'Uliskia wapi?': Mbunge Seleman Bungara (Bwege) funny compilation

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @robinsonwendo6093
    @robinsonwendo6093 4 роки тому +39

    This man makes Kenyans happier

  • @abusalman5139
    @abusalman5139 4 роки тому +145

    😂 😂 Mtanzania anatrend Kenya. Respect.

  • @TheMandela21
    @TheMandela21 4 роки тому +37

    I am Tanzanian and I confirm that this MP called Bungala is way more famous in Kenya than he is in Tanzania

  • @djrakams8825
    @djrakams8825 4 роки тому +247

    Nikiwa idle lazima niwatch parliamentary sessions za Tz
    Ziko very funny...😂😂😂😂😂

    • @TheGeneralEntertainment
      @TheGeneralEntertainment 4 роки тому +14

      Watch ya SA utacheka siku nzima

    • @naomiee5820
      @naomiee5820 4 роки тому +2

      @@TheGeneralEntertainment i was just about to reccomend za SA😂😂ataishaaaa!

    • @briankinyanjui2424
      @briankinyanjui2424 4 роки тому +1

      @@TheGeneralEntertainment sa ni moto sana

    • @carolm4691
      @carolm4691 4 роки тому +1

      People actually do this... Nimeongezea kwa my to do list

    • @sheilamutai2502
      @sheilamutai2502 4 роки тому

      South Africa utashangaa😂

  • @allymukhsin4535
    @allymukhsin4535 4 роки тому +186

    Hahahah uyo ndo mheshimiwa bwege kam unamkubali gonga like twende sawa

    • @omanoma5446
      @omanoma5446 4 роки тому

      Kwani, hapo, mile be, au

    • @jacklinelucas3021
      @jacklinelucas3021 4 роки тому +1

      Namkubali sana yan tumepoteza majembe

    • @rahmazahor4333
      @rahmazahor4333 11 місяців тому

      Anaumwa sana maskini kukatwa mguu ana sukari very sad....

  • @brianmakau1285
    @brianmakau1285 4 роки тому +155

    Thought that this guy was an assistant chief or sth🤣🤣kumbe ni Mhesh👊 big up to him

  • @ephantuskarari159
    @ephantuskarari159 3 роки тому +13

    I honestly think Bwege is one of the best MPs East Africa has had until CCM rigged him out. If you listen to his presentations, they are about his constituents and its for their benefit. He has a good masterly of Swahili and he does much better than even the highly educated counterparts in Tz parliament. The problem is that his colleagues in parliament look at who is saying not what he is saying..then they judge him with his level of education and miss the point.
    Bwege, was my favourite of all Tz Mps, he was vocal, articulate, coherent and able to put the right emotions in his speech. Wananchi wa kilwa kusini, nawaomba mmchague Bwege awe Mbuge tena.

  • @CAROLINE2438
    @CAROLINE2438 4 роки тому +286

    Me: Looking at Resorts
    My Wallet: Oliskia wapi? Oooooliskia wapi??
    😂😂😂😂

  • @fionaatieno1535
    @fionaatieno1535 4 роки тому +18

    This guy is actually quite on point and I love his obvious passion

  • @noahndunde3166
    @noahndunde3166 4 роки тому +4

    Ms Wanjiru,am with you my sister!! Suleiman Bungara's facial expressions tear me into pieces as well!!! I just love this comedian!!

  • @evankya1955
    @evankya1955 4 роки тому +32

    Hadi t-shirts wakenya wametengeneza 😂😂😂 ooooliskia wapi

    • @Wakio231
      @Wakio231 3 роки тому

      Niko na yangu 😂😂😂😂😂

    • @evankya1955
      @evankya1955 3 роки тому

      @@Wakio231 hahahaha hongera sana

  • @joyobessa1364
    @joyobessa1364 4 роки тому +57

    I finally get to know the origin of "Olisikia Wapi" kumbe ni Tz.....Tz Oiyeeeeee it's very hilarious 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @lilianchege6383
    @lilianchege6383 4 роки тому +137

