20 KORTINI KWA WIZI WA MAFUTA BOMBA LA TAZAMA "WALITOBOA CHINI KWA CHINI NA KUCHEPUSHA LITA LAKI 7"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 57

  • @Nasbu-tb6cs
    @Nasbu-tb6cs 9 місяців тому +1

    Salute wanangu mmepambana sanaa ajali kazini😮

  • @johnyusuph3221
    @johnyusuph3221 10 місяців тому +2

    Wangetoboa wangekuwa motivation speakers

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 10 місяців тому +5

    Viongozi wa serikali ndio vinara vya wizi hawakamatwi au wizi wao ni mtakatifu na wa raia ni haramu? Wangeanza na majambazi viongozi ingekuwa vizuri na mneaminiwa😢😢😢😢😢😢😢

  • @machiavelshakur8939
    @machiavelshakur8939 10 місяців тому +3

    These are men we need in this society

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 10 місяців тому +2

    Bora tyu walivyo buni kuiba serelalin

  • @Lassana755
    @Lassana755 10 місяців тому +3

    hasara ya millioni 2 au billion 2 vijana mmeyakanyaga

  • @sarahkwamboka8190
    @sarahkwamboka8190 10 місяців тому

    Aah!!! Kumbe Tz mnakuaga na hustlers🙆🙆🙆🙆, ni kubaya aisee Afrika yetu.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 10 місяців тому +1

    Kama kweli wanazo bilioni 2 kesi itaiaha ni suala la muda tu... Si unajua pesa na haki hawakai pamoja😊

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 10 місяців тому

    Shida na hali ngumu ya maisha inachangia kwa wananchi kufanya uhalifu..

    • @joviignus1674
      @joviignus1674 9 місяців тому

      Ni uvivu tu ndugu
      Na tamaa za kijinga wala si maisha magumu

  • @BonifaceMwakasumi
    @BonifaceMwakasumi 10 місяців тому +5

    Hawa ndo wanaume

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 10 місяців тому +1

    Wanaonewa Dagaa mapapa yanakula viyoyozi maoficini viongozi wenu wengi wezi hawakamatwi

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 10 місяців тому

      Wewe huna akili poa imwizi,kwanini unawatetea wezi? Unataka walipotoboa bomba waachiwe waendelee kuiba?

    • @mangulimanguli3974
      @mangulimanguli3974 10 місяців тому +1

      @@emmanuelmlowe-ew7gx ww ndo akili huna kwani ao wezi na mijitu ya serikali ni mijizi kama ao swali langu kwa nn awachukuliwi hatua au na ww ni mmoja wao

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 10 місяців тому

      @@mangulimanguli3974 kubishana namjinga nikuto jijua

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 місяців тому +1

      ​@@emmanuelmlowe-ew7gxmajambazi ni viongozi wa serikali hao walijaribu kujinasua na huu ugumu wa maisha uliosababishwa na hili liserikali

  • @CesyMbata
    @CesyMbata 9 місяців тому

    Hawa waende tyu hao ila wengine hapo ni WA mbalari si wangeenda kulina mpunga tyu kuliko kuiba

  • @StevenSylevestarHokororo
    @StevenSylevestarHokororo 8 днів тому

    Evi mpaka sasa swala lahawa wezi wamafuta limefikiya wapi

  • @chris_disigner
    @chris_disigner 10 місяців тому

    Noma😅😅😅

  • @AtuganileAsubisye
    @AtuganileAsubisye 10 місяців тому +4

    Duuu jamanii apo wameacha familia now Kila mtu inatakiwa upambane

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 10 місяців тому

      Mimi nitatafuta wake zao niwakule .wao wametuibia sisi

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 місяців тому

      ​@emmanuelmlowe-ew7gx mbona viongozi wa CCM wanatuibia wametumaliza hamsemi

  • @consomatogaudence136
    @consomatogaudence136 10 місяців тому +2

    Bora hao waliibia serikali

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 10 місяців тому +1

    Ila wezi wapo juu uko sisi wananchi wizi wetu ata hauna faida

  • @StevenSylevestarHokororo
    @StevenSylevestarHokororo 8 днів тому

    Jamji naomba kujiwa hii kesi yahawa wezi mafuta uko iringa ilifikia wapi

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 10 місяців тому +1

    Duh mtihan wallahi😢mnaturudish nyuma Tanzania 🇹🇿 yetu

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 10 місяців тому +1

      hao viongoz wanao iba awardishi nyuma syo

  • @chris_disigner
    @chris_disigner 10 місяців тому +1

    Sema wabunifu sana awa majamaa😂😂

  • @tanzaboy4824
    @tanzaboy4824 10 місяців тому

    Hiii kesi itaenda mwaka mzima jamaa wakataa ndan adi upelelez upatikane

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 10 місяців тому +2

    Apo mnapotea mmegusa pabaya

  • @iddykwangaya2794
    @iddykwangaya2794 10 місяців тому +1

    Kuiibia serikari, sio zambi,, ila kumuibia raia mwezio ndio zambi,

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 10 місяців тому +3

    Wajasiliamali😅😅😅😅😅😅

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 10 місяців тому

      Tofautisha mwizi namajasiliamali.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 місяців тому

      ​@@emmanuelmlowe-ew7gxwezi wa maliasili zetu ambayo ni viongozi wa serikali hivi wanaitwaje nimesahau🤔

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 10 місяців тому

    Jamen co chemchem hyo.

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 10 місяців тому

    🙆🙆🙆

  • @MKOLOSAIZENGO-o7f
    @MKOLOSAIZENGO-o7f 10 місяців тому +1

    Hapo sina neno ilA kosa lao lipo wazi

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 місяців тому +2

      Na la viongozi wa serikali waizi liko wapi

  • @barakaphilip4595
    @barakaphilip4595 10 місяців тому

    Hawa ndio wanaharibu miradi ya serikali

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 місяців тому +1

      Serikali ndio majambazi number one hawakamatwi😢😢😢😢😢😢😢

  • @RevocatuskafefaKafefa-malulu
    @RevocatuskafefaKafefa-malulu 10 місяців тому +1

    Mbona na viongozi wanaiba hafu hawawakati mwanchi ndio wanaenda na wandishi wa habar na camera ujinga huo

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 10 місяців тому

    Familia zenu munaziacha na upweke kwa tamaa ya dunia 😢😢

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 10 місяців тому

    Hii serikali ya hovyo. Vipi hao mafisadi waliopo serikalini kwa nini hawapelekwi mahakamani kujibu mashtaka ya ufisadi.

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 10 місяців тому

    Inasikitisha kweli huu uzalendo kwa nchi yako

  • @alisuleiman9627
    @alisuleiman9627 10 місяців тому +1

    Funga wote

    • @iddykwangaya2794
      @iddykwangaya2794 10 місяців тому

      We mchawi,

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 10 місяців тому

      ​@@iddykwangaya2794wee mganga

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 місяців тому

      Na viongozi wa serikali ndio majambazi number one wafenywe Nini?

  • @mectv6728
    @mectv6728 10 місяців тому

    duh uhujumu uchumi
    Serikali ichukue hatua za Kali za kisheria

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 місяців тому

      Mbona wao wanaiba na hukuna sheria yoyote wanayochukuliwa?

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 10 місяців тому

    Mashetani hawa

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 місяців тому +1

      Na viongozi wa serikali waizi ni watskatifu?