPO sasa yamaanza lini??????
Kazi iendelee
Duh kwa kwel lazima ukimbae jumba lako maana hiyo ni jela maisha
kz iendeleee
Mkuu wa Wilaya anatoa siri za investigates kabila uchunguzi hauja kamilikai
Nashangaa tena uchunguzi upi tena kilakitu mshaona ndio tunakwama hapo2
Afrika inadidimizwa na waafrika wenyewe, tusiwasingizie wazungu.
kabisa🙌
Kweli
Mimi huwa nasema wazungu hawana mabaya wabaya ni waafrika wenyewe hapo viongozi wamowengi.
Kwel kabisa
Tanzania yangu kubwa sana kumbe maana uwekezaji wa siri ni mkubwa hiv yaan
Bado mama kaa chini fatilia Vizur kwa style iyo hakika kuna utumbo mwingi sana Zaid ya huo fatilia taratibu tu wakabwe watatajanaa
Ndo maana halisi ya ...e
Mmmmh kweli tanzania ni shida
Mtu wa kawaida Hawazi fanya hayo,lazima wakubwa Wanahusika.
Tena wa wajuu kabisa
Uyo nintumishi waserikali kabisa
Msiwahukumu BILA ya USHAHIDI sio kila MKUU basi anahusika. Kwani hao mafundi Welding ; Drillers na walinzi ni Viongozi wakuu?
@@minskbelarus7255aaah ! Sasa mbona polisi alikamata madawa mtwara ametumbuliwa , kama wana democracia na haki za binadamu hawahusiki . Pia kama kawaida pia ya uozo kutoanzia juu hawa vifaranga wasinge fanaya haya . Pia huu ndio uchumi wa samia ili kuwafanya watu wawe pesa mifukoni , ujambazi , wizi bank kuu, madawa,, kutoboa mabomba ya mafuta , tax bubu, wachomoaji , polisi kudai rushwa, ndio uchumi wa samia na Kikwete, mambo yananoga sasa 🤣🤣🤣
Haiwezekani liunganishwe na bomba kuu Tiper kama wahusika wakuu wa bandarin hawapo hiyo inshu inavigogo wakubwa sema Magufuri hayupo lakin ungeshangaa kusikia wapo watu ambao hutegemia ...watu wanamagar ya transist 2000 unategemea mda wote ataweka mafuta halali??
Dah inamana huu mtangao ulikuwa toka kipindi cha mzee hayati jpm dah bongo watu ni balaaa
Duuh kumbe Hata ANKO MAGU Wajanja Walikuwa Wanampiga 😳😳😳😳😳😳
Dah hili lingegundulika enz izo za mzee baba yetu wangeisoma namba
Hio imeanza nyakati yuko kazini. Na itakuwa ni wakubwa mno serekalini wanafanya hii
Waliambiwa kazi iendelee maana aliyekuwepo hakutaka huu upuuzi
Unadhan hao wameeanza mwez wa 3..shukuru mama karuhusu uhuru wa habar ndio maana unapata habar hizo
Duh
Ndio kula yao iyo mzee..,maisha yanasiri yake ndug zanguni kama utashindwa kujitaftia ukumbuke akuna mtu atakaye kutaftia
Huu n mtandao wa viongozi wakubwa serikalini
Duuuuh 🥺🥺🥺
Uzalendo mwingi utukuponza..we fanya yako maisha yasonge..
Sasa afanye yake yapi zaidi ya hayo mkuu?Daah,comment yako imenipa mashaka sana juu ya maisha na kazi yako.....tunakatisha tamaa sana viongozi wachache wazalendo
@@dr.djshigongo4927 hapana bro ..ukiwa mkwel na muwazi bila kuwa na support au mfumo unaokusaport ni ngumu kufanya kazi ukiwa huru
Unafaa kuwa dci
Wewe Mama angekuwepo Magu cheo kingepanda zaidi umeonyesha ujasili tena mkubwa.
Kabisa angepewa ukuu wa mkoa
Ndio alichokua anakiweza na sio kingine
Mbona ye hakuliona uyo magu wako watu walikua wananyonya umwambie ukali wa kipumbavu tu hii inshu kitambo
@@elephantachaman2347 kuwa na akili timamu we kama unamasirah niyako si tunatumia akili zetu kudiscus .. inshu sio kuona inshu ni kuletewa taarifa na jinsi ya kuchukua maamzi ...magu hakuwa mfanyakaz wa TRA lakin data alizipata na aluzipata sehem mbali mbali ..kama hiyo inshu hakupa taarifa hatuwez kumlaum lakin naamin angepata taarifa angeshughulika nao soo hata tunachokiongea kuhusu mama ni namna ya kushughurikia tatizo na kutoa maamz
Nchi imefunguliwa jamani hizo ndo fursa zenyewe changamkeni watz.
uwizi wa ki hali ya juu kama hii unahitaji floor plan nzima ya pipeline, sizani unaweza kupata intel kama huu kwa muuza mihogo 🤣 Haya tuone hao ma engineer wanakamatwa au polisi watapigwa tobo... kwasasa hivi mabao ni 0-0 watazamaji!