    Me: From today am sleeping early
    My phone: we oooooliskia wapi

    • @mstevens832
      @mstevens832 4 роки тому +4

      Andu nimakome kabisa ti kwega nimeskia wap +44

    • @juliuskinuthia2240
      @juliuskinuthia2240 4 роки тому +1

      @@mstevens832 😹😹 olesikia wapi 😂😂. Ndirakoma thai-ici

    • @mstevens832
      @mstevens832 4 роки тому +2

      @@juliuskinuthia2240 Ndiguite Brro

    • @mstevens832
      @mstevens832 4 роки тому +2

      @@juliuskinuthia2240 sijasikia kitu nimepita waka nyamanza

    • @juliuskinuthia2240
      @juliuskinuthia2240 4 роки тому +2

      @@mstevens832 kai maragwitigira bro 😃😃, c vizuri kupita mahali watu wananyamaza bro. Wewe olesikia wapi 😹😹😂😂

  • @kibebenja
    @kibebenja 4 роки тому +936

    He's more famous in kenya than in Tanzania

  • @princessann3760
    @princessann3760 4 роки тому +79

    Me=kiswahili kigumuuuuu
    Him=OOOOOOOOOOOliskia wapi?
    😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @njorogefred150
    @njorogefred150 4 роки тому +20

    😂😂😂😂my Lungs, could watch this forever 😂😂

  • @amlittv254
    @amlittv254 4 роки тому +23

    Other stations : mbunge seleman Bungara compilation
    NTV:woooliskia wapi compilation

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro 3 місяці тому +1

    ... simply " where did you hear it"🤣

  • @sophiadamary476
    @sophiadamary476 4 роки тому +218

    I have seen and been wondering this "oooolisikia wapi" ilitokea wapi now I know 😂😂😂

  • @picsandvidstv1348
    @picsandvidstv1348 4 роки тому +15

    Of course he said ‘ we ulisikia wapi’ ! But he’s pronunciation sounds like ‘ we ooliskia wapi’! That’s what making this clip even more funnier!😂😂

  • @jacksonkatana8439
    @jacksonkatana8439 4 роки тому +11

    Tunaanza upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!has made my day😂😂😂😂😂

  • @Masha-xi1vg
    @Masha-xi1vg 4 роки тому +57

    A moment of silence for all who can't find this 😂

  • @joeadams8378
    @joeadams8378 4 роки тому +49

    Her: Naskia ulikuwa quarantine na kadem fulani
    Me: Ooliskia wapi...Oooliskia wapiiii??

    • @Rasbinghi07
      @Rasbinghi07 4 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣

    • @johnmamku872
      @johnmamku872 4 роки тому +1

      He’s actually saying wewe ulisikia wapiii not Oouliskia wap 😂😂 neighbors

    • @joeadams8378
      @joeadams8378 4 роки тому

      @@johnmamku872 🤣🤣🤣🤣

    • @leinaamos
      @leinaamos 4 роки тому

      Nimechemka Sana nimetamani bunge la chama makini chama Cha Mapinduzi lianze litufikishe watanzani sisi wanyonge sehemu salama

  • @odongocronk9693
    @odongocronk9693 4 роки тому +166

    Nobody's talkin of the sense he's makin btw

  • @godwinkiprono5189
    @godwinkiprono5189 4 роки тому +8

    haha thanks NTV for this. wewe uliiskia wapi? why?

  • @nancywangeci8189
    @nancywangeci8189 4 роки тому +5

    I honestly love this guy. He makes my day.

  • @blenderee2414
    @blenderee2414 4 роки тому +7

    Me:wants to leave my phone because I'm addicted
    Notifications:ooooooooliskia wapi??

  • @boostedbassiacs769
    @boostedbassiacs769 4 роки тому +75

    My crush: stares at me
    My brain: act cool
    Me: 0:12

  • @kevinmomanyi7996
    @kevinmomanyi7996 4 роки тому +15

    I wanna be high like this guy...... mood..... ama uliskia wapi

  • @joelntile9078
    @joelntile9078 4 роки тому +2

    Ndugu Wakenya ni ‘Ulisikia wapi? sio ‘Olisikia wapi’ 😁😁

  • @mrtoys3094
    @mrtoys3094 4 роки тому +6

    fellow Kenyans who is here to know who is this man trending on WhatsApp status..mweshimiwa oooliskia wapi😂😂

  • @Agnotke
    @Agnotke 4 роки тому +54

    Me: He is an Mp from Bungoma or Busia counties
    Comments: We oliskia wapi

  • @presidentofkenya6896
    @presidentofkenya6896 4 роки тому +113

    Me: I would like to apply for a mobile loan because the president said tumetolewa CRB
    Mshwari: 0:29 Wee ooliskia wapi??