Watu majasiri sna dah unaihujumu nchi yako bila uoga wwte hiyo nyumba na vyote serikali itaifishe jamaa kajipanga sna inaonekana kafanya kipinndi kirefu
Hatari sana
Ndio matajiri sasa, wee kilasiku bumbuwazi wa kusoma au kusikia wegine wanafanya kitu gani na kubaki kusema,,la ,duhh,hawa, jamani, basi nihaya tuu utayajua, wanaumme wanapakua nchi, HEBU JIULIZE HAWA WATENDAJI WAMELALA WAPI, DIWANI YUPO, SERIKALI ZA MITAA LIPO, AFISA MTENDAJI WA KATA NA MTAA WAPO, MHANDISI NA AFISA AFYA WA KATA WAPO ,CHAMA TAWALA WANAYO MJUMBE WA SHINA, MWENYE KITI NA MAKATIBU WA TAWI WAPO, MWENYE KITI NA KATIBU KATA NA WASAIDIZI KIBAO WA MAJUMUIYA WAPO, HAWA WOTE WAMELALA BASI SERIKALI IMELALA.....WAFUKUZENI HAWA WOTE WALIOTAJWA HAPO JUU, KAMA SERIKALI LINAIBIWA KIMACHOMACHO MCHANA PEUPE.......
Hakuna mtu wakufukuza
@@martinhinda5233 hao wote waliotajwa ni wadogo sana wamezibwa midomo 🤫🤫🤫🤫sasa watafukuzwaje? hiyo biashara inawenyewe
Hizi akili Watanzania tungezitumia kwenye Mambo ya maana, saivi Tz tungekuwa na kombe la dunia.
Duuu halafu mseme eti hawa ni vigogo wa chama cha mapinduz hawa ni wakina kikwete na wenzake hongera mama kaz iendelee ndio maana makonda alitaka aende huku safii sana mama na bado
Hatari
Mtu wa kawaida hawezi kufanikisha hii kitu, atajuaje exactly wapi mabomba yalilazwa ili aweze kudrill na kutoboa, lazima kuna kigogo wa serikali anahusika.
Kweli kabisa
haswa
Mtandao mkubwa Sana. Huu wa wizi
Mzee Magu hakishtukia
Dah 😰😰
Na mchongo huu waweza kuwa Ni kabla ya Magu.
huwa nawashangaa sana serkal ya tamzania yaani kilakitu wamek8kuta ushahid wote wanao halaf wanasema bado wanafanya uchunguz upi wakat ushahid mnao kilakitu k8ko mikononi mwenu huo ni uzembe na kichelewesha kas ujinga huo
Huo ni wizi mkubwa sana, angekuwa Makufuli hapo kutafuta kiki lazima angeenda kushika yeye ili aonekane jemedali lakini Mama Samia kwa kuonesha yuko vizuri kamtuma tu mkuu wa wilaya kukamata majizi.
Kazi iendelee 💪 wezi wakubwa 😡
Kwa tz yangu ninavyo ijua yani hapo ndo gem imeisha hiyo na vile wamesema wanaendelea kumtafuta mmiliki ukweli mmiliki hata patikana angekuwepo mjomba magu ingekuwa ni nusu saa tu baada ya tukio na muhusika angesha fikishwa
Shikamoo Tanzania 🇹🇿🇹🇿😭😭
Mbona hio issue ianatia aibu kwenye. Taifa letu? Inamaana waliojuu hawajui huo mchezo ni mtandao mkubwa. Sio mtu wakawaida huyo. Pia mwenyenyumba anahusika. Na utakujasikia kimya na litaishia kimya na maisha yataendelea
Daaaa. MBONGO SHIKAMOO.🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙆♀️🙆♀️🙆♀️, kichwa cha mbongo akikitumia kwa usahihi, walai tutarusha rocket mwezini sasa hivi. Eeh, watu walikuwa na chem chem lao la futa, loh🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Noma
Uyu ni mtu hatari sanaaaa...
APEWE TUZO. HUU NI UBUNIFU MKUBWA
@@tingbatuuka7278 ndo hao hao bwana we wasikuchanganye ksbisa
Jamaa konyo aisee alkuwa anajigemea wese tu kama yupo kwenye visima Uarabuni khaaa 😂😂🙌🙌🙌
Can't believe mnavyoibiwa kijinga namna hiyo, hiyo ni inside job kamata wafanyakazi wote wanaohusika na hilo Bomba watatajana wote
Point
sawa kabsa n hawo hao watumish wenu
Kungekuwa na uzalendo,ilitakiwa mtandao mzima usakwe na shelia kali zichukuliwe.
Uyu mama anafaa kuwa mkuu WA mkoa
Huo mtandao ni hatari sana.Dah