  • @rumayojr4638
    @rumayojr4638 4 роки тому +11

    Wabunge wte wa upinzan wangekuw km huyu Tz 2ngefik pazur✊🇹🇿🇹🇿

    • @yohanampamba601
      @yohanampamba601 4 роки тому

      Mbona wapo wengi tu mkuu.

    • @salmaruhumba4017
      @salmaruhumba4017 4 роки тому

      Huyo ndo mbunge wa Jimbo la kilwa kusini mkoani lindi nihatari wote wangekuwa ivo aaaa ingekuwa dole.

    • @muchuisammy923
      @muchuisammy923 4 роки тому

      @@salmaruhumba4017 oliskiaa wapi

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 4 роки тому

      Huyu nimempenda Sana wapinzani mnatakiwa kuwa km huyu baba ni WA wapi anasema ukweli saaana nchi ingenyooka swsw

  • @japhethochando7983
    @japhethochando7983 4 роки тому +12

    My alarm rings at 5:00am
    Me: let me snooze mpaka around 5:30am
    Alarm: wewe Olisikia wapi..? Oooliskia wapi...?

  • @williamomare2066
    @williamomare2066 4 роки тому +1

    watching from mombasa kenya august 2020.

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 4 роки тому +18

    Me: trying to party during covid19 season.
    My account:weee uliskia waaaapi?

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 2 роки тому +1

    Whoever brought this guy to the limelight Mungu anakuona🤣🤣

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 4 роки тому +26

    Wakenya: Oolisiki wapi..?
    WaTZ: Ulisikia wapi..? Hahaha

  • @mohammedrajabu7449
    @mohammedrajabu7449 4 роки тому

    Qulil-haqqawainkaanamurra (Sema kweli ijapokua ukweli Ni chungu na unaweza uwawa) mwenyezimungu akujaalie kilalakheri bwege mi nakukubali sana Jazaakallahu khaira

  • @tonybestsenior8874
    @tonybestsenior8874 4 роки тому +113

    Hii "Ooooliskia wapi?" nimeisaka sana Kumbe ilisemwa Tanzania, NTV waliskia wapi? Ooooliskia wapi?

    • @joyobessa1364
      @joyobessa1364 4 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @tonybestsenior8874
      @tonybestsenior8874 4 роки тому +1

      @@joyobessa1364😂😂 😂 😂 😂 😂

    • @innocentboykid244
      @innocentboykid244 4 роки тому +3

      Not ooo, say we ulisikia wapi is not ooolisikia wapi

    • @tonybestsenior8874
      @tonybestsenior8874 4 роки тому +3

      @@innocentboykid244 Just an exaggeration bro! We make it sound funnier 😂😂😂

    • @elizeusmashauri2486
      @elizeusmashauri2486 4 роки тому +2

      Kweri bwege na kwawapinzani hiyondo anaunafuu

  • @THE_2000
    @THE_2000 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂2023 and it's still funny asf

  • @mswanjiru6944
    @mswanjiru6944 4 роки тому +66

    His facial expressions 😂 😂 kills me

    • @gaeson5335
      @gaeson5335 4 роки тому +1

      Me too 😂😂😂😂😂 Imy ribs my ribs hurts aki

    • @callcenter6171
      @callcenter6171 4 роки тому

      ⁰⁹⁸⁷⁶⁵⅘¾²w

    • @blessedbetty9082
      @blessedbetty9082 4 роки тому

      @@callcenter6171 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @grahamgrey6434
    @grahamgrey6434 3 роки тому +2

    Me waiting for the guy to drop... "Ooliskia wapi? " 🤣🤣🤣🤣

  • @chibabuu98
    @chibabuu98 4 роки тому +8

    Magoha:We're planning to open schools in September
    Students:Uliskia wapi?Oooooooliskia wapi?

  • @FfsSamber
    @FfsSamber 4 роки тому +1

    Ndo kidogo afadhali kidogooo.....😂😂😂kidogooooo kwa mbaaaaaaali🔥🙌🏾my favourite

  • @terrymacharia6563
    @terrymacharia6563 4 роки тому +11

    Do we have a person like this in our parliament 🤔 uyu jamaa ako sawa💯

    • @jullydo
      @jullydo 4 роки тому +1

      Ulisikia wapii🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @fatumajuma1157
      @fatumajuma1157 4 роки тому +1

      Sana tn SN yupo vzr SN
      Anaitwa suleyman bungara
      A,k,a bwege mbunge wa kilwa kucni

  • @MA-kx4sx
    @MA-kx4sx 4 роки тому +471

    Ati NTV is not the best tv station in Kenya.... 😾😾wee oooliskia wapi?? Weweeee oooooliskia wapi?? 😾😾

    • @thuo1000
      @thuo1000 4 роки тому +6

      Mheshimiwa, we ooliskia wapi?

    • @MA-kx4sx
      @MA-kx4sx 4 роки тому +2

      @@thuo1000 eeeh weeeee ooooooooooloskia wapi? 😾.

    • @wanjevi
      @wanjevi 4 роки тому

      Hahahahahha

    • @mstevens832
      @mstevens832 4 роки тому +1

      Na hii sio mbangi kweli?😄😄😄

    • @joyobessa1364
      @joyobessa1364 4 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mustsee1529
    @mustsee1529 4 роки тому +7

    Afadhali kidogo....... kidogo kwa mbaaaaaaaaaaali🤣🤣 we ukisikia wapi ,he he mweshimiwa we ukisikia wapi ????😂🤣🤣🤣

  • @youngmartin4164
    @youngmartin4164 4 роки тому +101

    Hizi bangi za Tanzania enyewe zinaweza 😂😂😂

    • @charlesowino5650
      @charlesowino5650 4 роки тому +2

      Wee oolisikia wapi

    • @fatmahamad9314
      @fatmahamad9314 4 роки тому

      Huyo ndio bwege.😂😂😂😂😂. Hatari yaani we acha tu mwaka huu atakoma mtu. Maana bwege anaongea bila ya nukta😁😁😁😁

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 4 роки тому

      𝗡𝗶𝗺𝗲𝗰𝗵𝗲𝗸𝗮 𝗺𝗽𝗮𝗸𝗮 𝗯𝗮𝘀😂😂😂😂😂😂

    • @harrietkorir5088
      @harrietkorir5088 4 роки тому

      😂😂😂😂😂 oolisikia wapi

  • @kowech2626
    @kowech2626 4 роки тому +22

    Me : Mum, startimes imekatwa.
    Mum: We ooliskia wapi? Ooliskia wapi?

    • @swedinjaidi4658
      @swedinjaidi4658 4 роки тому

      𝑈𝑙𝑖𝑠𝑖𝑘𝑖𝑎 𝑤𝑎𝑝

  • @naisaraahmed2822
    @naisaraahmed2822 4 роки тому

    Mungu akubarik. Muongeze mwenye busara. Akuepushe nakila shari.

  • @gordythungu8954
    @gordythungu8954 4 роки тому +21

    Wakenya: Uhuru atafungua vilabu
    Uhuru on 26th: wewe ooliskia wapi

  • @mathayojohn5440
    @mathayojohn5440 4 роки тому

    Hahahahahahaha labda kwaaaa mbaaaaali, weeee uliiskiiiiia wapi, weee uliskiiaa wapiii, tuuuunaaaaanzaaa uuuupyaaa!!!

  • @samuelmwangi9780
    @samuelmwangi9780 4 роки тому +5

    GOVERNMENT: All Form 4s are to return to school on Monday
    .
    FORM 4S: Uliskia wapi?!

  • @mikekanjeri
    @mikekanjeri 4 роки тому +7

    Kenyans: Kenya hakuna corona
    Kagwe: Wewe ulisikia wapi😂😂😂

  • @esthermukhwana7118
    @esthermukhwana7118 4 роки тому +55

    Kumbe olisikia wapi Ni mbunge Tz🤔🤔and he's famous in Kenya, I thought ni ass chef huku Kenya Ni nyanza

    • @petrodaud3032
      @petrodaud3032 4 роки тому +5

      Hahahha 🤣🤣🤣 we ulisikia wapi huyu kuwa ni ass chef Kenya?

    • @esthermukhwana7118
      @esthermukhwana7118 4 роки тому +2

      @@petrodaud3032 🤣🤣🤣 character zake

    • @nasirndegwa3358
      @nasirndegwa3358 4 роки тому +3

      Me nlidhani ni mluyha wa kutetea wauguzi huko western 😂

    • @esthermukhwana7118
      @esthermukhwana7118 4 роки тому

      @@nasirndegwa3358 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @BettyRuthie
      @BettyRuthie 4 роки тому

      @@nasirndegwa3358 me too😁😁😁😁

  • @mx1616
    @mx1616 4 роки тому +3

    😂😂😂😂 I draw the line at that light blue suit... Dead!

  • @ploynwa475
    @ploynwa475 4 роки тому +30

    Noma sana. He’s more famous in Kenya than in Tanzania

  • @masala8099
    @masala8099 4 роки тому +1

    Baada ya uchaguzi hahaha 2020 imeisha kwa tukio la dhulma la kihistoria

  • @ireagan9988
    @ireagan9988 4 роки тому +59

    Lonyangapuo Of Tanzania😂😂😂

  • @خسنموس
    @خسنموس 4 роки тому +2

    Tanzania wako very creative and funny kwa kila kitu ndiomana kwenye mitandao wanatrend sana than kenya..

  • @mao9622
    @mao9622 4 роки тому +4

    Kenyans have a secret passion for Tanzania.They are somehow secretly watching

  • @noahndunde3166
    @noahndunde3166 4 роки тому +2

    Suleiman Bungara,njoo Kenya uwe mbunge!!

    • @jumabilal573
      @jumabilal573 4 роки тому

      We ulisikia wapi? Mbunge wa tz akawa kenya!

  • @eunicewairimu5015
    @eunicewairimu5015 4 роки тому +5

    Sikuwa najua hii "oooleskia wapi" imetoka wapi 😅😅😅😂😂

  • @jeffchurum1431
    @jeffchurum1431 4 роки тому +11

    Looks on the left: Weh Ooliskia wapi?
    Looks on the right: Ooliskia wapi!!!

    • @swedinjaidi4658
      @swedinjaidi4658 4 роки тому

      𝑊𝑒 𝑢𝑙𝑖𝑠𝑖𝑘𝑖𝑎 𝑤𝑎𝑝𝑖

  • @gxkumo
    @gxkumo 4 роки тому +14

    Konyagi is bad for your health
    Mzee: Wee ulisikia wapi

  • @Eliudkingoftrack
    @Eliudkingoftrack 3 роки тому +2

    Who is still watching this 😜

  • @michelleguya5269
    @michelleguya5269 4 роки тому +19

    😂 😂 What! He's an MP... I thought he's a chief or something...
    TZ MP: wee oliskia wapi!!! 😆😆

  • @hopekaunda1031
    @hopekaunda1031 4 роки тому +2

    I like this gentleman. A truly politician from CUF

  • @nancyruoruo1025
    @nancyruoruo1025 4 роки тому +3

    Olosikia wapi😂😂😂😂😂nikisema bwenge katumia unga utasema niliosikia wapi😂😂😂😂

  • @zynabmanyandeshi7143
    @zynabmanyandeshi7143 4 роки тому +1

    😅😂😂😂😂 nimechekeka mpk meshikilia mbavuu...."Tunaanzaa upyaaaaaaa"

  • @mohamediomari1614
    @mohamediomari1614 4 роки тому +7

    Wakenya twende sawaa jaman sio oooolesikia wapi neno hilo kwenye kiswahili halipooo ni ULISIKIA WAPI.
    Tuelewane jaman😂😂😂😂

    • @sheikhibrahimabdullahikeny1509
      @sheikhibrahimabdullahikeny1509 4 роки тому

      😂 😂 😂
      Huelewi wapo watu wa kabila flani waitwao wajaluo ndio hutamka vile

    • @mohamediomari1614
      @mohamediomari1614 4 роки тому

      @@sheikhibrahimabdullahikeny1509 😂😂😂 wanatuaribia kiswahili banaa

    • @kikiannette-
      @kikiannette- 4 роки тому

      Watu wanajaribu kumake fun

    • @mohamediomari1614
      @mohamediomari1614 4 роки тому

      @@kikiannette- wana make fun wap ban,na wakt hawajui kwel😂😂😂😂😂😂😂

    • @Worldround1
      @Worldround1 4 роки тому

      Ni ubunifu flani ivi to make it funny. Sio kwamba hawajui. It's never that serious.

  • @nyanzamasanja1863
    @nyanzamasanja1863 4 роки тому +1

    Hello Kenyans....Hon. Bwege is saying "ULISIKIA WAPI" and not "OOOLISKIA WAPI"

    • @necbottz
      @necbottz 4 роки тому

      No his saying "we ulisikia wapi? The word we there is short form replacing "wewe" so we ulisikia wapi? Could be "wewe ulisikia wapi?". Tz boy here

  • @ucktri1115
    @ucktri1115 4 роки тому +30

    Me: Naskia unamis shule
    Child: we Ooliskia WAAPI
    Ooooooliskia waaaaapi
    Mheshimiwa .............
    Ooliskiaaa wapii

  • @mulandijeff2754
    @mulandijeff2754 4 роки тому +2

    This guy has won his parliamentary position for the third time,

    • @andrewkiptoo3563
      @andrewkiptoo3563 4 роки тому

      Nilidhani amebwagwa

    • @makeleledegreat5510
      @makeleledegreat5510 4 роки тому

      Jeff Stevel we ulisikia wapi uyo alianguka asubui hebu angalia vizuri 😂

    • @mulandijeff2754
      @mulandijeff2754 4 роки тому

      @@makeleledegreat5510 yah😂nimeona...
      Bwege alibwagwa

    • @mulandijeff2754
      @mulandijeff2754 4 роки тому

      @@andrewkiptoo3563 yah aligogwa design ya golf

  • @michaelwandungu539
    @michaelwandungu539 4 роки тому +24

    This man is very funny, may be he's not even aware of how he's trending on the social media world wide 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, we uliskia wapi

    • @aaronsempa5820
      @aaronsempa5820 4 роки тому

      Help me who doesn't understand Swahili. Help me understand the joke

  • @lukagulagekidehele5788
    @lukagulagekidehele5788 4 роки тому

    Nimekukubali sana Ndg. Bungara aka Bwege aka ACT Wazalendo

  • @juliuskamau4909
    @juliuskamau4909 4 роки тому +13

    He seems old but very energetic and full of vigour : oooolisikia wapi?

  • @Itemelodies
    @Itemelodies 4 роки тому +1

    Si angesimama urais.Gonga like kaa unakubali angeshinda

  • @frankmollel8510
    @frankmollel8510 4 роки тому +10

    He is an mp of south Tanzania (call kusin, mtwara most of the tribe there is makonde and bwege his rely name

  • @princessprecious4591
    @princessprecious4591 4 роки тому

    This guys is 🔥 ... mimi nikiskiaaa wapiiii ... he makes a lot of sense thou

  • @zubedaseif2950
    @zubedaseif2950 4 роки тому +10

    Ha ha ha I wish angekuwa mwalimu wangu wa hesabu ♡♡♡

    • @placidchaka481
      @placidchaka481 4 роки тому

      Akili ni nywele kila mtu anazake.Mwenye zile za kipilipili kali Dakota ana shida na huonekana kwa manga akili kuvurugikiwa.

  • @bensonmbugua7610
    @bensonmbugua7610 4 роки тому +2

    Tanzanians make this man president

    • @mfaumeally1862
      @mfaumeally1862 4 роки тому

      We ulisikia wapi?

    • @Stacy-Were
      @Stacy-Were 4 роки тому

      WATAANZA UPYAAAAAAA

    • @gabrieldenicc4502
      @gabrieldenicc4502 4 роки тому

      Kweli kabisaa wananchi tutashida tunacheka badala ya kukunja USO ,kumuona president anapanda kitimoto kama falasi

  • @dalodalo500
    @dalodalo500 4 роки тому +14

    Them: Naskia ulioa
    Me : We ooolisia wapi

    • @swedinjaidi4658
      @swedinjaidi4658 4 роки тому

      𝑊𝑒 𝑢𝑙𝑖𝑠𝑖𝑘𝑖𝑎 𝑤𝑎𝑝

  • @ibrahimmkala4336
    @ibrahimmkala4336 4 роки тому +2

    Ntv you the best

  • @mawilicorded4039
    @mawilicorded4039 4 роки тому +26

    Me: No more payment of HELB loans, Wow!
    HELB: We ooooliskia wapi?

  • @saidmungulu7053
    @saidmungulu7053 4 роки тому +1

    Hahahhaha ULISIKIA WAPI!!!,,
    Bwege upo vzur san

  • @bfamkenya
    @bfamkenya 4 роки тому +7

    My mind : This guy is totally Kenyan
    Ntv : 0:30

  • @sabraali9941
    @sabraali9941 3 роки тому +1

    Nawashangaa wakenya mnapenda kuiga maneno ya nchi nyingine Tz bongo land lakini matamshi yenu Mabovu kasema wewe ulisikia wapi sio ooliskia wapi😏😏🙊🙊😜

  • @abubakarkweyu3425
    @abubakarkweyu3425 4 роки тому +11

    Hawa MPs wa Tanzania hawakulagi hata hongo😂😂😂😂😂

    • @christophermwanilwa7074
      @christophermwanilwa7074 4 роки тому

      We ulisikia wapi hawakuli hongo? We ulisikia wapi?

    • @fatumajuma1157
      @fatumajuma1157 4 роки тому +1

      Mps wa upnzan ndio wako vzr
      Wale wa ccm hovyo kbsa
      Wanapenda SN rushwa
      Kila kitu wao ni ndiioooo naunga mkono hoja miakwa Mia
      Wanajali maslahi yao tu
      Wa upnzan ndiio wanapambana vilivyo

  • @estarjuma7983
    @estarjuma7983 4 роки тому

    Huyu ni mzma kweli mbona kama akili kdg imefyuziv😊🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @blakteaful
    @blakteaful 4 роки тому +12

    *December 31, 2019:* *_Kheri na fanaka kem kem za mwaka mpya..._* ✨💥🌟 *_Happy New Year 2020!_* 🌟💥✨
    *CORONA 2020:* *_OoooLiskia Wapi?! OoooLiskia Wapy!_* 💀😂😝

  • @waynenjoguz5035
    @waynenjoguz5035 3 роки тому +2

    This guy is so funny🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MN-ji8nx
    @MN-ji8nx 4 роки тому +8

    Mimi: Naenda kwa hodari wa lugha
    Daktari: Ooooolisikia wapi?
    Mimi: Basi naenda kwa doktari

    • @ismailahmed5133
      @ismailahmed5133 4 роки тому

      Not Oolisikia wap # is ULISIKIA WAPII ,,,Huyu ni mbunge alisema ivyo wakati anahojiwa na waandishi wa habari,,am from TZ

  • @jogechi2105
    @jogechi2105 4 роки тому +2

    Tunaanza upyaaaaaaaaaaaaaaa🤣🤣🤣 Huyu jamaa mzuri sana

    • @fatumajuma1157
      @fatumajuma1157 4 роки тому +1

      Huyu ni noma naibu spika alimuuza iv lile jina lako la bwege bdo unaendelea kulitumia? Ndio mm bwege ww mjinga yte sawa sawa tu

  • @Nbafootbalufc
    @Nbafootbalufc 4 роки тому +5

    My friend: Nilisikia kuna Dem anakukufia
    Me: We Oolisikia wapi😂😂😂

  • @ucktri1115
    @ucktri1115 4 роки тому +1

    Walai Kenya sihami 🇰🇪😂😂 we make everything funny, kwa watanzania wamezoea ,ikafika Kenya Sasa Ni funny clip

    • @francodesus9519
      @francodesus9519 4 роки тому

      This guy is meme in Tanzania and we use it everywhere to make funny of others. Kenya is late to the party

    • @ucktri1115
      @ucktri1115 4 роки тому

      @@francodesus9519 Look at this guy nobody ever heard of him until Kenyans made memes of him , maybe you made them but not as creative as the kenyan made.

    • @francodesus9519
      @francodesus9519 4 роки тому

      @@ucktri1115 lol wtf why always Kenyans want to take credits even if they don't belong to you. NTV has coped and paste from Global TV which actually has more followers across Africa than NTV could ever dream just go and check it has 2.5 million viewers only few self centered people like you think it's trending now bcz of Kenya😂😂😂😂😂😂. It's something very common in Tanzanians and even Rwanda News focus TV has uploaded this in their country. That's why we say you are late to the party coz everyone knows Bungara comedy

    • @ucktri1115
      @ucktri1115 4 роки тому

      @@francodesus9519 🤦 I said trending in Kenya, the Tanzania makeover of the clip is not funny 😂😂 ,it trended here coz some Kenyans found it and re -did it , so acha kutumia kichwa Kama kibuyu ya mate,🤣🤣 NTV is the third largest studios in Kenya and is famous for creative and funny headlines

    • @francodesus9519
      @francodesus9519 4 роки тому

      @@ucktri1115 good luck with that

  • @wairimurommy5230
    @wairimurommy5230 4 роки тому +5

    Forever Iconic, lmao!

  • @rogerskabaselleh871
    @rogerskabaselleh871 4 роки тому +1

    This guy can be a great pastor trust me